MAMA ALISHIKWA KALIO MBELE YANGU (53)

0

SEHEMU YA HAMSINI NA TATU
TULIPOISHIA...
“Mungu wangu, Verity huyu ni NICE wako?”
“Ndio huyoo dada. Yani mungu ni Mkubwa!”
“Yalaaaaa jamani Sam anajua kufanana na watoto wake jamaniiiii!”
Kauli ile ilimshtua Verity mno kwani hata siku mooja hawajawahi kukubaliana na Rafiki kuwa kweli Yule mtoto ni wa Sam!

IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI

TUENDELEE...
Wakati huohuo mtoto wa Rafiki nae alifika akiwa anatokea usingizini, walipokuwa wawili pale ndio ilikuwa kama photocopy. Wanafanana kama vile watoto wa Baba na Mama mmoja!

Taratibu furaha yote aliyokuwa nayo Rafiki ikapotea ghafla, alijikuta akiumia sana rohoni na kujenga chuki ambayo hakuwahi kuwa nayo kabla.

Kwenye akili yake alijisemea kuwa ni heri huyo mtoto asingeonekana kuliko hivi ambavyo amerudi na kukumbusha kidonda chake.

“Bora angekufa tu”
Alijisemea Rafiki moyoni.
Verity ndani ya akili yake alishaisoma akili ya dada yake na kujua kuwa amekosa uchangamfu, alijitahidi kumuongelesha lakini alikuwa anapata majibu ambayo hayakuwa yale ya kuvutia.

Hata tabasamu aliloonyeshwa lilikuwa la walakini, hapo ndipo alijua kuwa tayari hali imekuwa sio ile aliyoitegemea. 
Pamoja na kuendelea kukaa hapo lakini alikuwa anavuta muda tu ili aondoke zake maana alishajua kuwa amevuruga furaha ya mtu.

Baada ya kama nusu saa hivi aliaga na kuondoka zake lakini tofauti na siku zote siku ya leo hata kusindikizwa hakukuwepo.
Huku nyuma Rafiki alikuwa kwenye maumivu makali sana, chuki ilijengeka kwenye moyo wake na roho mbaya ya kutoa roho ikawa imemuingia.

“Hivi huyu mtoto si ataninyima amani kwa siku zote huyu, hivi kweli hii siri ikivuja si jamii itakuwa inanidharau sana, yani nimeolewa na mtu aliyezaa na mdogo wangu..”
“Tena itaonekana mimi ndie niliingilia mapenzi yao kwasababu mtoto wao ni mkubwa kuliko wangu … ”
“Sikubali lazima nimuue huyu mtoto, siwezi kumuacha wala kumuua Sam ni mme wangu na ninampenda sana, wakufa ni huyu shetani aliyezaliwa kuvurugua watu furaha zao. ”
Hicho ndicho moyo wa Rafiki ulikuwa unawaza kwa wakati huo, Roho yake ilishakuwa ile ya Israel mtoa roho!

Hali ile Aliyoikuta Verity kule kwa dada yake ilimuumiza kichwa sana akaona lazima amshirikishe Sam ili wajue cha kufanya.

Alipofika tu nyumbani alimpigia Sam simu ambaye alikubali kuwa atafika hapo nyumbani ndani ya muda mfupi,
Akiwa anamsubiri aliamua aoge kabisa kwani alikuwa anahisi joto, wakati anaoga Sam nae alifika na kugonga mlango kisha akafunguliwa na Housegirl.
Alikaribishwa akakaa kisha akamchukua Nice na kumpakata huku akimpa Biskuti za Chokoleti alizomnunulia huko Supermarket.
Kwa mbali alimuona Verity anatokea Bafuni anapita amefunga taulo anaelekea chumbani, hali ya mtetemo aliyoiona ilimkumbusha enzi hizo alizokuwa anakula utamu wa Verity.
“Hakika huyu binti alikuwa mtamu sana” alijisemea kimoyomoyo kwani ukweli kuwa alikuwa hajawahi kuinjoi ngono kama aliyokuwa anaifanya na Verity!

Alirudisha moyo wake nyuma na kuzuia hisia za kijinga akimsubiria Verity atoke ili wazungumze. Hatimaye Verity alitoka akiwa amevaa suruali aina ya track na blauz nyeupe. Hakika Verity alikuwa ameumbika sana kwani pamoja na kuvaa vile lakini umbo lake lilionekana kuwa na mvuto ule ule.
Alikuja akaa pembeni Ya Sam kisha Nice akaondoka zake. Verity alimsimulia Sam kila kitu alichokiona kule kwa Rafiki na kumwambia kuwa anahisi dada yake anajua uhalisia wa ishu ya NICE lakini pia anaonekana hana amani nae!
Wakiwa wanaongea huku wamekaa karibu karibu kule nje alikuja Gwakisa na moja kwa moja akaingia ndani, alipofika mlangoni aliona watu wamekaa kwenye kochi moja akawatambua kuwa ni Sam na Verity japo walikuwa wamemgeuzia kisogo.

Roho ilimuuma zaidi alipomuona Nice ambaye alikuwa amefanana na Sam kila kitu. Akili yake ilimtuma kuwa huenda Sam amerudisha mahusiano tena na Verity.
“Leo lazima nipambane nae” Alijisemea Gwakisa huku akiwafwata pale walipokaa!

Katika wanawake waliokuwa wanatikisa pale chuoni alikuwepo Glory pia, Glory alikuwa anatikisa kwa urembo na Uwezo wake darasani.
Lakini pamoja na hayo uhusiano wake wa kindugu na Sam ambaye ametangazwa kuwa RPC ulimpa umaarufu kuliko kawaida.
Wanaume wengi walikuwa wanamtaka na hata wajadhiri chuoni pia, kwa Glory halikuwa swala la ajabu kwake, aliona ni wajibu wake kama mwanamke kutongozwa na kuambiwa anapendwa kwani aliamini kuwa kila mwanamke alikuwa anaambiwa maneno hayo hata wale wabaya wa sura na muonekano.

Ambacho yeye alikuwa hajui ni kwamba katika uhalisia ni wazi kuwa alikuwa ni mrembo haswa na wengi wa watu walikuwa wanamhusudu, wasichana wengine walikuwa wanamuonea wivu kufikia wakati wa kumchukia pasi na sababu yeyote.

Siku moja akiwa anapita kwenye ubao wa matangazo aliona jina na namba yake ya usajili kisha ikafuatiwa na tangazo kwamba anahitajika kwenye ofisi ya idara ya somo la uchumi.

Alishtuka kwani hata siku moja hajawahi kupata wito kama huo, kwa hofu aliyokuwa nayo hapo hapo aliamua kwenda moja kwa moja katika idara ya hilo somo.

Alipofika aligonga mlango akaruhusiwa kuingia mpaka ndani. Alipofika pale alikutana na wahadhiri wanne wameketi huku kila mmoja anafanya shughuli zake,
Aliwatazama wote na kisha akachagua kwenda kwa mmoja ambaye ndie alikuwa anadili na lile somo la uchumi.

“Shkamoo”
“Mambo Glory” Shkamoo yake haikuitikiwa
“Safi”
“Karibu ukae”
Glory alikaa kwenye kiti kilichokuwa mbele yake kisha akawa anasikiliza kwamba ataambiwa nini lakini ajabu ni kwamba zilikatika dakika mbili nzima na hakuweza kuongeleshwa chochote ikabidi aanze yeye.
“Samahani nimepita kwenye ubao wa matangazo nikaona jina langu kuwa nahitajika kwenye ofisi yako”
“Sawa nimekuona ngoja kwanza niweke mambo yangu sawa”
Baada ya kama dakika tano hivi Yule mhadhiri alitoa miwani yake na kumuangalia Glory kwa umakini mkubw akiasi hata Glory akashtuka.

“Hivi Glory na urembo wako wote huo ndio umeamua uchague kufeli somo langu tu”
“Kivipi Doctor?”
“Naona hapa maksi zako haziruhusu kabisa kuingia kwenye mtihani wa mmwisho kwenye kozi yangu”
“Haa imekuwaje mbona testi zangu mbili nimefanya vizuri?”
“Hizi mbili za mwisho umefeli kabisa kwahiyo nikigawanya maksi zako hazifikii inayotakiwa na mbaya zaidi huu mwaka wa mwisho kwahiyo itabidi urudie”
Kwa maelezo hayo ilibidi Glory anywee na kuinamisha kichwa chini,
“Unajua Glory kama isingekuwa hili somo ulivyofeli yani wewe ungeongoza chuo kizima kwa kufaulu na nakwambia ungefika mbali sana”
“Sasa nitafanyaje Doctor?”
“Kwakweli nashindwa kuelewa kwanini umefanya hivi”
“Dokta naomba unisaidie”
“Unadhani mimi ntakusaidiaje? Unajua haya mambo ya kusaidiana yapo lakini ni mambo ya siri sana na annayesaidiwa lazima ajitambue”
“Mimi najitambua Dokta”
“Mh sina uhakika na hilo, ila hebu andika namba yako hapa”
Glory alichukua kile kinoti book alichopewa akaandika namba zake zote tatu, ya Tigo, Vodacom na Halotel kisha akaondoka zake!
…………………………………….
Huku akiwa kanuna Gwakisa alienda kukaa karibu kabisa na pale walipokaa Verity na Sam, hakukuwa na salam wala neno lolote isipokuwa alikaa tu pembeni yao na kuminyaminya simu yake.

Sam na Verity walibaki wameshangaa na hata maongezi yao wakakatisha, kwa hali aliyokuwa nayo Gwakisa mbele yao iliwatia hofu kwani alikuwa amevimba kwa hasira.

Kwenye akili ya Sam alifikiria kuondoka zake kwani alikuwa hataki matatizo na mtu ukizingatia kuwa yeye sasa ni Mtu na cheo kikubwa na heshima zake.
“Mama Nice mimi naomba niondoke tutaongea wakati mwingine” Sam aliaga.
“No usiondoke mpaka hili swala likae sawa” Verity nae alijibu.
“Wala usijali naona umepata mgeni ngoja mimi niwaache”
“Please Sam mimi ndie nimekuita hapa hili swala linatakiwa lipate ufumbuzi kwanza”
Wakati huo wote Gwakisa alikuwa kaka tu anaendelea kuminya minya simu yake.

“Basi naomba nikajisaidie narudi”
“Sawa naomba niingie toilet kidogo”

Lengo la sam ilikuwa sio kwenda toilet isipokuwa alitaka atoe nafasi kwa Gwakisa na Mtalaka wake huenda wana mambo yao muhimu.
Huku nyuma Verity alikuwa na hasira sana mbele ya Gwakisa kwa kuingilia maongezi yake muhimu lakini hata hivyo hakutaka kuionyesha hasira yake.

“Vipi baba? Mbona hata salam hakuna?”
“Kwani si mngenianza nyie”
“Sawa mzima lakini ”
“Kama unavyoniona, kwa hiyo huyo bwana wako ndio hataki kunisalimia?”
“Bwana wa nani?”
“Si bwanako unajifanya hujui”
“Haya je wewe umemsalimia? ”
“Kwahiyo umekiri kwamba ni bwana wako si ndio, kwahiyo uliniacha ili uwe nae yeye au sio, na mmepeana UKIMWI ili mshirikiane vizuri, sasa namimi leo nataka unipe huo Ukimwi wako”

Katika hali ambayo Verity hakuitarajia Gwakisa aliamka pale alipokuwa amekaa na kumvaa Verity na kuanza kumshikashika kwa nguvu.

Verity alianza kujinasua kwa nguvu lakini hakuwa na uwezo wa kupambana na Gwakisa,
“Niachie Gwakisa”
“Sikuachii”
Gwakisa aliendelea kumpapasa Verity huku akiwa anamshika makalio na sehemu za maziwa, alikuwa anamsukumizia kwenye kochi na hatimaye akafanikiwa na kuwa amemlalia kwa juu.

Kule alipokuwepo Sam alisikia hizo purukushani lakini akawa anasita kwenda. Alichofanya ni kusogea karibu na mlango na kuchungulia kile kinachoendelea kue sebuleni.

Kilichomuuma Sam ni kwamba watoto walikuwemo humo ndani na hivyo wangeona uchafu ambao Gwakisa alikuwa anataka kuufanya pale.

Verity alianza kupiga kelele kwa nguvu baada ya kufikia hatua ya nguo yake kuwa imevuliwa na kubaki na nguo ya ndani tu, tayari Gwakisa alikuwa anakaribia kumbaka Verity kwani nae alishafungua zipu ya suruali yake na kutoa uume wake nje.

“Lazima leo niku…t..mbe na kama huyo bwana wako akija hapa nae namchapa nao”

Gwakisa alikuwa ameshabadilika roho yake na kuwa ya mnyama kabisa, mwili na mapaja ya Verity vilizidi kumvutia na uchu ukampanda mara dufu na kujiapiza kuwa hawezi kumuacha.

Maskini Verity nguo yake iliyokuwa imesalia ilikuwa chini huku amezibwa mdomo. Mtoto wake mkubwa (NICE) alikuwa anasikia yale makelele hivyo akaamua kutoka akamsaidie mama yake lakini alipokaribia pale sebuleni akakutana na Baba yake.

Sam nae hakutaka mwanae aone ule uchafu hivyo akamzuia na kumrudisha ndani kisha akaamua kwenda yeye, alishangaa sana kuona Verity anajitahidi kubana miguu yake huku Gwakisa nae akijitahidi kuipanua ili aingize uume wake….

Sam alimnyanyua Gwakisa kwa kukamata shingo yake na kumgeuzia upande wake, Bila kuchelewa alimpa ngumi nzito iliyotua usawa wa pua na paji la uso.
Gwakisa alipepesuka kisha Sam akamuachia lakini alipotaka kumvaa Sam suruali yake iliyokuwa usawa wa magoti ikamzuia hivyo ikawa ni nafasi nyingine kwa Sam kumvuta na kumpiga kichwa kizito kilichomfanya arudi kinyume nyume ambapo kabla hajafika kwenye kochi ili aliangukie alikutana na kebo ya umeme iliyotua kisogoni kutoka kwa Verity na hapo hapo akazima.

Naomba Bonyeza Matangazo Kila Unapoyaona ili Kunipa Nguvu ya Kuendelea Kuwaletea Simulizi
USIKOSE SEHEMU INAYOFUATA

JIUNGE KWA UPDATE NA BURUDANI ZAIDI
WhatsApp Channel=> CnZ Media(Follow)
Telegram Channel=> CnZ Media(Join)

Chapisha Maoni

0Maoni
Chapisha Maoni (0)