JINI HUSNAT (4) - CnZ Media

CnZ Media

Jisomee Simulizi Mpya Kila Siku

Jumapili, 19 Februari 2023

JINI HUSNAT (4)

Je unajua kwamba Simulizi zote unazozipata hapa zipo kwenye app ya CnZ Media?

Humo Pia Utakuta:
๐Ÿ“– KUSOMA SIMULIZI
๐ŸŽฌ FILAMU na TAMTHILIA za KITANZANIA
๐Ÿ˜‚ VIDEO za KUCHEKESHA
๐Ÿ“‘ MAKALA za AFYA na MAPENZI

Install app hii GUSA HAPA utavipata vyote hivyo bure kabisa
Mwandishi: Zuberi Maruma

SEHEMU YA NNE
ILIPOISHIA...
JASMIN:@ marehemu alikuwa mpz wangu na mlinz katika nyumba ya bosi wangu ni mara nying sana VERGAN alinitaka kimapenz kw kuwa nampenda KITALU sikumkubalia mpaka siku alipotufuma mim na mlinzi tukiwa tumekumbatiana kwa kuwa alinipenda hasira zilimpanda akamvamia mpz wangu na kumkaba mpaka akamuua..,

WAKATI UNAFUNGUA KUNA MATANGAZO YANATOKEA YAGUSE WALAU KILA UNAPOFUNGUA SIMULIZI ILI KUNIPA NGUVU YA KUENDELEA
KAMA UPO NJE YA APP INSTALL CnZ Media ILI USIPITWE NA MIENDELEZO KILA INAPOKUWA TAYARI

SASA ENDELEA...
mahakama yote ikatoa mguno wa fedheha,VERGAN muda wote alikuwa kajiinamia chini kama kifaranga kilicholoa na kutengwa na mama yake.lilikuwa ni pigo pia kwa upande wa mawakili wake.MOUREEN aliinamisha kichwa chake chini kukwepa kuonana macho kwa macho na JINI YULE.

MW/MASHTAK vergan unakubali unakataa?

katika sikio lake la kushoto aliamrishwa na sauti ya MOURINE kukataa lakin kila alipotaka kufungua mdomo wake alijihisi woga wa ajabu,mwili wote ulimtetemeka jasho akajikuta amekaa kimya kitendo kilichotafsiriwa kama dharau mahakaman pale.

WAKILI: "Unasema kitalu alikuwa mpz wako"

JASMIN "ndiyo!"

ghafla wakili naye akajikuta ana swali la kuuliza..kesi ikaairishwa kwa siku nyingine kwa hukumu.

**********

kutokana na sapport yenu nzur katika comment,like na shere sasa story hii kwa xku itawajia mara mbili asb na jion.songa nayoooo

ZUBERI MUSA mfanyakazi na rafiki yake mkubwa na JOHN VERGAN akiwa kapiga suti yake ilomkaa vyema ya kahawia,viatu aina ya moka alikuwa kakaa akipata bia yake taratibu.

wasichana baadhi warembo walijipitisha mbele yake kuitaji kumpa sapport ila kijana huyu akukubali akidai kuna mtu alikuwa akimsubiri.macho yake yakatua katika saa yake ilisomeka ni saa kumi na moja jioni macho yake yakamlazimu kuangalia mandhari ya eneo lile.macho yake yakatua getini BMW liliingia ZUBER akaisindikiza kwa macho mpaka parking aliposhuka kijana mmoja aliyenyoa kipara cheupeee kichwa kizima alikuwa kavaa suti nyeusi akaelekea sehemu alipoketi rafiki yake ZUBER.baada ya kusalimiana aliketi na kumwangalia rafiki yake yule ZUBER akakohoa kusafisha koo kisha akaendelea:

"ok lete mpango!"

"kila kitu safi nyaraka zote za compuny nshazibadilisha ni sahihi yake tu!" aliongea hivyo kipara kwa tabasamu afifu lililouchukiza uso wake! ZUBER akamjibu kwa tabasamu pia.

"mpango namba moja umeisha! sasa mpango namba mbili tutamuongeza mshirika mmoja naye ni secretary wake MOUREEN kakubali kuongea na wazazi wa mlinz yule na kuwapa chochote kitu ili kesi ife akitoka tu tupate nafasi ya kumlazimisha aweke saini akitii tumuuwe"

ZUBER aliongea kwa kujiamini kama JOHN VERGAN angefungwa kwa kosa lile la mauaji ni wazi wasingeipata sahii yake ivyo ilikuwa ni lazima wamtoe kwa vyovyote vile.

ZUBERI alimwita MOURINE na kuongea naye juu ya kumtoa bosi wao awakueleza lengo lao.katu awakujua kuwa MOURINE huyu si yule walomjua! huyu alikuwa na uwezo zaidi yao.ila kwa kuwa kila mmoja alikuwa anafanya kazi kivyake mourine alikubali kwa kuwa VERGAN kuwa huru ndo mafanikio yake kwa kile alichotumwa huku duniani.akawatoa shaka.na kuaidi kulifanyia kazi jambo ilo.

JOHN VERGAN alikuwa mahabusu ghafla kausingizi cha manyunyu manyunyu kikaanza na atimaye akamezwa na usingizi mzm

*****

ilikuwa ni nyumba moja ya kifahari,VERGAN alikuwa ameketi kitandani akisoma kitabu kizuri cha riwaya kiitwachu UCHUNGU WA SUKARI kilichotungwa na mwanadada ENEA FAIDY moyo wake ulikuwa ukimwenda mbio juu ya kisa kile kitamu na akutaman akiache kwa mbali alisikia sauti ya maji bafuni yakimwagika.akuwa na shaka kwa kujua habiby wake alikuwa akikoga.akaendelea kufungua kurasa zile akila uhondo wa simulizi ile.ghafla mlio wa maji bafuni ukakoma.yamkini mwogaji alimaliza kokoga na alikuwa akijifuta au akivaa ni kweli akukosea mlango wa chumba ukafunguliwa ukatangulia mguu mwororo ulokosa doa na mwili ulofunikwa na kaupande cha khanga ukafatia.HUSNAT akatoka.moyo wa VERGAN ukaanza kumwenda mbio.shakushangaza akuwa na uwoga kabisa bali hisia ndo zilizomtesa.akaweka kitabu chake chini.muda wote JINI HUSNAT alikuwa katika dresing table yake akijipara VERGAN akamfata na kumshika kiuno HUSNA akatoa kilio cha mahaba.kilichokuwa kama fimbo kali kwa rijali yote ilomchapa na kumchakaza.aliitaji kitu kingine kwa dada yule.Penzi aliitaji PENZI wakakokotana mpaka kitandani.kwa mara nyingine Tena vergan akalifaidi penzi tamu lililomburudisha na sasa walikuwa katika mapumziko

"VERGAN kwa nini unipendi?"

"nakupenda sana HUSNA wangu"

"uongo!" akampiga kibao cha kimaaba

"kweli my love"

"endelea kunikataa VERGAN mali zako uraiani zinauzwa.kubali kuwa wangu nikuokoe mpz!"

"hapana! hapana! hapana! siwezi kuwa na jini kamwe naomba utoke!"

lilikuwa ni jambo la kushtukiza pale JINI HUSNAT alipompa akili zake za kawaida akitegemea VERGAN angemwonea huruma aikuwa hivyo alimbadililikia akimfukuza hasira naye zikampanda tatzo lake HUSNA akuweza kuzi zuia hasira zake akabadilika na kuwa na meno makali yalochongoka kucha ndefu akamfata kwa hatua ndefu VERGAN kwa lengo la kumrarua

"mamaaaaa YESU CHRISTO NIOKOE...."

Kijana yule akapiga ukelele mkubwa na ghafla akashtuka

"kumbe ni ndoto"

akajisemea Eeh MUNGU WANGU NIOKOE NA JINI HUYU DHALIMU AYATESAYO MAISHA YANGU....

********

"VERGAN kwa nini unipendi?"

"nakupenda sana HUSNA wangu"

"uongo!" akampiga kibao cha kimaaba

"kweli my love"

"endelea kunikataa VERGAN mali zako uraiani zinauzwa.kubali kuwa wangu nikuokoe mpz!"

"hapana! hapana! hapana! siwezi kuwa na jini kamwe naomba utoke!"

lilikuwa ni jambo la kushtukiza pale JINI HUSNAT alipompa akili zake za kawaida akitegemea VERGAN angemwonea huruma aikuwa hivyo alimbadililikia akimfukuza hasira naye zikampanda tatzo lake HUSNA akuweza kuzi zuia hasira zake akabadilika na kuwa na meno makali yalochongoka kucha ndefu akamfata kwa hatua ndefu VERGAN kwa lengo la kumrarua

"mamaaaaa YESU CHRISTO NIOKOE...."

Kijana yule akapiga ukelele mkubwa na ghafla akashtuka

"kumbe ni ndoto"

akajisemea Eeh MUNGU WANGU NIOKOE NA JINI HUYU DHALIMU AYATESAYO MAISHA YANGU....

*****

MOUREEN au JINI ZAIDAT moyo wake ulikuwa na amani sana! mpaka muda huo JINI HUSNAT alikuwa ajatambua uwepo wake.lengo lake lilikuwa moja tu kuakikisha VERGAN anakufa! kitendo icho kingefanya kile kilichomleta huku duniani kiende vizur! je VERGAN atakufa kwa namna gani? jibu lilikuwa raisi tu atawatumia vijana wawili ZUBER na KIPARA wenye malengo kama yake.akiwa na kitita cha fedha aliingia katika nyumba chakavu ni nyumba ya wazazi wake na KITALU walokuwa wakiishi maisha ya shida sana.tegemeo lao kubwa lilikuwa ni kitalu kitendo cha kuuwawa kilikuwa ni pigo sana kwao.akawapa faraja baada ya kukaribishwa vizuri baada ya maongez ya hapa na pale akawapa mfuko ulojaa hela.familia ile ilijaa na furaha.dakika chache MOUREEN alikuwa katika ofisi ya hakimu wa kesi ile akatoa kilichostaili!,akika MOURINE aliivunja vunja ile kesi kwa kusambaza noti mpaka kwa wapelelezi wa kesi ile.pesa ni sabuni ya roho!

moyo wa VERGAN aukuwa na amani kabisa alikubali kuyazoea maisha ya rumande muda wote alikuwa na bible yake ndogo akiisoma ilo kwa upande wake kidogo lilimsaidia kwani jini HUSNAT akumsogelea.tumaini la kutoka mahabusu alikwepo ndan ya mahabusu huwa kuna serikali yao rais akiwa nyapala.kulikuwa na mapadri walofundisha mema na kukataza maovu PADRI BRAYTON ndiyo alikuwa rafiki yake mkubwa.wakati wakiwa wanaendelea kusoma neno ghafla lango kuu la chumba chao likafunguliwa afande akiwa na kirungu akamwita kwanza alishtuka moyo ukaanza kumwenda mbio alijua siku hiyo ndo siku ya hukumu akakumbuka kiapo alichokula JINI HUSNAT juu ya kumfunga maisha ikiwa atamkataa alishndwa kuyazuia machozi yasimtoke.akawa anaelekea yalipopakiwa makarandinga ya mahakamani kabla ya kushtukizwa na kibao kikali "unaelekea wapi wewe elekea kwa mkuu wa magereza" alishtuliwa na sauti ilojaa kitetemeshi cha dharau moyo ukaanza kumwenda mbio siku zote walioitwa kwa mkuu wa magereza ilikuwa ni kuamishwaa gereza akupenda ili gereza lile alisha lizoeya kitendo cha kuamishwa kingemuumiza sana

*****

Kitendo cha kuitwa kwa mkuu wa gereza kwa vyovyote alijua lazima angeamishwa gereza....

wazo kwamba pengine anatoka alikuwa kabisa katika kichwa chake.aliingia katika ofisi ile na kupokelewa na tabasamu si tabasamu la kuogofya,chuki,masimango,kejeli.hapana nadharia hiyo aikuingia kabisa katika kichwa chake,tabasamu la faraja,amani,ndilo lililosomeka katika uso wa mkuu yule wa gereza.akampa ishara ya mkono aketi katika kiti VERGA akatii....

"najua unashangaa wewe leo mimi kukuita hapa,yamkini bado una uoga na khofu kwanza futa vyote...wapo wanaosema jela ni jeraha! umekaaa muda mchache sana kama miezi mitatu tu nadhani umejifunza mengi koh koh koh koh!" ghafla mkuu wa gereza yule akakohoa ishara ya kusafisha koo akaendelea! VERGA akimsikiliza kwa makini.....

"kesho ndo ilikuwa siku yako ya hukumu si ndiyo?"

"ndiyo mkuu"

"imebatilishwa siku yako ya hukumu ni leo."

moyo wa VERGAN ukaanza kumwenda mbio

"na hakimu ni mimi kwanzia sasa hupo huru"

"nini?" VERGAN alioji bila kuamini akuweza kuyazuia machozi ya furaha kumdondoka.akapiga magoti chini akimshukuru MUNGU ahadi ya jini HUSNAT ya kumfunga maisha ikijirudia.

"MUNGU ni muweza,MUNGU anaponya kavunja nguvu za pepo mchafu HUSNAT nani kama MUNGU? anajibu maombi anajibu maombi anajibu maombi twakuabudu bwana...." VERGAN akuweza kuizuia furaha yake akawa anaimba nyimbo za mapambio kwa furaha kuu.dakika chache alikuwa kashavaa nguo za uraiani akiliangalia kwa mara ya mwisho lango la gereza lile.alokaa kwa muda mchache.sasa alikuwa huru.

kilikuwa ni kikao cha watu wa tatu ZUBERI,KIPARA,na MOURINE,

"Kwa habari nilizopata Mtu wetu kesho atakuwa huru kazi nzur sana binti kilichobaki ni utekelezaji wetu wa kumsainisha na atimaye kumuua kikatili" aliongea ZUBER kitu kilicho mfuraisha jini yule.

"atauwawa nyumbani kwake tutamvamia na kumaliza kazi"

"nina wazo ZUBER"

"OK nakusikiliza"

"kwa nini tusikodi watu wakafanya hii kazi?"

"usiwe mwoga kipara hii ni kazi ya siri lazima tuifanye kisiri aitajiki mtu yoyote"

****

JAMBAZI si mwalifu aliyekubuhu mwenye roho mbaya hapana ata mim au wewe ukitaka kuwa jambaz unaweza ni kitendo cha kumvamia mtu na kumwibia kwa kuficha sura au kuwa na sura yako kabisa.ZUBERI na KIPARA wakiwa kila mmoja na kofia aina ya bushori miwani nyeusi na koti refu kimuonekano walikuwa ni kama majambazi walokubuhu mikononi walikuwa na bastola ndogo zenye kiwambo cha kuzuia sauti.awakupata shida getini kwa kuwa akukuwa na mlinzi wakapanda juu ya ukuta na kuzama ndani awakupata pia shida kukijua chumba cha mwitaji wao VERGAN....

VERGAN usingizi ulimpaa bado alikuwa na bible yake akisoma maneno matakatifu kwa minajili ya kumuweka mbali zaidi jini yule mkorofi.mara ghafla akasikia kishindo akakipuuza pengine akidhani ni cha jirani mawazo yake akayarudisha katika kitabu kile. Ubaya zaidi akuufunga mlango bali aliurudishia ghafla akaona bomba la bastola buti na koti ndefu mshangao ukamvaa ila alisha chelewa marafiki zake wale walimvamia na kuanza kumpiga...wakamtoa kimya kimya mpaka katika moja ya gari zake na safari ya kuelekea kwenye maporomoko ya guanjeni ikaanza.sehemu hiyo ilikuwa ni sehemu maalumu ya kutupia maiti ni sehemu ambayo hata ukimtesa mtu akiutoa ukelele mkubwa kiasi gani unaishia katika maporomoka yale.

USIIKOSE SIMULIZI INAYOFUATA

Umeyaona Matangazo?
Yabonyeze Kila Unapoyaona ili Kunipa Nguvu ya Kuendeleza Simulizi

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni