MUUZA CHIPS (81) - CnZ Media

CnZ Media

Jisomee Simulizi Mpya Kila Siku

Jumatatu, 12 Juni 2023

MUUZA CHIPS (81)

UMEWAHI KUONA AU KUSIKIA KUHUSU PICHA ZA AI?
Sasa naomba nikufundishe bure kabisa nawewe uzitengeneze kirahisi kabisa

Mwandishi: MoonBoy

SEHEMU YA THEMANINI NA MOJA
ILIPOISHIA...
Utaishia kujikwatua kila siku wewe na kioo, wakati wenzako wanawauliza waume zao kama wamependeza, sasa wewe utaulizana na kioo chako huku siku zinakwenda… Na ukumbuke kuwa kioo hakidanganyi hata siku moja, hivyo ipo siku utaona ngozi yako itaanza kuvutana,… Hapo hukosi miaka 45 kwenda juu, huna hata ndoa ya kuachika…

KUNA MATANGAZO YANATOKEA YAGUSE KILA UNAPOFUNGUA SIMULIZI ILI KUNIPA NGUVU YA KUENDELEA
INSTALL CnZ Media ILI USIPITWE NA MIENDELEZO KILA INAPOKUWA TAYARI

SASA ENDELEA...
Sasa saida kama mwanamke anaejielewa akiwa anafikiria ni jinsi gani atazipeleka mbegu hizo…

Lakini akiwa hapo katika gari, mara simu yake inaita, kuangalia jina alikuwa ni mama yake

"haloo mama"

"eee mwanangu umepata hizo mbegu"

"bado mama subiri kidogo"

Saida alimdanganya mama yake kuwa bado na wakati anazo hapo kwenye mkoba wake..

"sawa changamka basi"

"sawa mama"

Saida alipokata simu aliamua uwamuzi mmoja tu,.. Alilisogeza gari lake mpaka kwenye dampo la takataka kisha akaitupa ile kondom yenye mbegu za chidi,..

"wacha nimsaliti mume wangu, lakini ni kwa kumseidia"

Aliongea hivyo kisha akafungua kioo cha gari aite mwanaume afanye nae mapenzi hata hapo hapo kwenye gari ilimradi tu apate mbegu… Lakini sasa kila mwanaume aliokuwa akimuona wala hakuna aliompenda hata mmoja,.. Yaani wote hakukua na mtanashati hata mmoja,.. Yaani kama pangelikuwa na mtanashati kidogo, basi angeangukia zari la kufanya mapenzi na mtoto mzuri kama huyo mana hakuna mwanaume ambaye angeweza kukataa… Saida aliondoa gari yake mana hakukuwa na mwanaume aliomtaka…. Aliondoka hapo na kwenda kwenye hoteli flani hivi kubwa,

"yes, hapa sikosi wa kuduu nae"

Aliongea hivyo mdada saida huku akishuka na kuingia katika hoteli hio, kwa gari aliopaki hapo nje na hio hoteli, viliendana haswa,..

Lakini sasa ndani ya hoteli hio kulikuwa na kundi la wafanyakazi fulani waliokuwa wakipata breakfast kwa pamoja… Na sii wengine bali ni kikosi cha kaka yake chidi, Mana Ibrahim ana tabia ya kwenda kunywa chai na wafanyakazi wake, na hata mchana kwenye lanchi anaenda na wafanyakazi wake… Ukumbuke kwa sasa Ibrahim kastopishwa kazi… Na hapa ni stari ya miezi kadhaa huko nyuma kabla ya kustopishwa….

"yes… Wacha nijipitishe kwenye hii meza nipate mmoja tu mwenye kiherehere"

Aliongea saida… Lakini kabla hajaanza alipata wazo jipya… Saida alikaa katika meza ya karibu na wao, kisha akaagiza kinywaji kidogo tu, lakini kilikuwa na bei ghali sana, yaani ni grass yenye wiski inayouzwa bei kubwa sana… Alipewa kinywaji hicho kisha akakinywa kwa haraka… Afu akawa anaondoka,

"we dada hujalipa kinywaji tafadhali"

Aliongea mhudumu mmoja na kumzuia asitoke nje,..

"jamani mi sina hela"

Aliongea saida huku akijisogeza kwenye kile kikosi, na kikosi hicho mlipa bili ni Ibrahim peke yake,..

"sasa umekunywa wiski ya nini na wakati huna pesa"

"Nisamehe dada"

"hapana lazima ulipe, na kama huezi kulipa ongea na wanaume vizuri upate kinywaji kingine"

"jamani weita mi sina tabia hio"

"utajua mwenyewe bwana.. Nipe pesa ya kinywaji ulichokunywa"

Saida alikuwa akishikiliwa na mhudumu huyo ili aweze kulipa pesa hio, kinywaji chenyewe kilikuwa ni grass moja tu lakini ni kinywaji cha gharama sana,…

"utajua mwenyewe bwana.. Nipe pesa ya kinywaji ulichokunywa"

Aliongea mhudumu huku akiwa kamshika saida, na saida sio kuwa kashindwa kulipa, bali anataka kidume yeyote ajitokeze ili apate mbegu zake

"kwani kuna nini hapa weita"

Alikuwa ni Ibrahim ndio kajitokeza

"si huyu dada kanywa waini afu hana hela"

Ibrahim kwa siku hio hakuwa na hamu na mwanamke hata kidogo kitu kilichowashangaza wafanyakazi wake,.. Mana hajawahi kupitwa na mschana mzuri kama huyo

"kwani hicho kinywaji ni kiasi gani"

"kanywa grass moja ya Tsh elfu 50…"

Ukiskia grass ni Tsh elfu 50 basi chupa itakuwa inauzwa hata laki tatu,.. Hivyo ni vile vinywaji vya mabilionea sio wewe mwenye pesa ndogo zako..

"ok shika pesa hio, mwache aende"

Saida alishangaa kulipiwa alafu aliemlipia hakuwa na mudi ya kumtaka kimapenzi,…

"boss… mtoto mkali hivyo unamuacha aende"

"aaahhh leo sijiskiii"

Lakini saida yeye hakutaka kulipiwa na kuondoka nia yake ni mbegu za kiume, na zile za chidi keshazitupa kule dampo,..

"vipi dada una shida"

Aliuliza Ibrahim baada ya saida kurudi pale kwa akina Ibrahim,

"ndio naomba tuongeee"

Kiukweli hata wafanyakazi hawakuamini kama kweli boss wao leo hana mudi na mwanamke…

Ibrahim alitoka na mtoto huyo mpaka kwenye meza nyingine..

"kaka we mstaarabu kweli yani"

Saida aliongea hivyo kwa sauti ya kuvutia mana shida yake ni mbegu za kiume hivyo anamlegezea ili wakasex, na saida roho inamuuma sana kwa kuingiziwa uume na kila mwanaume lakini ni katika hali ya kumsaidia chidi na mdogo wake,

"aaahh unajua tumepata pesa kwa ajili ya kuseidia watu"

Saida alianza kurembua macho ya kumvutia Ibrahim, maskini Ibrahim alikuwa kama ana machale siku hio, lakini mwanamke akiamua mitego yake kwako, aaaaahhh huezi kuipangua hata kidogo, lazima uingie laini na kukubaliana nae,.. Wanaume ni wadhaifu sana mbele ya mapenzi hivyo.. Ibrahim alijikuta anamnyonya denda mdada huyo kisha wakavutana mpaka kwenye chumba namba flani hivi hapo hapo hotelini… Na saida ana kondom zake kwenye mkoba..

"nilijua tu boss hawezi kumwacha yule mtoto"

"lakini tuacheni utani kale katoto ni kazuri"

"aahhhhh we unauliza shombe shombe tena… Hao hawaulizwi"

Wakiwa wapo chumbani saida na Ibrahim, "we mtoto wa kike, mbona ghafla hivi unanipata utamu"

"jamani we mkaka, mi nimekupenda tu ghafla"

Ibrahim alianza kumvua nguo saida huku madenda yakichukuwa nafasi yake,..

Lakini Ibrahim kila akimvua nguo saida, anaona huyu sio demu wa kawaida, yaani hakuwa mtu wa kushindwa kulipa ile pesa pale, mana mwili wake tu ulionyesha dhahiri kuwa, huyu ni mtoto wa tajiri au akawa tajiri mwenyewe,.. Mana kiunoni saida alikuwa na goldi ya thamani kubwa, nguo zake za ndani tu sio hizi za madukani kama za wengine,.. Hata sehemu yake ya siri, sio kama jinsi alivyojileta,.. Mana malaya wa kike sehemu yake ya kike ina utofauti na mschana ambae hana tabia za kimalaya..

"unaitwa nani mtoto"

Aliuliza Ibrahim huku akimalizia kuvua chupi

"naitwa saidati"

"kweli sura yako na hilo jina, vinaendana haswa"

Sasa Ibrahim yeye ni mzee wa kavu kavu

"no, no mi staki tufanye kavu"

"aahhh saidaaa, mtoto mzuri kama wewe nivae kondomu kweli"

"please naomba kwa leo utumie baby"

Sauti ya mwanamke kama ataitumia vizuri, basi ni njia nzuri sana ya kumteka mwanaume, Ibrahim alikujikuta anakubali kuvaa kondomu kwa sauti nzuri alioitumia saida, tena wakati macho ya saida yani yalikuwa dhahiri kuwa ni ya wizi lakini kwakuwa Ibrahim hakujua nia ya saida,. Alivaa kondomu kisha akaanza kumshughulikia saida…

"ila kimoja tu hua kinanitosha"

Aliongea saida huku akimnyonya Ibrahim denda zito…

Nusu saa mbele,.. Tunamuona saida anaifunga ile kondo vizuri ikiwa imejaa mbegu za Ibrahim ambae ni kaka yake na chidi, ila saida yeye hajui kama huyu ni kaka yake na chidi ambae kalala nae asubuhi ya leo,..

"sasa si utupe hio kondom"

Aliongea Ibrahim mana alimuina saida kama anaipenda sana ile kondom,

"wacha nikaitupe huko nje,.. Yaani tukiitupa humu nahisi kama nimeiacha chumbani kwangu"

"ahahahahaha basi we msafi sana… Uzuri wako unaonyesha kabisa kuwa we msafi… Ok vipi una nauli"

"aahhh wala usijali ninayo"

Saida ana pesa kuliko hata Ibrahim, yaani utajiri wa akina saida, kwa Ibrahim ni kama kapuku tu,.

Baada ya masaa mawili kupita, tunamwona saida akiwa yupo kwenye gari yake akiwa anaiangalia ile kondom yenye mbegu za Ibrahim, kisha akaiweka kwenye mkoba wake…

"yes, mpenzi wangu chidi kaponea chupu chupu, nampenda sana ila anisamehe kwa kumsaliti na jidume lingine"

Saida aliongea hivyo huku akichukuwa simu yake na kumpigia mama yake,

"haloo mama"

"abeee mwangu upo wapi"

"mama nimeshazipata zile mbegu"

"Whaaaat…. Unasema kweli saida"

"ndio mama… Ninazo hapa kwenye mkoba wangu"

"harakisha uje nazo… Tuwahi kwa mganga, tena leo tunapanda helikopta sio gari tena"

Wakati huo nae saida alikuwa ana ahadi na mama yake kuwa atanunuliwa gari yenye gharama kubwa, na aliahidiwa hata akifanikiwa kuzipata mbegu za kijana huyo ambae ni chidi atanunuliwa hio gari yenye thamani ya shilingi milioni 800 (mianane)… Ndio saida akaingizia hapo hapo ishu yake ya gari, lakini mbali na hapo saida alizifikisha zile mbegu kwa mama yake… Na siku hio walikwenda airport kupanda ndege hivyo kila kitu kilifanikiwa…

MWISHO WA STORI JINSI MBEGU ZA CHIDI ZILIVYOPONEA CHUPU CHUPU YA KUPELEKWA KWA MGANGA, HIVYO CHIDI NDIO MAANA HAJADHURIKA KWASABABU SIO YEYE….

Sasa ikiwa ni pale hotelini walipokutana na saida, kisha saida akamwambia chidi kuwa ana mimba yake na chidi akaikataa, ndio hapo saida akaongea ukweli, lakini bila hivyo tusingejua ridhiwani kaponaje ponaje.. Kwahio mpaka sasa hivi inaonekana Ibrahim ana tatizo la nguvu za kiume mana ndio aliokutwa na janga hilo..

"sawa, hiii mimba siitoi, lakini mtoto ni wako na nimeipokea kwa moyo wote"

Aliingea saida huku akitaka kuondoka..

"sasa hebu ngoja kwanza…. Kwahio hizo mbegu zangu zilikuwa zina kazi gani kwenu"

"mdogo wangu, hakuzaliwa na nguvu za kiume, hivyo tulikupointi wewe ndio mwenye nguvu halisi"

"na nyie mmenijuaje mimi mpaka mkanifuata"

Chidi alihoji maswali mengi sana mana kama kajua basi wacha ajue,..

"rafiki yake mama yangu ndio anakujua, na ndio kaniunganisha na wewe, lakini mimi nikakupenda na kunogewa na penzi lako na ndio maana sijataka kuzifikisha mbegu zako chidi"

Huezi amini mpaka chidi analengwa na machozi mana kweli kama zingelipelekwa mbegu hizo, sijui angelikuwa mgeni wa nani tena,.. Chidi aliikubali kuwa ni mimba yake mana kama kasema ukweli kuwa kwangu hakuja kwa kunipenda bali alikuja kwa kutaka kitu fulani na hatimaye akakipuuza kwakuwa anampenda…

Chidi aliinama chini na kulibusu tumbo la saida kuashiria kuwa keshaikubali mimba hio…

Maskini saida mpaka analia mana haamini kama kweli chidi kakubali mimba hio..

Alipoamka alimnyookea mpaka mdomoni na kumnyonya denda la furaha

"saida… "

"abeee"

"tutailea wote… Ni mtoto wetu wote"

Saida alilia kwa furaha ya hali ya juuu

Lakini chidi bado kabakiza swali moja kwa saida

"saida… Nina swali nataka kukuuliza,.. Yaani ukinijibu nakupenda milele"

"kwahio ina maana sasa hivi hunipendi"

"haoana sina maana hio… Yaani namaanisha nitakuoa kabisa"

Saida kuskia kuolewa, ndio kachanganyikiwa kabisa,

"niulize basi jamani… Mbona unachelewa baby"

Saida alikuwa na hamu na swali hilo ili aolewe, yaani akiulizwa swali lolote hata kama ni siri kwa mama yake, anaweza kusema bila chenga… Kweli saida alidata na chidi sio utani…

"naomba uniambie, huyo rafiki yake mama yako ni nani na unionyeshe na picha yake"

INAENDELEA...

Bonyeza Matangazo Kila Unapoyaona ili Kunipa Nguvu ya Kuendeleza Simulizi

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni