MUUZA CHIPS (80) - CnZ Media

CnZ Media

Jisomee Simulizi Mpya Kila Siku

Jumatatu, 12 Juni 2023

MUUZA CHIPS (80)

UMEWAHI KUONA AU KUSIKIA KUHUSU PICHA ZA AI?
Sasa naomba nikufundishe bure kabisa nawewe uzitengeneze kirahisi kabisa

Mwandishi: MoonBoy

SEHEMU YA THEMANIN
ILIPOISHIA...
Aliongea mama yake Miriam huku akiondoka kwa hasira nyingi sana

Sasa tukija huku hoteli flani hivi walipokubaliana wakutane kijana chidi na saida, saida akiwa kamsubiri chidi kwa muda mrefu sana,..

KUNA MATANGAZO YANATOKEA YAGUSE KILA UNAPOFUNGUA SIMULIZI ILI KUNIPA NGUVU YA KUENDELEA
INSTALL CnZ Media ILI USIPITWE NA MIENDELEZO KILA INAPOKUWA TAYARI

SASA ENDELEA...
"chidi jamani,.. Kwanini unanitesa hivi"

Aliongea saida baada ya kumuona chidi ndio anakuja,..

"samahani kuna mambo yalinitinga sana"

"lakini si ungeniambia… Mpaka naonekana mzugaji hapa"

"samahani mamy"

"ok poa.. Nishakusamehe babaa"

Saida ni mschana mzuri sana yaani kitoto kama cha kiarabu na ni kizuri mno, hata umbo lake japo sio kubwa lakini lilimtosha pamoja na sura yake,…

"leo inaonekana kuna jambo zuri la kuongea"

Aliongea chidi huku akiwa anamshika saida mkono,..

"ndio, tena jambo zuuri unaweza kulifurahia"

Saida ndio yule aliotumwa mbegu za chidi ili zikamponyeshe mdogo wake, na mdogo wake kapona na sasa anatembeza dudu mpaka kero,..

"jambo gani hilo"

"chidiiii mpenzi wangu"

"sema mamy"

"ivi unanipenda kweli babaake"

"haaaaa… Hilo swali lifanye liwe jibu"

"muongo wewe"

"haaaaa basi, ila ukweli ndio huo"

Mara saida kashika tumbo kuashiria tumbo lilikuwa likimuuma,..

"nini tena saida"

Chidi alishtuka baada ya kuona saida kashika tumbo huku kama ana maumivu makali sana

"ivi mbegu zako zina uwanja eee"

"kivipi tena"

"mbona kama anacheza mpira, mi simuelewi uyu boy huku"

Saida alionekana kuwa na uja uzito wa kijana chidi,

"una maana gani saida mbona sijakuelewa hapo"

"chidiiiiii…. Nina mimba yako"

Chidi kuskia hivyo tu, hata ule mkono alioushika aliuachia,.. Na licha ya kuachia mkono wa saida, ila hata sura imeshabadilika kwa kiasi kikubwa sana..

"unasemaje saida"

"jamani chidi mume wangu, ina maana hujasikia au"

"we toka lini kondomu ikaingiza mimba… We si ulikuwaga unataka kondomu wewe"

"sawa, lakini ni miezi ile iliopita.. Lakini mbona wiki mbili zilizopita nilikupa bila kondomu na nia yangu ni unipe mimba"

"aaahhh hapana, sikumbuki siku niliofanya bila kondomu"

"chidi jamani,.. Kumbuka tu, ila mimba ni yako"

"ah ah ah… Tafuta baba wa huyo mtoto bwana"

Saida alianza kulia yaani hakuamini kama chidi angeliikataa hio mimba,..

"chidi, nakupigia na magoti baba, mtoto ni wako"

"saida… Kuna kingine ulichoniitia"

"chidi… Sina kingine, ni hicho tu,.. Ila naomba uikubali tu, kama ni kuilea nitailea mwenyewe, lakini we kubali tu"

"hapana bwana… Mi siwezi kutia mimba juu ya kondomu"

Chidi alikataa katu katu kuwa sio mtoto wake, ila chidi aliikataa damu yake hivi hivi,..

"sawa… Nashukuru sana chidi, lakini huo urijali wako mimi ndio nilioulinda mpaka sasa unaitwa mwanaume, bila mimi hata hio mimba usingenipa,.. Ila mapenzi yangu ya kweli yamenifanya nimsaliti mama yangu, na mpenzi wangu… Ahsante sana chidi, mimba sintoitoa we baki na urijali wako"

Saida aliongea maneno mengi lakini kuna maneno chidi yalimgusa,…

"unasema bila wewe mimi ningelikuwaje"

"sikutaka kukuambia mapema lakini bora ujue tu mana ni upendo wangu"

Chidi alikuwa kasimama, hivyo alijikuta anarudi mezani na kuketi katika kiti ili aambiwe kwanini kama sio saida angelikuwa sio rijali tena

"saida…. Kuna maneno sijayaelewa hapo"

"chidi mpenzi wangu… Nilimsaliti mama yangu kwa kukulinda wewe, mana nilikuwa na tegemeo la uwe mume wangu"

"kwani umefanya nini hebu niambie"

"mbegu zako za kiume zilikuwa zikihitajika kwa udi na uvumba na mimi ndio niliotakiwa kuzichukuwa, lakini kwa mapenzi yangu,… Nikafanya kitu tofauti na nilivyoagizwa.. Unakumbuka siku ile tumemaliza kufanya mapenzi, ulipoenda tu kuoga uliporudi hujanikuta"

"Enheee ndio sijakukuta"

"siku ile ulitakiwa ukose nguvu za kiume, na nguvu hizo zihamie kwa mdogo wangu ambae alizaliwa akiwa hana nguvu za kiume…. Lakini siku ile nilipotoka kwako bila kukuaga nikiwa na mbegu zako kwenye kondomu..

Katika dunia hii hakuna kitu kinachoshindikana chini ya ardhi, akishindwa huyu basi huyu ataweza, maana yake ni kwamba kila mtu kapewa uwezo wake… Binafsi mimi naamini haya mambo ya imani yapo, tena ukileta mzaha yanaweza kukuumbua kiukweli,.. Ridhiwani ni kijana alioumbwa akiwa na nguvu za kiume, lakini mama yake alifanya makosa flani wakati wa kumzaa ridhiwani,.. Jambo hilo ambalo hakuwa akilijua lakini alihisi huenda likawa tatizo kwa mtoto wake, ukweli ni kwamba ridhiwani hakuweza kusimamisha uume wake kutokana na baadhi ya viungo alivyozaliwa navyo kugusana na uume wake, hivyo kisayansi inasemekana ni kweli ila kiimani sijajua vizuri,.. Familia ya ridhiwani kama jinsi ilivyomhangaikia mtoto wao mpaka sasa kapona na anapiga dudu kwa kwenda mbele….. Ila sasa uwezo huo ulitokana na mbegu za kijana chidi ambazo zilichukuliwa na saida katika kondom ili mdogo wake akapone,.. Nadhani waliosoma sehemu za nyuma mnaelewa nini kiliendelea mwanzo mwisho.. Lakini kitu tusichokijua ni siku saida anaondoka na mbegu hizo za chidi, lakini cha ajabu ni kwamba chidi hajazurika kwa kupoteza nguvu zake, na ilijulikana kuwa mwenye mbegu ni lazima aipokee hali aliokuwa nayo ridhiwani.. Lakini ridhiwani kapona na chidi bado yupo na nguvu zake kama kawaida.. Sasa saida anatujuza ilikuwaje siku ile……. TWENDE KAZI

"kwani umefanya nini hebu niambie"

"mbegu zako za kiume zilikuwa zikihitajika kwa udi na uvumba na mimi ndio niliotakiwa kuzichukuwa, lakini kwa mapenzi yangu,… Nikafanya kitu tofauti na nilivyoagizwa.. Unakumbuka siku ile tumemaliza kufanya mapenzi, ulipoenda tu kuoga uliporudi hujanikuta"

"Enheee ndio sijakukuta"

"siku ile ulitakiwa ukose nguvu za kiume, na nguvu hizo zihamie kwa mdogo wangu ambae alizaliwa akiwa hana nguvu za kiume…. Lakini siku ile nilipotoka kwako bila kukuaga nikiwa na mbegu zako kwenye kondomu"

"Enhe endelea"

Sasa hapo saida akaanza kutoa stori siku ile ilikuwaje

TUJUE SIKU ILE ILIKUWAJE MBONA CHIDI HAKUDHURIKA KAMA ILIVYOJULIKANA…

"una uume mzuri, tena uliosimama kama kisiki cha mpingo… Lakini leo ndio mwisho wako wa kusex na mimi… Hiii ni kum** ya mwisho kwako,.. Utabaki kuzila kwa macho tu,.. Wacha nikamponyeshe mdogo wangu, nae ajue raha ya kum** ikoje"

Aliongea saida kimoyomoyo huku akiipanua miguu yake, na chidi hajachelewa kuingiza zakaria yake… Mkao alioka saida ni mkao wa kumfanya mwanaume afike haraka kileleni…

Staili ya mbuzi kagoma na ile ya kifo cha mende afu demu abane miguu akiwa staili ya kifo cha mende, basi mwanaume hua hachelewi kuachia vitu vyake tena ukizingatia ilikuwa ni asubuhi mno,.. Chidi aliachia wazungu wake na kuwajaza katika kondom,

"chidi tosha, we wahi kazini"

Aliongea saida huku akiichomoa ile kondomu iliojaa mbegu za chidi,.

"saida nipe cha mwisho basi mamy"

Chidi aliomba mzunguko mwingine na saida alitamani sana kumpa chidi.. Ila alishindwa kumpa na kujikuta anaongea kimoyomoyo kuwa.

"kiukweli chidi penzi lako ni tamu na hakuna mwanamke atakaeweza kulichoka,.. Lakini utanisamehe nipo kikazi zaidi"

Saida alijisemea mwenyewe kimoyomoyo, huku akimaliza kuivua ile kondom katika uume wa chidi, na wakati hui chidi yeye bado kasimamisha kisiki

"chidi mpenzi wangu we nenda kaoge uje nikuwahishe kazini kwako"

Kweli chidi kuangalia saa ilikuwa inakwenda kuwa saa mbili hivi asubuhi, chidi bila hiana yeye alitoka na kwenda kuoga

"wahi ili nami nioge"

Aliongea saida huku akiifunga vizuri ile kondom ili isiingize hewa na kuzifanya mbegu hizo ziyeyuke na kuwa maji, mana mbegu za kiuke zikiwa zinapigwa na upepo basi zinapoteza ule uhalisia wake zibakuwa maji ila zikiwa sehemu ya joto zinaweza kuishi ndani ya muda fulani… Sasa chidi ile anaingia tu bafuni,.. Huku chumbani saida alivaa chupi yake na nguo zake zote kisha akaichukuwa ile kondom yenye mbegu za chidi kisha akaziweka katika mkoba wake… Dakika mbili nyingi sana kwa saida kutoka hapo,..

Maskini chidi anatoka bafuni haoni mtu

"khaaaaaa uyu mtoto wa kike kaenda wapi tena"

Chidi alijiuliza maswali mengi huku akichukuwa simu yake na kumpigia saida, lakini alipoangalia kwa pembeni aliona kitita cha pesa kama milioni 10 hivi zikiwa zimefungwa kwa rababendi tena zilikuwa mpyaaaaa

"haloo saida upo wapi mamy"

"ooooh sorry mpenzi wangu, nimepigiwa simu na mama niwahi kazini mara moja"

"ok haina shida mke wangu, kazi njema"

Sasa saida ana aleji ya kuolewa yaani pamoja na uzuri wake wote, hajawahi kutaamkiwa neno mke wangu, au nitakuoa,…

"chidi"

"sema"

"umeniitaje vile"

"saidaaaaa, kwani we hufai kuwa mke"

Saida ni mschana mzuri sana, na wana pesa nyingi sana, ila hajawahi kuitwa mke na kitu anachokipenda katka maisha yake kuwa ipo siku atakuja kuwa mke wa fulani,…

"chidi mpenzi wangu… Ina maana una nia ya kunioa"

"kwa mwanamke mzuri kama wewe, sidhani kama nitashindwa kufanya hivyo"

"chidiiiiiiii"

"naaam"

"Sorry for that"

Saida aliongea hivyo kisha akakata simu tena na kuzima kabisaa kwani hakuhitaji kubugudhiwa na simu yeyote ile,…

Sasa chidi anajiuliza kwanini saida aseme sorry for that kuna nini… Au kafanya nini… Chidi kakosa jibu, na kila akipigiwa anaambiwa mteja, (simu ya mteja unaepiga haipatikani)…. Chidi alivaa nguo zake na kuelekea kazini..

Sasa huku njiani kwa saida akiwa kaegesha gari mahari tena akiwa analia lakini hakuwa akilia kwa uchungu bali ni kwa furaha

"katika maisha yangu, sijawahi kuitwa hata mke, japo sijaolewa… Na chidi ndio mwanaume wa kwanza kuniita mke,.. Kwanini nimfanyie hivi mume wangu"

Oooohoooo saida kadata na neno mke,.. Yaani kwa mwanamke anaejielewa neno mke ni jina kubwa sana mbele za mungu kuliko hata hilo jina lako,.. Mi nawashangaa wasichana mnaojiita wazuri tena mnajisifu kwa maumbo yenu kuwa makubwa na mazuri,.. Lakini mbina hamuolewi au sisi wanaume hatuwaoni,.. Ni kwamba mnashindwa kujitambua, mnajifanya ni digitali, utaishia kupaka rangi za kucha na kujipiga picha huku ukijiangalia makalio, mana ndio zenu mnaringia makalio wakati sisi tunataka heshima ndani ya ndoa… Nani kasema ndoa ni mpaka uwe mzuri? Au uwe na umbo… Na jiulize ni wangapi wenye maumbo yao na bado wanabaki kuchezewa tu.. Unajiita mrembo… Kweli ni mrembo lakini ni Urembo wa pesa na sio heshima,.. Mwanamke una miaka 25 hajawahi kuambiwa nitakuoa, na hata dalili za kuolewa kwako hata huzioni, lakini bado wajiita mrembo… Nyoooooookoooooo…. Na ndio mana hata sisi ni chapa ilale, mana nyie wenyewe mnataka pesa na sio heshima, wanaume hatuoni hata mwanamke wa kuoa mana wote ni wafanya biashara, sasa mwanaume nani aoe mfanya biashara,.. Utaishia kujikwatua kila siku wewe na kioo, wakati wenzako wanawauliza waume zao kama wamependeza, sasa wewe utaulizana na kioo chako huku siku zinakwenda… Na ukumbuke kuwa kioo hakidanganyi hata siku moja, hivyo ipo siku utaona ngozi yako itaanza kuvutana,… Hapo hukosi miaka 45 kwenda juu, huna hata ndoa ya kuachika…

INAENDELEA...

Bonyeza Matangazo Kila Unapoyaona ili Kunipa Nguvu ya Kuendeleza Simulizi

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni