
Mtunzi: Michael Mejah
SEHEMU YA KUMI
ILIPOISHIA...
ILIPOISHIA...
Safari ilianza kurejea dar lakini nilimtazama felista aliyekuwa pembeni yangu nikawa nasukumwa kufanya mauaji kwani nae pia alikuwa miongoni mwa wanawake niliotembea nao.
IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media INSTALL ILI USIPITWE NA SIMULIZI
ENDELEA...
Nilitazama abiria wote nikagundua kila mmoja yupo busy nikamkaba kisha akawa anapoteza nguvu mpaka akakata roho nikachukua earphone nikamuweka masikioni nikamshikisha na simu nakamvalisha kofia kisha nikalala kama sijui chochote.
"abiria ndege yetu imefika kwenye uwanja wa ndege wa mwl.julius nyerere hvyo wote mnashauri kufunga mkanda pindi itakapotua asanteni.." ilikuwa sauti ya muhudumu wa ndege palepale nikajifunga mkanda nikasahau kumfunga felista ile ndege inatua na mtikisiko mwili wa felista ulianguka chini puuu!!! Watu wote waligeuka na mimi woga ukanijaa..
Nilitahamaki na watu wote walitoa macho kuitazama maiti ya felista iliyokuwa pale chini, wakati huo ndege ilikuwa imeshatua ardhini hapo natetemeka kweli. Alikuja mhudumu wa ndege wa kiume na kuniuliza maswali pale na hata abiria waliokuwa wananitazama walionekana wana maswali mengi juu yangu.
"vipi kaka mbona hivi?"
"hata mimi nashangaa kaka huyu ni mfanyakazi mwenzangu lakini nimepatwa na mshtuko pia baada ya kuona ameanguka chini ghafla sijui amepatwa na nini?"
Yule mhudumu aliinama akampima joto la shngoni kisha akaweka mkono wake kifuani akatikisa kichwa kuashirikia hapakuwa na uhai wowote juu ya felista.
"kaka hili ni tatizo mtu huyu amefariki tena ameanza kuwa wa baridi kabisa ebu ngoja"
yule jamaa alisonga mbele akatoa taarifa kwa wahudumu wengne na taarifa zikatoka hadi nje ya ndege abiria wakazuiliwa wasichuke mpka polisi watakapokuja kufanya uchunguzi wao. Muda wote huo natetemeka sina namna yani kama mtu aliyekuwa karibu yangu anaweza kusema naumwa degedege ule ugonjwa.
Yule mhudumu aliinama akampima joto la shngoni kisha akaweka mkono wake kifuani akatikisa kichwa kuashirikia hapakuwa na uhai wowote juu ya felista."kaka hili ni tatizo mtu huyu amefariki tena ameanza kuwa wa baridi kabisa ebu ngoja"yule jamaa alisonga mbele akatoa taarifa kwa wahudumu wengne na taarifa zikatoka hadi nje ya ndege abiria wakazuiliwa wasichuke mpka polisi watakapokuja kufanya uchunguzi wao. Muda wote huo natetemeka sina namna yani kama mtu aliyekuwa karibu yangu anaweza kusema naumwa degedege ule ugonjwa.
Baada ya muda wale polisi wa usalama pale uwanjani waliingia ndani wakatuhoji takribani nusu saa kisha wakauchukua ule mwili na wakanichukua na mimi tukaenda hadi rumande ambapo kwa siku hiyo nililala mahabusu wakati mwili unafanyiwa uchunguzi.Kama saa mbili asubuh kesho yake alikuja mkurugenzi wa shirika letu akiwa na wafanyakazi wengne wawili wakiwa na majonzi walikuja na kuanza kuniuliza juu ya lile tukio la felista kufa, sikuwa na jipya kama nilivyowaeleza askari na wao ni hvyohivyo kuwa felista alikuwa mzima wa afya na wote tulifanya kazi kwa uzuri hapo sijui kilichotokea."ngoja nikwambie dickson unajua uchunguzi wa daktari umefanyika na inaonekana felista amekufa kwa kunyongwa ina maana alikosa pumzi na wewe ndio mtu wake wa karibu muda wote hivyo ni lazima serikali wakutie nguvuni ebu sema ukweli""jamani ukweli ndio huo sijui lolote bosi sijui kimempata nini felista sijui nani aliyemuua mbona hamniamini?""haya bwana sawa sisi tumekuja kukuona ila pia tunakuombea kesi hìi iishe urudi kazini ila ni kesi kubwa"
***
Usiku ule nililia sana kwanini niliamua kufanya vile, nikawa najiuliza mke wangu akijua sijui hatakuwa kwenye hali gani? Yani kweli waswahili usema "bora aibu kuliko fedheha" na "heri nusu shari kuliko shari kamili" mimi yamenikuta ya kunikuta kisa kuogopa kuchekwa kuwa mwanaume nisiyekamilika kwa kukosa maumbile ya kiume hali inayonipelekea kutoa uhai wa felista kama makubaliano ya kulimaliza tatizo najuta sana.
***
Siku ya hukumu ilipofika baada ya kusota kwa mwaka mzima na miezi sita jera ndio kesi yangu ilikuwa inatolewa hukumu mke wangu alikuwa amekonda kwa kulia, mama yangu pia mara zote alikuwa mwenye huzuni. Kila mtu aliniombea lakini cha ajabu upande wa washtaki walikosa ushahdi wa kunifunga na hata mwaka mmoja ule nilipaswa nilipwe fidia kwa kuonekana sina hatia, sikuamini nilipoashiwa huru nikamkumbatia mama na mke wangu pamoja na mtoto tukawa tunarejea nyumbani na furaha.Usiku ule nikiwa ndotoni niliota nafanya mauaji tena, safari hii nilikuwa na kisu namuua salma na amina wale wasichana nilipokuwa nimepanga kipindi kile nilishtuka nikakutana uso kwa uso na jini sadia akiwa ameshika kisu kikubwa kinang'aa."dickson upaswi kulala ebu amka utekeleze wajibu wako
.Niliangalia kulia na kushoto sikubahatika kumuona jini sadia ila cha ziada nilikumbuka ile sauti yake iliyonipa maagizo nikaue lakini kwa jinsitabu niliyoipata kule mahabusu sikuwatayari kutimiza azma hiyo kama kuwa impotent ni bora niwe.Nilirudisha shingo yangu mpaka usawa wa mto nikavuta shuka hadi kifuani nikalala zangu mara mke wangu akajigeuza na kuanza kunishka shka kifua. Alinichezea kwa muda kabla ya kutaka kuchuka kwa babu nikamzuia ili kuficha aibu yangu kwani sikuwa na machne yangu kwa mwezi sasa pale nilipo aja kubwa na ndogo zinatoka sehemu moja yani ilikuwa ni mateso sana kwangu."mume wangu bwana nina mwezi wa pili sijakutana na wewe honey nina hamu""najua mpenzi ila nimechoka labda kesho mke wangu""dah yani mume wangu we acha tu, haya sawa bwana ntavumilia"
Aliongea kwa unyonge akatoa mikono yake kifuani na kugeukia upande wa pili na mimi hapo roho inaniuma hamna mfano yani hasira na jini sadia zikazidi maradufu.Asubuhi palipokucha nilipaswa nirudi kazini kwa mara ya kwanza toka nilipotoka kwenye kesi yangu nami nilikuwa nimemiss sana watu wangu wa karibu na marafiki pale ofisini."wow! Mr. Dickson welcome once again in you are office/mr.dickson karibu tena kwenye ofisi yako" alifurahi david katibu wa mambo ya utendaji."nashukuru sana sana"Watu wote walifurahi ujio wangu kwa mara ya pili hata mi mwenyewe nilijisikia kuwa watu wanathamini uwepo wangu hasa kutoka na utendaji wangu wa kazi na pia mahusiano mazuri na wafanyakazi wenzangu.
"jamani anna, janeth, prisca, madam wa ukwee nanyie wakinababa wenzangu nilisahau kuwaambianina saloon yangu kwa ajiri ya wakinadada ipo sinza vetenari mtembelee basi hata muwapeleke wake zenu wakapendeze panaitwa DICK&ANGEL HAIR BEAUTY SALOON AND MASSAGE""khee mwenzetu kumbe umewekeza dah hongera ntampeleka shemeji yangu na nyie wakina prisca mmesikia nadhani hata bei kule mtapunguziwa si bosi mwenyewe mpo nae ofisini hahahahahaha! Alisema stanley.
"eeh ntakuja wikiendi hii vipi umeanza lini jamani na sisi utupe hizo chaneli jamani?" aliuliza prisca"nina muda sasa nadhani kabla sijaja kufanya kazi hapa hiyo ndo ilikuwa kazi yangu msione hapa jamani nasuka na mambo yote ya urembo nafanya na pia nina duka la vipodozi city centre pia jamani tutembeleane""khaa jamani mwenzetu umejipanga jamani yani! Nitakuja saluni kwako na nataka wewe unitengeneze nyweld zangu jamani dick mjanja wewe" alinisifia janethWote walicheka na mazungumzo yalikatisha baada ya bosi kuingia madam lucrisia wote tulimsalimia akapita ofisini kwake na kuniita."ndio bosi""kwanza pole na matatizo najua kuteleza si kuanguka sasa endlea na majukumu yako ya hapo awali ila sasa utakuwa unakaimu kiti changu na mshahara pia utaongezwa nakuomba kuwa makini sana""nashukuru sana, asante bosi""sawa wewe kaendelee na kazi haya mabadiliko nitawaeleza na wenzio pia"
**
Janeth kwakuwa akuniona muda mrefu alikuwa na hamu na mimi mno wakati wengne wapo lunchna mimi nilikuwa namalizia kazi kidogo niende lunch pia nilishangaa kuona mlango unafunguliwa akaingia janeth mtoto alijazia haswa na mwili wake soft soft akafunga na funguo kisha akaja moja kwa moja akasimama nyuma yangu akaanza kunichezea kidevu mara kifua.
Niligeuza kiti nikamgeukia nikaingiza mguu wangu mmoja katikati ya miguu yake nikampandisha sketi yake juu mpaka kiunoni akabakiwa na chupi tu nikaitoa Mpaka chini kabisa nikaanza kumchezea k*s** chake pakaanza kulowa nikampèleka juu ya meza nikamuweka na kuanza kuingza vidole na kusugua kuta zote juu na chini kushoto kulia akawa analia sana nikamziba mdomo chezea mtoto mwenyewe katoka kuolewa ana wiki mbili tu ni mtamu sana halafu k yake ni mnto wa hatari."dia ingiza basi jamani"Nilitamani kutokwa na machozi baada ya kukumbuka kuwa mimi sina maumbile yangu palepapo flati
Nilishndwa hata nisemaje maana janeth alikwishatepeta kwa dozi ya kumchezea mwili wake tena aliasha hata kwenda lunch on time ili mradi aonje radha aliyoikosa kwa muda mrefu niliokosekana pale ofisini."baby naona sipo sawa ebu nenda kanawe ukapate lunch""jamani baby kwanini sasa au haujisikii?""sio hvyo jane naöna sipo sawa"Nilimtoa janeth kwenye mood akaketi vizuri na kunitazama ndipo akaona ni kwa namna gani namaanisha.
"lakini dick ungenieleza mapema kama hauko sawa ona sasa""lakini janeth kosa langu lipo wapi? Umekuja hapaumeforce tufanye hvyo lakini sikuwa sawa""kwahiyo nimekuforce? Lakini dick ninayemjua mimi sio huyu wewe dick wa kuniambia hivyo leo! Sio bure sumbawanga imekubadilisha""lakini janeth Wewe si una mwezi toka uolewe sasa kuna tatizo gani ungekuwa single sawa""sawa dick nashukuru kwa yote najua sumbawanga imekubadilisha ngoja mimi niende chooni nikajimalize mwenyewe"Kauli ile ya janeth iliniuma sana na niliona jinsi nilivyodharaulika nilimchukia jini yule na niliapa lazima nitarudi kwenye hali yangu ya kawaida. Kweli mimi wa kumuasha mwanamke vile?
***
"lakini mbona sikuelewi dick""happy taratibu basi, unajua leo nina mawazo ukokazini majanga""sawa dick lakini mbona nikitaka kukupapasa hata nikutulize angalau mawazo utaki jamani""happy naomba nielewe next time tutamet""hapana dick kwahiyo lengo lako lilikuwa univue nguo na unichezee kila upendavyo kisha uniashe?""sina maana hiyo happy naomba niende nitakuja kesho""nimeshakuzoea dick kesho yako mwakani we nenda nisikubembelezesana kama una almasi"Baada ya kauli ile nilinyanyuka nikasogea hatua kama tano mpaka ulipo mlango ile nafungua happy aliniita kwa sauti ya puani.
"baby jamani usiende please naomba nisamehe""yameisha happy lakini nawahi nyumbani"Happy alikuja kwa madoido mpaka pale mlangoninikiwa bado nimeshikilia kitasa alisogea na kuanza kunipa romance huku akilegeza macho nasauti ya kudeka huku mkono mmoja ameuweka kifuani, niliganda kama mnara ila nilikuja kushtuka alipoweka mkono wake usawa wa zipu na kutafuta dick yangu lakini hakuöna kitu,
USIKOSE SEHEMU INAYOFUATA
Ili Kunipa Nguvu ya Kuendelea Kuwaletea Simulizi Zaidi Naomba Share App kwa Wapenzi wa Simulizi Wapakue(Install) App ya CnZ Media