Mtunzi: __
SEHEMU YA KUMI NA MBILI
ILIPOISHIA...
ILIPOISHIA...
Walifika kisha wakakutana na Irene
“”” HAAA MAMA””aliita Irene
“” JAMANI MWANANGU “alitamka bi sani kisha akamlaki mwanae alimkumbatia
IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI
ENDELEA...
“”” mariamu mambo mdogo wangu””alizungumza Irene
“” tuingieni ndani mwanangu “alitamka bi sani kisha waliingia ndani ile wanaingia alisikia simu yake ikiita aliona namba ngeni alipokea
“”” HAHAHA SANI IRENE AJAFIKA UKO”ilisikika sauti ya baba Irene
“””” kafika kwani VIP?”aliuliza bi sani
“””” SANI IRENE NI MJAMZITO NAJUA YUKO UKO NIMEMFUKUZA SITAKI MTOTO MARAYA SHEZI UYO”
bi sani macho yalimtoka alidondoka na kizimia.
****
Mwalimu mkuu alimtafuta mjomba wake kwenye simu safari hii iliita kisha
“”” haloo mjomba mzima”alisalimia mwalimu mkuu
“”””Mi mzma VP mwanangu” alitika mjomba
“””” nzuri mjomba Nina mtoto wa kiume””alizungumza mwalimu mkuu
Mala simu ikakatwa ilishiwa chaji mwalimu mkuu akuwelena vizuri na mjomba ake.
Upande wa bi sani alizinduka alilia sana
“””” IRENE NA MARIAMU WANANGU MNA MIKOSI GANI AMJAMALIZA SHULE MMEBEBA MIMBA WANANGU”ALizungumza bi sani kwa uchungu
Irene na mariamu waliangaliana bila kumjibu mama yao walijishangaa
“””” Dada Irene na we mjamzito??!”aliuliza mariamu kwa mshangao
Irene akujibu zaidi ya Julia uku atika kwa kichwa
“”” mungu wangu aibu gani hii”alitamka bi sani
Irene na mariamu waliumia kubeba mimba isio tarajiwa awakujua kama wamebeba mimba ya mwanaume mmoja walijilaumu kisha wakamuomba mama yako msamaha
“” razima mkatoe izo mimba ni aibu kwa mam yenu Mimi”
Irene na mariamu walikubari agizo LA mama yao watoe mimba zao na kuwendelea na masomo, mariamu aliisahau ile barua.
Upande wa Mama rameki alitoka kwenda kutembea alifika sehemu alisikia akiitwa na MTU kwa nyuma
“””” CHAUSIKUUUUUU””
Irene na mariamu walitii agizo LA mama yao wakatoe mimba zao na kuendelea na mosomo.
******
Mama rameki alishangaa nani anamwita alieuka ili kumtazama anae mwista.
“”” MUNGU WANGU MZEE ALINANI?!!””aliita mama rameki kwa mshangao.
“”” jamani chausiku za siku data bora nimekuona”alitamka mzee alinani uku akimsogelea chausiku
“”” usinisogeree mshenzi mkubwa wee sikutegemea kama utanitelekeza kiasi icho mwanaume katili sana””alilalama chausiku uku akitokwa machozi adi wapita njia walikuwa wakiwashangaa.
“”””Chausiku please naomba tukae yaishe APA ni barabarani ona watu wanatushangaa chausiku”” alitamka mzee alinani kwa upole
Chausiku aliwa na majonzi na uchungu alichofanyiwa na mzee alinani, aliumia sana akutaka kumuona wala kuzungumza na mzee alinani alie katisha ndoto yake.
“””” mzee alinani naomba uniache nenda na safari zako sawa””alitamka chausiku
“” samahani chausiku naomba unisamehe pia naitaji kujua mwanangu alipo najua atakuwa amekuwa””alizungumza mzee alinani kwa upole.
“”” mzee mwanga nn inamaana mtoto alivyokuwa mdogo ulishindwa kumtafuta si ndiyo””alifoka mama rameki
“”” sio hivyo chausiku naomba tafazari”
Mama rameki alijiona mjinga kwa kupoteza muda alipiga atua za kwenda na safari yake, mzee alinani alichanganyikiwa sana.
“”” chausiku “” alita mzee alinani bila kuitikiwa
Mzee alinani aliendelea na safari yake alikuwa anaelekea kwa mwanae mwalimu mkuu alimkuta na rameki
“”” karibu mjomba”alikaribishwa mzee alinani
“”” asante mwanangu”alitika mzee alinani
Mwalimu mkuu alim mkuu alimtambulisha rameki kwa mjomba wake kama baba wa mtoto wake.
Mzee Alinani alimjua rameki kama mkwe wake akujua yule ndo mtoto alie zaa na chausiku
******
Mama rameki roho ilimuuma kwa ukatili aliyofanyiwa na mzee alinani lakini alijipa moyo alisonga na safari yake.
Upande wa mzee alinani aliwaaga mwalimu mkuu na rameki kisha akakodi bodaboda adi kwake.
Bi sani mama wa mariami na Irene alimuona mume wake akiingia ndani aliwashawishi wanae wakae kimya.
Mzee alinani aliingia ndani alilakiwa na wanae
“” shikamoo baba “
“” were nyie VP mbona merudi rikizo bado”
Irene na mariamu waliangaliana kwa aibu kisha Irene alidanganya.
“” baba Mimi bado nadaiwa lakini baba yangu mzazi kasema atanilipi ada”alidanganya Irene
“” eee na ww?”aliuliza mzee alinani
“” baba Mimi (kabla ajatamka mzee alinani alimwambia kwamba akailete barua aliyopewa uko shuleni)”
Mariamu alistuka kisha akaenda kuifata.
Mzee alinani alimwambia mkewe kuwa mwalimu mkuu ana mtoto aliiaidiana kesho waende wakamuone.
Mariamu alirudi sebreni na bahasha kisha akamkabizi baba ake, kisha mzee alinani aliaza kuifungua na kutoa karatasi jeupe alianza kusoma
“”” mungu wangu”aliita mzee alinani
“”” kuna nn mume wangu”aliuliza bi sank
“”” MARIAMU MJAMZITOO”alitamka mzee alinani kwa asira aliinuka na kumpiga vibao mariamu
Bi sani alijifanya kustuka kisha akamgombelezea mwanae na kumfukuza
“” baba nitaenda wapi baba””alilia mariamu kwa uchungu
“”” pumbafu we yani naangaika kusafirisha bizaa ili kukusomesha ww na ww unaniletea makono kono yako APA””alibwata mzee alinani kwa ukali
“” mume wangu mtoto ataenda wapi tukae nae tuongee yaishe mume wangu”alitamka bi sank kwa upole
“” kelele uko akae wapi kaniletea asara APA fyuui tokaaa”alifoka mzee alinani kwa ukali.
Mariamu akuwa na namna aliamua kuondoka kwa unyonge alitamani kwenda kwa Dada ake mwalimu mkuu lakini akupajua, alitembea bila kupata msaada alikutana na mmama alimsimulia kwamba ye mjamzito uyo mama ni mama ake na rameki walishinda na mariamu kwenye biashara yake na kulala uko uko.
*******
Mzee alinani akujua kama na Irene naye mjamzito alizania ana daiwa ada kweli kumbe sivyo.
Mzee alinani alienda kwa mwalimu mkuu yeye mke wake pamoja na Irene walifika walimkuta mwalimu mkuu pekee yake kwani rameki alitoka Mara moja.
Mama rameki alimchukua mariamu adi kwa mwalimu mkuu aliaidi atamsaidia kwa uwezo wake ata yeye aliwai kizipata changamoto izo.
Hatimae mama rameki alifika kwa mwalimu mkuu na mariamu walikuta Luna wageni sebleni walipitia mlango wa nyuma kisha mama rameki alimuacha mariamu chumbani akibadiri nguo ye alielekea sebleni alistuka kumuona mzee alinani
“”” MZEE ALINANI “” aliita mama rameki kwa mshangao
Mwalimu mkuu alistuka kumsikia mama rameki akimwita mjomba wake alizania wanajuana.
“”” chausiku “aliita mzee alinani
Mzee alinani alimuliza chausiku amuoneshe mwanae punde si punde rameki alingia ndani bi sani pamoja na Irene walistuka kumuona rameki
“”” mtoto wako uyo apo””alitamka mama rameki
Mariamu nae Kule chumbani alitoka alisingia maongezi alitoka ili kusikiliza vzuri alistuka kumuona rameki
“”” HAAA RAMEKII””aliita mariamu uku akijitokeza vizuri pale sebleni
Rameki alistuka kumuona mariamu na Irene pamoja na bi sani
””kwani VP?”aliuliza mzee alinani
“” Baba uyu ndo amenipa ujauzito”alitamka mariamu.
“” heeee! Eti chausiku uyu ndo mwanangu? “Aliuliza mzee alinani kwa mshangao
“” ndiyo mwanae”aliitika mama rameki
“” at a Mimi mama uyu kanijaza mimba”alidakia Irene
“” MUNGU WANGU RAMEKI UMEKULA KUKU NA MAYAI YAKE”Alitamka bi sank
“” nyie VP mbona mi siwaelewi”aliuliza mzee alinani
Mwalimu mkuu alishangaa majibizano za ndugu zake kisha akawaomba wakae ili waongee vizuri
Wote wakaketi mama rameki alimwambia mzee alinani kwamba rameki ni mwanae mzee alinani alichanganyikiwa
“”” haaa we chausik uyu(akimuoneshea kidole rameki) namjua kama mkwe wangu mezaa na mjomba wangu
“”” mjomba wako gani?!”aliuliza mama rameki
“”””Si uyu APA mwalimu mkuu” alitamka mzee alinani
“”” mungu wangu rameki umetembea na Dada ako mtoto wake shangazi yako?”alitamka mama rameki
*****
Bi sank alisimulia mkasa akiwa na rameki wakiwa MTU na hawara wake.
Mama rameki alishangaa, Irene na mariamu walisimulia walivyokuwa na rameki
“” mungu wangu kumbe rameki umenila na mayai yangu”alizungumza bi sani kisha akili zikaaza kumruka akawa chizi alikimbia ovyo ovyo watoto wake walimkimbiza rakini awakumpata.
Mzee alinani nae presha ilimpanda alipoteza maisha wa mstuko wa mtoto.
Watoto wake walitolewa mimba na Dada yao mwalimu mkuu na kurudi shuleni uku wakijiraum kwa kuwapoteza wazazi wao.
Rameki nae aliona afya yake aiyeleweki alizofika walimpereka hospital aligundulika ana ukimwi mama ake alilia sana kisha rameki alikata tamaa ya kuishi baada ya miezi alifaliki uku akimuacha mama ake na mototo wake pamoja na mwalimu mkuu.
********MWISHOOO*******
Nawashauri vijana acheni tamaa unampa mimba msichana kisha unamtelekeza uyo mtoto akizaliwa analeta balaa kwenye familia so jirekebishe ewe msichana au mvulana
*********asanteni sana nwapenda**
Naomba Bonyeza Matangazo Kila Unapoyaona ili Kunipa Nguvu ya Kuendelea Kuwaletea Simulizi
USIKOSE SIMULIZI INAYOFUATA