Notifications
  • MWALIMU MKUU (9)
    Jina: MWALIMU MKUUMtunzi: __SEHEMU YA TISAILIPOISHIA...Upande wa rameki alifika bwenini, alimlaum Irene kwa kumuamsha moli wake bila kumpa msada aliingi bafuni alijimwagia maji kisha akatoka, alivaa nguo zake kisha akachukua kitabu na kuwelekea darasani kujisomea.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈ENDELEA...Mwalimu mkuu aliruhusiwa kisha akafika nyumbani kwake alijiraum kumfukuza rameki“”Mmh hii mimba naisi itakuwa ya rameki maana yule mtoto…
  • MWALIMU MKUU (8)
    Jina: MWALIMU MKUUMtunzi: __SEHEMU YA NANEILIPOISHIA...Kwa upande wa rameki alikwenda shuleni kuangalia matokeo yake alifaulu yule ya ruhowiko jwtz sekondari iko songea mjini INA mchanganyiko wa wafulana na sichana.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈ENDELEA...Hatimae rameki alimuaga bi sani kwamba anaelekea shuleni bi sani aliuzunika sana kukaa mbari na rameki aliahidi atakuja kumtembelea ili amtibu kiu yake.Hatimae rameki aliondoka kuaza…
  • MWALIMU MKUU (7)
    Jina: MWALIMU MKUUMtunzi: __SEHEMU YA SABAILIPOISHIA...“” sawa mpenzai,”alijibu rameki kwa kishingo upande“”Oooh jina nzuri asante sana”alijibu mwalimu uku akimkumbatia rameki kisha akamwagia mvua ya mabusu uku tens akipapasa kifua cha rameki.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈ENDELEA...Rameki alihisi raha ya ajabu alimvakamiamwalimu wake kisha akamvakamia maziwa yake kwa pupa kama ana wait basi LA mkoani UBONGO.“” rameki ashhhiiiii chomeka…
  • MWALIMU MKUU (6)
    Jina: MWALIMU MKUUMtunzi: __SEHEMU YA SITAILIPOISHIA...Hatimae rameki alipata nafuu alizinduka Mama ake alifurahi kumuona mwanae akiwa amepata fahamu“””Eeeee mungu kweli umesikia kilio changu asante sana(uku alifurahi)pole mwanangu””IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈ENDELEA...“”Asante mama”alijibu ramekiMama rameki na mama loly walirudi nyumbani kumchukulia rameki chakula kwani tangu asubui akupata mlo.*********Upande wa bi sani alifurahi…
  • MWALIMU MKUU (5)
    Jina: MWALIMU MKUUMtunzi: __SEHEMU YA TANOILIPOISHIA...Mama roly alivyosikia rameki anataka kumwaga alimtema yule nyoka na kumficha pangoni mwake, rameki alimpambu mama roli kwa kasi ya ajabu kama ndege ya vita ikimbiavyo angani“Ramekiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!! tombaaaa”rameki na mama roli walipiga madafu kama manne “heeee rameki siamini???!!”IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈ENDELEA...“kwannn??”rameki aliuliza“DUDU LOTE HILI…
  • MWALIMU MKUU (4)
    Jina: MWALIMU MKUUMtunzi: __SEHEMU YA NNEILIPOISHIA...Mwalimu mkuu alistuka kuguswa na kitu kwenye makalio yake alijua rameki atakuwa kaweka mzigo nyuma yake rameki alivyoona ajakaa vizuri alisogea ili akae vizuri mwalimu mkuu alistuka kitu kama tango kikimgusa tena alipitisha mkono ili aone nn alistuka “MUNGU WANGUU”IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈ENDELEA...Rameki alistuka mwalimu mkuu alivyoshika tango lake akapaza sauti“AAAAAA MWALIMU…
  • MWALIMU MKUU (3)
    Jina: MWALIMU MKUUMtunzi: __SEHEMU YA TATUILIPOISHIA...chausiku alishangaa kuziona zile sale “JAMANI NANI KAKUPA MWANANGUU??!!”aliuliza chausiku kwa mshangao“Kaka juma”alijibu ramekiIKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈ENDELEA...“Oooh juma jamani mungu akubariki ooooh asante mungu”alitamka mama rameck uku akinua mikono juuRameck alizijalibu zile nguo hakika alipendeza sana adi mama ake alimfagilia kwa vigeregere “jamani juma mungu akuwekee…
  • MWALIMU MKUU (2)
    Jina: MWALIMU MKUUMtunzi: __SEHEMU YA MBILIILIPOISHIA...“MUNGU WANGU YULE SI MZEE ALINANI???!!!”aliuliza chausiku kwa mshangao chausiku alimuangaria mzee alinani ambae amepoteza furaha yake ya kusomaMzee alinani alikuwa anakuja kuangaria bishala zake pale sokoni kwa kina chausiku.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈ENDELEA...Mzee alinani alistuka kumuona chausiku alikwepesha macho yake kwa aibu alitoka kwenye soko lile, chausiku alimpitia…
  • MWALIMU MKUU (1)
    Jina: MWALIMU MKUUMtunzi: __SEHEMU YA KWANZA“MAMA USIFE MAMA NITAISHI VP NA HII MIMBA MAMA”ilikuwa ni sauti ya mdada aitwae chausiku akimwambia mama ake asifee bado anamtegemea mama ake na mimba yakee“CHAUSIKU MWANANGU NAJUA MIMI NDIYO TEGEMEZI LAKOO NILIPAMBANA NA KILIMO ILI USOMEE LAKINI UMECHEZEA SHIRINGI CHOONI MWANANGU UMESHIKA MIMBA BADO MWAKA MMOJA TUU UMALIZE LAKINI NDO IVYO MWANANGU MIMBA NDO ISHAINGIA SINA BUDI KUKUFUKUZA INGALI UKO MOYONI MWANGU NAKUPENDA MWANANGU CHAUSIKUU ILA…
  • THE NIGHTMARE (9)
    Jina: THE NIGHTMAREMtunzi: Hussein O MolitoSEHEMU YA TISAILIPOISHIA...“mmenifananisha, mimi ndio kwanza naigia ofisini mida hii.” Aliongea yule afande na kuigia kituoni.“sasa aliyekuwa anatuhoji ni nani kama sio huyo?”Alijikuta anajiuliza mwenyewe swali lililompa utata mkubwa kichwani mwake.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈ENDELEA...Wakati wakiwa hawajui hili wala lile, walishangaa kuona maaskari wakijazana pale na ambulance ikafika…

MUUZA CHIPS (107)

Mwandishi: MoonBoy

SEHEMU YA MIA NA SABA
ILIPOISHIA...
Sasa Sarah kuangalia umbo la mama yake, kiukweli lilikuwa linaita, yaani yeye na mama yake wana maumbo yasiozeheka, hivyo mama yake alikuwa bado anaita tu, japo ana umri.. Sara akitabasamu kwa kuona umbo la mama yake bado bichi, hivyo hakuwa na kosa kutembea na chidi..

"hivi mama, kama chidi angenioa.. Ivi ingelikuwaje"

Sarah aliuliza hivyo lakini hakuwa na hasira tena…

KUNA MATANGAZO YANATOKEA YAGUSE KILA UNAPOFUNGUA SIMULIZI ILI KUNIPA NGUVU YA KUENDELEA
INSTALL CnZ Media ILI USIPITWE NA MIENDELEZO KILA INAPOKUWA TAYARI

SASA ENDELEA...
"mmhhhh mwanangu ningeacha, mana tayari keshakuwa mkwe, hivyo ningeachana nae"

"mmmmhhh mamaaa, chidi alivyo mtamu vile ungesubutu kweli"

Mama sarah kuskia hivyo alijiskia furaha na kujua kuwa mwanae kesharudi katka furaha yake..

"Sarah, mimi sikutaka kushiriki mwanaume mmoja na wewe,.. Kwasababu chidi angelikuwa mfanyakazi wetu, lakini nikaona mnaweza kupendana pale ikawa tabu, ndio nikampeleka kule kwa Mariamu,.. Nikajua lile jike dume halijui kupenda, kumbe ndio mbuzi kafia kwa muuza supu"

"kwahio ulimpeleka kwasababu ya mimi nisimuone"

"ndio.. Na nikakukataza usiende hotelini kwa akina Mariamu"

"mmmhhh mama kumbe msiri wewe"

"ni msiri kwa ajili yako mwanangu, lakini imeshindikana, lile toto la kahaba hata haliridhiki na mwanamke mmoja"

"basi mama angu.. Mimi nimeshakusamehe… Lakini be careful mama angu"

"siwezi tena kufanya hivyo mwanangu"

"lakini mama… Chidi sintomuacha lazima alipe huu uharibifu wa familia yetu lazima alipe tu"

"saraaaaa mwanangu unataka kumfanya nini"

"kwani unampenda tena"

"hapana… "

"basi tulia kimya.. Atalipa yote"

Tukija huku hospitalini chidi alikuwa anatoka huku akifurahi, kumbe alichezewa kamchezo tu, lakini alikuwa poa, hana ugonjwa wowote ule…

Lakini ghafla simu inaita.. Kucheki jina alikuwa ni saida, yule dada yake na ridhiwani..

"haloo saida mambo"

"yaani mkeo unaniita saida"

"mke wangu nani tena"

"sitaki uniite saida chidi.. Kwa sasa nina mimba yako na nataka niolewe na wewe"

"aaahhhh saidaaaaa"

"please hebu tukutane chidi"

"wewe upo wapi"

"nipo hapa Rasco hoteli"

"ok naja hapo"

Chidi aligeuza gari mpaka Rasco hoteli, na kumkuta saida kavimba tumbo,.. Yaani mimba imekuwa kubwa mana ana miezi kadhaa hajaonana nae

"waooooo saida, hii ni ile mimba kweli"

"ndio mume wangu"

Saida alikuwa anatamani aolewe, tena anampenda chidi kuliko.. Lakini chidi hakutaka kumficha kuwa ana mke

"saidaaaa….. "

"abeee mume wangu"

"Samahani sana…"

"nini tena baba king"

"mimi nina mke saida… "

Maskini ya mungu saida alianza kulia bila mpangilio, yaani alitia huzuni sana kwa chidi kwani saida ndoto yake ni kuolewa na chidi..

"pole saida"

"hapana… Lazima uwe mume wangu chidi"

"sasa mimi nina mke saida"

"sawaaaa… Kwani nyie si mnaruhusiwa kuoa wake wanne"

"duuuuuuu"

Chidi alishangaa kuona ni ajabu mwanamke kutaka awe mke wa pili

"chidi… Nipo tayari kuwa mkeo wa pili.. Nitamueshim mkeo.. Utalala kwangu siku mbili afu utalala kwa mke mkubwa siku tano.. Nipo tayari, kikubwa nami niitwe mke wa mtu chidi Please"

Yaani chidi alishangaa sana kuskia hivyo, hakuwahi kukutana na maneno kama hayo, yaani mwanamke anaetaka kuwa mke wa pili…

"sawa ebu niachie hilo jambo nilifanyie kazi"

"lakini nataka mkeo ajue.. Sitaki kuiba, nataka ajue kuwa mimi ni mmoja kati ya wake zako.. Ila nitamheshimu sana mkeo.. Naomba ulifanyie kazi chidi wangu.. Siku mbili kwa mke mdogo afu siku tano kwa mke mkubwa.. Nitaridhika iwe hivyo kikubwa uwe mume wangu chidi"

"saida.. Hebu niache nilifanyie kazi, mana jinsi unavyoongea nazidi kupata machungu eti,.. Lazima niwe muneo ila mpaka niongee na mke wangu"

"au twende nikaongee nae"

"saidaaaa acha haraka utaharibu sasa"

"sawa baba… Ila Fanya haraka tufunge ndoa kabla sijajifungua basi"

"usijali…. "

Chidi aliamka na kumchapa mate ya nguvu, na kumfariji saida.. Mtoto wa Kiislamu aliojawa na upole wa hali ya juu…. Basi chidi na saida waliachana huku saida akiwa na furaha ya hali ya juu mno

Ilikuwa ni jioni chidi kapitia hotelini na kumchukuwa mke wake,..

"afu ebu tukamsalimie mke mwenzangu"

Aliongea Mariamu kumaanisha tukamsalimie mke wa Ibrahim, kule alipokuwa anaishi chidi zamani, mana kwa sasa chidi na Mariamu wamezawadiwa mjengo na Agness au mama Mariamu..

Walipofika walimkuta Ibrahim na mke wake wapo hapo nje wanapunga upepo,.. Walisalimiana pale lakini chidi alikuja na pointi moja ya msingi

"kaka…"

"sema dogo langu"

"mi naona wakati wa ndoa yenu imefika sasa"

"ni kweli, lakini kwanini usituache kidogo"

"niwaache kwanini"

"hali si hali mdogo wangu"

"sikiliza kaka.. Mimi nitaigharamikia ndoa hio mwanzo mwisho"

Ibrahim hakuamini, yaani mwanaume mkubwa lakini machozi ya furaha yalimtoka,.. Tena akikumbuka alivyomnyanyasa chidi,.. Ndio alizidi kutokwa na machozi..

"sawa mdogo wangu, nipo tayari kufunga ndoa hata kesho"

"aaahhh nitawapa mwezi mmoja mbele kabla ya ndoa… Na kuhusu kazi, mi naona tutafanya kazi wote pale hotelini… Au vipi mke wangu"

Chidi alimgeukia mkewe ili kupeana mawazo ya hapa na pale..

"heeeeeeee kwani mi ndio boss,.. Boss si wewe mwenyewe"

Aliongea Mariamu huku wakiangua vicheko…

"kiufupi ni kwamba kwa kazi unayo.. Ila ndoa tufanye mwezi ujao"

"Ahsante sana mdogo wangu… Mungu akubariki kwakweli"

Basi chidi na Mariamu waliaga ili waondoke zao, mana ujumbe waliouleta umeshafika… Lakini Mariamu kamvuta mkono chidi na kumwambia kuwa

"unamuona mke wa kaka yako alivyo"

Aliongea Mariamu huku akimuangalia mumewe

"ndio.. Namuona mweupe hana hata chunusi, labda tumuulize siri ya urembo wake"

"babuu mi spendi unizingue ujue"

"kwani vp tena"

"yule shemeji yako pale ana nini"

"aaaaahhh ahh si kavaa dera, tena kapendeza kweli"

"unajua ntakutia kichwa cha meno… Ivi unaweza kuniambia sababu ya lile dera"

Sasa chidi ndio akaelewa kuwa Mariamu alikuwa anataka nae awe mjamzito kama shemeji yake…

"usijali mke wangu.. Twende tukakitafute hicho unachokitaka"

Basi ilikuwa ni furaha kubwa ndani ya familia hio….

BAADA YA MWEZI MMOJA KUPITA

Na leo ndio siku ya kufunga ndoa ya kaka yake na chidi… Jukwaa lilipamba moto kwa burudani zilizokuwemo humo.. Mke wa chidi ndio alikuwa mtu wa pembeni wa bibi harusi, lakini alikuwa akiserebuka huku akishika tumbo lake lililo onyesha kuwa na yeye ni mjamzito wa mwezi mmoja.. Tena inaonyesha kabisaaaa, lakini Mariamu hakuwa akijali kama ni mjamzito, yeye alikuwa akifurahi kwa ndoa ya shemeji yake ambae ni kaka yake na chidi….. Sasa chidi kahisi wivu jinsi mke wake anavyocheza na bibi harusi pamoja na watu wengine.. Ikabidi chidi nae aingie kati na kuanza kucheza na mke wake.. Furaha ilizidi kuwepo ndani ya ukumbi huo…

Lakini ghafla ulisikika mlio wa Risasi kila mtu kinyaa,.. Lakini chidi alishangaa mkono wa mke wake unamuachia taratibu,.. Kumbe hio risasi ilimpata mke wa chidi ambaye ni Mariamu, chidi haamini macho yake kwa kile kinachotokea,.. Chidi kwa hasira alisimama ili kuangaza macho,… Cha ajabu na cha kushangaza alimuona sarah kashika bastola,.. Sasa ile chidi anataka kushuka jukwaani ili kumfata Sarah pale alipo, Sarah bila kujali, alimfyatulia chidi risasi ya kichwa,.. Chidi alidondoka pembeni ya mke wake.. Wakati huo Mariamu ndio anamalizikia kuiaga dunia, chidi alipapasa pembeni ili kumshika mke wake,.. Ikiwa ndio safari yao ya mwisho

"mamuuu mke wangu"

Chidi alijitutumua na kumuita mke wake,

"mamuuuuu"

Aliita chidi, huku na yeye nguvu zikimwishia… Alishangaa mkono wa mke wake umelegea ghafla…. Na yeye alikuwa analegea vivyo hivyo,..

"Mamuuu mke wanguuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu"

"we pumbavu wewe, nani mkeo… Yaani mimi ni mkeo mimi"

Heeeee kumbe chidi alikuwa anaota

"mamy,.. Mke wangu yupo wapi"

"we mtoto ushakuwa chizi sasa, huyo mke we ulimuokota wapi"

"mama.. Mimi nimeoa eti,.. Afu tukapigwa risasi"

"hebu amka mi nataka niende supamaketi sasa hivi"

"kwaio wataka nikupeleke au"

"hapana… Usije ukaondoka"

Aiseeee kumbe chidi alikuwa anaota, hakuwa na mke wala ndugu yake mke,.. Hakuna cha Mariamu wala Sarah,.. Mara ghafla mdogo wake wa kiume kaingia

"kaka sheby, mpira umeanza twende"

"nani na nani"

"Man U na Arsenal"

"ayaaaaa bonge la game hiloo ngoja naja"

Kijana huyo aliamka na kwenda kuangalia mpira hapo sebuleni kwao, tena walikuwa ni matajiri haswa haswa… Tena haitwi Rashidi.. Anaitwa Sharbiny (Sheby).. Na mdogo wake aitwaye Rajabu…

MWISHO

Bonyeza Matangazo Kila Unapoyaona ili Kunipa Nguvu ya Kuendeleza Simulizi
51 Muuza Chips Simulizi Z51
Jiunge kwenye mazungumzo
Chapisha Maoni