Mtunzi: Omary John Mndambi
SEHEMU YA HAMSINI NA MBILI
TULIPOISHIA...
TULIPOISHIA...
“Sawa nimekubali lakini ni vizuri sasa tukija kwenye mada yenyewe.”
Sam alivuta pumzi ndefu kisha akaamua kuweka mambo wazi…
“Shemeji kwanza nimeamini kuwa damu ni nzito kuliko maji kwa hiki nilichokiona hapa”
IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI
TUENDELEE...
“Unamaanisha nini?”
“Shemeji huyu mtoto ulivyomuangalia nimeona kabisa umebadilika moja kwa moja”
“Enhee nakusikiliza”
“Kwahiyo nimeamini kuwa kweli damu ni nzito kuliko maji”
“Shemeji unajua sikuelewi kabisa”
“Nice”
“Yes Dady”
“Huyu ni mama yako”
“Sam umesemaje?” Verity aliuliza huku kasimama wima
“Mungu wangu!” Verity alitokwa na machozi yaliyomwagika kama mvua, bila kuchelewa alimnynyua Nice na kumuweka kifuani kwake huku anamlowanisha na machozi.
“Oooh Sam kwanini umenifanyia yote haya, kwanini ulimficha mwanangu siku zote hizo, kwanini umenitenga na furaha yangu kwa muda wote huo Sam”
Verity aliongea maneno mengi huku analia machozi yanamwagika kama chemchem!
Sam alikuwa ameinamisha kichwa chini nae machozi yanamtoka, Nisha alikuwa anatazama kwa hisia kwani kama mama nae aliujua uchungu wa mtoto.
“Sam kwanini umenitesa kwa siku nyingi hivyo?”
Verity alizidi kulalama tu.
“Nice mwanangu, huyu shetani alikuwa amekuweka wapi?”
Sam pale alipokuwa roho ilimuuma sana kwani kitendo cha Verity kumpa zile lawama aliona sio sawa kabisa.
Haraka sana aliamka alipokuwa amekaa akamfwata Verity ili afafanue jinsi tukio liilivyokuwa.
“Verity naomba unisikilize shemeji!”
“Siwezi kukusikiliza Shetani mkubwa kama wewe, na ninakwambia breki ya kwanza kutoka hapa naenda Polisi, lazima dunia ijue wewe ni nani”
Verity baada ya kutamka maneno hayo moja kwa moja aliondoka kwa kasi na kutoka huku amemshikilia mwanae.
Sam alibaki amekodoa macho tu hajui amkimbize amkamate ama abaki pale pale na ndio Verity alikuwa anatokomea mlangoni.
Haraka sana Verity alipanda kwenye gari yake akakaa kwenye siti ya dereva akamuweka Nice siti ya pembeni na kuliwasha gari akitaka kwenda polisi kumripoti Sam.
Baada ya kutekenya funguo gari iliwaka akaliondoa kwa kasi, baada ya mwendo kidogo ili afike Polisi gari yake ilisimamishwa njiani.
Alitaka asisimame lakini kuna gari ilikuja ikaziba njia ikambidi akamate breki na kushusha kioo kwa hasira akitaka atukane wale ewalioziba njia.
Kabla hajasema chochote kuna mtu alishuka kwenye ile gari na kumfwata akamgongea ili afungue mlango.
“WEwe ni nani?”
“Fungua mlango tuongee”
“Sifungui na naomba mtoe gari yenu nipite kabla sijawaita Polisi”
“Sisi ni polisi, angalia hiki” Verity alionyeshwa kitambulisho ikabidi awe mpole na kufungua mlango wa gari.
Yule jamaa aliingia kwenye gari na kumuamuru asogee kwenye kiti cha dereva kwa kumnyooshea bastola.
Hapo hapo Yule jamaa alikamatia usukani na kuendesha gari kuelekea alipopataka yeye!
……………………………..
“Dada unapaswa ushukuru kwa kumpata mwanao, sawa?”
“Sawa”
“Usipoonyesha kushukuru atapotea na hutomuona tena kwenye maisha yako, sawa?”
“Sawa”
“Kuanzia sasa hivi rudi na mwanao nyumbani na usifwatilie chochote, sawaa?”
“Sawa”
“Atakayekuuliza umempata wapi mwambie umeletewa na polisi na Polisi wamekwambia alionekana akirandaranda kituo cha mabasi, sawa?”
“Sawa!”
Baada ya masaa kadhaa Verity na mwanae NICE walifungwa tena vitambaa vyeusi usoni na gari kuendeshwa kutoka sehemu waliyokuwa wamepelekwa!
Baada ya mwendo mrefu walifunguliwa vile vitambaa na kuona wakiwa tayari wako katikati ya mji wa Mbeya!
Gari pia iliendeshwa na hatimaye wakawa wamefika nyumbani kabisa kisha gari ikaingizwa getini, walishuka wote na kuingia ndani huku Yule jamaa aliyekuja nao akiambatana nao tena kuingia ndani.
Walipofika ndani Yule jamaa alifungua friji na kutoa galoni ya juisi na kujimiminia huku akiwa kakaa kwenye kochi kwa kujiachia.
“Shemeji nyumba yako nzuri sana”
“Asante sana”
“Samahani nataka nikaone chumba atakachokuwa analala NICE?”
“Haaa ili iweje”
“Nataka nione kama inaendana na ile ambayo alikuwa analala kule”
“Kama ukiona haziendani?”
“Wewe nipeleke tu”
Verity alikuwa hana ubishi tena akanyanyuka na Yule jamaa hadi chumbani kwake.
“Nitakuwa nalala nae hapa”
“Ohh sawa japo sio pazuri kama kule alipokuwa analala ila kidogo afadhali”
Verity hakujibu chochote alibaki tu amemuangalia Yule jamaa.
“Sasa chukua hizi pesa zikusaidie kuboresha matumizi yake na malazi yake”
Verity alitaka asipokee lakini zikawekwa kitandani na Yule jamaa akaaga na kuondoka zake.
Huku nyuma Verity alizihesabu na kugundua kuwa zilikuwa ni dola elfu kumi sawa na milioni kama ishirini za kitanzania.
……………………………….
Tangazo lilikuwa linatolewa na IGP likionesha mabadiliko ya makamanda wa Polisi wa Mikoa na wilaya.
Baadhi yao walikuwa wamestaafu na hivyo nyadhifa zao kuzibwa na watu wengine, wapo waliokuwa wanapandishwa vyeo na wengine kuhamishwa vituo vya kazi.
Jina la Sam lilikuwa kwenye orodha baada ya kutajwa kuwa RPC wa mkoa wa Tabora. Alipolisikia jina lake moyo ulimdunda kwa kasi sana.
“Ina maana wale jamaa wana nguvu kiasi hiki?”
Katika maisha kuna wakti wa kupanda milima na kupita kwenye mabonde, kwa Rafiki huu ulikuwa wakati wa kupita kwenye mabonde!
Maisha yalikuwa matam sana kwake, mapenzi kutoka kwa mkewe yalikuwa makubwa kuliko wakati wowote, alijiona anaishi kwenye dunia anayoimiliki yeye pekee. Hakuhitaji kitu kingine zaidi yay eye na mume wake.
Mara nyingi tu walikuwa wakitoka kwenda kufurahia maisha huku wakiwa wameambatana na mtoto wao ambaye sasa alikuwa anatembea, wakati mwingine hata wifi yake “glory” alikuwa anaambatana nao huku wakiwa ni wa vicheko na matabasam kila wakati.
……………….
Sam alikuwa ametoka kuoga amejifunga taulo jeupe anajifuta maji kidogo yaliyobaki mwilini ili apake losheni alale ajipumzishe kidogo.
Kabla ya yote alishtuka taulo likivuliwa na kutupwa kitandani, alipogeuka alikutana na mdomo wa Rafiki uliokuwa unamfwata kinywani.
“Baby…” aliita Sam
“I need It…” hakuna kilichoendelea isipokuwa Sam na Rafiki walikuwa wanasema kwa vitendo, midomo yao ilikuwa imegusana wananyonyana ndimi huku wameshikana viunoni.
Taratibu mikono ikawa inatembea taratibu huku ikipanda na kushuka kwenye mgongo wa kila mmoja wao na kuzidisha miguno.
Mikono ya Sam ilihamia chini zaidi kwenye makalio ya Rafiki na kuyaminyaminya kila wakati kitendo kilichomfanya Rafiki azidi kutoa miguno.
Rafiki nae sasa alikuwa anakiminya kifua cha sam kilichokuwa kimajaa vizuri huku akiendelea kupapasa mgongoni hadi pale alipohisi kitu kigumu kinamgusa maeneo ya kitovuni akajua mshale sasa tayari uko kwenye shabaha yake.
Alitanua kidogo miguu yake na kuupitisha mshale wa sam katikati ya mapaja yake na kuuacha humo huku akiuhisi unavyojitutumua kila dakika zinavyosogea.
Mashambulizi yalikuwa makali kwani sasa sam alikuwa anacheza na kifua cha Rafiki na mkono mwingine unaelekea ikulu, alipofika nje ya ikulu alipapasa kuta zake kwanza kisha akaandaa kidole kimoja na kukipitisha taratibu kuingia ndani kisha ….Ooooshhhh … rafiki alitoa mguno wa raha.
Baada ya dakika kadhaa ikulu ya Rafiki ilikuwa inatiririsha maji maji ya moto kuonyesha kuwa imezidiwa, Sam hakulaza dam, alimsukuma mkewe taratibu huku wakiwa wamekumbatiana hadi wakafika kwenye ukingo wa kitanda.
Alipofika hapo aliinua mguu mmoja wa Rafiki na kuupandisha kwenye tendegu la Kitanda, alimfwata tena mdomoni na kumnyonya mdomo Kisha akabonyea kidogo chini na kupitisha mshale wake kwenye ikulu ya Rafiki ambapo ulipita taratibu hadi ndani.
Kilichoendelea hapo nadhani mnakijua, Rafiki alikuwa ananyonga kiuno kwa Raha za ajabu huku Sam nae akipeleka mapambano kwa kasi ya ajabu.
Baada ya dakika kadhaa alimuinamisha kama anachuma mchicha kisha yeye mwenyewe akakanyaga kwenye kitanda na kuchomeka naniliu yake hadi akagusa kitu kigumu huko ndani ambacho kilikuwa kama kinamfinya kwa ndani. “Taratibu baby” Mkewe alisema kwa sauti ya kudeka Sam akajua mtarimbo wake umefika mbali sana.
Taratibu alifanya mashambulizi yaliyomfanya Rafiki aweweseke sana na kujua kuwa yuko kwenye hatua za Mwisho hivyo akamuinua kidogo ili asije akaanguka na kumshikilia kifuani huku akiendelea kupekesha na kisha akamsindikiza vizuri hadi kileleni.
Kwa kuwa yeye alikuwa bado kufika alimlaza mkewe kitandani na kumuelekezea tumbo juu kisha nayeye akaja kwa juu yake na kuendeleza libeneke.
Baada ya dakika kama ishirini hivi walikuwa wamelala usingizi wa uchovu hadi pale Sam alipoamka na kunyimwagia tena maji kisha akaondoka kuelekea kwenye mizunguko yake.
………………………….
Verity alikuwa na furaha mno kukutana tena na mwanae aliyejua kafariki, kila wakati alikuwa nae hata kama anaenda kwenye shughuli zake binafsi.
Alikuwa na wasiwasi huenda waliomteka watamrudia tena, kwakuwa alikuwa ameshawasiliana na Baba yake na Mama yake na kuwaeleza ambapo wote walistaajabu sana hadi wakapanga kutoa shukrani kanisani na kufanya sherehe siku hiyo aliamua kumsapraizi dada yake.
Akiwa kwenye gari yake aina ya Rav4 Nyeupe alikuwa anaelekea nyumbani kwa Rafiki. Walipofika alipiga honi geti likafunguliwa na kuingia ndani kisha akapaki gari lake.
Alishuka kwenye gari na kumshika mwanae mkono kisha wakaingia kule ndani alipo dada yake yaani Rafiki.
Rafiki kwa wakati huo alikuwa chumbani lakini aliposikia kuwa kuna wageni wamefika ilibidi atoke huko sebuleni ili awakaribishe.
Mtu wa kwanza kumuona katika wale wageni ni mtoto wa kike Ambaye alikuwa na miaka takribani mitano hivi lakini muonekano wake ulimchanganya sana.
Alikuwa anafanana mno na mtoto wake wa kumzaa, alijiuliza kwa haraka haraka lakini wakati anaendelea kujiuliza tayari alikuwa ameshafika sebuleni vizuri na kumuona mdogo wake Verity!
“Heee kumbe wewe?”
“Ni mimi kwani wewe ulijua nani?”
“Achana nayo karibu naona umenisapraiz”
“Ah hapa kwangu bwana sio kila siku nikija lazima nikwambie nakuja”
“Yani huyu mtoto amenishtua, nimemuangalia yani anafanana na mwanangu kama mapacha, ni nani kwani huyu?”
“Hujawahi kumuona sehemu yeyote?”
Rafiki alitulia kwa sekunde kadhaa akimtafakari Yule mtoto huku akijiuliza aliwahi kumuona wapi.
“Hebu njoo mtoto unisalimie” rafiki alimuita Yule mtoto.
“Shkamoo”
Rafiki badala ya kuitikia alishtuka zaidi kwani dimpoz alizokuwa nazo Yule mtoto ndizo alizokuwa nazo mwanae wa kumzaa.
“Unaitwa nani mtoto mzuri”
“Nice”
“Mungu wangu, Verity huyu ni NICE wako?”
“Ndio huyoo dada. Yani mungu ni Mkubwa!”
“Yalaaaaa jamani Sam anajua kufanana na watoto wake jamaniiiii!”
Kauli ile ilimshtua Verity mno kwani hata siku mooja hawajawahi kukubaliana na Rafiki kuwa kweli Yule mtoto ni wa Sam!
Naomba Bonyeza Matangazo Kila Unapoyaona ili Kunipa Nguvu ya Kuendelea Kuwaletea Simulizi
USIKOSE SEHEMU INAYOFUATA
JIUNGE KWA UPDATE NA BURUDANI ZAIDI
WhatsApp Channel=> CnZ Media(Follow)
Telegram Channel=> CnZ Media(Join)