MAMA MWENYE NYUMBA (21) - CnZ Media

CnZ Media

Jisomee Simulizi Mpya Kila Siku

Jumamosi, 9 Mei 2020

MAMA MWENYE NYUMBA (21)

UMEWAHI KUONA AU KUSIKIA KUHUSU PICHA ZA AI?
Sasa naomba nikufundishe bure kabisa nawewe uzitengeneze kirahisi kabisa

Mwandishi: Mbogo Edgar

SEHEMU YA ISHIRINI NA MOJA
Japo Suzan moyoni alichukizwa na mzee Mashaka huku akiona uwepo wake pale umesababisha hashindwe kumwita mpenzi wake Edgar, lakini alijitaidi kumwongelesha maneno mazuri mzee Mashaka ili hasigundue kama moyoni anamchukia kwa tabia yake aliyo ionyesha jana pale Full dose

SASA ENDELEA...
Lakini licha yakutumia muda mrefu sana, wakiongea kuhusu mapenzi yao, ilikuwa tofauti kwa mzee Mashaka ambae alikuwa anavuta muda tu, iliaende kwenye mishe mishe zake, huku pia akiwaza kupata demu wakukata kiu faster, ilisha timia saa sita na nusu “eti baby leo wewe hauendi shamba namama?” swali hilo lilimtoa mzee Mashaka kwenye mawazo yake ya kutafuta mkata kiu, “hapana , hakuna safari ya shamba week hii labda week hijayo” hapo kengele ya tahadhari ika gonga kichwani kwa Suzan, akajichekesha kidogo, “ok! nilijuwa unaenda, nilitaka nikuagize madafu, kwani mama haendi?” aliuliza swali la mtego Suzan akataka kujuwa lengo la Sophi kwa Edgar, “hapana, tena mpaka naodoka ana lalamika kiuno kina msumbua, siunajuwa nyinyi wanawake na mambo yenu” Suzan akashindwa kuvumilia aka inuwa simu yake na kutazama mda, ilikuwa saasita na nusu, akaandika messeji nakuituma kwa Edgar, “hupo wapi, mumewangu?” kisha akasubiri jibu

Kiukweli messeji yaSuzan iliingia kwenye simu ya Edgar, wakati huo Edgar alikuwa nyumbani kwa Sophia walikuwa mezani wanakula, wakwanza kuiona alikuwa ni Sophia, maana ilionyesha kamwanga flani, Edgar alikuwa ametowa sauti ya kuitia na mlio wa mseeji toka akiwa darasani na akasahau kirudisha ikabaki na mtetemeko afifu na ishara ya mwanga, “mh simu yako nzuri,” aliongea Sophia huku akiichukuwa simu ya Edgar mezani na kujifanya ana iangalia, akaiona ile messeji, ikimuuliza Edgar kwamba yupo wapi, tena akimwita mume wangu, akaifuta nakuizima simu, kisha akaiweka mezani, unajuwa kwanini alifanikiwa kuya fanya hayo bila Edgar kujuwa?, nihivi, nusu saa iliyopita baada ya Edgar kutoka darasani, waliwasiliana na Sophia, huku akipanda gari (town bus) la kibamba makumbusho, kisha akshukia kwa msuguri, ambapo alimkuta Sophia akiwa amevalia gauni lefu na amefunga kanga kiunoni, waliingia kwenye gari nakuondoka, kuelekea nyumbani kwa Sophia, dakikachache tu walikuwa wameshafika, akakaribishwa ndani, akaingia nakukuta hapakuwa namtu yoyote tofauti na alivyo tegemea kwamba, angekuta watoto au mume wa Sophia, akakaribishwa kwenye makoch, karibu sana “jisikie kama hupo kwa Suzie, sema unachoitaji, mimi nipo nitakupa, wala husiogope nione kama Suzie,” aliongea Sophia kwa sauti nyololo na ya kubembeleza, kiasi cha kumfanya Edgar kuvutiwa na ukarimu wa Sophia, akajichekesha kuonyesha amekubaliana nae, huku moyoni akamsifu Suzan kuwa nrafiki anae mjari kwa upendo wahali yajuu

“Samahani nakuja ngoja nikabadili nguo kidogo” aliaga Sophia nakuingia chumbani kwake, akimwacha Edgar anapepesa macho, kuikagua ile nyumba ambayo ilikuwa nzuri na vitu vya samani, japo hakumfikia Suzan, lakini nayeye pia alijitahidi, pia macho yake yalituwa kwenye meza yachakula iliyo zungukwa na viti sita, ikiwa kwenye umbo la yai, viti viwili kushoto, na viwili kulia, alafu kimoja mbele nakingine upande mwingine, vikitazamana, huku juu yameza kukiwa na hot pot kadhaa na sahani mbili tu!, dakika chache mlango wachumbani ulifunguliwa, akatoka Sophia akiwa amevaa kanga moja nyepesi haijawai kutokea, kiasi cha kumchora mwili wake na kusababisha ata manyonyo yake makubwa yaonekane vyema yalivyo tuna kifuani kwake, huku chini kile kikanga kilikuwa kifupi kiasi cha kuruhusu nusu ya mapaja kuonekana wazi kabisa, “kiukweli hapo atakama niwewe mwanamume mwenzangu, sizani kama ungebaki salama” hapo hapo dudu ya Edgar ika simama, maana Sophia naye sio wapolepole, licha ya kuwa na umbo lililofanana na namba nane, pia alikuwa mrefu kiasi na manyoyo makubwa utazani ame kula dawa zakichina, sambamba na makalio ya maana yenye shep ya mduara, kwenye mapaja sasa utazani ameficha mapochi, kitu kingine kilichomzidishia uzuri wake wa sura ni modomo yake maana alikuwa na lips pana sana, zakuvutia asa anapokuwa amezipaka ile rangi ya midomo kama alivyoonekana sasahivi mbele ya macho ya Edgar

Kiukweli Edgar alikuwa akimtazama kwakuibia huyu dada, pasipo kujuwa nay eye alikuwa akimtazama kuona kama mtego wake unafanikiwa au vipi, Sophia alipoangalia mbele ya suluali ya Edgar usawa wazipu, kwanza aliona kama kuna kitu kime tuna mwanzo akazani labda kuna kitu ameweka mfukoni, ndipo alipo pata wazo “karibu chakula Eddy, najuwa unanjaa mpendwa” aliongea huku akimsogelea nakumshika mkono, akamvuta kwakumwinua, huku macho yake ameyaelekeza kwenye zip, ile sehemu iliyo tuna na ku chora ramani ya dudu, hapo ata mwili wa Sophia ulisisimka, maana aliona dudu ime vimba, asa ilipo mjia picha ya jana wakati Suzan alipo kuwa akijaribu kuinyonya dudu hiyo, kisha ongozana nanae kwenye meza ya chakula, nikwelie Edgar alikuwa na njaa, akafwata kama mwanakondoo wa pasaka, mpaka kwenye kiti alicho onyeshwa na Sophia, akaa nakusubiri mwenyeji wake alianzishe, ndipo alipo mwona Sophia akichukua jagi la maji na bakuli nakuliweka bakuri mezani, kisha akamkamata mkono wakulia Edgar anakuuleta usa wa bakuli, kisha akaanza kumnawisha, kwanza alianza taratibu, kisha akaanza kuumbinya taratibu, na kuu kuna kwakutumia kucha zake ndefu kwenye kiganya cha mkono wa Edgar, kitendo hichokili mfanya Edgar ajisikie kutekenya, hapo akashangaa kidogo nakumtazama Sophia usoni, cha hajabu Sophia naye alikuwa anamtazama Edgar usono huku macho ameyalegeza, hapo Edgar alizidi kusisimka, nakujikuta kuna kahali flani ka kutamani kitumbua kana mjia, akachomoa mokono yake, toka kwenye mikono ya Sophia

Hapo Sophia akamnyooshea jagi Edgar, kasha akaongea kwa sauti ambayo ilimsisimua Edgar nakumfanya ashangae, maana aliona kuna dalili za kutafuna zigo, maana nisauti ambayo iliashilia kama vile Sophia anamafua, “ninawishe basi namimi” Edgar akakamata jagi nakufanya kama alivyo ambiwa, kasha wakaanza kula, sasa basi hapo vikaanza vituko, mala Sophia asimame nakufunga vizuri kanga yake, wakatimwingine ali mshuhudia akienda kwenye kabati na kuinama akifunguwa drow zachini kabisa, akitafuta kitu ambacho Edgar hakuweza kukifahamu, maana aliinuka mikono tupu, huku akimwacha Edgar katika hali mbaya, maana kila alipo inama kile kinguo kilipanda juu nakushindwa kuya funika vizuri malkalio ya Sophia, vituko hivyo vili mfanya Edgar ashindwe kuiona ata messeji aliyo yumiwa na Suzan, “naona Suzan anakupa vinono, maana unanawili kila siku”aliongea Sophia kwasauti ya kimahaba flani, hku akilegeza macho, kiasi cha Edgar kujiuliza, anamaanisha nini, au Suzan amesha mwambia kuwa wao ni wapenzi, lakini akajipa moyo kuwa hakumaanisha vile, ambavyo yeye anawaza, “haaaa kweli vyakula vya huku tofauti na kwetu” alijibu Edgar akiendelea kula pasipo kuzingatia anacho kifanya Sophi kwenye simu yake, sekunde chache baada ya Sophia kuiweka simu ya Edgar mezani, yakwake ikaita, akaitazama kasha akaiweka mezani, “haa hawa akazini nao wasumbufu sana” aliongea Sophia akiihacha simu ikiita mpaka ika kata yenyewe, ilipo kata tu akaichukuwa na kuizima

Huku Suzan akiwa na mzee Mashaka alisubiri jibu toka kwa Edgar akaona kimya akatuma messeji nyingine, hiyo ndiyo kabisaaa haikurudisha majibu, hapo akaingiwa na wasi wasi juu ya Edgar, akawaza amepatwa nanini, bahati nzuri kwake, wakati huo, mzee Mashaka akaaga kuwa anaenda kukutana na wafanya bihashara wenzake akamwachia pesa kiasi cha million mbili, alafu akainuka nakutoka zake akimwacha Suzan amejilaza kitanzani, baada kuakikisha mzee Mashaka amesha ondoka, kwakusikia mlio wa gari lake NISSANI SAFARI, hapo akapiga simu kwa Edgar haikupatikana, mapigo yamoyowake yakaongeza kasi, wivu ulimshika, akajilahumu kumruhusu Edgar kwenda kawa Sophia, akaamua mapigie simu Sophia, nayo iliita mpaka ikakata, bila kupokelewa, akarudia tena, “simu unayo piga haipatikani kwa sasa” hapo akadata, akaamua bola ajilizishe kwa mama Sophi, kama kweli wameenda shamba, akapiga simu kwa mama Sophi

Mama Sophi alikuwa anapata chakula chamchana, huku akili yake ikiwa anamkumbuka Edgar, kwamambo aliyo mfanyia jana, akapiga mahesabu ya kumtafuta Suzan ampatie namba ya Edgar, lakini wakati anachukuwa simu ampigie Suzan, akashangaa kuona simu ya Suzan inaingia, akatabasamu, “haaaaa huyu kijana ameletwa kwaajili yangu” akapokea simu na kutega sikio, baada ya kusalimiana na Suzan, mama Sophi akapokea habari ambayo moja kwamoja ili utibua moyo wake, eti yeye anasafari ya shamba, kwanza kabisa alipoulizwa swali hilo, alijuwa kuwa ni Edgar amedanganya labda analengo la kumtafuta yeye, hapo akajibu “ndiyo vipi ni Edgar amekuambia,?” aliuliza mama Sophia, “hapa ni Sophi, sasa na wapigia simu nijuwe walipo fikia lakini hawapatikani” hapo mama Sophi ata tumbo lilichemka, nakuunguruma akaanza kunawa mikono, maana ta chakula hakikunoga tena, “hooo nisawa wamenipigia simu kuwa wametangulia mimi nilikuwa napitia hapa duka la pembejeo, nazani network inasumbua” hapo mama Sophi aliongea huku akikimbilia chumbani kwake, akikata simu ya Suzan nakumpaigia, Sophia mwanae, akasikia sautu ya kike ikimwambia imu haipatikani ajaribu baadae, “saa ngapi?” alijibu mama Sophi huku akivamia lango wa chumbani kwake, nakuchukuwa mkoba wake na funguo zagari, akatoka mbo kuelekea kwenye gar lake akaingia akawasha gari nakuondowa gari kwafujo akwaacha watu wakimshangaa, wakijuwa kuwa, mama Sophi amepata taharifa ya zarula anawai

Huku nako, Edgar alikuwa ametulia juu ya kochi kubwa, akitazama TV baada ya kuwa amemaliza kula, kichwa ni mwake alikuwa anawaza juu yamambo yanayomtokea juu yawana wake, wakati huo Sophi alikuwa meingia chumbani, ambako hakukaa muda mrefu, akatoka nakukaa kenye kochi moja linalo tazamana na alilo kaa Edgar nakuwafanya wawe wanatazamana, kimya kilitawala kwamda, huku Edgar akiwaza ili nalile, aliwaza sana juu ya Suzan jisni anavyomwonyesha upendo wa hali yajuu, pamoja namchangowake mkubwa, katika mahisha yake kwa sasa, ikiwa na sehemu ya kuishi pesa ya matumizi na upendo wakweli, pia alionyesha kumjari, nakumchukulia kama mume wake, “Edgar mbona kama una mawazo sana, au umeshamkumbuka Suzie?” Edgar alistuliwa na Sophia, aka inuwa macho yake nakumtazama Sophia huku akijichekesha kidogo “haa hapana, ninaangalia tu!..T T T…. TV” kigugmizi cha ghafla kilimpata Edgar, baada ya macho yake kutazama mkao wa Sophia, ambao uliruhusu kitumbua chote kuonekana, maana Sophia likuwa amepandisha mguu mmoja kwenye ukingo wa kochi

TAZAMA KICHEKESHO HIKI KISHA BONYEZA SUBSCRIBE ILIYOPO CHINI YAKE WAKATI TUKIELEKEA KWENYE MUENDELEZO



USIKOSE SEHEMU YA ISHIRINI NA MBILI

Maoni, Ushauri na Chochote Share Namimi Katika Mawasiliano Haya:
+255 718 274 413 Ipo WhatsApp
+255 764 339 438
ZephilineEzekiel@Gmail.Com

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni