JINI HUSNAT (5) - CnZ Media

CnZ Media

Jisomee Simulizi Mpya Kila Siku

Jumapili, 19 Februari 2023

JINI HUSNAT (5)

Je unajua kwamba Simulizi zote unazozipata hapa zipo kwenye app ya CnZ Media?

Humo Pia Utakuta:
๐Ÿ“– KUSOMA SIMULIZI
๐ŸŽฌ FILAMU na TAMTHILIA za KITANZANIA
๐Ÿ˜‚ VIDEO za KUCHEKESHA
๐Ÿ“‘ MAKALA za AFYA na MAPENZI

Install app hii GUSA HAPA utavipata vyote hivyo bure kabisa
Mwandishi: Zuberi Maruma

SEHEMU YA TANO
ILIPOISHIA...
Ubaya zaidi akuufunga mlango bali aliurudishia ghafla akaona bomba la bastola buti na koti ndefu mshangao ukamvaa ila alisha chelewa marafiki zake wale walimvamia na kuanza kumpiga...wakamtoa kimya kimya mpaka katika moja ya gari zake na safari ya kuelekea kwenye maporomoko ya guanjeni ikaanza.sehemu hiyo ilikuwa ni sehemu maalumu ya kutupia maiti ni sehemu ambayo hata ukimtesa mtu akiutoa ukelele mkubwa kiasi gani unaishia katika maporomoka yale.

WAKATI UNAFUNGUA KUNA MATANGAZO YANATOKEA YAGUSE WALAU KILA UNAPOFUNGUA SIMULIZI ILI KUNIPA NGUVU YA KUENDELEA
KAMA UPO NJE YA APP INSTALL CnZ Media ILI USIPITWE NA MIENDELEZO KILA INAPOKUWA TAYARI

SASA ENDELEA...


katu VERGAN akuacha kusali MUNGU afanye muujiza! ama kweli rafiki yako wa leo ndo hadui yako wa kesho.

mara tabasamu likajijenga katika uso wake! bado akuwa tayar ku sighn karatasi zile kumbukumb ya alicho ambiwa na JINI HUSNAT kikamjia akakumbuka manuizi HUSNA aliyemfundisha ayanuie pindi akimuitaji akayanuia hayo hayo chini kwa chini moyo wake wa usaliti kwa jini yule alompenda ukimwenda mbio.

hali ya jini HUSNAT aikuwa nzuri kabisa mwili wote ulivimba alikuwa kajilaza kitandani ni mtu wa kulia tu akiadhibiwa mijeled na mtu asiyemjua.kupotea kwenda kwao akuweza alikuwa ni mateka maututi katika dunia ya walimwengu alowapenda

sababu aliijua ni kitendo cha VERGAN kumsomea somea bible na kumkemea kemea kwa jina la YESU..........

******

Hapo ndipo kwa mara ya kwanza mtu yule aliyekuwa akimchapa mijeledi akakoma.bado majonz yalitawala katik moyo wake kwa mara ya kwanza akapakumbuka kwao.moyo aukuacha kumwenda mbio

"eeh MUNGU mfalme wa ulimwengu kwanin unaniweka katika tanuri la adhabu kiasi hiki naomba unsamehe MUNGU wangu kama kupenda kwangu ni makosa...." VERGAN alijitaidi kuomba huku bado akiendelea kujikanda kwa mate yake.sasa kwa mara ya kwanza alianza kumchukia VERGAN.lakini ata hivyo chuki ile haikudumu baada ya kusikia kilio cha ampendaye.machungu yote aliyasahau ghafla akajigeuza na kuwa bonge la nyoka.

VERGAN bado alizidi kumsihi JINI HUSNAT aje amsaidie.aliuona mwisho wake mbele ya macho yake.taratibu tumaini la uponyaji lika anza kufifia akaishika peni tayari kwa kusaini akikubali kuyakabidhisha maisha yake kwa muumba wake.

wazo lile,kitendo kile cha kusaini kilifutika katika kichwa chake baada ya kusikia harufu ya manukato ya amdhaniaye

moyo wa furaha ukatawala dakika chache mbele akazuka nyoka mkubwa aina ya chatu katika maporomoko yale

KIPARA na ZUBER wakaanza kukimbia wakimwacha VERGAN pale chini katika maumivi makali

kila wakimbiapo wanasikia kicheko kikali na HUSNAT anawatokea huku akiwacheka anawapiga shoti kwa hasira na kuwamaliza.anamfata VERGAN aliyoko kwenye hali mbaya anaanza kumlamba lamba kwa ulimi wake na kuyaponesha majeraha yale yalouandama mwili wake.anayamaliza na maumivu yote.

"NAKUPENDA HUSNAT"

Kwa mara ya kwanza kwa uso wa tabasamu VERGAN akamwambia mpz wake yule.HUSNA akuwa na cha kujibu ghafla machozi yakaanza kutiririka katika mashavu yake:

"kwa nini umentesa VERGAN ?

"nimekutesa kivipi mpz?"

JINI HUSNAT akusema kitu akatanua mkono wake na kumuonesha jins alivyokuwa akimkemea naye hali ilivyokuwa mbaya

ama kweli mapenz ni utoto eti wote wakawa wakilia akuna wa kumbembeleza mwenzake VERGAN akilia hasamehewe

"nimeshakusamehe mpz wangu!"

"kwa hiyo situnaenda kwangu?"

VERGAN alioji kwa kwa tabasamu pana.

"aswaaa! mume wangu ukitakacho wewe".....

*******

Ni usiku tulivu!,hali ya hewa ikiwa ya kuridhisha!,ukimya ukiwa umetawala ni sauti za kitanda "kwacha! kwacha! kwacha! kwacha!" ni miguno ya kimahaba baina ya nafsi mbili zenye asili tofauti zilizoridhiana kuwa pamoja zilisikika.

walikonga nyoyo zao! walifurahi,dakika chache badaye walikuwa bafuni wakiogeshana.uko ni sauti ya maji na vicheko vya kimahaba vilisikika cha ajabu sasa:

JOHN VERGAN hata walipokuwa wakienda raundi katika sex stayli alijiona ana nguvu mara mbili.alijiona mwanaume wa shoka.mwanzo alikuwa anakwea mti kwa shida sana na akifanikiwa kufika juu ana angua dafu moja kwa haraka sana mtarimbo unazima kuwaka tena! mpaka kesho yake.alijaribu kwa madokta wa madokta tiba akuipata zaidi ya kumeza midawa.ila kwa msichana huyu tangu mara ya kwanza alipomchukua kwa kumpa lifti alimfikisha alipoitaji mtarimbo ulikuwa imara zaidi ya kawaida kwa kijana shababy.ilo lilibaki siri yake na kumuongezea upendo kwa binti yule.

wote walikuwa hoi wakiwa wamekumbatiana kwa mbali kausingizi kalianza kuwapitia.kaki umeza vimawazo vyao vya hapa na pale kuhusu mustakabali wa penzi lao.ghafla JINI HUSNAT anamwamsha VERGAN kisiri! anamnyooshea kidole katika pembe ya chumba kile!

VERGAN anamwona jirani yake mama mwantumu anayemuheshimu na baadh ya watu anaowafahamu kama wa nne wakicheza tena uchi wa mnyama.VERGAN anashindwa kustahimili anapiga kelele.wachawi wale wanatoweka.HUSNA akampiga kakibao cha mgongoni cha kimahaba!

"d! kwanini umepiga kelele?"

"kwani wale ni kina nani?"

"si wachawi walikuwa wakikuwangia."

"mh! yule mama?"

"unajua mimi nawashangaa sana nyinyi binadamu?"

"kwa nini mpz!"

"unajua sisi kule kwetu ujinini wachawi wapo!"

"mmmh!"

"siyo mmmh lakin si wakijinga jinga kama wa uku kwenu wa kule kwetu kuna matabaka mawili kuna tabaka la himaya ya vibwengo au himaya nyeusi na himaya yetu hiitwayo himaya ya jini MUKRAIYA.wachawi wa himaya ya jini WEUSI uvamia kwetu katika misheni mbalimbali katika maabara kuiba ugunduzi flani ulogunduliwa.

"kah!".

Majini hao nyie muwaitwao vibwengo wanaoishi katika himaya yenye giza jeusi utuma wachawi wao kuja kwetu wachawi wao uwanga kwa kuiba ugunduzi wa kisayansi tiba mbalimbali tulizogundua.ndo uchawi wa kwetu huo uchawi wa kuzidiana maharifa.kama viumbe weupe wa bara ulaya wafanyavyo tofauti na nyinyi...mrudishanao nyuma.

"basi mke wangu tulale...tutaendelea na story kesho."

wakakatisha mazungumzo wakakumbatiana na kuusaka usingizi ulowapitia kwa pamoja.

kwanza alianza kwa kupapasa mbele ya mikono yake akiazimia kumpapasa mtu! aka ambulia patupu...bado alikuwa amefumba macho akayalazimisha kufunguka nayo yakagoma.akashtuka kwa kujilazimisha.akata hayari milango ilikuwa imefungwa HUSNA akuwepo."ndo tatizo la kuishi na majini humu ndani wanaondoka bila taharifa."

alilaani VERGAN akajibwaga katika kitanda chake kabla mvurumuko wa simu yake ya kiganjani aijaita.naam akaikwapua na bila kuangalia aliyepiga akaweka maskion

"unasema maiti wamekutwa katika maporomoko?"

"ooh MY GOD ZUBER na kipara?"

"sawa! sawa naja saiv"

MOURINE moyo ulimwenda mbio,hasira chuki kwa VERGAN zikaongezeka! mbinu zake zote mbili zilishindikanika kwanza kumshawishi MOURINE halisi kuwa na VERGAN kimapenz ili HUSNAT asipate nafasi hiyo ilishindikanika pili kumwangamizi VERGAN pia ilishindikanika na tatu kuwatenganisha wawili wale pia ilikuwa ngumu akamkumbuka heshima ambayo angeipata kwao kama angefanikisha ili.wazo ili likapingana na lile akabaki katika mawazo yalo changanya ubongo wake.mwisho akapata jibu ni kucheza na akili za VERGAN kama JINI HUSNAT.wazo hilo akaliafiki.akatabasamu.majini kama majini wana muda wao na wana tofautiana ki uwezo.tayari alishaisoma ratiba ya JINI HUSNAT juu ya safari zake katika dunia.akautumia udhaifu huo kujifanya ni JINI HUSNAT...Kete yake ya kwanza aliirusha wakati VERGAN akipata chakula cha mchana na marafiki zake.MOURINE akiwa na sura ya JINI HUSNAT kAtika meza ya pembeni mwanaume shabibu alikaa pembeni yake wakilishana kimapenzi.mikao ya kimah

***********

Moyo wa VERGAN ukapasuka paaa! akutaka kabisa kuya amini macho yake! bumbuwazi likautawala uso wake akaweka kijiko cha chakula chini.akasimama wafanyakaz wake alokuwa anakula nao wakabaki wanamshangaa bosi wao bila kumwelewa.ilo yeye akulijali alitaka kuyadhibitishia macho yake kwa kile akionacho akazidi kujongea eneo lile alokwepo mpenz wake feki na hawara wake.jibu alilolipata likadhibitisha fikra zake baada ya macho yake na ya JINI HUSNAT kugongana.mwanadada yule akapata mshtuko ambao ni wa kufoji ulo tafsiriwa vingine na JOHN mshtuko ule wa JINI ZAIDATU au mourine au husnat wa bandia haukudumu akawa kawaida.JOHN akawafikia Wawili wale akiwa na uso wa hasira na ghadhabu

"unafanya nini hapa? na huyu ni nani?" VEGAN akauliza

"HUSNAT huyu ni nani?" kijana yule alokuwa na MOURINE akazidi kupigilia msumari wa moto katikati ya moyo wa VERGAN kwa kulitaja jina la HUSNA maksudi "sijui beby! ntamjuaje?" Mourine alijibu huku akiwa amemlalia yule jamaa kifuani.

"HUSNA! mi naondoka nashkuru sana...."

"babu weee tupishe katika starehe zetu!"

"husna! husna wakunifanyia hivi!"

"nakuomba tokaaaaa"

jini yule alipiga ukelele huku katika macho ya VERGAN akionekana kiumbe wa ajabu kitendo kilicho mfanya aanze kukimbia na kuparamia viti.akadondoka baadhi ya watu walimcheka wengine wakimsikitikia kwani kile alichokiona wenzake awakukiona akajipakia ndani ya gari lake na kuliondoa kwa speed huku akisindikizwa na vicheko....wafanyakazi wake wakabaki katika hali ya simtofahamu.MOURINE alifrah baada ya kumaliza kula akaelekea chooni na kutoweka akitokea kazini kama MOURINE

kama ni kazi akuweza kuendelea kuzifanya moyo ulimuuma alijuta kumpa nafasi jini yule alomsaliti ukiona mtu mzima analia basi ujue kuna jambo JOHN VERGAN alilia mapenzi yalimliza.akachukua mkonga wa simu na kupiga namba kadhaa "naomba nletee bia!"

ili kupunguza mawazo akanywa bia na kulewa chakari kila MOURINE alipoingia kumpelekea chupa alizidi kumuona yule binti ni mrembo akaitaji kingine......

******

Hisia kali za mapenzi ziliuvuta moyo wa VERGAN! na kuitaji kingine kwa Moureen.aliitaji penzi lake...

Moureen naye alizidisha hisia zile za kijana wa watu! alitaka kujua hasimu wake yule "JINI HUSNAT" alifaidika na nini kwa binadamu yule...kile alichokipata jin mwenzake naye aliitaji kukipata.

je kingearibu kazi yake?

kazi ya hatari lakini yenye heshima katika maisha yake?

kazi ilomtoa ujinini na kumleta duniani kuifanya kwa umakini ulotukuka?

akatabasamu baada ya kugundua kwamba ata kama angempa penz binadamu yule asingeiaribu kaz yake!

kwanza akuwa na mpz hata ujinini kwao useme kwamba angekuwa kamsaliti...

wakati akiwaza ayo akasikia akiitwa.akujiuliza akachukua chupa ya bia na kuingia nayo.akamsogelea bosi wake na kumwekea mikono katika miguu yake huku akiwa kachuchumaa

"bosi una matatizo gani leo? mbona si kawaida yako?"

"maisha yenyewe mafupi nachen mi nile ujana,kujirusha kila wikendi nakula ujana!..."

baada ya kujibu VERGAN akaanza kuimba.huku akiupeleka mdomo wake katika mdomo wa Moureen.mdada yule akaupokea dakika chache badaye wakazama katika mapenzi kule kule ofisini..,.

-....-....-.....-

Moureen alinogewa na penzi la VERGAN alijilaumu moyoni mwake kwa kitendo cha kutaka kumuua kijana mtamu namna ile...alionja asali alitaka achongeshe mzinga....alijua kwa vyovyote vile kijana yule ni haki yake kutokana na sababu alizozijua yeye zilizomkosesha JINI HUSNAT nafasi ya kuwa na kijana yule.kwa fikra zake yakinifu lakini.alitamani kumuua HUSNAT ila ilo lilipingana na kazi yake.akala kiapo kitakatifu! kiapo cha kumtawala mwanaume yule....katika himaya ya mahaba yake....... Kwa upande wa VERGAN kama maranda yateketeavyo katika moto moyo wake uliteketea kwa binti MOUREEN,ni binti alompenda ata kabla ajakutana na HUSNA akajipa tumaini.penzi lake lilikuwa tamu zaidi ya ata la HUSNA...ghafla moyo wake ukanyongonyea baada ya kukumbuka machungu ya usaliti alosalitiwa na jini yule./.sidhani kama atakuja tena kwangu/...

USIIKOSE SIMULIZI INAYOFUATA

Umeyaona Matangazo?
Yabonyeze Kila Unapoyaona ili Kunipa Nguvu ya Kuendeleza Simulizi

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni