MWALIMU MKUU (11)

0
Mtunzi: __

SEHEMU YA KUMI NA MOJA
ILIPOISHIA...
“”” Irene kutoa mimba in zambi kwanza ww nyonga zako azijakomaa usije ukafia mikononi mwangu ikawa kesi bure, mi nakushauli kubari kuzaa tu Irene”doctor alimshauli Irene kwa upole

IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI

ENDELEA...
“” doctor unataka baba aniuwe nisaidie kwa njia yoyote ile doctor “alilia Irene kwa uchungu adi manesi na wagonjwa wengine wakimshangaa

“” bora ukafie mikononi kwa baba ako ili kesi iwe yake, kuliko ufie mikono mwangu kesi iwe yangu arafu nifukuzwe kazi”alitamka doctor

“”” jamani doctor “

“”” nenda kwa jamani Irene wacha mi niendelee na Nazi zangu wagonjwa wananisubiri”alitamka doctor kisha akainuka na kuondoka.

Irene alichanganyikiwa kisha aliondoka kishingo upande uku akilia kwa kwikwi kama mtoto mdogo kila MTU alimshangaa walijua kafiwa walimpa pole, ila yeye aliendelea kulia ile ana toka hospital akakutana na gali LA baba ake kisha akazimia
Wauguzi na wasamalia wema pamoja na baba Irene walimbeba kisha wakamuwaisha wodini kwa matibabu.

Baba Irene alichanganyikiwa kwa mtoto wake kudondoka kwani sio kawaida yake ila akipiga moyo konde.

*******

Shuleni kwa kina mariamu walikuja wataalamu wa afya kuwa Pima wanafunzi afya zao mariamu akujua chochote ila alisikia maumivu ya viungo.

Hatimae muda wa mariamu kupimwa afya ikafika alipimwa kisha akatoka kusikiliza majibu yake, baada ya lisaa aliitwa na mkuu wa shule yao ofisini kwake.

Baba irene alichanganyikiwa kwa mtoto wake kuzimia
Hatimae Irene aliwekea dripu alikuwa bado ajalejewa na fahamu, baba ake aliitwa ofisini na doctor aliingia na kuketi.

“” we ndo mzazi wa Irene?”aliuliza doctor

“” yes ndo Mimi”alijibu baba Irene

“”” OK unajua nn kimempata mwanao?”aliuliza tena doctor

“”” hapana doctor asubui aliniaga kwamba anakuja kupima malaria maana ameniambia ajisikii vizuri”alijibu baba Irene uku akikaa vizuri ili kusikiliza kilichomsibu mwanae

“” OK mzee nikweli mwanao amekuja APA nikamcheki afya yake vizuri lakini….”doctor alishindwa kumalizia sentesi yake alimuonea huruma Irene

“” MBONA UMALIZII LAKINI NN SASA?!!” aliuliza bab Irene kwa mshangao

“”” sikiliza mzeee pokea majibu kwa kujianmini sawa”alizungumza doctor

“” niambie basi nn kimempata mwanangu?!!”aliuliza kwa mshangao baba Irene

“”” IRENE NI MJAZITOO”

“” mungu wangu Irene mwanangu Mimi, hapana sio kweli””alilalama ka jazba baba Irene

“” ni kweli mzee cheti ichi APA”alitamka doctor uku akikabizi cheti

Baba Irene alishuudia kwa macho yake mwanae ni mjamzito kama maandishi yanayosomeka, alikitupa kile cheti kisha akatoka ofisini kwa doctor kisha akaelekea wodini alipolazwa Irene alikisogelea kile kitanda cha Irene kumbe Irene alikuwa macho ila alimchungulia baba ake kwa wizi kisha akamsikia baba ake akiongea.

“””” PUMBAVU MKUBWA WEE NILIKUZAMINI MWANANGU ILA UMENIKOMOA SASA BORA USIRUDI NYUMBANI AU NISIKUONE NIKIUONA NITAICHINJA IYO SHINGO YAKO NENDA KAMTAFUTE MAMA AKO ALIKO MALAYA MKUBWA WEE”alilalama kwa ukali Baba Irene na kutoka kwa hasira adi lilipo gari lake na kuondoka.

******

Upande wa mzee alinani alikuwa akwenda kikazi alikaa maeneo ya tanga ili kujilia raha na wamalaya zake mke wake anajua yeye yuko kikazi kumbe sivyo.

Mzee alinani alimkumbuka chausiku Mama ake rameki alikumbuka alimwambia kwamba ana mimba yake.

“””” mmmmh chausiku cjui yuko wapi na he sijui alijifungua salama”aliwaza mzee alinani kisha akasikia simu ikiita aliipokea kisha akasikia sauti

“”” halooo naongea na mzazi wa mariamu”ilisikika upande wa pili

“” ndiyo ujakosea ndo Mimi “alitika mzee alinani baba wa mariamu au rameki

“”” mwanao kesho atarejea tanga mpokee ana ujumbe wako utausoma sawa””alizungumza mkuu wa shule ya kina mariamu

“” OK nitaupata mkuu”alijibu mzee alinani bila kujua ujumbe gani

********
Upande wa mwalimu mkuu alishi vizuri na mama mkwe wake na baba kijacho wake uku tumbo lake likikua kwa kasi alibakiza wiki mbiri ajifungue.

Mama rameki alifurahi mapenzi ya mwanae na mwalimu wake yakipamba moto.

****
Hatimae Irene alipata nafuu aliruhusiwa kisha akatoka alimlaumu rameki kwa kumkatisha ndoto yake pamoja na kuchukiwa na baba ake

“””” rameki kwann umenitafutia baraa Mimi cjui uko wapo mwenzio nimefukuzwa Mimi nitaenda wapi””aliwaza Irene uku akilia.

Irene akujua ailekee wapi aliamua kwenda nyumbani kwao kwani kile kwao kina pesa sake alizokuwa anajiwekea akiba alitamani angekuwa na simu angempigia kija kazi wao ili amuulizie kama bab ake yuko nyumbani rakini akuwa na uwezo uwo aliamua kuwelekea shule ili akapate msaada kwa madam.

Upande wa baba Irene alieleke shuleni alimkuta mkuu wa shule alimsalimia.
“” we mkuu unawajaza mimba watoto wa wezio eeee”alibwata kwa ukali Baba Irene

“”” unasemajeeee?!!”aliuliza mkuu kwa mshangao

“””” MWANANGU IRENE MJAMZITO KAMA IKI KISHULE CHAKO NDO INAWAJAZA MIMBA WATOTO WETU UTANIKOMA”alilalama baba Irene kwa ukali uku akitaka kumpiga mkuu kwa hasira

Irene alifika kalibu na shule aliliona gari LA baba ake kisha akasikia sauti ya watu wakijibinzana alikimbia adi kwao aliingia chumbani kwake alitoa akiba yake ilikuwa ni shilingi laki moja alizokuwa akijifazia na kuondoka bila kumuona kina kazi wao.

*******
Upande wa mariamu alipewa bahasha yenye ujumbe aliambiwa akampelekee baba ake bila kujua ni ujumbe gani aliambiwa achukue begi lake kesho safari ya kurudi tanga.

“” mkuu kwa nn naondoka wakati wiki ijayo mtihani?!””aliuliza Irene kwa mshangao

“”” sijui kamuulize baba ake anataka akuamishe shule ingine””alidanganya mkuu alimficha Irene angemwambia kama yeye mjamzito anaweza akatolokea mbari bila kugika kwao.

Irene bila ubishi aliyakubali maneno ya mkuu wake ila alijisi kichefuchefu aligundua yeye ni mjamzito ila akukubariana na ukweli wake, alisubiri safari ya kurudi kwao.

EEeee MUNGU NAOMBA NAOMBA KESHO NIFIKE SALAMA NIKAMTAFUTE MAMA ANGU TANGA ANAWEZA AKANISAIDIA MIMI.

hatimae mwalimu mkuu alipata uchungu akalipelekwa hospital kisha akaingia leba alijifungua mtoto wa kiume.

Rameki na mama ake walifurahi sana kwa kupata mtoto wa kiume

“” asante mungu kwa zawadi hii””alishukuru rameki kisha waliruhusiwa na kuludi nyumbani waliaza maisha ya kulea mtoto wao uku mwalimu mkuu akipata huduma zuri kwa mama rameki.

*****

Hatimae palikucha mariamu alienda tendi alipanda gali LA kwenda kwao tanga alifurahi baba ake kwa kutaka kumuhamisha aliaidi akifika atamwambia baba ake asaivi anachagua shule anayoitaka.

“” kama baba anataka kuniamisha namwambia anipeleke shule ya songea anayosoma rameki ili tuwe karibu””aliwaza mariamu uku safari tayari ishaanza pasipo kujua kama yeye mjamzito

********

Mzee alinani Baba wa rameki au mariamu alijivinjari na wanawakee zake bila ya mkewe kujua, mzee alinani alimdanganya mkewe yeye yuko kazini na kazini nako alidanganya yuko nyumbani anaumwa walimuongezea Siku na pesa.

Mzee alinani alikuwa na taalifa kwamba mtoto wake anakuja na atakuwa na ujumbe kutoka shuleni alimtaalifu mkewe kisha akaaidi kurudi kesho kutwa kumbe kazi yake kula uroda kwa Malaya zake.

Bi sani alipokea taalifa ya ujio wa mwanae mariamu bila kujua kitu chochote

*****
Irene alipanda gari LA tanga alimtafuta mama ake kwenye simu rakini akupatikana alikata tamaa aliwaza atafikaje tanga wakati akumbuki vizuri njia ya kwenda kwa mama ake alijitaidi kukumbuka lakini aliweza kupatambua kwa macho yake aliomba mungu amfikishe salama.

******
Mwalimu mkuu alifurahi kupata mtoto wa kiume alikumbuka ana mjomba wake lakini aliwaza atoweza kumuona kwa ubize wa kazi.

“” mmmh nitamuona wapi mjomba aje kumuona mjukuu wake””aliwaza mwalimu mkuu uku akichukua simu kumtafuta mjomba wake lakini akupatikana aliwaza atamtafuta baadae.

Upande wa Irene na mariamu walikuwa njiani kwenda tanga kwa gari tofauti

Irene gari alilopanda lilipata itilafu lilifanyiwa uchunguzi kwa mass mawili hatimae likawaka na safari ikaendelea.

*****
Mariamu alifika stend ya tanga SAA kumi na moja alipanda bodaboda adi kwao alimkuta mama ake akimsubiri kwa hamu

“””” jamani mama””aliita mariamu uku akimuwao mama ake

“” karibu mwanangu”aliitika bi sani uku akimpokea mwanae kisha akapeleka mabegi ndani na kukaa sebleni

“”” eeee iyo barua gani kutoka uko shule na inausu nn”alitamka bi sani

“” sijui baba ye ndo anajua mi sijasoma mama””alijibu mariamu

“” mbona baba ako kasema ajui?!”aliuliza bi sani kwa mshangao

“”” mmmmmh(mala akaisi kichefu chefu alitapika apo apo sebleni)”
“” VIP we mbona unatapika hivyo””aliuliza bi sani uku akimshikiria mwanae

“” mama najisikia vibaya tangu Jana””alitamka mariamu uku akiwa amemaliza kutapika

“” pole mwanangu kajandae nikupeleke hospital muda huu apo ukacheki maralia”

Mariamu alijiandaa kisha akaenda hospital na mama ake.

*****
Irene alifika stend ya mabasi tanga aliteremka uku machozi yanamtoka alilakiwa na waendesha bodaboda alipanda kisha akamuwelekeza bodaboda anakoelekea.

Hatimae mariamu alifika hospital na mama ake walipokelewa kisha akachukuliwa vipimo vya maralia na mkojo walikaa kusubiri majibu.

Hatimae Irene alifika kwao kwa mama ake aligonga bila kufunguliwa alihisi awapo alikaa nje kumsubiri mama ake uku akiria na kumuombamungu amnusuru na janga lilipo mbere yake.

***
Upande wa mariamu majibu yake yalitoka
Waliitwa na dactari ofisini kwake waliingia kisha wakaketi.

“” mama mariamu””aliita dactari

“”” abee doctor “aliitika bi sani

“”Najua ukumchunguza mwanae vizuri lakini umekuja APA kumcheki maralia”” alitamka dactari uku akishusha miwani

“” ndiyo dactari “aliitika bi sani

“” OK vipimo vinaonesha mwanae ni mjamzito””

“”” MUNGU WANGU UNASEMAJE??!”Aliuliza bi sani kwa mshangao

“” hapana dactari Mimi sina mimba””alitamka mariamu kwa hasira

“”” kweri binti we ni mjamzito INA wiki mbiri”alizungumza dactari

Bi sani akuwamini kama mwanae mjamzito kwani alimpenda sana mwanae na alitamani a some.

“”” MARIAMU MWANANGU UTAMWAMBIAJE BABA AKOO KAMA WW MJAMZITOJAMANI””alizungumza bi sani kwa ukari akiliaakainuka nakuondoka

“” mama Mimi sina mimba Mimi mama. Doctor Pima vizuri”alibwata mariamu uku akilia

“”””” pole sana binti anajua una uchungu ndo maana inakuwia vigum kuamini amino tu ishaingia iyo mimba pole sana””

Mariamu roho ilimuuma alinuka kisha akaongozana na mama ake kurudi nyumbani

Walifika kisha wakakutana na Irene

“”” HAAA MAMA””aliita Irene

“” JAMANI MWANANGU “alitamka bi sani kisha akamlaki mwanae alimkumbatia

Naomba Bonyeza Matangazo Kila Unapoyaona ili Kunipa Nguvu ya Kuendelea Kuwaletea Simulizi
USIKOSE SEHEMU INAYOFUATA

Chapisha Maoni

0Maoni
Chapisha Maoni (0)