BABU UTAMU (5) - CnZ Media

CnZ Media

Jisomee Simulizi Mpya Kila Siku

Alhamisi, 2 Machi 2023

BABU UTAMU (5)

Je unajua kwamba Simulizi zote unazozipata hapa zipo kwenye app ya CnZ Media?

Humo Pia Utakuta:
📖 KUSOMA SIMULIZI
🎬 FILAMU na TAMTHILIA za KITANZANIA
😂 VIDEO za KUCHEKESHA
📑 MAKALA za AFYA na MAPENZI

Install app hii GUSA HAPA utavipata vyote hivyo bure kabisa
Mwandishi: Pablo Hernandes

SEHEMU YA TANO
ILIPOISHIA...
"Emma subiri kwanza em…." Kabla hata hajamaliza kusema tayari mkono wake ulikuwa umeshakamatwa.Haraka akanyanyuliwa na Emmanuel aliyejishangaa kupata na ujasiri wa ghafla kwenye hali tete iliyokuwepo.Mariamu naye hakuwa na jinsi ya kufanya.Mapigo yake moyo yakamuenda mbio kuliko kawaida.

WAKATI UNAFUNGUA KUNA MATANGAZO YANATOKEA YAGUSE WALAU KILA UNAPOFUNGUA SIMULIZI ILI KUNIPA NGUVU YA KUENDELEA
KAMA UPO NJE YA APP INSTALL CnZ Media ILI USIPITWE NA MIENDELEZO KILA INAPOKUWA TAYARI

SASA ENDELEA...
Emmanuel kwa kujiamini akaufungua ule mlango na kumtanguliza Mariamu aliyetoka na kuwashangaza waliokuwa nje ambao wala hawakudhania kuwa Mariamu atakuwa humo.Varangati likaanza mama mwenyenyumba aliyekuwa katika taharuki kwa jambo ambalo hakuliamini katika macho yake akachomoka kama kasi ya umeme alipokuwepo na kumsogelea Mariamu aliyemkwepa kisha akazama ndani ya chumba alichokuwepo Emmanuel ambaye alikuwa amesimama mlangoni.

"Mamaaaaaaaaaaaaaaaa!"Pasipo kuuliza mama Mariamu alipoingia tu na kumuona Emmanuel akajiachia vyema na kumrukia na kumtandika kichwa kikali bwana yule aliyetoa yowe kutokana na ukubwa wa kichwa kile ambacho hajakiandaa.

"Yani leo mwanahizaya wewe umeingia choo cha kike lazima nikupasue kwanza kabla ya kwenda Ku*** na wanaume wenzako jela huko." Mama Mariamu akaongea kwa jazba baada ya kumtandika Emmanuel kile kichwa kilichompeleka chini.Mama yule baada ya kumaliza kuongea akamsogelea Emmanuel aliyekuwa akijiandaa kunyanyuka.Haraka akamsogelea na kukwida hapo akatuma kibao kikali kilichotua barabara usoni mwa Emmanuel kilichomuingia na kusababisha aone nyota.

"Mama niache niongee kwanza ilivyokuwa ukifanya hivyo unakosea mama unakosea kabisa wacha nikuambie kilichotokea." Emmanuel akapandisha jazba lakini hakueleweka.Mama Mariamu akaanza kurusha makonde ya uso ambayo Emmanuel sasa akatumia uanaume wake kuyakinga.Makelele mtindo moja yakazuka.Mariamu hakuacha kupiga kelele.Wapangaji wakazama ndani na haraka wakamsogelea na kumshika mama Mariamu aliyekuwa na jazba kubwa.

"Niachieni yani nimekupangisha nyumbani kwangu unajifanya kijogoo unit***e mwanangu mpaka asubuhi niacheni nyie nitawapa notice wote nyie nyie.."Mama mariamu aliendelea kuongea kwa jazba na ndipo hapo Issa alipoanza kufunguka…….

‘’Sikia mama nikuambie jana usiku mida ya saa tano hivi Mariamu alikuja ndani hapa akaniambiaje usingizi hana hivyo kama nina movie anaomba nimuwekee angalie sasa mimi sikuwa na jinsi nikamfungulia akaingia na kuangalia.Sasa nashangaa wote tumekuja kushtuka muda huo yani hata sielewi kimetokea nini mama niamini sijafanya chochote na Mariamu mimi.’’Emmanuel akatema cheche na kujitetea na kuzidi kumpandisha hasira Mama Mariamu ambaye ghafla akachomoka pale aliposhika kwa maana wakati alipokuwa anaongea Emmanuel wale wapangaji waliokuwa wamemshika mama mwenye nyumba wakajikuta wakimuachia.

Mama Mariamu akamvamia Emmanuel na wote wakadondoka chini.Kwa jinsi mama Mariamu alivyomvamia Emmanuel yeye akawa juu na aliyemvamia akawa chini.Kwa hakika hasira ilikuwa imevaa vyema na shetani alikuwa tayari ameshamuingia.Alikuwa tayari kufanya lolote lile kwa Emmanuel.Makonde kama mvua akayateremsha kwa Emmanuel ambaye alikuwa makini na vyema kuyakinga huku baadhi yakimpata kutokana na mama yule kutumia nguvu mno

‘’Inatosha mama Mariamu punguza hasira ili tujue tunatatuaje tatizo wee mama Mariamu.’’

‘’Keleleni nyie mafala mpaka huyu nimuonyeshe nasema msinishike nyie watoto wa ma***a msinishike nitakuumiza wewe Rozinta muambie mume wako muambie mume wako wewe asinishike.’’Mama Mariamu aliendelea kulalama baada ya mume wake Rozinta kujitolea peke yake kwenda kugombelezea kwa maana wengine wote walisita tena kwa kuogopa kupewa notice ya kuhama katika nyumba ile.Mume wake Rozinta akafanikiwa akamshika mama Mariamu na kumyanyua.

Wapangaji wengine nao wakamzunguka na kumshikilia vyema kutoweza tena kumvamia Emmanuel ambaye tayari alikuwa ameshatokwa na nundu katika paji lake la uso.Wakati huo majirani wa nyumba za jirani nao walikuwa tayari wameshawasili kuangalia ubuyu kutokana na kelele walizokuwa wakisikia ziliwahamasisha kuingia ndani ya nyumba hiyo iliyokuwa maarufu katika mtaa huo ilikuwepo katika jiji la dar-es-salaam magomeni mikumi mtaa wa idrisa kutokana na maneno ya mama mwenyenyumba aliyekuwa akiogopwa mno lakini alikuwa anapedwa sana na watu kutokana na kujishughulisha sana panapotokea shughuli katika mtaa ule

‘’Yani wewe si umejifanya ooh alikuwa anaangalia movie sasa huyu mtoto naenda kumkagua kwenye k* yake na kama nikimuona umemt* ujue kabisa jela inakuhusu kwanza wee Rozinta funga milango yote ndani leo hatoki mtu na wala haingii mtu mfyuuuuuuuuu!’’ Mama Mariamu aliongea kwa jazba kisha akaomba kutoka nje jambo ambalo mume wake Rozinta hakupinga wakati huo mke wake alikuwa amekwenda kutekeleza kile ambacho ameambiwa na mama mwenye nyumba.Mama Mariamu alipotoka katika chumba kile cha Emmanuel akapatwa tena na hasira za ghafla baada ya kuwaona baadhi ya majirani waliokuwa tayari wameshaingia ndani ya nyumba ile na walikuwa makini kusikiliza.

‘’Nyie wange tokeni wote waangalie umbeya tu ona macho yao kama mjusi aliyebanwa na mlango.Wengine hawa wanaume wamekuja kuangalia umbeya mtaliwa kiboga hawa wote nje tokeni naambia na mkome tena kuingia ingia humu mnaposikia kuna mgomvi na tena mmkome kama mlivyokama katika maziwa ya mama zenu.’’ Mama Mariamu pasipo kuona haya akawatemea cheche wale majirani wengine waliokuwa wanakodoa kodo na kutaka kujua kwa kia chanzo cha makelele katika nyumba ile.

Maneno ya mama Mariamu yalitosha kabisa kuwatoa pale kila mmoja akautafuta mlango alioingilia akaondoka kwa aibu kuu.Gumzo na zogo ziliendelea baada ya wale kutoka nje wakakutana wengine wakiwa nje ya ile nyumba kutaka kuingia.Wale wa nje wakawa wenye maswali kwa wale waliotoka ndani ambao nao walitoka kinyonge na hakuna aliyetoa jibu zuri.Huku ndani Mama Mariamu akamchukua Mariamu ambaye alipomfika akamtandika makofi mazito mawili kisha akamshika mkono na kuingia ndani haraka kutokana na mume wake Rozinta alitaka kuingilia lakini akachelewa.

‘’Mama nisamahe mama yangu….nisamehe sitarudiiiia tena mama nisameheee mimi.’’Mariamu akaanza kulia baada ya kupiga magoti na mama yake alionekana kama alikuwa akitafuta kitu cha kumpigia kwa maana alikuwa na hasira naye pasipo maelezo.Baada ya tafuta ya muda mfupi akapata mkanda aliokuwa anavaaga marehemu mume wake akakunja vyema kisha akamsogelea binti yake ambaye alikuwa anarudi rudi nyuma mpaka akaufikia mlango na akawa hana ujanja tena akatulia palepale machozi yakimtoka na mikono yake aliionganisha kuomba msamaha kama mama yake.

‘’HEBU VUA KANGA YAKO NIONE KAMA UMEFANYWA NAJUA KAMA HAUJAFANYWA NAJUA FANYA HARAKA WEWE MBWAA KABLA SIJAKUMALIZA’’……

Mama Mariamu akamwambia binti yake kwa ukali na alionyesha kumaanisha kabisa kile alichokiongea.Mariamu mapigo ya moyo yalizidi kwenda kasi na ukweli kwamba alikuwa akiogopa mno kipigo.Mara ya mwisho mama yake alivyompiga alipelekea mkono wake uteguke hivyo alikuwa na wasiwasi mkubwa kuumizwa kama mwanzo ambapo mama yake huyo alimfuma binti yake akiingia gesti.

‘’Wee mwanahizaya hunisikii au nakuambia vuaaaa haraka hiyo kanga! Yani Imma na mwezi mmoja tu amehamia hapa analeta ukijogoo kwa hakika nakuambia atajuta nasema atajuta labda atoroke na atatorokaje leo yani ataomba ardhi ipasuke na wewe mshenzi leo ndio nitakapo kukeketa naona huwa unawashwa sana kufanywa haya vua kanga hiyo.’’Mama Mariamu akasimamia msimamo wake na alipoona Mariamu kama analega lega akamtishia kama anampeleka ule mkanda alioushika na pale Mariamu akaogopa hakuwa na ujanja kanga yake akaifungua yote akabaki kama alivyozaliwa.

‘’Heeeee! Haukuvaa hata chupi mtoto wewe hebu sogea mwenyewe nikuangalie vyema sogea kabla sijakutoaa jicho fanya harakaaaa.’’Mariamu hakuwa na ujanja.Hakuwa na jinsi akamsogelea mama yake karibu.Mama huyo akamwambia binti yake jinsi gani afanye na binti yule akatekeleza kwa hofu na uoga huku machozi yakimtoka kama mtu aliyefiwa.

‘’Mama yangu nisamehe najua nimefanya kosaa….hiiiiiiiiii nisamehe sitarudiaaaa mchezo huu naaacha mama nisameheeee.’’ Mariamu akaendelea kuomba msamaha na wakati huo alikuwa akilia sana kwa maana mama yake alivyomuangalia katika ikulu yake ghafla akabadilika.Akawa makini kuangalia akaonekana kama mtu aliyeishiwa nguvu jambo ambalo Mariamu aliona kama mama yake alikuwa amekasirika sana.

‘’Hebu vaa kanga yako kaa hapa binti yangu mpendwa.’’Mama Mariamu akamwambia mwanae alishangaa sana kuambiwa maneno yale tena mama yule aliongea kwa ustaarabu kupitiliza.Mariamu akafuatisha kile alichoambiwa na mama yake akakaa pembeni yake.

‘’Mariaamuuuu’’

‘’Abee mama.’’

‘’Najua umefanya naye mapenzi Emmanuel hebu niambie mlienda mzunguko mingapi?’’Mama Mariamu akaulizana hapo Mariamu akasita kujibu mara ya kwanza mama yake akarudia tena kwa ukali na kumuogopesha Mariamu kidogo.

‘’Minne’’

‘’Aaaah tangia muanze kufanya mapenzi ni mara ya ngapi?’’

‘’Mara moja tu mama yangu ndio jana naomba unisamehe mama yangu.Najua nimekukosea nakukudhalilisha sana kwa hili naomba unisamehe mama yangu sitarudii tena ni shetani tu aliniingia mama yangu sitarudiiaaa tena.’’Mariamu akaanza kuomba msamaha huku machozi yakimbubujika kwa wingi.

‘’Leo nakusamehe naomba uachane kabisa na ima naomba sana nitakuja kuua nitakapokuona naye tena sawaaa?….umenisikiaaa? haya sasa chukua maji uende ukaoge.’’Mama Mariamu akamwambia binti yake aliyekuwa haamini kabisa kama mama yake alikuwa amemsamehe kirahisi namna ile.Hakutaka kumtetea Issa kabisa haraka akachukua ndoo na kuelekea katika chumba chake kulipokuwa na na ndoo zilizokuwa zimejaa kwa maana huwa wanahifadhi humo

‘’Mmmh…Emmanuel anaonekanaa ana upapi mkubwaaaa aaah!….yani alivyomfanya binti yangu anaonekana kabisa anayaweza huyu sana….yani na nilivyokuwa na hamu maana wale vijana wawili niliotembea nao walikuwa wakinipapasa tu hebu subiri kwanza…..aah Emmanuel kwa hakika naona kabisa ana ujuzi na ataniridhilisha kama alivyokuwa akiniridisha mume wangu.’’Mama Mariamu akajisemea mwenye katika kichwa chake kisha haraka akanyanyuka na kutoka nje.

Wapangaji wote walikuwa nje wakimsubiria mama mwennyenyumba huyo atoke lakini alipotoka Mariamu walishangaa na kujiuliza lakini walikosa majibu.Mama Mariamu alipotoka akawatanyisha wapangaji wenzake na kuwaomba msamaha kwa kile kilichotokea.Kila mpangaji akashangaa sana jambo ile lakini hakuna aliyenyanyua mdomo wake kuuliza sana.Moja kwa moja mama Mariamu akaenda mpaka chumba cha Emmanuel na kuingia pasipo hata kubisha hodi.

‘’Emmanuel nakuomba saa nne usiku uje ndani kwangu kile chumba changu nina mazungumzo marefu nataka tuongee.’’Mama Mariamu akamwambia Emmanuel ambaye alikuwa ameshajiandaa kwa maana alijua kitatokea msala tena.Maneno yale yalimshangaza kidogo na hakuwa na ujanja wakuuliza akatikisa kichwa na kumsindikiza mama yule kwa macho.

USIIKOSE SIMULIZI INAYOFUATA

Umeyaona Matangazo?
Yabonyeze Kila Unapoyaona ili Kunipa Nguvu ya Kuendeleza Simulizi

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni