DOKTA SIUMWI HUKO (17)

0
Mtunzi: ___

SEHEMU YA KUMI NA SABA
ILIPOISHIA...
Maisha ya Monica na mwanae yalikuwa yakawaida sana japokuwa alipewa msaada na mama yule lakini msaada uli simama baada ya Mama yule kupata ajari ya gari akielekea Arusha na kufa papo hapo

IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI

ENDELEA...
Monica alitaabika sana hakujuwa wapi aende na Mtoto wake Mdogo sana.
Aliamuwa akaombe kazi ya kuuza bar/baamedi.
Alijitolea kwavyovyote vile imladi
apate kodi ya nyumba na yachakula pia Monica hakuwa na mawasiriano kabisa na Sulee.
_____________

Samahani Dokta leo jioni namaongezi na wewe kama utakuwa na muda”
“sulee shemeji niite Kisarawe inatosha siyo dokta tena sawa”
“sawa ila limenikaa sana ilo jina la dokta”
“ok sangapi utakuwa na muda huo mmh saa9 maana nikama saa1 hivi niwahi kurudi home”
“ok sawa”
“poa, eeeh mawasiriano sasa
tupeane ila usumbufu sitaki”
“aah shemu nakaa vizuri sana na Adams kama kaka na mdogo nizaidi ya boss na mfanyakazi tunaaminiana sana katika pesa na katika mapenzi siwezi kumwingilia/kumwibia nakama kuiba niibe pesa nasiyo mke/mpenzi wake ok sulee”
“sawa nimekuelewa namba yangu ni 0704651394 hii hapa”
“asante taku bipu”
“ok mchana mwema
usimwambie Adams kama tuna juwana na tukio zima lililo tokea”
“sawa”

baada ya kutimia saa9 jioni
Sulee alianza kuhaha kutokana na kumpa namba kisarawe nae kisarawe hakumpigia sule alikuwa hana namba ya kisarawe.
“tafanyaje sasa”
ngongo ngoongo
sauti ya mlango ulikuwa ukigongwa nyumbani kwa sulee.
“ingia mlango upo wazi”
“asante”

Kumbe alikuwa ni dokta kisarawe
alikuja nyumbani kwa sulee/Adams.
“mbona umekuja hapa”
“boss/Adams kanituma
sehemu nayeye hawezi kurudi hapa”
dk2 simu ya sulee ikaita.
“hallow mpenzi nambie”
“safi tu nyumbani vip safi”
“ndiyo safi nilihitaji tuwe wote sahizi mpenzi wangu”
“ooh sawa nami pia ila siwezi kurudi kisarawe nimemtuma mahali furani”
“ok sangapi warudi”
“saa12 jioni”
“ok nipike nini”
“chochote ukipendacho”
“mmh wanaume hamtakagi kusema chakula flani sawa takupikia chakula kitamu sana
sawa”
“nitafurahi sana mpenzi wangu”
_________________­

“ehee sulee tuongee haraka haraka”
“poa samahani sana kwakukusumbua”
“bira samahani”
“ok nadhani kila mtu anatambua
matatizo yetu wawili yaliyo pita”
“nikweli kabisa sulee”
“sitaki tukumbushane saana
ila naomba heshima iwepo sitaki tuludi katika ujinga ule
kila mtu aangalie kile alicho kifata hapa tusialibiane maisha sawa”

“upo sahihi sulee hata mimi siku hizi sipo kama zamani ni kisarawe mpya kabisa”
“nashukuru kwahilo uliongealo”
“kabisa nipo na Mungu sasa masuala yale sina kabisa
nilikuwa naendea kubaya kabisa
najenga maisha yangu sasa nahitaji familia bora kwa sasa nahitaji Mtoto aniite baba namimi niseme mwanangu tucheke na mke wangu pia”
“aaah nimekumbuka jambo”
“lipi sulee”
“Aah sijuwi aliko Monica kwanini usimtafute uje kukaanae”
“hapana ni mke wa mtu yule”
“kumbuka umesababisha aachike napia ana mtoto wako
tena sura yakwako japokuwa wakike”
“kweli sulee usemayo”
“ndiyo kabisa”
“je namba yake unazikumbuka”
“taangalia katika simu yangu”
“fanya hivyo shemu”
“sawa usiwe na hofu kisarawe”
****

Mpaka sahizi kisarawe haja rudi
mmh Roho yangu ina uma, Ngoja nimpigie sulee, mbona simu haipatikani kuna nini sasa”
Adams aliwaza sana
alihisi kumegewa tunda lake.
________________

“Adams safi”
“safi nini sasa kaka”
“nimeongea nae kila kitu safi pia
kanishauli nimfate Monica nije nikae nae hapa pamoja na Mtoto wangu”
“Monica ninani”
“siyule niliye kusimulia”
“ooh kweli itapendeza fanya hivyo haraka sana”
“sawa Adams tafanya hivyo
ila naomba Shemeji sulee anisaidie kwa hili”
“sawa utaongea nae sawa”

Kweli Talatibu za kumtafuta
Monica zikaanza Bila mafanikio ikabidi niondoke na Kisarawe kwenda Dar, kumtafuta Monica
kila mahali tulimtafuta bila mafanikio, Adams alimwamini
Kisarawe kwa asirimia kubwa sana kumwacha na mimi yeye mara nyingi alikuwa bize na kazi zake.
Dar tulikaa siku3 bila kumuona Monica lakini tulisikia kuwa yupo mwananyamala ilikuwa usiku
sana wa saa2.

“sasa sulee ngoja tulale kesho tutaenda huko”
“sawa Kisarawe usiku mwema”
“Nawe pia”
“ila kisarawe mbona mapema sana tukalale kweli”
“yes nausingizi sana sule”
“mmh twende tukanywe kidogo”
“nini pombe”
“ndiyo kidogo tu moja moja
akili ichangamke”
“sulee mmh .

Hapana hapana”
“kwa nini kisarawe”
“sikuhizi nime okoka Sulee”
“Haha yani dhambi zako umeacha
kweli maajabu sana wewe dokta kisarawe ume ungama na kuacha kuwa… Wake zawatu khaa ,ila tunye kidogo”
“sawa tajalibu”

Monica alizidi kujituma kufanya kazi ya u’bar medi ili japo apate pesa ya matumizi yakumlea mtoto wake mdogo sana Kipindi
yeye yupo kazini akiuza bar Mtoto alikuwa akimuacha na Rafiki yake aliye kaanae chumba kimoja
yeye alikuwa akifanya kazi ya
ukahaba usiku.
Monica alikuwa hana furaha kabisa katika Maisha yake aliwaza sana jinsi alivyo ialibu ndoa yake na mtoto wake ndiyo ilikuwa furaha yake japo aliumia sana
moyoni, machozi yalimtoka sana
akiwa akitoa huduma tena kwa boss wake sanga.

monica nini mbona una lia”
“Kichwa kinauma sana”
“pole sana dada angu ebu nenda
kapumzike ndani ,ila meza dawa
kwanza sawa”
“sawa boss”
Kwakuwa bar iyo ilikuwa
ndani ya gest tuliyo fikia Monica alienda kupumzika katika chumba cha wafanyakazi kilicho kuwepo katika gest iyo tuliyo fikia sisi.

Tulikuwa tukitoka
nje mimi na kisarawe tukiwa mbali kwa mbali kisarawe akiwa nyuma yangu mimi mbele
hamady uso kwa uso na Monica alikuwa katika sare za wahudumu
iliyo andikwa sanga bar.
“Monica monica”
“sulee sulee jamani”
“Mambo Monica”

Hakujibu Monica alibakia akitoa macho.
“Monica nini mbona hauongei”
lakini nikajuwa kuwa alikuwa
kamuona kisarawe ndomana
alibakia akishangaa alionekana
mtu mwenye hasilla sana usoni.
“Monica kuwa mpole hii safari
imekuja kwako nakama miujiza
kukutana na wewe hapa”
“sitaki sitaki sulee mbaya sana wewe yani umeludiana na kisarawe mmetoka gest hauna hata aibu umeniacha kwa shangazi yako na mateso juu sitaki kuwaoneni hapa sawa”
“sikiliza sulee sisi tumetoka
morogoro kwajili yako kukutafuta
sawa naningekuwa na namba zako ningekupigia uje moro
tafadhari naomba utusikilize sawa
nakama unajuwa tumetoka gest twende kwa muhudumu alafu
angalia kama tumechukuwa vyumba vingapi”

Muhudumu akamwambia
ni vyumba viwili tuli chukuwa
hapo tuliingia katika chumba kimoja wote watatu.
“sasa Monica nielewe nacho ongea sawa Mimi nimepata mchumba
anae itwa Adams j maryo jr. Nimfanya biashara Morogoro Nadhani unakumbuka nilikwambia kabla sijaondoka kwa shangazi nilikutana nae kipindiulipo niambia nikapime ili niondoe mashaka unakumbuka Monica”
“ndiyo nakumbuka uliniambia”
“ok sasa nilipo fika kwake aliniambia anamfanyakazi wake
alipo tukutanisha mimi na huyo mfanyakazi wake hakuwa mwingine ni huyu kisarawe kwa sasa ni shemeji yangu Monica sikuona sababu ya kuteseka wewe na mtoto wako nilimshauri kisarawe ili akuchukuwe wewe na mtoto wenu mkamlee kama baba na mama sawa sitapenda ukatae suala hili unasemaje kama wewe”

“sulee kisarawe katuumiza sana nafsi zetu namchukia namchukia
leo mpaka kesho kiufupi sitaki sitaki kuwa nae acha niishi na maisha yangu haya haya magumu najuwa mwanangu atateseka siyo mbaya atakuwa mkubwa na yeye atakuwa na maisha yake”
“Monica monica Mimi siko hivyo kama zamani nime badilika
Monica naomba unisahau kisarawe wazamani sasa niko mpya niamini siwezi kukuumiza tena”
Kisarawe aliongea huku akimsogelea Monica alikuwa amepungua sana kutokana na maisha duni na kuwa na mawazo sana ya maisha yake yaliyo msumbua sana.
“Kisarawe usini guse sitaki sitaki
sawa ishia hivyo hivyo.
Monica alimpiga kibao
kisarawe mpaka akadondoka kisarawe chini Roho yangu iliuma sana kwanini Monica kampika kisarawe hivyo sikujuwa nilibakia niki shanga shangaa.

kwajinsi Monica alivyo badilika
alikuwa kama simba mwenye hasira sana.
“Monica kwa nini unafanya hivyo”
“Sulee nyamaza hivyo hivyo namuona kama adui yangu huyu
sitaki kumwona kabisa mbele yangu amenialibia maisha yangu yote na Mume wangu ambaye nilimpenda sana kila siku”
“sawa Monica najuwa hivyo namambo yamesha halibika
sasa tuya jenge upya kama mimi nimekutana nae morogoro ikabidi nimsamehe nikaonea kuwa tuje kukutafuta kwakuwa mwenzangu una mtoto wake ebu mpe nafasi
mtoto wako alelewe na baba na mama kwapamoja apate Raha na Amani pia”
“Monica najuwa unanichukia sana nikweli nilifanya makosa sana ulikuwa ulimbukeni kwa sasa nimebadilika sana ebu tazama
upo hapa sahizi katika mazingira haya je mtoto wetu yupo katika mazingira gani Monica nipe nafasi nikutunzi pia uwe mke wangu wa ndoa”

Monica aliinama chini akiwa
analia kwa uchungu sana Aliumia sana nilimuonea huruma sana nilimkumbatia huku nikimbembeleza kwa kumfuta machozi yake.
“nyamaza monica haya ni maisha unapitia mambo mengi sana nahili lako ni tatizo ambalo lita kupotea katika akiri yako ,Monica mkubalie Kisarawe maisha nimazuri sana anayo ishi kwake tofauti na maisha ya kwanza kwako”

“Mapenzi yakweli ndiyo nayataka nasiyo mapenzi ya pesa/mali yasiyo na ukweli yaliyo na utapeli
sipendi kuumizwa kabisa naweza kuuwa au kujiuwa kabisa nimeumia sana nilipo msariti mume wangu sitaki tena ujinga kama huo au kunisariti kisarawe nakukubali ila naomba usinitende
ukinitenda juwa kuwa iyakuwa vita kati yangu na yako sawa”
“Monica niamini sita fanya hivyo
nakuahidi fanya utakalo liamua juu yangu utakuwa una haki
kulifanya”

“Jamani mbona mna haidiana
mambo mazito kiasi hicho khaa
ila sawa inaonyesha kuwa mtakuwa makini na kuwana penzi la kweli kati yenu”.
Tulimaliza maongezi pale
na haja ya kulala ikawa ime isha pale pale, Tuliondoka na kwenda mpaka alipokuwa akikaa Monica
tuliingia ndani nakumkuta Rafiki yake Monica akiwa kalala na mtoto wa Monica.
Aliamka yule dada tukasalimiana
natuka mchukua mtoto nakumpakata.
“Hakika Kisarawe
huyu ni mwanao ona ulivyo fanana nae”
“yah nimekubali kabisa”
“sasa Monica hakuna kulala hapa
sahizi ni saa1:25 inatakiwa tuondoke kwenda moro”
“sawa tu”

Safari ilianza yakwenda moro
tulifika saa3:35 kwakuwa tulikuwa na gari yetu wenyewe
moja kwa moja kisarawe alinipele nyumbani kwangu na wao walielekea kwao.
“usiku mwema jamani”
“nawe pia sulee”
“Asante”
“vipi zahuko mmefanikisha au”
“yani kama bahati tu”
“kwa nini”
“tumemuona na tumerudi nae”
“Mungu mkubwa”
“hakika”

tulilala na Mpenzi wangu Adams
mpka asubuhi niliamka nikiwa nimechoka sana kutokana na
kupeana haki yetu usiku
niliona uvivu kuamka kwajinsi nilivyo choka kwa shuguli
ya usiku lakini kuna kitu kilicho.

Naomba Bonyeza Matangazo Kila Unapoyaona ili Kunipa Nguvu ya Kuendelea Kuwaletea Simulizi
USIKOSE SEHEMU INAYOFUATA

Chapisha Maoni

0Maoni
Chapisha Maoni (0)