Mapenzi ya Uongo | Comedy

0
Hakuna mwanamke anakubali kuambiwa ukweli

Jifunze mbinu za kuwashawishi wanawake kwa kuwaambia ukweli kidogo na uongo mwingi maana ndicho kitu wao wanapenda vinginevyo haupati demu na utabaki kusema una gundu/nuksi kumbe unakwama sehemu ndogo tu

Tazama Video Hii Kisha Nipe Maoni Unamwambia Nini Mwanamke Anayependa Maisha ya Raha na Sio Shida!?

Chapisha Maoni

0Maoni
Chapisha Maoni (0)