SEWATO: KOSA LA DAMU (4)

Zephiline F Ezekiel
0

SEHEMU YA NNE
ILIPOISHIA...
(Maelezo aliyekuwa anayatoa yule guider,hayakuwa ya kweli kwani humo pangoni yule kiumbe alifungiwa humo pangoni kwa kutumia hule mkufu uliovalishwa kwenye fuvu la kichwa cha mtoto miaka ishirini nyuma).

IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media INSTALL ILI USIPITWE NA SIMULIZI

ENDELEA...
Basi walichunguza chunguza mmoja wao halifanikiwa kuona hule mkufu,akataka kuchukua na ni kosa kubwa kuutoa kwenye fuvu ilo,alkaribia kabisa kuushika,ghafla akasikia anaitwa na profesa"we jofu,usiende uko peke yako,njoo huku ni hatari"ok nimekupata sir,akahailisha kuchukua ule mkufu ila haliupenda.

Walitoka mle pangoni na kurudi kule walipoweka kambi,angel halikuwa muda wote karibu na baraka wakipiga story,hoya baraka nakuona huko na mtoto mzuri hapo,acha zako jofu,dah mnaendana kabisa,walicheka,sasa unaelekea wapi,naenda kwa mrembo wangu july,aah poa,ok.

Jofu alienda kwa mpenzi wake na kumchukua kisha wakaingia ndani ya pori kula bata.Unajua nini my love,sijui,we ni mzuri kuliko wasichana wote pale kambini,hahaaha asante my,kuna zawadi yako nilikuwa nataka nikusuprise,woow baby kweli iko wapi sasa,kule pangoni.mh sasa pangoni imefatako nini,niliiweka kule kwa ajili yako,una hatari wewe.

Walikwenda kule pangoni huku wakifanyiana vituko vya kimahaba,niache bwana tumefika iko wapi, tulia sasa mbona una haraka wakati nishakwambia ni yako mamiii,ok fine nioneshe bwana,ok subiri hapo hapo usiondoke,eeh unaenda wapi tena,we usijali tulia.

Jofu aliingia mle pangoni na kuelekea kule alipouona hule mkufu,dah hii mali ni gold kabisa,aliuvua hule mkufu pahali pake,ghafla alisikia vicheko vya ajabu,mh nini tena hiki.alitoka mle pangoni,duh yani bado inang'aa kama imetengenezwa jana,kwenye ule mkufu kulikuwa na pambo la mifupa,jofu aliaamua kuitoa isije ikamuogopesha kipenzi chake,katika harakati za kuuchomoa ule mfupa,ulimchana kidole,aai nimejikata,alifanikiwa kuuchomoa hule mfupa akaenda kwa mpenzi wake,na kumvalisha,woow mpenzi asante jamani mzuri,usijari vitu vidogo ivyo kwa mtoto mzuri kama wewe.

Lakini kidole kilizidi kutoa damu kwa bahati mbaya damu ilimchilizika na kudondoka ardhini,kitendo cha ile damu kudondoka chini,mle pangoni ardhi ilipasuka na yule kiumbe wa kosa la damu(sewato)alitoka huku hakiwa katika umbo la kutisha,kucha ndefu alikuwa na pambe mbili kali kichwani kilipiga kelele iliyotikisa pango,jofu aliposikia hivyo along mwambia mpenzi wake wakimbie,tukimbie tukimbie,walikimbia sana mpaka july hakachoka,nmechoka niache kwanza,no twende kwa wenzetu si umesikia ile sauti ya ajabu na mtikisiko huliotokea.

Wakati wanabishana hivyo kile kiumbe kilitokea ghafla na kumshika jofu kwa hasira,july alipiga kelele za kuomba msaada,lakini hazikuzaa matunda kwani walikuwa mbali na kambi,jofu alichomolewa moyo huku anaona,alitupwa mbali na yule kiumbe kisha kikautafuna ule moyo,july alitumua mbio akujua wapi anaelekea alikimbia bora awe salama,ghafla kile kiumbe kikatokea mbele yake,alikutana nacho uso kwa uso alijikuta akiishiwa nguvu zote mwilini...

Kile kiumbe kilimsogelea karibu yake huku kikiunguruma mithili ya simba mwenye njaa,kikamkamata kwa kumchoma na mikucha yake mgongoni,ghafla hule mkufu aliokuwa kauvaa july hukawaka na kutoa moyonzi,kile kiumbe kilimwachia july na kupotea ghafla,july alikuwa hoi,damu zilimtoka nyingi sana,alitembea kwa kuchechemea kama mlevi wa pombe.

************************

Upande wa pili kule kambini kila mtu alikuwa na shughuli zake,baraka alikuwa na angel wakipiga story nje ya hema,mara wanaitwa wanachuo wote kujiandaa hili kurudi kwenye hoteli waliyokuwa wamefikia,kwani teyali jua lilikuwa mishale ya saa kumi na nusu sasa karibu jua kuzama,mpo wote au bado kuna wengine wameenda kuzurura,alioongea professa mmoja wa kike,no madam july hajarejea tangu aondoke na jofu,are you sure mary,yah,au wametangulia teyali hotelini,aliuliza professa moses ambaye ni msaidizi wa prof henry,hapana mizigo ya july kaiachaa,sasa wameenda wapi,angel alidakia,sir niliwaona wanaelekea ndani ya pori,itabidi tukawatafute hii ni hatari pekee yao msituni.

Wakagawanyika makundi matatu,kwenda kuwatafuta ndani ya pori hilo,waliwatafuta mpaka hikatimia saa kumi na moja na nusu,wengi wao wakakata tamaa,kundi moja lililokuwa linaongozwa na na prof moses,walielikea kule pangoni,fide alikuwa ni mtundu mtundu akiwashitua wenzake,alimshitua wenzake kama vile kashikwa ,unajua acha mzaa wako fide wenzio tuna presha,yani wote nyie mumekaa kiuwoga uwoga tu ebu kuweni na confidence bwana,

wakati wanaendelea kuwatafuta wenzao kwa kuwaita,fide alibaki nyuma akichuma matunda fulani kwenye miti,ghafla alihisi kama muungurumo wa kichini chini,mh aligeuka lakini hakuona kitu,akaita wenzake walikuwa washafika mbali kidogo,akaamua kukimbia kuwafata ghafla hakakutuna na kiumbe kile uso kwa uso tena safari hii kikiwa kimeshika sime ndefu,jofu alipiga yowe lakini haikusaidia kitu wale wenzake walisikia lakini walipuuzia wakisema,mh huyu na mizaa yake,wewe itakuwa labda hanatatizo,prof mose alishituka wakaanza kumuita fiiiidee,kimya fiiideeee wewee,kimyq,mh ikabidi warudi huku wakiwa wamekasirika,unajua huyu hana mizaa aliongea happy mmoja wa wanachuo,ebu twendeni tukamuangalie,mi siendi kama mnaenda nyie mwende kwanza mi nimechoka hata bora tuludi sir tunatafutaje watu kama wao ni watoto wadogo bwana,

happy aliaamua kutoa mapovu live,ebu jiheshimu wewe unaongea na mimi kama vile mi ni mpenzi wako,sorry sir,happy alibaki hamekaa chini wakati wenzake wamerudi kumuangalia mwenzao kapatwaa na nini,walipofika walishituka baada ya kukuta michirizi ya damu ikiwa inaelekea mbele kama vile kuna mnyama kauliwa halafu hakabuluzwa,walifuatilia michirizi hiyo ya damu walishituka huku wengine walilia prof alibaki kapigwa na bumbuwazi kwani fide alikatwa kichwa kikabaki kimeninginia shingoni,mara tena wakasikia makelele.kule walikomuacha happy walishituka na kuanza mbio kumwahi happy,walikimbia huku wakimuita happy.walifika na kumshuudia yule kiumbe hakimnyonya happy damu,kila mtu halitimua mbio kivyake hata prof naye halitimuwa mbio bila kuangalia nyuma.

Kundi jingine lilisikia zile yowe,lilikuwa ni kundi la wakina angel pamoja na prof henry,mh jamani mmesikia hizo kelele,ndio au kuna tatizo limewapata,wenzetu nini,itakuwa ebu twendeni,alitoa amri prof henry kwamba waende kuelekea kule sauti zilipokuwa zikitokea huku hakiweka bunduki yake vyema(bastola).wakiwa wanaenda huku wakiwa makini wengine wakisali kimoyomoyo wawe salama ghafla wanasikia sauti ya kitu kikijivuruta kuja upande wao henry aliweka bastola yake teyali kwa kujihami huku kijasho chembamba kikimtililika mgongoni,alitembea kwa hatua za tahadhali,zile hatua zilizidi kusogea,kumbe alikuwa ni july,halitenganishwa na wenzako nakichaka kilichokuwa na manyasi mengi,july aliishiwa nguvu kabisa,na kudondokea kwenye kile kichaka puu,prof aliamrisha bastola yake iteme risasi kwa kuvuta trigger,paa paa paa,risasi tatu zilisikika huku zikiguatiwa na kilio cha maumivu makali,mamaaaaaa........

july aliishiwa nguvu kabisa,na kudondokea kwenye kile kichaka puu,prof aliamrisha bastola yake iteme risasi kwa kuvuta trigger,paa paa paa,risasi tatu zilisikika huku zikifuatiwa na kilio cha maumivu makali,mamaaaaaa...Songa nayo sasa..

Wote walishituka baada ya kusika kilio cha mtu,mwanachuo mmoja akaropoka"prof umeua mtu jamani",no hayakuwa makusudi yangu mi nilihisi ni hatari ipo mbele yetu,hatakuwa nani lakini guyz,ebu tuone.

Walipokagua kwenye kichaka hicho hawakuamini macho yao,ooh my God huyu si july huyu,ndio yeye.

Wote walichoka akili baada ya kumuona mwenzao teyali kaisha haga dunia,walilia kwa uchungu huku wakimtupia lawama prof henry kwa kuamua kufanya kitendo cha ghafla namna hile,prof akuamini macho yake kama ni kweli ni yeye aliyemuua july.

Lakini yule guider alishituka baada ya kumkagua vizuri angel maeneo ya mgongoni alikuwa ana damu iliyokuwa imeishaganda,alipomkagua vizuri aligundua kwamba july alikuwa na jeraha kubwa sana mgongoni.

Jamani ebu naomba muangalie vizuri hapa iko inaonekana kama alipataga na mashida(aliiongea kwa lafudhi ya kikongo),ndipo wakajua kwamba wenzao walikuwa wamepata matatizo.

Kweli prof,alidakia madam shani,mh! hili sasa lishakuwa jambo kubwa,kwa hali hii itabidi tuchukue hii maiti na kurudi kwanza hotelini si mnaona muda unazidi kupotea,aliongea prof henry kwa majonzi.akachagua wavulana wanne waichukue maiti ya july na kuipeleka pahali pa usalama,kisha prof akamuambia yule guider awasiliane na askari pori waje kuwasaidia kumtafuta jofu,yule guider alijaribu kupiga simu lakini hakukuwa na mtandao,alipojisachi kutafuta redio call yake aligundua hatakuwa kaidondosha kwani pahali halipokuwa kaiweka haikuwepo,

ikabidi hatumie simu yake ya mkononi lakini hakishika mtandao ikabidi kutafuta mtandao alisogea kwa pembeni huku hakiwa kainyanyua simu yake juu alifanikiwa kunasa mtandao,aliongea na askari wa pori na kuwapa taarifa ya kupotea mmoja wa wanachuo na mwengine kukutwa amefariki.ok nyie mpo upande upi wa msitu kwa sasa,sisi iko tunakwendaga kwa hoteli saa hii hi na tupo,mara mtandao ukapotea,hawakuelewana,akaamua kurudi kwa wenzake,alipogeuka nyuma alijikuta hakipiga yowe lililowashitua wenzake,alikutana na yule kiumbe uso kwa uso.alijaribu kukimbia lakini alikuwa kachelewa kwani teyali yule kiumbe alikuwa kaishamuwahi na kumvunja shingo kwa kumgongesha kwenye mti.

****************

Wakiwa wanajiandaa sasa kuibeba maiti na kurudi hotelini,walishitushwa na kelele za yule guider.walitimua mbio kuwahi waone kuna nini,wakati wengine wameelekea walibaki marafiki zake july wawili anety na neema,wakiendelea kulia kwa uchungu kwa kuondokewa na rafiki yao kipenzi,ambaye walikuwa naye masaa machache tu nyuma.neema aliichukua ule mkufu shingoni mwa july,ili iwe kumbukumbu yake bila kujua ule mkufu ndio ile kufuli la kumfungia kiumbe huyo ambaye bado hawajamjua kama hanawamaliza,kundi la watu 25 wamekwisha uwawa watu wanne.

Wale waliokimbia kumsaaidia yule guider walifika na kukuta maiti yake ikiwa imevunjwa shingo,wote sasa waliingia na wasiwasi mkubwa.mh!? kutakuwa na mnyama au mtu humu msituni hanauwa watu si buree aliongea prof henry,itabidi tuwatafute wenzetu haraka na kurudi hotelini hii ishakuwa too much,wakati prof anaongea mara wanasikia kelele zikitokea kule walipokuwa mwanzo,ikabidi warudi safari hii walikimbia sana huku Henry akikoki bastola yake.

USIKOSE SEHEMU INAYOFUATA

  Ili Kunipa Nguvu ya Kuendelea Kuwaletea Simulizi Zaidi Naomba Share App kwa Wapenzi wa Simulizi Wapakue(Install) App ya CnZ Media

Chapisha Maoni

0Maoni
Chapisha Maoni (0)