Mtunzi: ___
SEHEMU YA KUMI NA NANE
ILIPOISHIA...
ILIPOISHIA...
tulilala na Mpenzi wangu Adams
mpka asubuhi niliamka nikiwa nimechoka sana kutokana na
kupeana haki yetu usiku
niliona uvivu kuamka kwajinsi nilivyo choka kwa shuguli
ya usiku lakini kuna kitu kilicho.
IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI
ENDELEA...
Niumiza kichwa siyo kingine
kuhusu kisarawe na Monica
kweli Monica ameenda kwenye utamu kweli kisarawe anaweza sana ku…. Kuliko Adams wakawaida sana sema anapesa zake tu ila mapenzi no no
Najana angejalibu kunywa pombe angekoma sema ilikatishwa na Monica ila tadiri nae tu ladhima nimpate tena Mimi sindiyo sulee bana mtoto wa mjini.
_____________________________________
Monica hapa ni kwangu Tafadhari
karibu sana”
“hii nyumba ni ya nani”
“ya kwangu kwani vipi”
“ooh nzuri sana jamani hongera sana”
“mh wakumpa hongera ni Adams
boss wangu mimi ambae ni mume wa Sulee kanipa yakwangu kabisa kutokana na kazi yangu nzuri katika kampuni yake”
“anamoyo sana wa huruma Na mungu amjalie kila siku”
“kwakweli”.
Yalikuwa maongezi kati yake Monica na Kisarawe.
(Mmh nahitaji kumjuwa huyo Adams sijuwi yukoje maana sulee anammwagia sifa Kisarawe nae hivyo hivyo ana pesa kiasi gani uyo ngoja siku tukionana)
Monica aliwaza maneno hayo
usiku akiwa ame lala
chumbani kwake hawakuwa wame lala pamoja kutokana na kuahidiana kuto kutana kimwili mpaka wakapime h’i’v ili wajitambue Afya zao kama zipo salama.
“Mpenzi umeamkaje”
“salama Adams vp wewe”
“safi tyuu”
“Asante sana kama hivyo”
“ila nataka nipitie nyumbani kwa kisarawe ni msalimie shemeji kisha niende kazini”
“chai je subili unywe kabisi”
“hapana tumzika tu maana shuguli ya leo noma”
“haha ilooo umekomaje”
“sulee yaleo tamu balaa”
“basi poa badae na kazi njema”
Nili bakia nime lala huku niki mfikiria kisarawe kwaufundi wake pale kati.
_________________
“hodi hodi wenyewee”
“karibu pita uko wazi mlango”
“asante naona kimya sana”
“tupo karibu sana”
(Monica alijiuliza huyu ninani
kijana aliye pendeza sana akiwa ndani ya suti malidadi sana machoni akiwa ndani ya miwani mweupe siyo ya macho ni ya show tu usoni kweli Adams alikuwa kapendeza sana kama kawaida yake hakupenda uchafu.
KAbisa japo alikuwa hana
mke lakini alijitahidi sana kuwa msafi katika nguo na mwili pamoja na nyumbani kwake.
“Karibu mgeni”
“Mgeni wewe nasiyo mimi”
“mh”
“Najuwa una shangaa
kwakuwa huni juwi Eemh’ Naitwa
Adams kama sijakosea wewe ni Monica siyo”
“yah hauja kosea shemeji
karibu sana kumbe ww ndiyo Adams nasikia jina tyuu”
“ndiyo Monica Vp mtoto hajambo”
“hajambo kalala sahizi “
“ooh usijali shemu vp Kaka yupo”
“daa kajidamka asubuhi sana
kasema kuna gari 3 inatakiwa
zitoke mapema sana siku yaleo”
“daah nilisha sahau basi ngoja niende badae tapitia kumwona baby”
“sawa”
“utampa pesa hizi mtoto ,lf50”
“asante shem”
(eeh Sulee ana bahati sana
yani kapata mume mzuri pesa anazo sasa kwaujinga wake
anaweza akampoteza mume)
“hallow shemeji sulee kwema”
“yaha hakuna tatizo ila nimekupigia simu nina shida na wewe”
“ipi tena”
“inahitajika Muda na pia iwembali na mjini”
“mh”
“mbona mh”
“hapana niko sawa,sasa wapi tukutane”
“nane nane kuna bar pale”
“sawa tafika bila kukosa
sulee”
baada yakufika pale nane kisarawe alishuka katika gari
yake aka shuka naku chukukua simu ili ampigie sulee….
Samahani kaka”
“bila samahani unaweza kuongea”
“kuna dada yupo pale kanituma nikuite uwende”
“anaitwa nani”
“sula kasema”
“ni sulee”
“ah ndiyo ni sulee”
“poa twende”
Alipo fika pale kisarawe alimkuta sulee kavaa kimini yani naweza kusema ilikuwa nitoe Roho mate yaka mtoka kisarawe ila alijikaza zaidi ya maumivu ya jipu alikaa chini sulee alikuwa kakunja miguu mfano wa namba4
yani kwajinsi mapaja yake yalivyo onekana Moyo wa dokta/kisarawe
ulimuuma sana alikumbuka matukio ya nyuma kati ya Monica na sulee marafiki alio walamba wote kipindi hicho.
(Monica alikuwa mzuri wa umbo lake lakini sulee ni balaa pale kati kiukweli anaweza mwanamke ana pumzi)
“wee kisarawe mbona unaonekana una mawazo sana nimekuita hapa tuongee machache kama hauta jali”
“ok ok mh nipo sawa”
“kisarawe unajuwa jinsi ulivyo alibu ndoa yangu”
“najuwa”
“unajiwa jinsi gani nilivyo umia
katika kuachwa kwangu”
“Najuwa”
“je Unajuwa asala ya kuachwa na mtu umpendae”
“najuwa”
“nizipi hizo”
“moja Moyo huumia sana kwakipindi kilefu sana, mbili huwezi kumpata mtu umpendae
kama wa mwanzo”
“upo sahihi kabisa mpaka leo hii
sijampata nimpendae kama mume wangu wazamani”
“sulee unaongea nini wewe
na Adams je?”
“siyo chaguo langu nimemkubali
kwaajili ya matatizo yangu
naaliniomba niwe mpenzi wake sasa sikuona sababu zakumkataa”
“sulee Adams ana kila kitu
mpaka na yeye ana vutia sasa hakufai”
“Ananifaa kimaisha lakini siyo kimoyoni yupo ambae ananifaa ki moyoni nahisi ndiye atakae nifariji
moyoni na moyo utatulia.
____________
eeh Sulee ana bahati sana
yani kapata mume mzuri pesa anazo sasa kwaujinga wake
anaweza akampoteza mume
huyu kwajinsi navyo mjuwa
mimi”
Aliwaza Maneno hayo Monica
akiwa nyumbani baada ya Adams kuondoka.
Adams alikuwa ofisini
kwake alipiga simu kwa Mpenzi wake sulee lakini simu haikupokelewa zaidi ya mara5
aliwaza sana Adams lakini alijipa
Moyo: Labda atakuwa anafanya usafi nje: Akampigia simu kisarawe nae simu iliita zaidi ya mara2 nakukata bila kupokelewa.
“mh mbona majanga mpenzi wangu hapokei kisarawe hapokei
nini sasa jinacho endelea. Ila wenda anaendesha gari. Ngoja niende nyumbani kwake kisarawe.
Adams aliondoka ofisini nakuwasha gari lake nakuelekea
kwa kisarawe nyumbani kwake.
_______________
Sulee ni nani huyo nakama yupo
nibora umwambie ukweli
kabisa”
“Mbona anajuwa nasiyo mwingine
ni wewe dokta nakupenda uwe dawa ya moyo wangu naomba unitulize akili yangu Adams nimempendea pesa zake lakini siyo kwa mapenzi”
“sulee acha acha wewe
hauoni hatari hii ona Monica kaja
ni Rafiki yako haya Adams ni Boss wangu aah ah aaa unanichanganya sulee”
“boss atabaki kuwa boss na Rafiki yangu atabakia kuwa Rafiki yangu
tuta fanya siri kati yangu na yako
naomba iwe hivyo onyo ukikataa takupotezea kazi yako”
kisarawe akawa mpole nikama teja aliye pata dozi ya unga
sulee aliinuka nakumshika shingoni nakuusogeza mdomo wake ulio jaa lipsitic mbele ya mdomo wa kisarawe alipo ona hashtuki aliugusanisha mdomo wake nawa kisarawe akachomoa ulimi wake akaukaza nakuingiza katika mdomo wa kisarawe
Sulee hakuona aibu mbele ya watu wengi aka upekecha pekecha nakuanza kuuzungusha ndani ya mdomo wa kisarawe.
Kisarawe akahisi joto katika mwili wake aka tetemeka naku shusha pumzi nzito puani uphuuu pumzi iliyo sababisha kutoka kamasi zilizo mlukia sulee katika pua yake.
Sulee akazilamba kutumia
ulimi wake.
“baby kisarawe unaonaje tuingie
katika chumba hapa gest”
“sawa sawa tuu sina lakusema mimi mamlaka unayo wewe
mimi nipo nipo tu eeh”
sulee akachukua chumba
nawakaingia ndani nikama walikamiana wali fika kitandani wali jitupa na kazi ika anza
shuguli ilikuwa pevu sana
ndani ya dk25 walisha fungana
gol 2 kwa 2
wakiwa katika kasi ya ajabu sana
kila mtu alikuwa akimwonyesha ufundi mwenzake
kama kawaida sulee alikuwa mkali sana kwa kisarawe aliye jaliwa na fimbo ya musa iliyo na nguvu na ndefu kisarawe alikuwa aki cheuwa mara kwa mara kwajinsi mtalimbo ulivyo kuwa ukifumuwa alihisi kutapika pale mtalimbo ulipo kuwa uki chimbua
ilikuwa noma sana.
Simu ya sulee ilikuwa ikiita
lakini ilikuwa kelo kwao ilizidi kuita mara kadhaa lakini haikupokelewa hawakujuwa ilikuwa ikitoka kwa nani maskini ya Mungu daah walikuwa wakikalibia kilele cha madavi davi
yao kila mmoja ali maliza kwa sekunde zao zilipishana kama 20
wakiwa wana vutia kasi yao
simu ya kisarawe ika ita mara ya kwanza ika ita mara ya pili
kisarawe akainuka nakukuta jina la Adams boss ali dhohofika sana
alilegea na kukaa chini ya kitanda.
“vipi mpenzi”
“Adams bwana kapiga”
“kweli achana nae bwana
hana maana kwetu”
“eeh hana nini”
“hana maana kabisa au ndiyo alipiga na kwangu”
sulee aliangalia misscall alikuwa tano kutoka kwa Adams.
“mungu wangu ni yeye vaa halaka halaka tuondoke
zetu”
“SAWA twende”
Tuliondoka mpaka nyumbani
kwetu kisarawe akaniacha nyumbani Ane akaelekea kwake
nyumbani.
“karibu Mume wangu”
“Asante, Tumbo lina uma sana”
“kunywa dawa hizi hapa wenda lita tulia”
“Asante Monica”
Akanywa dawa kisha akapumzika
katika kochi. Dk 25 Adams akawa amefika nyumbani kwa kisarawe
akagonga mlango ukafunguliwa
akaingia nakumkuta kisarawe ame lala katika sofa.
“vp kaka”
“daah kiasi”
“kivipi”
“Tumbo lina uma sana”
“mmh limeanza sangapi”
“kama saa moja hivi nilikuwa nime lala”
“kweli kaka”
“yah”
“mbona simu hukutaka kupokea”
“Adams usingizi tatizo uwenda
nilipitiwa”
“ok sawa maana ulikuwa haupokei pia sulee nae hapokei
nilichanganyikiwa sana
ok acha niende nyumbani”
Adams akawasha gari
mpaka nyumbani aliingia ndani
nakumkuta sulee nae kalala sakafuni akiwa hoi.
“ehe vp mpenzi mbona hivyo”
“kichwa kina uma”
“sangapi tena”
“kama saa moja lililo pita”
“mh, ndomana ulishindwa kupokea simu yangu mara5”
“ndiyo”
“pole sana mpenzi wangu, mmh mwa mwa”
Adams akabadilisha nguo
na kuingia katika chumba cha mazoezi alifanya mazoezi huku
akiwaza nijinsi gani habari zilivyo
fanana kati ya sulee na Kisarawe
aah hivi ndivyo uwa hatutaki kuowa maana ina tia uchungu sana siunaweza uka uwa?
Alijisemesha Adams huku akinyanyua chuma .
“sulee mpenzi wangu
una nipenda”
“ndiyu mpenzi ndomana nipo hapa”
“ooh vizuri ila kuwa hapa iwenda kukawa na mambo mengi sana
kuna maapenzi
kuna pesa
kuna kuiba
sijajuwa upo kwajili gani?”
“kwa nini unauliza hivyo”
“itajulikana siku moja
nibora uniweke wazi Adams hivi na hivi nijuwe”
“hapana sina tatizo na wewe”
“sawa mimi nakupenda sana
naukumbuke mimi ndiye niliye kuanza kukutamkia nakupenda siku ya kwanza nilipo kuona Dar hospital”
“nakumbuka sana”
baada ya siku5
“kuna nini kinacho endelea
kati yako na Adams”
“kwa nini Monica wauliza hivyo”
“mh naona Adams kabadilika
siyo mchangamfu kabisa yani ucheshi wake umepungua
napia haji hapa mara kwa mara
kututembelea”
“hata mimi sijuwi mpenzi
wangu”
“mh ila siyo kawaida kuna jambo
hapa ita faamika tu na ninahitaji kujuwa nakama kunajambo baya
nakuomba achana nalo tafadhali”
maisha yaliendelea
kwa kuibana kati ya sulee na kisarawe kama kawaida yao waliweza kwenda mbali
kutumia gest zilizopo huko
kufanyia maovu yao,
“Shemeji sikuhizi nikama hauna furaha kabisa kwa nini”
“nipo sawa shemu kwani kuna nini”
“mh shemeji haupo sawa
kabisa nimekuzoeya kwa mda mfupi sana ulikuwa mchangamfu sana lakini kwa sasa naona haupo vile”
Naomba Bonyeza Matangazo Kila Unapoyaona ili Kunipa Nguvu ya Kuendelea Kuwaletea Simulizi
USIKOSE SEHEMU INAYOFUATA