MAMA MWENYE NYUMBA (10) - CnZ Media

CnZ Media

Jisomee Simulizi Mpya Kila Siku

Jumatatu, 4 Mei 2020

MAMA MWENYE NYUMBA (10)

Je unajua kwamba Simulizi zote unazozipata hapa zipo kwenye app ya CnZ Media?

Humo Pia Utakuta:
πŸ“– KUSOMA SIMULIZI
🎬 FILAMU na TAMTHILIA za KITANZANIA
πŸ˜‚ VIDEO za KUCHEKESHA
πŸ“‘ MAKALA za AFYA na MAPENZI

Install app hii GUSA HAPA utavipata vyote hivyo bure kabisa
Mwandishi: Mbogo Edgar

SEHEMU YA KUMI
Hapo wakina Nancy wakiendelea kushangaa tukio lile, wakashuhudia yulele mdada mrembo, akiingiza mkono kwenye mfuko wa kaptula ya Edgar anakusaidia kuitoa simuile, kisha akaitazama akijaribu kuiwasha, kweli ilikuwa ime zimwalakini ilipo washwa, tu ika zima tena

SASA ENDELEA...
“Kumbe haina chaji” aliongea yule mdada kisha akachukuwa ndizi moja na kumega kidogo, na kishushia na soda iliyo kuwa mezani, kisha wakina Nancy wakashuhudia wakiongea mawili matatu, alafu wakaona Edgar akiinuka na kunawa kisha huyooo akaongozana na yule dada nakuingia kwenye gari nakuondoka, akiwa amehacha nyama na ndizi nyingi mezani huku soda atanusu haija fika, kiukweli Nancy alijiona hakuwa na bahati kabisa, asa alipo yakumbuka maneno aliyo yaongea jana usiku, pale pale bar, akakodoa macho akiliangalia gari likigeuka na kuikamata barabara kuu nakuelekea mbezi

Mzee Mashaka alitoka mapema kidogo akimwacha mkewake anajiandaa kwamtoko, mzee Mashaka alienda moja kwa moja, mjini ambako alikuwa na ahadi ya kukutana na watuwake wa biashara mitaa ya ubungo maziwa, walikuta kwenye bar moja inayoitwa Soweto, ambapo walikuwa wamefikia wale wafanya biashara wenzake toka arusha, maana kuna nyumba ya kulala wageni hapo hapo, ilikuwa ni mida ya saa nane alipo wasili maali hapo, aliwakuta wakimsubiri, huku wakinywa bia zao taratibu, alikuwa ni mzee Nko na kijanawake mmoja na dereva wao, “hooo karibu bwana Mshaka, nilizani ungechelewa kweli kweli,” alisema mzee Nko huku akiinuka na kumpa mkono kwa salam, “asante bwana Nko, yani ata hapa nilizani nime chelewa sana, kumbe mmetulia hapa mna hamsha gambe” mda huo huo ata kabla haja kaa muhudumu mmja wakike zlie valia kisketi kifupi, alikuwa amesimama ana subiri kumsikiliza, hapo mzee Mashaka alikodoamacho akimsamini sha yule mhudumu kuanzia juu mpaka chini kisha akaganda kwenye mpasuo wa pembeni wakisketi kile, cha yule binti muhudumu, “nikuhudumie nini tafadhari” aliongea yule bnt akiachia tabasamu laini lililopambwa kwa midomo iliyopakwa langi nyekundu, “naitaji huduma nyingi toka kwako, kwa sasa lete bia, kisha wewemwenyewe kunywa unacho taka,” alijikuta akiongea mzee Mashaka akimwacha yule bint akicheka cheka nakuondoka, baada ya muda mfupi akalejea na bia, akaifungua kisha aka inama sikioni kwa mzee Mashaka akamwambia, “siruhusiwi kunywa nikiwa kazini , kama huto jari natoka saa kumi, mimi nakaa kimara, tuna weza kuelekea mitaa ya karibu nahuko” hapo mzee Mashaka akaona ameokota chenza chini ya mwalobaini

“Poa ukitoka nistue” alijibu mzee Mashaka na yule binti akaondoka akwaacha wakina mzee Mashaka wanaanza maongezi yao, Sophia Suzan na Edgar walikuwa wamekaa kwenye bar moja kubwa mbezi mwisho, ng’ambo ya barabara kuu ya morogoro ikitazamana na stendi mpya, mezani kulikuwa na vinywaji kadhaa Sophia alikuwa na bia kama kwaida yake Suzan alikuwa na chupa kubwa ya mvinyo mwekundu, pia grasi mbili zote zikiwa na mvinyo mwekundu, ni baada ya Suzan kumshawishi Edgar ajaribu kutumia mvinyo, kweli Edgar alipoonja alisema inafanana na divai, akaendelea kunywa kitu kilicho mshangaza Sizan nikwamba Sophia alikuwa ana mshangaa sana Edgar muda wote mwacho yalikuwa kwa Edgar, hapo alijaribu kuingiza story mbalimbali ilikumwondoa Sophia kwenye bumbuwazi la kumkodolea macho Edgar, muda huo tayari walisha toa oda ya chakula, na walikuwa wakimsubiri mama Sophy aje ili chakula kije mezai, wakati huo mama Sophy alikuwa anapaki gari maeneo ya ile bar pembeni ya gari la mwanae Sophia, kisha akashuka na kuelekea walipo kaa watu wengine, akipepesa macho kuangalia walipo kaa wakina Sophia na Suzan, kiukweli mama Sophia licha ya umri kwenda sana na kutimiza miaka 49, lakini alionekana kuwa mzuri wakutamanisha, alipita meza kadhaa uku bahadhi ya wanaume wakimkodolea macho kwa matamanio, hakuchukuwa mda mrefu alipo waona wakina Sophia walipo kaa, aliwatambua vizuri kabisa kasolo kijana mmoja alie kaanao, akapiga hatua kuwa fwata, hakuna aliemwona , maana Suzan alikuwa akipiga porojo na Sophia akimkodolea macho kijana yule

Kitu kilicho mshangaza yule mama, aladi anafika pale ndipo nawao walipo stuka na kumkaribisha “karibu mama, hooo! umependezaa” alikaribisha Suzan nakumfanya Sophia nae atambue uwepo wa mama yake, “asanteni jamani, vipi mmefikia pombe baada ya chakula” aliongea mama Sophy huku akivuta kiti na kukaa pembeni ya Edgar, na kua anatazamana na wakana Suzan na Sophia, walisalimiana wote kisha ukafwatia utambulisho wa Edgar, “hooo nashukuru kuku fahamu, aliongea mama Sophia akimpa mkono Edgar “karibu dar, jitahidi kusoma uwe kama hawa dada zako” alongea mama Sophia wakati huku akiwa bado amemshika mkono Edgar, “asante mama, nita jitahidi” alingea Edgar akiachia tabasamu la mtoto kwa mama, kipi hicho mama Sophia akamwachia mkono, na mambo mengine yaka endelea, ikiwemo chakula na vinywaji namaongezi ya furaha, moyo mwa watu hawa kila mmoja aliwaza la kwake, ukianzia kwa Edgar, kwanza alishangaa kuona mama yule licha ya kuwa na mtoto mkubwa kama Sophia lakini bdado alionekana kuwa mrembo, wazo jingine lililo tawala hakili yake ni juu ya mchezo wajana, aliwaza kama na leo ata pata fulsa yay a kucheza na msambwanda wa mama mwenyenyumba, mawazo hayo yalipelekea kuwa anamwangalia Suzan kwakuibia, lakini ikawa ka hajari, kila alipo kuwa anamtazama macho yao yaligongana, nawote wakajikuta wakitabasamu, kwasababu Suzan na ye alikuwa anawaza jinsi atakavyo faidi dudu usiku waleo, maana jana ilikuwa kama yakustukiza, sasa leo alipanga ku faidi kisasa sawa, wakatihuo mama Sophy naye mala kwa mala alikuwa akiwaza na mna yakufanya ili mumewake, ili adumu kwenye mchezo muda mrefu, maana anamfahamu vizuri, uwa anamichezo ya jogoo, kudandia faster na kushuka, atakama wamekaa mwaka

Kwa Sophia yeye aliwaza juu ya huyu mpangaji wa Suzan, alimvutia sana, alitamani kama angepata nafasi ya kudondoka nae kwa kitanda angalau usiku mmoja tu, tena alitamani kumwambia Suzan jambo hili lakini moyo wake kama ukawa una sita hivyo akaona atafute nafasi, ya kumweleza ukweli kijana huyu, wote wali waza hayo huku mambo ya vinywaji story na story zikiendelea, wakti hayo yakiendelea Edgar alikumbuka jambo, akamnong’oneza Suzan naye akatoa simu yake na kupatia Edgar, ambae aliinuka na kusogea pembeni, kisha akabonyeza namba kadhaa, alafu akapiga, nakuiweka simu sikioni, baada ya sende chache akaanza kuongea, “dada ni mimi Edgar,..nili..” hakuwaikumalizia kuongea alicho kusudia kabla ya dada yake kumkatisha, kwa sauti ya ukali, “umeamua kuanzima simu ili niki sikilize nimesema sina fedha, tena koma kuni sumbua” alikuwa ni dada yake mkubwa “ lakini dada nili kuwa nataka…” hapo simu ilikatwa kabla haja maliza kuongea, alicho taka kusema, hapo aka bonyeza tena namba nyingine, kisha aka piga nakusikilizia, iliita sana ndipo ilipo pokelewa, “hallow, nani mwenzangu?” aliuliza dada yake baada ya kupokea simu, “wewe tena, umeamua nakubadilisha simu, nimesema sina ela na hukome kupigania wanawake fyoooo” alimalizia kwa msonyo ulio fwatia kukatwa kwa simu

Hapo Edgar ambae alitaka kuwajulisha kuwa simu yake ime zima na alikuwa anataka kuongea na baba yake maana namba aliyo itumia mwanzo, hipo kwenye simu iliyo zimika, basi taratibu, alirudi mezani walipo wenzake na kukaa, Suzan aliiona ali yaunyonge waghafla aliyokuwanayo Edgar, Suzan akawaza mawili matatu juu ya hali ya Edgar, kubwa alilo waza labada alimdanganya anaongea na dada zake, kumbe anataka kumpigia demu wake, maana hakuamini kama huyu kijana hkuwa na mwanamke kwa shuguli hile yajana, “kuna tatizo Edgar, mbo na umebadirika ghafla?” aliuliza Suzan na wengine wote waka mtazama kijana huyu, “haa wakina dada wame ni katia simu, lakini siyo mbaya, nikichaji simu nita mpigia yule mzee niongee na baba,” aliongea Edgar akianza kurudisha aliyake ya uchangamfu“kwani baba yako anaga simu?” aliuliza Sophia ndiyo anatumia ya jilani yake mmoja hivi” alijibu huku anainua gras ya mvinyo ambao ulisha anza kumchangamsha, hii siyo mala yake ya kwanza kunywa pombe, wakati akiwa shuleni mala kadhaa alisha kunywa wine walizokuwa wanaziiba kwa mapadre, “ok! husijari kesho nikitoka kazini nitajitahidi nikutafutie simu, kisha tuta ituma kwenye mabasi” Suzan akiwa amemeleza macho, alijikuta amesha ongea huku akiwa ameulaza mkono wake juu ya kiganja cha Edgar,nakufanya kama anaupooza kwa kuusugua taratibu na kiulaini, kitendo ambacho Sophia na mama yake walikiona, kwaupande wa Sophia kili msisimua na kutamani kama yeye ndie angekuwa Suzan, ameweka mkono wake kwa Edgar, mama Sophia yeye aliangalia mala moja na kupotezea huku moyoni akijisemea “vijana hao waache wafaidi” haikuwa taztizo sana kwao,maana kila mmoja alikuwa amesha anza kukolea kinywaji

Kilometa nyingi sana toka alipo Edgar, yapata kilometa zaidi ya mia tisa pembeni ya mji wa Songea mkoani Ruvuma, kijiji cha luhuwila, kwenye nyumba moja kuukuu walionekana, wazee kadhaa wakiwa wame kaa kwenye viti na magogo mbalimbali kwakuzunguka, hukukati kati yao, kuna vyombo vili vyo jaa pombe aina ya ulanzi uku mziki ukiwaburudisha na arufu ya nyama za kuchoma zikiburudisha pua zao, “wewe kijana wako hapatikani bwana, yule muhuni ndomaana ameshindwa upadre” aliongea mzee ngonyani, yule ambae baba yake Edgar alitumia simu yake kumpigia mwanae asubuhi, aki ingizia utani kidogo, “yani wewe hujuwi tu, yule dogo amefanya vizuri kuhacha upadre, sababu nisinge pata wajukuu wakuendeleza jina, hawa mabinti wote , hawana ata mpango na mimi ” japo walikuwa wame lewa lakini wenzake walimwelewa vizuri mzee Haule, licha ya kusimuliwa, pia waliona kwamacho yao jinsi watoto wamzee haule waliyo kuwa wakimtenga baba yao bila msaada wowote, japo kuwa wanamaisha yenye uafadhari, lakini hawakusubutu kuwsaidia wazazi wao, ata fedha ya kumpeleka Edgar chuo, ilikuwa ni kwamkopo ambao waliweka poni, mashambayao hekali kumi, na kwamba kwa million moja hisipo lipwa kwa muda wa mwaka mmoja, mashamba yanataifishwa, kiukweli watuwengi waliokuwa wanafahamu tabia ya watoto wamzee haule waliuzunishwa sana, na tabia ya watoto wake wote

Saa moja jioni ilimkutia Nancy akiwa anatoka darasani, kwenda saloon kumpitia mpenzi wake mpya Elisha akamnunulie, chakula cha jioni, alipofika pale alikuta Elisha anamalizia kumnyoa mteja mmoja na mwingine anasubiri, akaingia na kukaa kwe benchi la wateja wanao subiri kunyoa, huku akilahumu kimoyo moyo “haaa! yani mpaka ammalize na huyu”

TAZAMA KICHEKESHO HIKI KISHA BONYEZA SUBSCRIBE ILIYOPO CHINI YAKE WAKATI TUKIELEKEA KWENYE MUENDELEZO



USIKOSE SEHEMU YA KIMI NA MOJA

Maoni, Ushauri na Chochote Share Namimi Katika Mawasiliano Haya:
+255 718 274 413 Ipo WhatsApp
+255 764 339 438
ZephilineEzekiel@Gmail.Com

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni