MUUZA CHIPS (82) - CnZ Media

CnZ Media

Jisomee Simulizi Mpya Kila Siku

Alhamisi, 18 Aprili 2024

MUUZA CHIPS (82)

UMEWAHI KUONA AU KUSIKIA KUHUSU PICHA ZA AI?
Sasa naomba nikufundishe bure kabisa nawewe uzitengeneze kirahisi kabisa

Mwandishi: MoonBoy

SEHEMU YA THEMANINI NA MBILI
ILIPOISHIA...
"niulize basi jamani… Mbona unachelewa baby"

Saida alikuwa na hamu na swali hilo ili aolewe, yaani akiulizwa swali lolote hata kama ni siri kwa mama yake, anaweza kusema bila chenga… Kweli saida alidata na chidi sio utani…

"naomba uniambie, huyo rafiki yake mama yako ni nani na unionyeshe na picha yake"

KUNA MATANGAZO YANATOKEA YAGUSE KILA UNAPOFUNGUA SIMULIZI ILI KUNIPA NGUVU YA KUENDELEA
INSTALL CnZ Media ILI USIPITWE NA MIENDELEZO KILA INAPOKUWA TAYARI

SASA ENDELEA...
Saida kuskia hivyo akawa kimya na kuanza kulia,

"sasa walia nini"

Aliuliza kijana chidi huku akimshika saida wake au mama wa watoto wake mkono,

"chidi…. Kulia kwangu ni kumaanisha kwamba kama ulipanga kunioa kwa kusema hivyo basi hutonioa"

"kwanini… We niambie tu"

"chidiiii mi sijui kama utanielewa kwakweli"

Aliongea saida huku machozi yakimtoka kwa utaratibu mzuri, yaani saida hata akilia ni uzuri tu umetawala katika sura yake,..

"we niambie tu saida"

"kiukweli kabisa mimi simjui… Nakumbuka mama ndio alinipa namba yako kuwa katumiwa na huyo rafiki yake, hivyo mimi simjui huyo rafiki yake mama"

"yaani hata namba yake huna"

"yaani mimi nimepewa habari zako na mama tangu na mama yangu nae kapewa na huyo rafiki yake, hivyo mimi nilipewa namba na kuambiwa anafanya kazi za hoteli, sasa ndio nikapata kigezo cha kukuanzia lakini hata mimi nilikuwa sikujui na hata nilivyoambiwa nije nisex na wewe nilikataa kabisa, lakini nikaona mdogo wangu ni wa kiume nami nahitaji wifi ikabidi nikubali kukutafuta, ndio nikapewa namba yako na mama yangu mimi, lakini mama yangu nae alitumiwa na rafiki yake… Ni hivyo tu lakini huyo mama mimi simjui"

Chidi hakuwa na jinsi ya kuendelea kumuuliza mana ni dhahiri alioyaongea yalikuwa ni Ya kweli tupu…

"basi mamy, amka na unyamaze kulia"

"umenielewa lakini"

"yes"

"thenx my love"

Saida alimuegemea chidi kifuani huku akifutwa machozi na chidi,… Chidi alikuwa katika wakati mgumu sana kwa wakati huo…

Sasa chidi akiwa kakumbatiana na saida kwa kumnyamazisha… Mara simu yake iliita, chidi kuangalia alikuwa ni mama sarah

"haloo mamy"

"chidi jamani unachelewa baby"

"nakuja sasa hivi"

"wahi basi saa tisa hii jamani"

"ok nakuja"

"ok poa baby"

Simu ilikata kisha chidi akamuinua saida akae katika kiti chake

"sasa baby mi naondoka"

Aliongea chidi na kumfanya saida nae aamke kwa ajili ya kuondoka…

"sawa twende"

Saida alitaka waende wote huko chidi anapokwenda

"hapana, naomba uende nyumbani saida"

"lakini kwanini chidi hunipendi, kumbuka nina mtoto wako tumboni eti"

"sawa… Kwani kuwa na mtoto wangu tumboni mwako ndio tutembee wote kila mahari, mbona hata mke na mume hawafanyi hivyo"

"ok sawa, basi wacha mi niende nyumbani"

Aliongea saida huku akichukuwa kipochi chake na kwenda kwenye gari yake, chidi yeye hana hata gari lakini anamilikiwa na matajiri wakubwa jijini hapo…

Tukija huku ofisini kwa Ibrahim, akiwa ndio anarudi peke yake mana alipopigiwa simu na mke wake ile asubuhi aliambiwa asifike ofisini, sasa saa hizi saa tisa hiii ndio anakwenda hapo ofisini, lakini alipofika alishangaa wafanyakazi wote waliokuwa wakimchekea leo wamenuna wote,… Hakuna aliokuwa na furaha nae hata mmoja,.. Na yeye alijua mke wake alitania lakini haikuwa utani, Ibrahim kastopishwa kazini mana kampuni ilikuwa inayumba kwa matumizi yake kuwa mabovu,…

Ghafla secretary anamzuia asiingie ndani zaidi

"boss kasema huruusiwi kuingia ndani, yaani hata huyo mlinzi mwenyewe yupo matatani kwa kukuruhusu uingie ndani"

Aliongea secretary tena akiwa siriasi kweli

"batuli wewe si ulikuwa unaniheshim wewe"

"ni kwasababu ya pesa, ila kwa sasa pesa ipo nje ya himaya yako, hivyo kukuheshimu ita take time kidogo"

Lakini Ibrahim alipokuwa hapo, kuna kitu alikikumbuka, na huenda kikamseidia… Basi Ibrahim hakutaka kubisha alitoka hapo na kupanda pikipiki mpaka benki,.. Na kuwa kote tajiri lakini hana hata gari ya kutembelea… Alipofika benki cha kwanza ni kuingia ATM CARD yake… Lakini pale pale presha ilimuamka na kudondoka chini,… Wasamalia wema walimueka katika gari na kumuwahisha hospitalini…

Tukija huku kwa chidi aliokuwa anakaribia kufika nyumbani kwake,.. Mara simu iliita, kucheki jina alikuwa ni sarah

"mambo chidi"

"safi niambie mamy"

"saaafi, upo wapi"

"nipo nyumbani"

"weee leo hujaingia kazini"

"ndio"

"sasa… Leo Nakuja kwako nataka nilale huko"

"uje?… No leo nimechoka sarah"

"no baby, mi nakuja jioni, wacha nimsubiri mama arudi afu nami nakuja"

Chidi alikata simu, mana hawezi kumkataza kuja na pia hawezi kumwambia njoo na wakati mama sarah yupo, ila chidi hajui kama huyo sarah na mama sarah ni kitu na mwanae hio yeye hajui kabisa…

"waooooo boy wangu nimekusubiria hapa nje mpaka nimechoka yani"

Alikuwa ni mama sarah aliokuwa nje ya nyumba ya chidi alipopangisha,.. Basi chidi na jimama lake waliingia ndani huku wakishikana shikana, ila mpaka sasa mama sarah amebaki na maswali toka miezi iliopita kuwa, kama ni Ridhiwani kapona lakini mbona boy wake bado yupo vizuri na aliamniwa kuwa kazi ikiisha huyo kijana nanii yake italala doro,. Kumbe hajui kuwa saida kafanya yake hivyo chidi ana nafasi kubwa sana ya kumshukuru saida,..

Mama sarah alikuwa ana hamu ya mapenzi na kijana huyo japo juzi juzi tu walitoka kitandani ila si unajua mijimama inavyotumia pesa zao kwa vijana,.. Mama alijikuta anabakiwa na chupi tu,

"mmnhhh mama wa chupidera"

"yes zile zile unazopenda.."

Hata chidi nae alikuwa na hamu na mama sarah hivyo wote walikuwa kama wamemisiana hivi… Chidi hatujamsahau kwenye mambo yake,.. Mama sarah alikuwa akirusha tu miguu kwa kung'atwa ng'atwa love bite za shingo… Shanga alizovaa ndio zilikuwa dili kubwa kwa kijana chidi,.. Mama sarah hakutaka kuzidiwa na chidi, aliishika zakaria ya chidi na kuanza kumfanya kama Roll Pop, hii ni kwa mara ya kwanza mama huyo kufanya kitu kama hicho kana kwamba kwa sasa mama sarah kampenda chidi mpaka kufa, yaani yupo tayari kwa lolite, mana mwanzo alikuwa yupo kipesa zaida, sasa pesa kapata na mtu wake bafo yupo vizuri hivyo kazidisha upendo mara dufu zaidi, alichokuwa anakihisi chidi anakijua mwenyewe… Mama sarah alilala kwa kualalia tumbo na kumuachia chidi mgongo aufanya atakavyo, chidi akiangalia ile chupi ya mama sarah ilivyomkaa kwenye makalio basi alikuwa anavuta hisia za mambo mengine,.. Chidi alianza kumfanyia kama masaji lakini wazo lake kuu, ni hatari…

Tukija huku kwa jasmini tunamuona akiwa katika moja ya gari yake, alikuwa anashuka kwenye mjengo mmoja mkubwa sana, na jengo hilo sio jengo la kawaida yaani kama gharama basi huenda limegharimu hata Bilioni 100 kwa ujenzi tu peke yake… Alipofika mahari kwanza alistopishwa na mtu mmoja alikuwa kafunika uso wake,..

"unakwenda wapi"

"niliambiwa baada ya kujifungua nifike mahari hapa"

Aliongea jasmini na wakati huo kampakata mtoto wake,…

"amefikisha miezi mitatu"

"bado, hata siku nne hana"

"basi hafai na hata mkuu hawezi kukuruhusu… Kazaliwa tarehe ngapi"

"tarehe 7 mwezi wa nne"

"basi mlete tarehe 7 mwezi wa 7 apewe chanjo"

Pale pale jasmini aligeuza na kupanda gari,.. Lakini pia ndani ya gari sabra alikuwepo ila hakutaka kushuka,..

"vipi dada nini kinaendelea"

"kinachoendelea ni tarehe 7 mwezi wa 7"

"ok…sasa na Ibrahim sasa atakuwa wapi"

"tayari nimeshamfukuza kazini"

Lakini ile anamaliza tu kuongea simu yake inaita,…

kucheki jina alikuwa ni Ibrahim ndio aliokuwa akipiga kwa wakati huo

"anapiga simu ya nini tena huyu"

"ni nani kwani"

"si huyu shoga"

"shoga… Shoga nani tena dada"

"Ibrahim"

"ooohhh shem…. Mpokelee tu"

"shemu wako kwa nani"

"heeeeeeee ina maana hata kuja nyumbani asije"

"afuate nani, kamuacha nani kule"

"lakini kumbuka kuna mdogo wake kule"

"hata kama, tena kama vipi aje amchukuwe na kichelewa asinilaumu"

"ina maana tarehe 7 mwezi wa 7 na mdogo wake pia"

"huko mbali sana, yaani kuanzia sasa hivi… Nina uchungu na pesa zangu, kwanza kaka yake katumia pesa nyingi sana kwa matumizi yake… Hivyo lazima zirudi kupitia halima"

Sabra alishtuka, mana hii familia ni familia ya kitajiri lakini utajiri wake jamani mmmmhhh ni hatari…

"lakini dada"

"hakuna cha lakini…. Shida yangu ilikuwa ni mtoto na sii mwanaume, na hata Ibrahim sio kwamba nilikuwa nampenda, sema nilikua nataka mtoto toka kwake, na nilipojua hawezi kunipatia mtoto ndio nikamshawishi amlete huyo mdogo wake, lakini wazo la mdogo wake huyo likapotea baada ya kumuona mdogo wake wa kiume, ndio nikadhini nae ili nipate mtoto, hivyo mpaka sasa halima hana muda, simpendi mtu yeyote yule"

"mmmhhhhh"

Sabra aliguna huku akiwa haamini ukatili wa dada yake japo hata yeue ni mmoja wapo lakini hakuwa na roho hio…

"mshike huyu mtoto,.. Nikaulize kitu kule ndani"

Aliongra jasmini kisha akaingia ndani ya hilo jengo,… Ukweli ni kwamba jengo hilo ni jengo la kishetani, UA MTU UPATE PESA ndio kauli mbiu ya jengo hilo…

Tukija huku kwa akina chidi na jimama lake,… Chidi alianza kuwaza ushetani juu ya mama sarah,.. Chidi alikuwa akiyashika shika na kuyaminya makalio ya mama sarah, kana kwamba yupo tayari kwa lolote,

Chidi aliivua chupi ya mama sarah kisha akamsogelea sikioni na kumuambia kuwa

"I like it please mamy"

Aliongea hivyo huku akisha sehemu alioimaanisha

"No, chidi… Mimi ni mtu mzima siwezi kufanya hivyo"

"mamy kidogo tu"

"chidi mwanangu, wewe ni sawa na mtoto wangu, kwanini unifanyie hivyo, au kwakuwa umeshajua nakupenda"

"No, sio hivyo"

Chidi alikuwa haelewi neno lolote juu ya mama sarah,… Ukweli ni kwamba chidi alikuwa anataka kuruka ukuta sasa mama nae anakaza

"chidiiiiiiiiii… Mimi siwezi kukunyima, ila kwa hiari yako naomba uniache, fanya kote lakini huko acha chidi, nimezeeka eti itakuwa sio vizuri"

Sasa chidi akiwa analazimishia kupewa hivyo, mara simu yake iliita kucheki jina alikuwa ni Sabra,.. Akaipuuza simu hio na kuendelea kumbana mama ili ampe anachokitaka,…

Mara simu ikapiga tena… Alikuwa ni Sabra huyo huyo

Chidi kwa hasira akaipokea

"we vipi mbona msumbufu hivyo"

Aliongea chidi baada ya kupokea simu..

"sikiliza we chidi.. Niwe msumbufu nisiwe msumbufu, nenda nyumbani kule kamchukue mdogo wako sasa hivi"

"aaahhhh mtu yupo kwa kaka yake kule achana nae kwanza umenivurugia mambo yangu kata simu"

"sawa mi nakata simu, lakini ukichelewa utajuwa mwenyewe, sisi tupo mbali mpaka tufike nyumbani utakuwa umeshamchukuwa mdogo wako… Sasa jione kama anapendwa wakati ni kiingizo cha pesa"

"Ati nini… Kwenda bwana, aingize pesa gani na wakati anasoma"

"utajua mwenyewe bwana mi nimeshakua, na hio ni tisa tu kumi utajua mwenyewe… Alafu kaka yako hayupo tena na dada yangu kazi kafukuzwa na mdogo wako yupo hatatini, sasa kataa utajua mwenyewe"

Simu ilikata, lakini chidi haamini maneno ya Sabra…

"ana maana gani huyu mtu"

Aliongea chidi huku akitaka kupiga simu lakini roho haitaki…

INAENDELEA...

Bonyeza Matangazo Kila Unapoyaona ili Kunipa Nguvu ya Kuendeleza Simulizi

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni