Mtunzi: Omary John Mndambi
SEHEMU YA ISHIRINI NA TANO
TULIPOISHIA...
TULIPOISHIA...
Kila siku jioni ilikuwa ni lazima watoke wakatembee wale na kunywa kwa furaha
Kila Gwakisa alipopata nafasi ya kutoka basi alikuwa anawaletea zawadi nyingi sana ikiwemo nguo na vitu vingine vingi tu vya kupendeza.
IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI
TUENDELEE...
Ofisini kwa Verity kila mtu alikuwa anamuonea wivu jinsi ambavyo alionekana kupendwa na mume wake.
Alikuwa analetwa asubuhi na gari na jioni anafwatwa kurudishwa nyumbani na Gwakisa huyuhuyu bila kumtuma mtu.
Siku zilisogea kidogo na siku moja ambayo haikuwa na taarifa Verity alishtuka kupewa funguo za gari.
“Hii ni yako baby…utakuwa unaendesha mwenyewe kwenda kokote”
Verity alibaki mdomo wazi akiitazama Harrier Mpya ikiwa imepaki ukumbini huku iking’aa kwa upya wake….
“Waoooh baby mbona siamini, ni lakwangu kweli”
“Ni lako mke wangu…I LOVE YOU” Gwakisa alimwambia Verity ambaye hakutaka kusubiri akamvaa mme wake na kuanza kumnyonya mdomoni.
Gwakisa alikuwa ni mwanamume mwenye mwili mkubwa uliojengwa kwa mazoezi, aikuwa mrefu na mwenye misuli kiasi kwamba Verity alivyokumbatiwa alikuwa kajaa kwenye kifua cha Gwakisa na kupakatwa kama mtoto huku miguu yake ikipita kiunoni mwa Gwakisa wakinyonyana ndimi.
Zoezi liliendelea pale nje na hatimaye likahamiia ndani ambapo Verity alinyonyolewa nguo zake na kuegeshwa ukutani kisha gwakisa nae akatoa suruali yake huku akiwa kambeba verity kifuani akauchomeka mhogo wake kwenye ikulu ya Verity ambae alianza kugugumia kwa utamu.
Uimara wa Gwakisa ulimfanya afanye mapenzi na Verity huku akiwa kamshikilia juu juu mpaka wote wakamaliza mizunguko ndio wakaachiana na Verity akashushwa chini akiwa hajiwezi kwa furaha.
Zoezi la kufundishwa kuendesha gari liliendelea kwa siku kadhaa huku likisimamiwa na Gwakisa mwenyewe ambapo sasa Verity alikuwa na uwezo wa kuendesha gari anaenda kazini na kurudi pamoja na kwenye mizunguko mingine.
Sam Na Verity walikuwa wanawasiliana kwa siri kitendo ambacho Gwakisa alikishtukia lakini hakutaka kusema jambo alikaa kimya tu, mapenzi kwa mkewe na mtoto aliyazidisha mara dufu kiasi ambacho kilimpa nafasi Verity kuhisi anapendwa sana,
Kutokana na mapenzi haya Verity alimsihi sana Sam kuwa wasitishe mawasiliano kwani hakutaka kumuudhi mme wake lakini Sam alikuwa mgumu kwa kuwa alikuwa anampango wa kumchukua mtoto.
……………………………………..
Gwakisa alikuwa ndani ya Gari la mkewe huku akiwa na mtoto wanaenda matembezi. Walikuwa wamekaa sehemu wanapata vinywaji na marafiki zake huku mtoto wake akiwa anacheza gemu kaka kwenye kiti.
Rafiki zake Gwakisa ambao walikuwa hawajui kuwa Yule ni mtoto wa Gwakisa walimuuliza…
“Gwakisa huyu mtoto ni wa nani?”
“Mtoto wangu huyu”
“Kweli?”
“Haaa , huamini au?”
“acha masihara bhana”
“Huamini nini sasa”
“Mh mzuri kweli, atakuwa amefanana sana na mama yake maana ulivyo na sura ngumu angefanana na wewe sijui ingekuwaje”
Hili lilikuwa ni dongo jingine kwa gwakisa kuhusu mtoto, roho ilikuwa inamuuma ila akawa anajikaza tu.
Maisha yaliendelea huku Gwakisa akiwa karibu sana na mtoto wake kuliko hata mtu mwingine, kwa Verity ilikuwa ni furaha na alikuwa anapenda yale mapenzi ya Baba kwa mtoto japo alijua kuwa mtoto ni wa Sam.
“Mimi kesho ntaenda dar mke wangu”
“Kufanyaje?”
“Nimeitwa makao makuu ya Jeshi”
“Mhhh tutakumis”
“Hata mimi nitawamis, hasa haka katotoooo”
“Nenda nae”
“Kweli kabisa”
Kwa Gwakisa hili lilikuwa ni zaidi ya ushindi kwani mda wote alikuwa anatafuta ni namna gani anaweza kuondoka na mtoto.
Kitendo cha mkewe kusema hivi kilimrahisishia na kuishia tu kufurahi huku akikimbia na mtoto chumbani kwenda kulala.
……………………………………………
Gwakisa ndani ya gari anaelekea DAR huku pembeni amekaa mtoto wao ambae alikuwa na amani zote anapokuwa na baba yake.
Walikuwa wanasuka kwenye milima ya Kitonga huku safari ikiwa imeiva kabisa, kila mara Gwakisa alikuwa anakitizama hiki kitoto na kutikisa kichwa chake tu.
Walipofika dar kwenye mida ya saa mbili usiku aliwasiliana na watu wake ambao walikuja hapo hotelini na kufanya nao mazungumzo kisha wakaagana kwa ahadi ya kuonana tena kesho yake.
“…dadiii ojoa..”
“Nini ”
“Ojoa”
“Umekojoa?”
Ni Gwakisa akiwa na mwanae chumbani akimwambia kuwa anataka kukojoa, Gwakisa aliamka akamchukua mtoto mpaka bafuni ambapo alimvua nguo na kumpa nafasi ya kukojoa.
Walirudi mpaka chumbani kisha wakapanda kitandani kulala. Kabla hawajalala alimvalisha pampas vizuri na nguo za kulalia kisha akamfunika na kuanza kumbembeleza kwa kumpigapiga mgongoni ili alale.
Wakiwa wanabembelezana simu iliita ambapo alipoangalia aligundua kuwa mpigaji alikuwa mkewe,
“Vipi mpo salama”
“Tuko salama sijui wewe”
“Mimi niko poa, vipi huyo mtoto hakusumbui”
“Wala hasumbui hapa ndio anataka alale”
“mhh hajalala tu mpaka mida hii?”
“Hajalala ongea nae umsikie”
Yule mtoto ambae alikuwa anaitwa Princess alipewa simu ili aongee na mama yake
“Kamoo mamiii”
“Marhabaaa, hujambo”
“Jambo mamiii”
“Haya lala mtoto mzuriiii ee”
“Haya mamiii”
Walipomalizana Gwakisa aliendelea kumbembeleza mtoto wake ambae alikuwa amejikunyata huku akiwa kama kamkumbatia baba yake kitendo ambacho kilimfariji sana yeye Gwakisa mwenyewe.
Alikuwa amemzoea sana huyu mtoto kiasi ambacho alikuwa anafarijika sana kuwa nae japo wakati mwingine alikuwa anaemia sana.
Baada ya dakika chache usingizi uliwapitia wote na kuzama katika dimbi la usingizi hadi kulipokucha siku nyingine.
……………………………….
Sam alikuwa akiwaza sana kila wakati akifikiria mustakabali wa maisha yake.
Aliwaza ikiwa hatakuwa na uwezo wa kuzaa kabisa maisha yake yatakuwaje? Ina maana hataitwa Baba kamwe, ina maana atazeeka akiwa na mkewe tu?
Lakini je mkewe atakubali kumvumilia mpaka mwisho bila kuzaa nae au ndio ataenda kwa wanaume wengine?
Aliwaza sana hadi mwishowe akajikuta akiichukia kazi ya Uaskari.
Lakini hata pamoja na kuichukia kazi ya uaskari hakuona kama ilikuwa ni njia sahihi ikiwa tayari yumo humo nay a kutokea tayari yameshatokea.
Aliamini kilichobaki kwakuwa tayari ana mtoto wake anayeamini ni uzao wake ni lazima iwe iwavyo amchukue.
Katika mambo aliyowaza na kuyapitisha kwenye kichwa chake ni kwamba ampigie Verity simu ajadilian nae kuhusu hilo swala.
“Haloo”
“Enhee unasemaje?”
“Hata salamu hakuna Verity?”
“Hivi lakini Shemeji Sam mbona hujiheshimu?”
“Unamaanisha nini Verity”
“Nimeshakwambia sitaki mawasiliano na wewe, mimi ni mke wa mtu na wewe ni mme wamtu tena mme wa dada yangu, hivi ukiharibu hizi ndoa unadhani utafaidika nini?”
“Yani wewe Verity ndio wa kusema hivyo, wewe na mimi nani ambaye alimuingiza mwenzake kwenye haya mambo?”
“Sasa nisikie Sam, elewa kwamba yaliyoppita yamepita, mimi nampenda sana mme wangu, sitaki unigombanishe nae”
“Sawa namimi sina shida na hilo, mimi nataka tu mtoto wangu na sio kingine”
“HAHAHAHAAAAAA Sam umelogwa sio bure, hivi hutaniwi? Nakuuliza hutaniwiii? Aliyekwambia Yule mtoto ni wako kakudanganya na kama ni mimi basi nilikutania tu, huna uwezo wa kuzaa Sam, ungekuwa nao ungeshamzalisha dada yangu”
Sam kwa hasira aliamua kukata simu.
Mawazo lukuki yalikiandama kichwa chake akaona kinataka kupasuka, kabla hajafanya lolote simu yake ikaingia meseji.
“Nakwambia ukweli Sam, nilikutania tu kusema ukweli Yule mtoto sio wako, mtoto ni wa Gwakisa na nakuomba usimtaje tena mimi nilikwambia vile kwasababu nilitaka tuendeleze mapenzi yetu ila nimegundua nampenda sana mme wangu, please naomba uzae wa kwako, huyu sio wako”
Sam alisonya kisha akaamka alipokuwa amekaa na kuanza kupiga ngumi ukutani kwa hasira, hakuamini maneno aliyoambiwa na Verity. Yalikuwa yamemuumiza kuliko kawaida kiasi kwamba alijikuta akikata tama kabisa.
…………………………
Ilikuwa ni saa mbili asubuhi ambapo tayari Gwakisa alikuwa ameamka na mtoto wake wanajiandaa kwa siku nyingine.
Gwakisa alikuwa anampigisha Princess mswaki kisha akamuogesha kwa maji ya moto na yeye mwenyewe akajisafisha kisha hatimaye wakavaa vizuri na kuondoka pale chumbani.
Walielekea moja kwa moja kwenye gari lao na hatimaye wakaenda mpaka Mikocheni kulipokuwa na hospitali moja ya kisasa kabisa iliyokuwa inamilikiwa na wajerumani.
Alipofika walipokelewa vizuri kisha Gwakisa akapelekwa sehemu ambayo kulikuwa na wataalam wa Maabara kwa ajili ya vipimo vya DNA kama ambavyo alishaweka booking siku kadhaa nyuma.
Walichukuliwa vipimo yeye pamoja na mtoto wake kisha wakaambiwa wakapumzike nyumbani hadi kesho yake aje achukue majibu.
Hakukuwa na jingine isipokuwa Gwakisa aliamua kuzunguka mjini akitafuta nguo za mtoto wake, yeye mwenyewe na mama yake hadi ilipofika mchana ambapo walienda mpaka Mlimani City wakajipatia chakula cha mchana.
Siku ilimalizika wakiwa wanatembea maeneo mbalimbali kisha wakarudi kwenye hoteli waliyofikia.
Mawasiliano na mkewe (Verity ) yalikuwa kila wakati yanafanyika huku akimdanganya kuwa yuko Dar es Salaam kikazi ili hali sio kweli bali ameenda kupima DNA ya mtoto wake.
……………………………….
Sam alikuwa bado na mawazo mengi sana akitafakari yote aliyoambiwa na Verity lakini kwa Upande mwingine Verity nae alikuwa amekosa amani kwa yale ambayo Sam alikuwa anayafanya, hakutegemea hata siku moja kuwa sam atakuja abadilike kiasi hicho juu ya mwanae.
Kwasasa Verity aliiona hatari ambayo ilikuwa inamnyemelea endapo Gwakisa ataugundua mchezo unaoendelea.
Alitamani hata kumuua Sam lakini kivipi alikuwa hajui, maisha yake mapya na mme wake aliyapenda sana na asingetaka mtu ayavuruge.
Sam hakutaka kumuacha Verity na ushindi, alichokifanya aliamua nae amtumie sms
….nakwambia ukweli Verity, kama huyo ni mtoto wangu nitamchukua tu, kama sio wangu swadakta ila kama ni wangu siwezi kuruhusu damu yangu ilelewe na mwanaume mwingine Never, Jiandae kwa DNA, kwa hili hata mme wako nitamtaarifu ili ajue…..!
Verity alipoiona hii sms alisikia kama kitu kinakata kutoka upande mmoja wa tumbo kwenda mwingine, hakuwahi kufikiria kuhusu DNA na hapa aliona mambo yakivurugika kabisa na ghafla mkono ukawa umepanda kwenye tama kuashiria kuwa mambo sio shwari.
………………………..
Kulipokucha Gwakisa kama kawaida alimuandaa mtoto wake Princess pamoja nayeye mwenyewe kwa ajili ya kwenda kue hospitali kupokea majibu.
Waliingia kwenye gari lao na safari ikaanza taratibu huku Gwakisa akiwa na mawazo lukuki, kuna wakati alijilaumu kwa uamuzi wake, alijiuliza hivi ikitokea kuwa Yule sio mtoto wake atamfanyaje?
Je atamuacha mke wake? Je atamfukuza mtoto nyumbani ama atafanyaje?
Kuna wakati alitamani asingeamua kupima akaishi tu akiamini ni mtoto wake kuliko atakapoujua ukweli kabisa.
Naomba Bonyeza Matangazo Kila Unapoyaona ili Kunipa Nguvu ya Kuendelea Kuwaletea Simulizi
USIKOSE SEHEMU INAYOFUATA
JIUNGE KWA UPDATE NA BURUDANI ZAIDI
WhatsApp Channel=> CnZ Media(Follow)
Telegram Channel=> CnZ Media(Join)