Notifications
  • MY DIARY (14)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA NNETULIPOISHIA...Nikamuuuuliza hivi wewe haugopi maradhi? Akanijibu kuwa angekuwa haogopi basi angeshakufa. Sikiliza Leah hapa nipo na vile vipimo vya ukimwi hivyo usiwe na wasiwasi tutapima wote wanne kama wapo fresh tutaingia kazini wewe si unatafuta hela ya kujiunga na chuo au?IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Kabla sijajibu akanambia nitakupa na dawa ya kumeza ya kuzuia mimba na pia…
  • MY DIARY (13)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA TATUTULIPOISHIA...Joyce akaanza kujimiminia mwenyewe, kweli dunia ina mambo wakati wenzake wakichanganya nay ale maji makubwa yeye alikuwa akinywa kavu kavu.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Basi mimi sikuwa na jinsi zaidi ya kuaagiza ile bia yangu ambayo alinifundisha yaani savanna. Safari hii hakusubiri ili ifike mwisho ili anitambulishe bali tulivyoanza tu kunywa akawaambia wale…
  • MY DIARY (12)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA MBILITULIPOISHIA...Niliamua kufanya ziara ili nijue pakoje na mwisho wa siku niliamini kuwa kutokana na umaarufu wa marehemu baba yangu isingekuwa kazi sana kulipata shamba lake..IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Basi nilitembea kijiji hadi kijiji huku nikijaribu kuuliza kwa wenye viti wa mtaa kama walikuwa wakimjua marehemu Bura. Kwa kweli kazi ilikuwa ngumu sikuweza kuvimaliza vijiji…
  • MY DIARY (11)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA MOJATULIPOISHIA...Wakati akiongea maneno hayo mara mtarimbo ukaanza kusimama nikajisemeha nimeshakosea nilitakiwa niondoke nilivyoona kimelele tu, nikajua hapo lazima atanitafuuna bila huruma. Basi akaingia bafuni akachukua sabuni akajipaka ili kujisisimua ngoma isimame vizuri.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Yaaani nilichanganyikiwa na huko bafuni nilisikia maneno ambayo yalinichekesha…
  • MY DIARY (10)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMITULIPOISHIA...Nikamwambia Joyce ndo maana mimi nakupendaga. Nikamwambia “nitakuapa feedback ngoja nimpigie asije akaja na makufuli yake leo hii. Nikampigia baba mwenye nyumba eti kwa kujiamini kabisa akapokea nakusema “ Halow mrembo” Nikamwambia Yes mpenzi kitu ambacho kilimfurahisha sana..IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Kuokoa hela ya vocha nikamwambia nimekubali ombi lako alafu nikakata…
  • MY DIARY (9)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA TISATULIPOISHIA...Basi Dj wangu aliendelea na mautundu yake akaniwekea mambo ya pwani na hapo ndipo uvumilivu ulipomshinda akaja kunibambia na mimi sikuona haja ya kumbania kwa kuwa ni mali zake mwenyewe. Nilizungusha nyonga na kiuno mpaka nikachoka nikajitupa kitandani ili nipumzike. Nafsi yake ilikuwa imeridhika kwani hakutka tena penzi bali alichukua lap top yake na kuanza kunionesha picha na vitu vingine ambavyo vilinipa raha.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA…
  • MY DIARY (8)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA NANETULIPOISHIA...Sijui hata haya maneno yalitoka wapi, fahamu zilinitoka na Ticha aliamua kuninyanyasa maana nilishajikojolea zaidi ya mara tano. Basi na yeye kwa kutafuta mbwembwe alianza yale mambo yao ya katerero, siunajua tena mwalimu John alitokea pande za Bukoba.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Alinichezea sana na baadaye nilishangaa kukuta jamaa ameshaingiza kunako. Sikujielewa kwa…
  • MY DIARY (7)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA SABATULIPOISHIA...Kwaito zilivyonoga uzalendo ulinishinda nikajikuta na mimi nashuka ngazi kuelekea chini sehemu ya kuchezea.Nilizijua kwani shuleni tulikuwa tunazicheza sana hasa kwenye yale madisco yetu ya mwisho wa mwezi.John wangu alibaki juuu akiniangalia jinsi nilivyokuwa nikicheza vizuri.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Yeye alishindwa kushuka akiofika kile kitu kukaliwa na watu…
  • MY DIARY (6)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA SITATULIPOISHIA...Akanambia kuwa wamemwambia wapo East Africa Pub na tayari wamaeshaagiza mkuu wa mbuzi. Mmmmhhhh kusikia mguu wa mbuzi mate yalinijaa mdomoni. Basi kwa harakaharaka nikamwambia naomba niende niende nyumbani nikachukue viwalo vya club kisha nitawakuta hapo.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Alinambia mbona hizo nguo ulizofaa zipo poa tu wewe twende hivyo bhana si upo na…
  • MY DIARY (5)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA TANOTULIPOISHIA...Akanisimamisha na kuanza kuiuliza maswali mengi yasiyo na maana huko akionekana kutojiamini. “samahani dada, sijui unaelekea wapi”? Nikamjibu dukani. Akavuta pumzi ndefu na kuniambia ok, nisaidie namba zako za simu. Nikamwangalia juu na chini nikwambaia nimezisahau na simu nimeiacha ndani nikirudi ndani nitakuletea..IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Akaishiwa pozi akanambia,…

MUUZA CHIPS (97)

Mwandishi: MoonBoy

SEHEMU YA TISINI NA SABA
ILIPOISHIA...
Chidi alipofungua tu ile simu, alikutana na picha za kumvisha pete sarah,.. Hivyo hapo hapo ndio akajua kuwa miriam alizimia kwa ajili ya hizo picha…. Na ndio maana hata pale odini chidi alikubali kukumbatiwa na akakubali kumsamege mana kuzimia kwa picha tu sio kitu cha mchezo Mchezo ni ishara kubwa kuwa kuna upendo mzito ndani yake..

KUNA MATANGAZO YANATOKEA YAGUSE KILA UNAPOFUNGUA SIMULIZI ILI KUNIPA NGUVU YA KUENDELEA
INSTALL CnZ Media ILI USIPITWE NA MIENDELEZO KILA INAPOKUWA TAYARI

SASA ENDELEA...
Sasa miriam keshaipata simu yake, akaifungua lock na kukutana zile zile picha

"ivi babuu hizi picha mbona sizielewi elewi"

Aliongea miriam huku akimwonyesha chidi hizo picha, wala chidi hakuwa akiangalia mana anazijua

"babuu nijibu basi, ni kweli au zimetengenezwa tu"

"ni kweli"

Miriam kuskia ni kweli mwili wote ulimlegea

"kwanini lakini babuu… Tena kwa rafiki yangu mkubwa ndio unanufanyia hivi kweli"

"kwani kuna tatizo"

"hivi, hivi, yani hivi afu hakuna tatizo kweli"

"hio sio pete ya ndoa… Hio ni pete ya uchumba tu, ikimaanisha kwamba, Nitamuoa,.. Lakini uoe usioe haidhuru.. Ni kama wewe unavyosema NITAKUJA lakini bado hujaenda hivyo kuna uwezekano usiende"

Miriam kuskia hivyo alimkumbatia chidi kwa furaha kana kwamba kweli chidi alimaanisha hatomuoa Sarah,.. Sasa kumbatio hilo lilipelekea mpaka wakaanza kupeana mate hapo hapo wodini.. Mama kuona hivyo kaondoka zake huku akimuita nesi na kumwambia kuwa

"nesii"

"abeee"

"waambie hao wajinga hapa ni hospitalini sio sehemu ya kuanza ujinga wao"

Mama miriam alitoka huku akiwa anatabasamu, sasa sijui kamkubali chidi au inakuwaje

"hhhhhhmmmmmmm"

Nesi aliguna kidogo alipofika mlangoni… Chidi na miriam waliachana kunyonyana mate,.. Kisha wakaondoka zao…

***
BAADA YA MIEZI MITATU KUPITA
AFTER THREE MONTHS LATER
***

Jijini Dar es Salaam akiwepo Ibrahim na mpenzi wake salma, sasa wanaishi kama mke na mume japo ndoa bado haijapita,… Lakini sasa kitu cha kushangaza juu yao ni kwamba salma tayari ameonyesha katumbo, kana kwamba tayari ana mimba… Sasa hio mimba kapewa na nani na wakati Ibrahim ni doro, baada ya mbegu zake kutumika kumponyeshea ridhiwani,.. Mana mganga alisema kuwa, mtu atakaetoa mbegu zake ni lazima awe dori, yaani ile hali ya ridhiwani inahamia kwa huyo aliotoa mbegu, lakini kwa muonekano wetu, mbegu za Ibrahim ndizo zilizotumika kumseidia ridhiwani mpaka akapona.

Ibrahim na salma kwa sasa nao wanataka kufungua kihoteli chao, baada ya kufanya kazi chini ya mama huyo,.. Katumbo ka salma kalionekana kuwa na miezi miwili hivi, furaha juu yao ilitawala mpaka raha,.. Chumbani kwao sasa hivi hakuna mkeka wala godoro la chini,.. Tena wamepangisha dabo rumu,.. Kifupi maisha yao yalikuwa ya kawaida lakini yalikuwa ni yenye furaha, lakini sijui itakuwaje siku salma anakutana na chidi afu mbaya zaidi, ni kwamba mdogo mtu ndio kawa shemeji mtu.. Sipati picha sehemu kama hio… Sasa wakiwa wapo nyumbani kwao leo walikuwa wanajadiliana ni jinsi gani wataweza kufungua kahoteli kao, mana salma kwa sasa keshakuwa mpishi mzuri, na Ibrahim kama tunavyomjua kwenye chipsi hua sio mtu wa spoti spoti, ni professional haswa…

"lakini mume wangu, kwanini tusiendelee kufanya kazi kwa yule mama ili tujikusanyie pesa nyingi"

"hapana mke wangu… Mimi nataka tuwe na hoteli yetu na sisi"

"mimi sikatai.. Lakini pesa tulizo nazo hazitoshi mme wangu"

"tulia mtotoooooo…. Nina mdogo wangu yupo arusha, lazima atusaidie kiasi cha pesa"

"heeeeeeee ndio huyo uliokuwa unaniambiaga"

"ndio"

Ibrahim na chidi ni ndugu wanaopendana mno, sema Ibrahim alimtesa sana mdogo wake kipindi cha nyuma lakini mdogo mtu hajali kitu chochote huyo ni kaka yake tu,..

"ebu mwambie basi shem wangu"

"subiriiiii Inaita subiri"

Wakati huo huku jijini Arusha chidi akiwa yupo kazini, simu iliita kucheki jina alikuwa ni kaka yake Ibrahim

"waoooo broo huyo"

Kwa sasa chidi hafuatiliwi tena na miriam, mana hapo anapika chipsi huku akiwa kashikwa kiuno na miriam,… Kana kwamba kwa sasa wapo free na mapenzi yao… Sasa simu ikiwa inaitwa chidi mikono yake ilikuwa imeshika maji, hivyo hawezi kupokea hio simu,… Miriam kawa mpokeaji na kumuekea sikioni..

"haloo broo shikamoo"

"marahaba ujambo dogo"

"sijambo… Afu vp uko mbona kama una furaha hivi"

"aaaahhh hakuna chochote,.. Ila nilikuwa na shida kidogo uniseidie"

"sema tu broo nitakuseidia"

"nipo na shemeji lako hapa… Sasa tunataka tufungue kahoteli ketu, sema mtaji haututoshi mdogo wangu"

"kama kiasi gani mnataka"

"aaahhhh ,ni…ni…ka..ka kama milioni 5 hivi zitatosha tu"

Sasa chidi kuskia milioni 5, akatulia kwanza ili kujua atawatumia kwa njia gani, sasa Miriam yeye alijua chidi katulia labda hana hio pesa,… Saaa ngapi Miriam hajaongea yeye

"usijali shem, tutakutumia milioni kumi kabisa, mana hio ni moja ya mafanikio kwetu"

Chidi alishangaa kuskia hivyo

"we ni nani tafadhali"

Aliuliza Ibrahim baada ya kuskia sauti ya kike

"shemeji yako"

"heeeeeeee mbona hamjatualika kwenye harusi yenu"

"mbona hata wewe hujatualika kwenye harusi yenu"

"sisi bado"

"muongo shemeji"

"kweli vile ongea nae mwenzio si huyu hapa"

Ibrahim alimpa simu mke wake ili aongee na Miriam, wakati huo chidi ilibidi aendelee na kazi,..

"halooo mambo mke mwenzangu"

Aliongea Miriam huku akiwa na furaha ya hali ya juu

"safi tu,.. Unaitwa nani wewe"

"naitwa Miriam.. Wewe je"

"mie naitwa salma"

"ok… Ongea na shemeji yako"

Simu imefika kwa chidi ili aongee na shemeji yake, ambae nu mke wake wa zamani lakini hajui kama ndio huyo, sasa sijui watajuana kwa sauti?

"haloo shem mambo"

Alianza chidi huku salma akifuatia kujibu

"safi shem habari za huko"

"nzuri tu, sjui ninyi"

"aaahhh Tunamshukuru mungu"

"haya.. Ongea na kaka ako"

Chidi aliisikia sauti ya shemeji yake lakini hakuweza kuijua kuwa ni nani.. Nitakwambia kwanini hawakujuana sauti,

"sasa chidi,.. Mbona uyo mchumba wako kasema atarusha milioni kumi,.. Kadanganya au kweli"

"kweli, na tunakurushia jioni hii ya leo"

"chidi, ivi huko upo kitengo gani wewe, mbona pesa kubwa hivyo"

"usijali broo"

Ibrahim alitilia wasiwasi juu ya kazi anayoifanya chidi,

"afu chidi, mtoto wangu anaendeleaje uko"

"aaahhhhh kiukweli hata sijui broo, nina muda mrefu sana sijawaona wale watu, hata simu hawajawahi kunipigia"

"aaahhh ipo siku nitakuja kiwaona"

"ok poa"

Simu ilikata huku Miriam akiwa na furaha kwa kuongea na familia ya chidi,…

"chidiiii, kaka yako yupo wapi"

"yupo Dar es Salaam"

"afu huyo mke wake mzuriii"

"mi kwani namjua basi"

Unajua chidi hakuijua sauti ya sakma kwasababu salma alikuwa akiongea kwa rafudhi ya Dar, na chidi pia alikuwa akiongea rafudhi ya Arusha, hivyo sauti walizo zoeana kuongea kwenye simu wakati huo, zimebadilika sana kutokana na rafudhi walizokuwa wanatumia.. Na ndio mana hawakujuana hata kwa sauti… Sasa wakiwa bado wanaulizana baina ya chidi na Miriam, ghafla simu ya chidi iliita tena, Miriam kazi yake ni kupokea na kumuekea chidi sikioni mana chidi kashika maji maji… Lakini sasa Miriam kuangalia ile namba alikuwa anaijua, japo chidi kaisevu vizuri kwa jina la Mamy… Ila kwa chini inaonyesha namba ya huyo mamy,.. Na mamy mwenyewe alikuwa ni mama sarah.. Afu mama sarah alimchukia chidi toka siku ile wanavishana pete, na hakuwahi kupiga toka siku ile, leo ndio mara ya kwa…

"chidiii huyu mtu una kazi gani nae"

Aliuliza huku simu bado inaita

"usipokee"

"kwanini nisipokeee"

"nishakwambia usipokee"

"hapana babuu mi napokea, mi nataka nijue una ishu gani na huyu mwanamke"

"sina"

"No babuu, niruhusu please"

"ok pokea"

Miriam alipokea kisha akaweka raudi spika, ili wote wawili wasikie japo kuna watu wengine hapo walipo.. Miriam alipokea simu hio kisha wakasikiliza, chidi yeye alijua tu kutakuwa na shida sio bure… Sasa mama sarah hajajua kama aliopokea sio chidi, akajikuta anaongea tu maneno ya ajabu mbele ya miriam

"mwanaume rijali uliofanikiwa kula kuku na mayai yake….. "

Kabla hajaendelea chidi aliinyakuwa ile simu na kuikata, wakati huo Miriam katoa macho kwa kuskia kuwa kuna kuku kaliwa na mayai yake,.. Miriam alipatwa na kigugumizi cha ghafla papo hapo… Kisa kuku na mayai yake..

Kiukweli hakuna kitu kibaya kama kufanya mapenzi na ndugu wawili au kitu na mama yake,.. Ila pia huenda kukawa na makosa pale mmoja wapo anapogundua na kukaa kimya, hio ndio mbaya, lakini kama kati yao hakuna mtu yeyote anaejua basi hali hio haina shida, ila akijua afu akaendelea hua sio hali nzuri… Miriam akiwa kama mpokeaji wa simu za chidi ambazo zinapigwa

Lakini katika kupokea pokea alijikuta akipokea simu ya mama sarah na kuweka laudi spika ili wasikie, na mama sarah hakulijua hilo, yeye alijua ni chidi peke yake ndio kapokea kumbe hata miriam anasikia, "mwanaume rijali uliofanikiwa kula kuku na mayai yake….. "

Kabla hajaendelea chidi aliinyakuwa ile simu na kuikata, wakati huo Miriam katoa macho kwa kuskia kuwa kuna kuku kaliwa na mayai yake,.. Miriam alipatwa na kigugumizi cha ghafla papo hapo… Kisa kuku na mayai yake..

"chidi…"

Miriam alimuita chidi huku akimuangalia,.. Sasa hivi chidi hajiiti omari tena mana keshajulikana hivyo hakukuwa na haja ya kuendelea kuitwa omari na ndio mana hata sasa hivi miri anamuita chidi,

"nini tena"

"kwanini umeikata hio simu"

Aliuliza miriam huku akianza kununa

"no, mamuu, niliona ananicheleweshea kazi tu kwa stori zisizo na maana"

"Anhaaa…. Enhee na hio kuku na mayai ina maana gani"

Unajua miriam ni mtoto wa kishua, afu istoshe mambo ya mapenzi kayaanza akiwa na chidi, yaani hajawahi kufanya mapenzi mapaka hivi amekutana na chidi ndio kayajua mapenzi,.. Hivyo hata ile misemo ya Kiswahili swahili hua haijui sana, hususan kuku na mayai, ni fumbo ambalo kama ni mtoto wa kifaru tena hata mjini yenyewe hupajui kwasababu ya kuishi ndani muda wote,.. Sasa miriam hata mafumbo kama haya hayajui

"aahhh unajua mama Sarah kuna siku alinunua kuku, sasa yule kuku alikuwa anataga,.. Akaniambia nikamfuge,. Lakini sikufanya hivyo, yule kuku nilimpelekea shemeji yangu kamla… Sasa mama sarah anahisi mimi ndio nimekula yule kuku na mayai yake"

Chidi aliongea hivyo huku miriam akiamini ni kweli, japo kaelezea vizuri lakini sio kuku kama kuku bali hao ni watu ndio walioliwa,..

"aanhaaa.. Afu yote tisa… Kumi toka lini ukawa na utani na mama sarah, mana mwanamke kukuita mwanaume rijali, bila kitu chochote huo ni utani mkubwa sana"

"mbona mama sarah ni tunatanianaga tu"

Chidi alizidi kujitetea juu ya maswali ambayo miriam alikuwa akiyauliza

Miriam aliondoka zake na chidi akiwa tayari keshamaliza kazi yake sasa kajipumzisha mahali tu… Ghafla simu ikaita tena, kucheki alikuwa ni sabra

"haloo"

"eehhh chidi mambo"

"poa nambie"

"safi tu… Yaani hata kuja kumsalimia mtoto wako hutaki"

Sabra anachomaanisha ni mtoto wake kweli yaani ni mtoto wake kabisa na sii mtoto wa kaka yake, sasa chidi yeye akiambiwa mtoto wako anajua ni mtoto wake lakini ni mtoto wa kaka yake…

INAENDELEA...

Bonyeza Matangazo Kila Unapoyaona ili Kunipa Nguvu ya Kuendeleza Simulizi
52 Muuza Chips Simulizi
Jiunge kwenye mazungumzo
Chapisha Maoni