MUUZA CHIPS (98) - CnZ Media

CnZ Media

Jisomee Simulizi Mpya Kila Siku

Alhamisi, 25 Aprili 2024

MUUZA CHIPS (98)

UMEWAHI KUONA AU KUSIKIA KUHUSU PICHA ZA AI?
Sasa naomba nikufundishe bure kabisa nawewe uzitengeneze kirahisi kabisa

Mwandishi: MoonBoy

SEHEMU YA TISINI NA NANE
ILIPOISHIA...
"poa nambie"

"safi tu… Yaani hata kuja kumsalimia mtoto wako hutaki"

Sabra anachomaanisha ni mtoto wake kweli yaani ni mtoto wake kabisa na sii mtoto wa kaka yake, sasa chidi yeye akiambiwa mtoto wako anajua ni mtoto wake lakini ni mtoto wa kaka yake…

KUNA MATANGAZO YANATOKEA YAGUSE KILA UNAPOFUNGUA SIMULIZI ILI KUNIPA NGUVU YA KUENDELEA
INSTALL CnZ Media ILI USIPITWE NA MIENDELEZO KILA INAPOKUWA TAYARI

SASA ENDELEA...
"aahhhhh kazi nyingi hivyo nakosa nafasi"

"ivi chidi nikuulize kitu"

"uliza tu"

"ebu naomba tukutane sasa hivi kuna kitu nikuambie"

"tukutane wapi"

"nipo sorare apa"

"ok nakuja sasa hivi"

Hapo alioo kijana chidi na huko sorare ni jirani sana hivyo ni kitendo cha kulizunguka jengo moja na kwenda lingine,… Chidi kwa wakati huo ana hamu ya ngono ila cha ajabu hamuombi miriam na wakati ni mpenzi wake,.. Na kwa sasa chidi na sarah hawaongei tena kisa ni chidi kurudiana na sarah,.. Na mama sarah mwenyewe toka siku ile hakupiga simu ndio kapiga leo na kuongelea mambo ya kuku na mayai,..

Dakika chache mbele chidi alishafika hapo sorare lakini hakumuona sabra, chidi alikaa katika kiti mana hapo sorare ni kiji restaurant kidogo, hivyo chidi alikaa hapo na kuweza kumpigia simu, lakini kabla hajafanya hivyo, alishtuliwa kwa kutekenywa,..

"hhhhmmmm chidi unazo heee, ina mana huna hata kademu ka kukupunguzia mzigo"

Alikuwa ni sabra, ndio kamtekenya hivyo chidi aliruka kwa hamu ya ngono,..

"aahhhh mademu wenyewe si ndio nyie mnazingua kinoma"

"mmmhhhh kwani ulishawahi kuniomba nikakataaa"

"ok tuachane na hayo, sema pointi iliotuleta hapa"

Chidi alikuwa akimwangalia kwa hamu mtoto sabra,…

"afu mbona unaniangalia hivyo"

"natamani nichukue chumba"

"i think utakuwa unachelewa.. Coz ulitakiwa uamke hapo na ufanye hilo tukio, coz hata mimi nimekumiss"

Chidi kuskia hivyo tu kamuita waita kwenye hicho kiji restaurant ambacho kina gest kwa pembeni,…

Dakika chache tu sabra tayari kabakiwa na chupi wakiwa kitandani mana wote walikuwa wakitamaniana mno,..

"chidi, sikuja kwa ajili ya mapenzi, sema tu imetokea but nilikuja kukuambia kuwa, mtoto wako anaumwa"

Aliongea sabra huku akimvua chidi shati lake

"aahhhhh ebu ngoja nimpigie baba yake,.."

"baba yake nani sasa"

"baba yake ajue kuwa mtoto anaumwa"

Sabra aliinyakuwa ile simu na kukata, mana ilikuwa inataka kuita..

"yule mtoto sio wa Ibrahim, yule ni mtoto wako wewe… Dada alikuficha tu lakini yule sio mtoto wa kaka yako"

"Ati unasemaje wewe"

"ndio hivyo, ile ni damu yako"

"sabra acha masihara yako"

"kwani wewe hujawahi kulala na dada yangu bila kondom"

"mmmhhh.. Nimeshawahi tena sio mara moja"

"sasa kwa taarifa yako, yule mtoto ni damu yako baba"

Chidi alichoka na kulegea kabisa baada ya kusikia kuwa mtoto aliozaliwa na jasmini sio wa Ibrahim bali ni wakwake,..

"ok anaumwa na nini"

Chidi alibidi akubali tu mana kufanya mapenzi na mwanamke huyo walishafanya tena sio mara moja, ni mara kadhaa hivi

"sijui ata, labda ni maralia"

Sabra alitamani kumwambia ukweli lakini anaogopa kusema kutokana usiri wa kishetani,.. Anaweza kutoa siri afu akapata shida,…

"ivi chidi leo ni tarehe ngapi vile"

"leo si tarehe 6 mwezi wa 7 au"

"basi kesho njoo tushinde nyumbani ata umchekeshe mtoto wako"

Sabra alitumia njia ya kumwambia chidi aje nyumbani kesho, na hio kesho ndio tarehe 7 mwezi wa 7,siku ya kutoa kafala la huyo mtoto ili mali zao ziendelee kudumu maisha yote,. Sasa sabra hapendi kitendo hicho kitime mana anajua ni dhambi kwa Mwenyezi mungu,.. Kwa akili yake aliona ni bora chidi aje ashinde kule nyumbani ili zoezi lisifanikiwe, na siku ikipita tu basi haiwezekani tena,

"keshi nitakuwa kazini"

"chidi,.. Siku ya kesho ni siku muhimu kwa mtoto wako, kwanza ni siku anazaliwa hivyo sio mabaya hata tukimfanyia Birthday"

"heeeeeee birthday ya miezi mitatu ni Birthday gani hio"

Laiti kama chidi angelijua anaitiwa nini huko, wala asingelikataaa…

"we njoo tu"

"ok… Ebu tuyaache hayo,.. Njoo hapa"

Chidi alimrukia sabra na kuanza kunyonyana vibuyu vyao…

"chidi siku hizi, unanichetuaga hhhmm"

"sabra"

"abeee"

"naomba niingize kichwa tu jamani"

"chidiiiiiiiiiiiii…. Hii tabia umeanza lini lakini"

"natamani eti"

"acha bwana… Mi spendi"

"kichwa tu"

"No, siwezi,.. Kula mbele chidi huko mi staki"

Chidi na zile hamu aliona kama anachelewa, alimkusanya sabra na kutaka kumruka ukuta, sabra akajikwepesha ikaingia mbele,.. Akawa hajafanikiwa kupewa tigo,..

BAADA YA SIKU HIO KUPITA NA LEO NI TAREHE 7 MWEZI WA 7…

Chidi anapokea simu akiwa kazini, kwa sasa chidi yupo free popote anaweza kwenda tena kwa kutumia hata gari ya boss, mana tayari keshapewa uhuru wa yeye na miriam

"haloo"

"Ehhh chidi.. Ebu njoo hapa nje ya hoteli yenu"

"kuna nini"

"we njooo"

Alikuwa ni mama sarah ndio kampigia chidi na kumuita kibabe babe

Chidi alitoka na kwenda mpaka hapo nje

"enhee"

"ingi kwenye gari"

Sasa miriam alikuwa kaona jinsi chidi anavyoingia kwenye gari ya mama sarah..

"babuu? unaenda wapi"

"narudi sasa hivi, naenda kumpa kuku wake asinizoeee"

Sasa chidi kusema vile, mama sarah akashangaa

"ati nini"

"amana kitu…….. Mamuu narudi mama"

Miriam hakuwa na budi ya kuridhika.. Yaani ukiwa na mke mzuri jiandae kuibiwa, ukiwa na mume hensamu jiandae kuibiwa, yaani hakuna kuzuri kote ni balaaaaa… Mama sarah aliwasha gari na kuondoka na chidi,.

"tunaenda wapi"

"tulia"

Mama Sarah wakati huo kavimba mno, yaani alikuwa na hasira toka siku ile mtoto wake wanavishana pete za uchumba na kijana chidi,..

Chidi alikaa kimya mpaka mama sarah akafika sehemu alioitaka, palikuwa ni uwanja wa ndege wa kisongo…

"ivi we mtoto,.. Kwanini umenichanganya akili yangu"

Mama sarah aliongea huku akiwa kakasirika sana, afu saa hio gari imesimama na wote wapo ndani ya gari,..

"kivipi sasa"

"kwanini umtongize mtoto wangu na wakati mimi na weww ni wapenzi"

"sikujua."

"chidi, mimi nitakuuwa, nitakupiga risasi sasa hivi… Hata siku ile kwenye sherehe sikutaka tu mtoto wangu ajue lakini nilikuwa na hasira kuliko siku zote za maisha yangu"

"nisamee mamy… Afu kama ningelijua kama wewe na yeye ni kitu na mtoto wake, basi wakumkataa alikuwa ni wewe"

"kivipi"

"mtoto wako ndio wakwanza kuwa nae kabla yako"

"unasemaje wewe"

"ndio,… Mwanao nilianza kuwa nae, tena yeye ndio alionipeleke hospitali na kunilipia kila kitu, siku hio wakati ndio naingia mjini wakwanza kumuona ni yeye… Wewe si ulinikuta nauza chipsi pale kibandani, ndio ukaamua kuniseidi na kuniombea kazi.. Sasa mimi kosa langu ni lipi… Basi niue basi kama ulivyotaka"

Mama sarah alikuwa kashika bastola kweli na alitaka kumuua chidi..

Lakini mkono wake ulimlegea baada ya kusikia kuwa mtoto wake ndio wa kwanza kuwa nae katika mapenzi, hivyo yeye ndio alioingilia penzi la mtoto wake,..

"lakini hata hivyo hukutakiwa kuendelea nae"

"hata nisinge endelea nae, tayari nimeshalala nae ingeseidia nini, na je ningelijuaje kama ni mtoto wako"

Mama sarah yeye alitaka aachwe mtoto wake afu aendelee na yeye

"chidi hebu usiongee kwa kujiamini,.. Naumia mimi… Tena nikifikiria jinsi nilivyokuseidia hio mboo yako, alafu unakuja kutembea na familia yangu"

Sasa chidi akashangaa kuskia kuwa kaseidiwa mboo yake, na huyu sio mtu wa kwanza kumwambia hivyo, hata saida pia alishasema hivyo… Sasa kwanini na huyu mama anasema kamseidia chidi??.. Sasa mama sarah na saida nani kamseidia chidi….

"Eti unasema umenisaidia nini wewe"

Aliuliza chidi huku nae hasira zikimjaaa teleeeeeee

Safari hiii kila kitu kinajulikana yaani hakuna kufichana hata chembe,.. Leo kijana chidi anashangaa pale anapoambiwa kuwa kaseidiwa na mama sarah, na wakati maneno hayo yalishasemwa na mwanadada saida, sasa kwanini leo mama sarah anasema kuwa hata yeye kamseidia vilivyo katika moja ya viungo vyake, na kama sio yeye basi mpaka sasa kijana chidi angeshalikuwa hanisi wa kiume yaani angelikuwa shoga sio shoga sa sjui tungemuitaje

Sasa mama sarah na saida nani kamseidia chidi….

"Eti unasema umenisaidia nini wewe"

Aliuliza chidi huku nae hasira zikimjaaa teleeeeeee

"skia chidi.. Kwanza naomba unisamehe kwasababu ilikuwa ni msukumo wa kipesa,.. Ni muda mrefu sana nilipewa hio kazi japo sikujua kama ingelikuwa kwako… Nakumbuka siku moja nilikusifia mbele ya rafiki yangu, lakini sifa hizo zilimshangaza na kuanza kunipa kazi ya kukufatilia wewe ili niweze kuzipata mbegu zako, kiukweli yule rafiki yangu alinipatia pesa nyingi sana ili niweze kuoata mbegu zako,.. Lakini nakumbuka aliniambia tu nizipate ila sijui kazi yake.. Lakini mwisho wa siku aliponiambia kuwa ni kwasababu ya kumponya mtoto wake afu wewe utakufa nguvu za kiume,.. Niliahtuka sana na hata kazi hio nikawa naifanya kwa kusita sita japokuwa kulikuwa na pesa, nakumbuka kuna siku nilikulazimisha uvae kondom nabukavaa, lakini zile mbegu hazikufika mbali tukapata ajali,… Kutokana na hilo nikastopishwa hio kazi lakini pesa yangu ilikuwa pale pale, nakumbuka kazi hio alimpa mtoto wake aitwae saida,… Huyo mtoto alifanikiwa kupata mbegu zako, lakini kwa mimi sikutaka wafanikiwe kwa mbegu zako.. Nakumbuka siku ile tunaondoka na ndege, mimi niliwahi Airport, nikadiliki kufanya mapenzi na mfanya usafi wa pale Airport na kufanikiwa kupata mbegu zake na ndio mana siku ile nilichelewa chelewa,.. Tukiwa juu ya ndege nikabadirisha zile mbegu zako nikazitupa na kuweka mbegu za huyo mfanyakazi niliotembea nae mimi, hivyo hata mama saida hakujua hilo mana aliniamini kunionyesha zile mbegu, na ndio mana mpaka sasa hivi wewe una nguvu zako, bila mimi we ungelikuwaje,.. Na hata huyo mwanangu asingekupenda kama ungelikuwa husimamishi… Hivyo ndivyo nilivyokuseidia mimi"

Mama sarah aliongea yote yaani kamwaga siri zote, lakini sasa kutokana na maelezo ya mama sarah, mpaka sasa tumeshajua kuwa aliomseidia chidi ni saida, hivyo mama sarah yeye kamseidia kaka yake chidi ambae ni Ibrahim, mana Ibrahim mpaka sasa bado ana nguvu zake zote hana shida, tena mkewe ana mimba kwa sasa,.. Kwahio aliomuokoa ridhiwani ni huyo mfanya usafi wa Airport ambae ndio katembea na mama sarah ili kumuokoa chidi, lakini kumbe chidi alishaokolewa kitambo sana na saida, hivyo mama sarah alimseidia Ibrahim ambae alitembea na saida baada ya kuzitupa mbegu za chidi…

Chidi haamini kwa hio hali aliokuwa anaipata, yaani sasa asingelikuwa chidi tena, sasa sijui ingelikuwaje

"ok, kwa kifupi mi nasema Ahsanteni sana, ila naomba kwa sasa nitulie na mke wangu"

"mkeo yupi, sarah au Miriam"

"siwezi kumuoa sarah kwasababu siku anajua kuwa mimi na wewe tupoje, anaweza hata kunywa sumu"

"nilijua bado upo na mawazo ya kuwa na sarah, binafsi pia sitaki uendelee kuwa na sarah"

"sio sarah tu, ni mtu yeyote yule kuanzia wewe"

"we mshenzi nini wewe… Unaongea ujinga gani uo"

INAENDELEA...

Bonyeza Matangazo Kila Unapoyaona ili Kunipa Nguvu ya Kuendeleza Simulizi

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni