Notifications
  • MY DIARY (40)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA AROBAINITULIPOISHIA...Alikuwa akinyata kwa kweli. Kweli hata mimi nilimkubali tu siku ya kwanza ingawa bado nilikuwa sijajua ufanisi wake wa kazi.Nilikaa nae hapo kwangu kwa mda wa siki tatu huku asubuhi tukiamka na kuendelea na kazi.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Ndani ya mda huo nikagundua kuwa alikuwa na uzorfu mkubwasana hivyo kazi hiyo alikuwa akiimudu kabisa.Hapo sasa nilimkubali sana…
  • MY DIARY (39)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA THELATHINI NA TISATULIPOISHIA...Nilikuwa na furaha sana huku nikiamini kuwa ndoto zangu za kuja kuwa mtu maarufu zinaweza kufanikiwa hata kabla ya kuyapata yale madini. Sikutaka mbwembwe niliamua kuikopi na kuipesti hiyo stori kama ilivyo na kuifowadi kwa Mark.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Baada ya kama lisaa hivi Mark alipiga na kuniuliza kama kweli ilikuwa nai mimi nimetunga hiyo…
  • MY DIARY (38)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA THELATHINI NA NANETULIPOISHIA...Usiku nilishituka usingizini baada ya mbu kuning’aata na kunisumbua sana. Niliwachukia sana hao mbu kwa sababu walinikatisha ndoto yangu ambayo nilikuwa nikiota.Ndoto ilikuwa ikielezea jinsi harusi yangu na Mark itakavyokuwa. Ndoto ilikuwa tamu sana maana ilinipa taswira ya picha halisi ya maisha yangu ya mbeleni.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nilishusha neti…
  • MY DIARY (37)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA THELATHINI NA SABATULIPOISHIA...Hapo alitulia tulii kama mtu aliyeaamia dunia ingine. Kimoyo moyo nikawa najisemeha kama amehamia dunia ingine na kuanza kuwaza ujinga sahuri yake mimi nipo kazini bwana acha nitafute hela. Ndio ni lazima nifanye kazi kwa utaalamu na utundu wa hali ya juu ili waendelee kusimuliana huko mjini ili niendelee kupata hela.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Wewe…
  • MY DIARY (36)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA THELATHINI NA SITATULIPOISHIA...Sasa wewe fikiria mimi niliyeletewa zawadi sikujua ni zawadi gani lakini yeye tayari alishafungua na kuchungulia na kujua nini kilifungwa huko ndani.Basi nikaendelea kumuhudumia yule mama huku na yeye akiniambia kuwa itabidi nikimmaliza hizo zawadi tusifungue hapo hapo na waniimbie wimbo wa happybirthday.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Tuliendelea na stori mbili…
  • MY DIARY (35)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA THELATHINI NA TANOTULIPOISHIA...Tatu niliambiwa kuwa ndugu zake na wazazi wake walihusika kwenye mipango hiyo hivyo walibariki kabisa huyo binti kuniacha mimi mumewe wa ndoa na kuamua mtoto wao aolewe upya. Nne ni kwamba huyo mzungu amewaamishia wazazi wake mjini na amewajengea nyumba ya kifahari.Kwa hiyo mimi ninavyowapigiana simu na kuwajulia hali kumbe wenzangu huwa wananichora tu.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA…
  • MY DIARY (34)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA THELATHINI NA NANETULIPOISHIA...Hapo nikakumbuka kuwa zile zana zangu za kazi nilikuwa nazo ni vile vifaaa vya kupimia ukimwi ambavyo huwa navitumia kabla ya kukutana na mwanaume yeyote nisiyemfahamu. Nikaamua kumkubalia huku nikiamini kuwa hiyo ndo kinga yangu pekee iliyobaki kama mwanaume huyo atataka kuzini na mimi usiku huo.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Basi tuliondoka na kwenda sehemu…
  • MY DIARY (33)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA THELATHINI NA TATUTULIPOISHIA...Nilikuwa nachanganya staili za kijamaika na hizi za kwetu, sikuacha pia zile za Nigeria hapo nikapata vitu vyangu vya tofauti kabisa. Basi baada ya kujihakikishia kuwa nipofiti kwa mastahili yangu hayo nilisubiri siku ya shindano ifike nikafanye yangu. Siku ya shindano ilifika na mimi nilikuwa miongoni mwa washiriki walioingia tatu bora.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA…
  • MY DIARY (32)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA THELATHINI NA MBILITULIPOISHIA...Lakini kuchepuka kwangu na kuingia mgombani haikumaanisha kuwa sheria ingeniacha hivi hivi.Ilifika mahali ikabidi nizime gari na kutulia tulii kusikilizia nini kitafuata.Tayari nilikuwa nimezungukwa na mapolisi ambao walikuwa wakinifuatilia kwa kutumia pikipiki.Kwa bahati nzuri dereva wa lile gari na yeye alishafika hapo na alishawaambia polisi kuwa mimi naugua ukichaa na nilifufuka kutoka mochwari.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA…
  • MY DIARY (31)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA THELATHINI NA MOJATULIPOISHIA...“marehemu pia alinieleza kuwa ana miliki duka la vitu vya urembo wa kike ambalo pia Leah analisimamia ila hilo apewe mdogo wake Marry ambaye yupo hapa. Mama mdogo huyo mara baada ya kuyasema hayo alikaa zake chini. Baba mdogo ambaye hakurizika na maelezo hayo alisimama na kusema “kwa hiyo kama marehemu alijua kuwa atakufa hivi karibuni kwani nini hakufuata taratibu za kisheria za kuandika wosia na kurithisha mali.IKIWA UNASOMA…

MUUZA CHIPS (106)

Mwandishi: MoonBoy

SEHEMU YA MIA NA SITA
ILIPOISHIA...
"twende tukamsalimie basi"

"achana nae"

Mariamu alikazania mpaka chidi akakubali kwenda kukutana na sarah

"sarah, we sarah we"

Sarah kugeuka anakutana na chidi uso kwa uso,..

KUNA MATANGAZO YANATOKEA YAGUSE KILA UNAPOFUNGUA SIMULIZI ILI KUNIPA NGUVU YA KUENDELEA
INSTALL CnZ Media ILI USIPITWE NA MIENDELEZO KILA INAPOKUWA TAYARI

SASA ENDELEA...
"unamuita nani hivyo,.. We unanijua wewe,.. Achana na maisha yangu miri nakuomba sana"

"tafadhali sana kwa sasa siitwi miri kwa taarifa yako,… Naitwa Bi Mariamu"

"hainihusu Tena kaa mbali na mimi… Nitakufanya kitu mbaya wewe na mume wako hamtokaa kuamini macho yenu"

Aliongea Sarah huku akiwa kakasirika mno…

"Heheeeee Halooooo…. Mlichonfanyia mume wangu wewe na mama yako vinatosha… Huyu sio Sex Machine,… Mlimuweza kipindi hicho ila sio sasa hivi,… Kwa sasa ni sex Machine kwa ajili yangu tu, na sio kwa mtoto na mama yake kama ilivyokuwa kwenu"

Sasa kumbe Sarah alikuwa hajuagai kuwa yeye na mama yake walikuwa wakishea penzi moja kwa chidi… Sasa leo ndio anajua kumbe yeye na mama yake walimtumikia mwanaume mmoja….

"ati unasemaje we mwanamke"

Sarah aliuliza hivyo kana kwamba kama vile hajasikia vizuri

"nasema na mdomo pua ikinong'ona.. Upo shost,… Special Machine For me"

Ama kweli wahenga walisema kuwa, kabla hujafa hujaumbika, haya maneno ni yakweli kabisa na hayakuongopa hata kidogo… Mabinti wawili waliokua pamoja toka wakiwa wadogo kabisa, mpaka kuanza shule ya msingi wote darasa moja, mpaka SECONDARY SCHOOL nalo darasa moja, kipindi hicho familia zao bado hazija jaaliwa pesa, hivyo walikuwa na maisha ya kawaida sana,.. Wasichana waliosoma IRINGA GIRLS SECONDARY SCHOOL kipindi hicho bado hakuna hata mzazi mwenye pesa, wote walikuwa hali ya chini sana,.. Baba yake na Mariamu pamoja na baba yake Sarah walikuwa wakifanya kazi katika mgodi maarufu kwa jina la Melerani huko mbuguni sjui wapi huko.. Na wote walibebana kwakuwa familia zao zilikuwa zikiishi pamoja,..

Mungu sio asumani, baba wa Mariamu alifanikiwa kupata jiwe kubwa la thamani, na wakati huo baba yake na sarah bado hakufanikiwa kupata.. Baba yake Mariamu alikuwa ni mchimbaji wa kawaida tu, lakini siku hio aliweza kutoweka na jiwe hilo lenye thamani ya shilingi bilioni 3 na pointi kadhaa,. Mzee huyo aliacha kazi za migodi na kurudi nyumbani ambako ipo familia yake,.. Mama Mariamu alishirikishwa na kutoa wazo wafanye nini..

"mume wangu, kwanini tusijenge hoteli"

"mmmhhh mke wangu,.. Hapa Singida ujenge hoteli italipa kweli"

Aliongea mzee huyo kana kwamba hakutaka kujenga hoteli katika mkoa huo wa Singida, mana ndipo walipokuwa wakiishi na ndio kwao.

"sina maana tujengee hapa singida,.. Kwanini tusihamie Jijini Arusha"

"Enheeeeeeee, hilo sasa ndio neno…andaa familia yako vizuri twende"

"hapana mume wangu, we tangulia kwanza ukanunue nyumba kisha nasi tuje"

Basi mzee alitangulia kuingia mjini na kufanya mambo yote ya msingi, mana kwa sasa ni matajiri wakubwa. Baada ya wiki moja mzee karudi Singida kuichukuwa familia yake,.. Wakati huo baba yake sarah hakurudi toka aondoke inakwenda mwezi wa pili sasa,…

"hivi mke wangu baba sarah yupo"

"mmmhhh mume wangu, toka umeondoka nae mpaka leo hajarudi"

"aaahhhh sijui rafiki yangu kaibuka huko aahh.. Lakini watoto wanaendelea na shule"

"ndio, ila inabidi sasa tuwahamishe.. Sasa tuna pesa kwanini wasiende vyuo vikubwa vikubwa"

Wakati huo akina Mariamu na sarah ndio nwaka wao wa kwanza kuingia chuo, ila walikuwa wakisoma katka vyuo vya hali ya chini sana..

"sawa mke wangu… Alafu, unajua mjini nimenunua hoteli mbili"

Aliongea mzee huyo huku mama Mariamu akifurahi sana kuskia hivyo

"safi sana mume wangu… Moja utakaa wewe na nyingine nitakaa mimi"

"hapana mke wangu… Mimi sihitaji kushiriki katika shughuli za hoteli, nataka nirudi mgodini nikawe mnunuzi wa madini… Huko kwenye hizo hoteli utajua wewe utafanya nini"

Baba kaongea na kamaliza,.. Yaani kiujumla familia hizi zilikuwa na urafiki mpaka kwa mababa zao mana si walikuwa wakiishi jirani,.. Kwahio hata mama zao pia walikuwa marafiki vivyo hivyo yaani walivyoishi hawa akina Mariamu na Sarah, ndivyo walivyoishi mama zao…

Baada ya baba kuachana na mambo ya hoteli karudi zake mgodini kununua madini.. Huku mama Mariamu anafikiria atafanya nini katika hizo hoteli mbili mana kama Mariamu angelikuwepo basi moja angeimiliki Mariamu, ila alikuwa hayupo kwa wakati huo yupo chuo kikuu cha Dodoma (UDOM)

Wakati huo mama Mariamu tayari wapo mjini, na wazo la kumiliki hoteli ya pili asingeliweza hivyo kampatia rafiki yake kipenzi Grace au mama sarah aimiliki na amletee hesabu kila mwezi….

Na kule mgodini nako baba Sarah nae kaibua jiwe lake lenye thamani ya bilioni moja na pointi kadhaa, nae kawa mnunuzi mdogo mdogo wa madini, akiongozwa na baba yake Mariamu,… Mpaka kufikia hivi sasa wote ni matajiri wakubwa, sema wanazidiana pointi za kwenye benki,.. Baba yake Mariamu kidogo alikuwa na mpunga mrefu kiasi…

Baada miaka kadhas ndio mama sarah akaja kuinunua hio hoteli aliopewa na mama Mariamu, tena pesa alionunulia ni ile aliopewa na mama saida kwa kazi ya kumponyesha mtoto wake,.. Hivyo akachanganya na yakwake na kuinunua hoteli hio… Na mpaka sasa ni matajiri wote…

Lakini kwa watoto nao walikuwa vizuri na walipendana sana, waliweza kufichiana siri zao, tena huyu anaenda kulala kwa huyu na huyu kesho atalala kwa huyu… Yaani walipendana sana, lakini mmoja alikuwa hapendi mambo ya mapenzi, kwasababu keshazoea ile tabia ya boding… Wanajua wenyewe, kwani ilimfanya asitamani mwanaume….. Lakini wawili hao waliopendana kama ndugu kumbe ni rafiki, leo wanatengana tena kwa vitisho vya hali ya juuu kisa ni mwanaume mmoja tu waliokuwa wakimgombania, lakini sarah alikuwa hajui kama mwanaume huyo huyo alikuwa akitembea na mama yake mzazi,… Lakini leo walipokutana katika supamaketi moja hivi jijini Arusha iitwayo NAKUMAT SUPERMARKET,.. Mariamu alimwaga siri yote juu ya chidi na mama Sarah.. Sarah anashangaa na kuduaaa

"ati unasemaje we mwanamke"

Sarah aliuliza hivyo kana kwamba kama vile hajasikia vizuri

"nasema na mdomo pua ikinong'ona.. Upo shost,… Special Machine For me"

Aliongea Mariamu kisha hao wakaondoka yeye na mume wake huku wakiwa wameshikana mikono, magari yapo nyumbani lakini wanatembea kwa mguu,..

BAADA YA SIKU HIO KUPITA

Na leo ni siku nyingine tena, tukiwa katika jengo la kitajiri la mama Sarah,

Walikuwa wanakula chakula cha mchana, ikiwa ni siku ya juma pili,.. Lakini sarah alionekana kukosa raha kabisa hata chakula hakishuki

"Sarah mwanangu, toka jana uliporudi supamaketi huna raha kabisa, na nilishindwa kukuuliza mwanangu nikajua umechoka, sasa kwanini mpaka sasa huongei, furaha yako nilioizoe leo siioni tena"

Aliongea mama sarah au Grace, huku Sarah akizidi kububujikwa na machozi

"sarah mwanangu, kwani kuna nini… Au kwasababu Mariamu kaolewa na mpenzi wako"

"ishia hapo hapo mama… Ivi kama yule kijana angelinioa mimi ingekuwaje, tungeishi vipi mimi na wewe,.. Angekuita nani na mimi angeniita naniiiii… Uuuuuuuwwwiiiiiiiii hihihihihihihi…. Iiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii……. Uiiiiiiiiiiiii…. "

Sarah aliongea huku akilia kwa sauti ya juuu,… Mama kusikua tu vile alijua moja kwa moja kuwa sarah keshajua kila kitu kuhusu mahusiano yake yeye na chidi…

"mwanangu sarah"

"sitaki,.. Yaani namchukia Mariamu wa watu kumbe na wewe ulikuwepo.. Yule chidi si mwanao kabisa mama.. Uuuuuuuwwwiiiiiiiii iiiiiiii…. Iiiiiiiiiiiiiiiiiiiii"

Mama alijua moto umeshawaka hapa na hauzimiki, ilibidi mama aende akalale kwanza ili mtoto atulize hasira zake… Lakini mama sarah wakati huo huo kavuta simu na kumpigia chidi,

"we mpumbavu kwanini unataka kunigombanisha na familia yangu.. Kwanini lakini"

"mamiiii, mimi nimefanya nini kwani"

"kwanini umemwambia Sarah ujinga wako huo"

Sasa chidi ndio akakumbuka kuwa jana Mariamu aliongea vile pale supamaketi,…

"lakini mama… Bora mtoto ajue tu"

"mbolo yako wewe,.. Mimi sio mama yako mbwa wewe… Afu kwa taarifa yako nina ukimwi, na nimeshakupa ukafie mbele na huyo fara wako"

Mama Sarah alikata simu, sasa kumbe sarah alisikua yote aliyoongea mama yake, lakini jambo liliomchoma ni kusema ana ukimwi.

"mamaaaaa, ina maana kweli una ukimwi mama"

Sarah alianza kulia upya mana kama mama ana ukimwi basi hata mtoto mtu anao, mana wote walitembea na chidi…

"mama umeniua mwanao mama"

Wakati huo huku hotelini chidi akiwa ndio boss mkuu wa hoteli hiyo, mana mama Mariamu keshawakabidhi hio hoteli, yeye kapumzika nyumbani hataki tena presha, sasa vijana ndio wanahangaika na hoteli hio.. Kitu na mkewe kwenye kazi moja.. Mke akiwa katika nafasi yake ile ile ya keshia kama zamani,.. Na chidi akiwa ofisi kuu… Lakini wakati huo chidi anahaha hapo ndani yaani jasho linamtoka kila kona kwa kusikia kuwa mama sarah ana ukimwi, yaani chidi alikuwa mwekundu ghafla kwa wasiwasi,..

Chidi hakutaka kuteseka kwa mawazo bora atende akahakiki kama ni kweli au laa, mana anakumbuka kuna kipindi walipima na mama sarah na akawa hana,…

"babuu unakwenda wapi tena"

Aliuliza Mariamu huku akitaka kulia, yaani Mariamu anadeka ile mbaya, yaani kuuliza tu anataka hata kulia

"nakuja baby.. Sasa hivi nakuja"

Chidi alikimbilia Hospitalini fasta fasta, mana siku hizi kuna vipimo na majibu papo hapo, yaani lisaa limoja tu umeshajijua afya yako… Chidi kakaza moyo kweli, mana kuliko akonde kwa kuwaza anao au hana bora ajue moja….

"vipi dokta"

"salama hali yako boss"

"aaahhh safi tu… Sasa hebu nipime ugonjwa"

"ugonjwa… Ugonjwa gani sasa"

"nipime H_H"

"H_H ndio nini"

"ukimwi bwanaaaa…. "

"aaahhhhh HIV si ndio"

"sasa kwani nimekwambia umalizie hizo herufi.. Mi sitaki watu wajue na ndio mana nikasema H_H… Ebu nipime sasa"

"ok.. Ngoja tusubiri damu ipoe kwanza"

Chidi alisubiri mpaka vipimo vikachukuliwa na kuanza kupimwa.. Wakati huo roho juu juu hana hata chembe ya raha….

Tukija huku kwa mama sarah akiwa na mtoto wake….

"mama umeniua mwanao mama"

Aliongea Sarah huku machozi mengi yakimtoka kwa spidi…

"hapana mwangu… Nimemtishia tu yule mjinga, ili tu aanze kuikosa amani"

"heeeeeeee ina maana huna"

"wala sina mwanangu.. Nataka nimtie jamba jamba tu"

Sasa Sarah kuangalia umbo la mama yake, kiukweli lilikuwa linaita, yaani yeye na mama yake wana maumbo yasiozeheka, hivyo mama yake alikuwa bado anaita tu, japo ana umri.. Sara akitabasamu kwa kuona umbo la mama yake bado bichi, hivyo hakuwa na kosa kutembea na chidi..

"hivi mama, kama chidi angenioa.. Ivi ingelikuwaje"

Sarah aliuliza hivyo lakini hakuwa na hasira tena…

INAENDELEA...

Bonyeza Matangazo Kila Unapoyaona ili Kunipa Nguvu ya Kuendeleza Simulizi
52 Muuza Chips Simulizi
Jiunge kwenye mazungumzo
Chapisha Maoni