Nyumbani ZC Harufu ya Wali Yazuwa Kasheshe | Comedy Harufu ya Wali Yazuwa Kasheshe | Comedy Author - Zephiline F Ezekiel Aprili 02, 2024 0 'Dada ametuachia maagizo tupike chakula kinukie vizuri halafu tumetii maagizo tena anatupigaKwamba kosa letu ni kutumia akili zetu kutatua tatizo au shida ni nini?' MatongoJionee video hii kisha dodosha comment hapa kwamba nani hakumuelewa mwenzakeNaamini video za hawa jamaa zinakuvutia kutazamaBasi naomba wape maoni yako ili wajue wapo na wewe katika gurudumu hili la burudaniMAONI/USHAURIMatongo Comedy | +255759926459Harufu ya Wali Yazuwa Kasheshe Tags ComedyMatongo ComedyZC Facebook Twitter Whatsapp Mpya zaidi Nzee zaidi