Notifications
  • THE NIGHTMARE (9)
    Jina: THE NIGHTMAREMtunzi: Hussein O MolitoSEHEMU YA TISAILIPOISHIA...“mmenifananisha, mimi ndio kwanza naigia ofisini mida hii.” Aliongea yule afande na kuigia kituoni.“sasa aliyekuwa anatuhoji ni nani kama sio huyo?”Alijikuta anajiuliza mwenyewe swali lililompa utata mkubwa kichwani mwake.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈ENDELEA...Wakati wakiwa hawajui hili wala lile, walishangaa kuona maaskari wakijazana pale na ambulance ikafika…
  • THE NIGHTMARE (8)
    Jina: THE NIGHTMAREMtunzi: Hussein O MolitoSEHEMU YA NANEILIPOISHIA...Walipofika feri, walipewa nahodha mwingine tofauti na yule aliyemuota na boti ilikuwa ndogo tu ya kawaida tofauti na ile aliyoiota.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈ENDELEA...Sharji alijikuta anapiga makelele baada ya kumuona Balqis akiwa amejaa damu mdomoni huku ametoa makucha yake akimfata kwa nia ya kumdhuru.“AAAAAAAAAAAGH”Sharji alipiga kelele na kukurupuka.…
  • THE NIGHTMARE (7)
    Jina: THE NIGHTMAREMtunzi: Hussein O MolitoSEHEMU YA SABAILIPOISHIA...“kha!!!!”Ulikua mshangao mkubwa kwa watu karibu wote baada ya kumuona Sharji akiwa na taulo akitoka chumbani kwa Balqis.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈ENDELEA...Wengine walicheka na kaka yake alionekana kutoifurahia hali ile.“sasa wewe unatutia wasi wasi bure, si ungesema tu kama unaenda kulala kwa huyu dada?” aliongea kaka yake na kukirudia kile chumba alichompangia…
  • THE NIGHTMARE (6)
    Jina: THE NIGHTMAREMtunzi: Hussein O MolitoSEHEMU YA SITAILIPOISHIA...“toa loud speaker bwana.”Aliongea Balqis baada ya Sharji kubonyeza kitufe cha kupaza sauti.“kwanini hutaki nisikie maongezi yenu?” aliongea Karimu kwa sauti ya ukali kidogo.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈ENDELEA...“kwani kuna ubaya mimi nikiongea private na mdogo wako?” alijibu Balqis baada ya kuisikia sauti ya Karimu.“hakuna ubaya.” Alijibu Karim kwa sauti ya…
  • THE NIGHTMARE (5)
    Jina: THE NIGHTMAREMtunzi: Hussein O MolitoSEHEMU YA TANOILIPOISHIA...Alijikuta outomatic akijisemea kwa mshangao baada ya kumuona dada mmoja mrembo mwenye asili ya kiarabu akiingia mule ndani. Hakuvaa ushungi kama alivyowazoea kuwaona waarabu wengi ambao alikutana nao. Huyu alivaa suruali ya jeanz nyeusi na juu akiwa na kikoti chake cheusi.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈ENDELEA...Kati kati kulikua na nguo Fulani nyeupe iliyonakshiwa…
  • THE NIGHTMARE (4)
    Jina: THE NIGHTMAREMtunzi: Hussein O MolitoSEHEMU YA NNEILIPOISHIA...Aliongea Khalidi na kuufungua mkanda wa suruali yake na kuanza kumtandika Karim.“unanipiga mimi?...utaona!”IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈ENDELEA...Aliongea Karim na kuondoka huku analia.*****************************Zilipita wiki mbili bila ya Karim kuonekana nyumbani kwao. Sabra alisikitika kidogo kutokana na kuwapenda sana watoto wake japokuwa huyo mtoto mkubwa hakuwa…
  • Fumanizi la Mchepuko Mwizi😂 | Comedy
    Mume amefuma viatu vya mchepuko wa mke wake mlangoni lakini akakosea kuingia ndani kabla aweke umakini kwenye hivyo viatu mwisho wa siku akaibiwa na vyake😂Hili tukio lazima lichukuchekeshe sana hata kama ulikuwa haujataka kuchekaItazame kisha nipe like na ukinipa maoni kwenye comment nitashukuru sanaUsisahau kubonyeza Subscribe kama haujajiunga na fungua #ChekanaZephiline kupata video zangu zote ambazo zipo mtandaoniNashukuru sana kwa wewe ambaye unanipa nguvu ya kuendelea kuwaletea kazi nzuri…
  • THE NIGHTMARE (3)
    Jina: THE NIGHTMAREMtunzi: Hussein O MolitoSEHEMU YA TATUILIPOISHIA...Akiwa hewani akikata mawingu kurudi Tanzania, kichwa chake kilikua na mawazo mengi sana juu ya mume wake. Aliikumbuka siku waliyofunga ndoa.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈ENDELEA...Pia alijua kwanini mume wake alipendelea kufanya kazi uingereza na yeye kumfungulia ofisi huku huku Tanzania. Hakujua kuwa kazi anayoifanya mumewe ni ile ya kutembea na tajiri mkubwa…
  • THE NIGHTMARE (2)
    Jina: THE NIGHTMAREMtunzi: Hussein O MolitoSEHEMU YA PILIILIPOISHIA...Khalidi alishangaa kuitwa na mtu asiyemfahamu. Alitoka na kwenda kumuangalia huyo mtu maana kiukweli hakua na ndugu aishie hapa Dar hata mmoja anayemfahamu..IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈ENDELEA...Alipigwa na butwaa baada ya kumuona Sabra pale.“ahsante mungu.” Aliongea Khalidi baada ya kumuona tu yule binti pale.“pole sasa kaka yangu, nisamahe mie.” Aliongea Sabra kwa…
  • THE NIGHTMARE (1)
    Jina: THE NIGHTMAREMtunzi: Hussein O MolitoSEHEMU YA KWANZANi kipindi cha mvua za masika. Upepo mkali, na mvua kubwa iliendelea kunyesha kwa kasi kila kona ya nchi ya Tanzania.Ipo mikoa iliyofurahia mvua hizo kwa kuwa walikua wanaisubiria kwa hamu kwa ajili ya kilimo. Lakini ipo mikoa iliyokua inapata shida kwa uharabifu wa mazingira na mengineyo mengi.Moja ya miko hiyo ni Dar-es-salaam. Watu wanaoishi katika mkoa huo walichukia mvua mfululizo kutokana na sababu mbalimbali. Biashara nyingi…

BIKRA YANGU (33)

Mwandishi: Emmanuel F. Kway

SEHEMU YA THELATHINI NA TATU
ILIPOISHIA...
Mzee Mwasha alizidi kuyatoa macho yake huku akimtizama mwanae aliye kua chini anavuja damu nyingi sana mdomoni na tumboni mwake, huku akitafuta pumzi kwa shida sana……
SASA ENDELEA...
Walivuana nguo zao haraka haraka kana kwamba hawa kuwahi kuufanya mchezo huo wa kikubwa kwa takribani miaka kadhaa iliyo pita, huku wakipeana mabusu kwa njia ya kubadilishana ndimi zao,

ilikua ni raha mustarehe, sasa walibaki kama walivyo toka ndani ya matumbo ya mama zao!,
Binti huyu mrembo pengine ungebahatika kumuona ungeweza kumfananisha na Celine Gombez mwanamke wake na Justine bierber msaanii wa marekani,

alikua ana midomo mizuri ana mvuto wa kimapenzi, kama mwana ume ilikua ni lazima uwe na mkono mrefu au mfuko mrefu wenye pesa nyingi ili kumpata mrembo huyu,

Kweli mwana ume aliye kua nae kitandani leo hii Alisha tumia takribani laki tano mpaka dakika hiyo na kufanikisha kuivua nguo yake ya ndani,!

Mambo yalikua mukide mukide, huku wakishikana sehemu mbali mbali nyeti,kisha baadae mchezo wa kibaba baba kuanza , kila mtu alimfurahisha mwenzake kimwili na kudiriki hata kurudia raundi nyingine wakiwa bafuni,

Huko walipeana raha zote za dunia wakichezeana ipasavyo kama waliambiwa wakitoka hapo wataenda kufa, mambo yalikua moto moto,

mwana ume huyo mwenye misuli mingi na kufanya kifua chake kitanuke na kujenga mwili mkubwa ulizidi kuwa kivutio kwa mwana mke yoyote Yule mwenye hisia.

“puuuuu”

Binti huyo mremboalitupwa kitandani baada ya kutoka bafuni.kisha mambo yakaanza upya ilielekea alikua na pumzi nyingi za kutosha,

sababu walianza tena kuchokozana na baadae kuingia kwenye dimbwi la Mahaba mazito.
Baada ya kuchuka binti huyo aliweka kichwa chake juu ya kifua kipana kilicho fananishwa na kalio la mtoto mwenye umri wa miaka tisa.

“Faisal,ujue nakupenda sana, nakupenda kweli unajua kunihudumia, nilikwambia tangu mwanzo watoto wazuri kama sisi kutupata lazima uwe na pochi sio ili mradi pochi, pochi iliyo tuna, una ona sasa kiulaini umenibeba, mambo yanaenda ivyo siku izi mjini hapa!,”

“naelewa jesca, naelewa ndio maana nikawa nakugharamikia,, nataka kesho twende mbali Arusha tukale bata tu”

“wooow, vitu kama ivyo ndivyo nilikua naongelea sasa, ndio maana nakupenda!”

Faisal alisimama na kutoa pochi kisha kumkabidhi Jesca laki moja pale pale na kumuhaidi kuwa jioni yake ange mtumia pesa nyingine, alishajua udhaifu wa mwanamke huyo sasa.

“ahsante baby hizi nikaset nywele kwa ajili ya kesho safari ya Arusha”

Waliongea mengi siku hiyo wakiwa ndani ya hotel kubwa ya nyota tano. baada ya hapo Faisal alitoka nje na kuwasha gari yake akiondoka eneo hilo,

“tayari sasa kesho jiandaeni, huyu teyari keshanasa, nitakua nae kesho asubuhi”

“poa ukimaliza hiyo kazi kuna nyingine nitakupa”

“hakuna tabu, andaa tu mzigo wangu mezani”

Upande wa pili wa shilingi faisal alikua katika kikundi kiitwacho BITCH HUNTERS kikundi hatari chenye mtandao mkubwa cha kuteka nyara watoto wa kike kisha kuwa uza kwa pesa nyingi sana wakiwawekea madawa ya kulevya, na wengine kuwa tumia katika picha zao chafu za ngono na kujiingizia mamilioni ya pesa.

Kikundi hiko kilimtumia Faisal sababu ya utanashati wake walimpa kila kitu kiwe kama kivutio atakapo mtaka mwanamke yoyote Yule hapo mjini Dar es salaam,!

Siku inayo futa tayari walikua na Jesca ndani ya gari akidhani kuwa wana enda safari ila alipewa juice yenye madawa ya kulevya aina ya cocaine napale pale kupoteza fahamu zake,

Muda mfupi baadae walikuja watu kumchukua na kumuweka kwenye gari nyingine.

“huyu demu anaitwa catherine Ramsey yupo C.B.E fanya kazi sasa”

“poa poa”

kazi hiyo kwake ilikua rahisi sana ilikua ni kama kuweka bakuli la supu mdomoni., aliichukua picha ya Catherine na kuiweka ndani ya koti lake.

Mwasha alizidi kuyatoa macho yake baada ya kumuona Enock mtoto wake wa kiume anavuja damu nyingi,kitendo hiko alikifanya mwenyewe ni baada ya kutaka kumpiga risasi na kumuuwa Catherine, mambo sasa yalienda kinyume,

hakua na chaguo lingine zaidi ya kurudi kinyume nyume na kukimbia huku akimuacha Catherine akiwa chini ameyatoa macho yake akiwa juu ya damu.

Alivyo muangalia mama yake mzazi alikua amepoteza fahamu zake kutokana na kelele za silaha ile, Catherine hakua na wazolingine zaidi ya kupiga kelele akiomba msaada kwa majirani waliopo karibu nahapo kwao,

Kelele zake zilipaa na kuwa fikia majirani, haraka haraka walikuja na kuanza kuwabeba watu hao wakiomba msaada wa gari ili wawaishwe hospitali.

“kalete funguo za gari Catherine”

“sijui mama anapoziwekaga!”

“kaangalie chumbani”

Alizungumza jirani mmoja mzee wa makamo, kisha baadae funguo za gari kuletwa, haraka haraka kitu cha kwanza ilikua ni kwenda polisi kuchukua PF3 wakisingizia kuwa walivamiwa na majambazi, ili kuhofia mahojiano kutoka polisi,

Catherine aliji tahidi kumuamsha mama yake bila mafanikio yoyote yale, na kumfanya aingiwe na wasi wasi, pembeni alikua amelala Enock akiwa bado anajitahidi kutafuta pumzi kwa shida.

“C…ath…erine”

Aliita Enock kwa mbali sana huku akikohoa damu nyingi sana, hakuna mtu aliye weka matumaini juu ya maisha yake kwa wakati huo alikua ni nusu mtu sasa.

“le….o nan a…ku,,fa kwa aaaaj..li.. ya penz.. la..ko naaaa kupe..nda saa.ana”

Alizidi kuongea maneno hayo na kumfanya Catherine azidi kulia sana kwa machungu.

Gari lili kua teyari limepaki hospitali na wauguzi kufika hapo na vitanda viwili, alitembea nyuma nyuma na kushindwa kuelewa akifuate kitanda kipi, ilikua ni lazima achague kimoja kwa Enock au mama yake mzazi,alikua ni kama mtu aliye changanyikiwa au kurukwa na akili zake.

Hakua na chaguo lingune zaidi ya kufuata kitanda cha mama yake mzazi huku akiwa mwenye wasi wasi mwingi sana, siku hiyo kwake ilikua mbaya mno.

Walimuambia asubiri kwenye viti vya nje vya hospitali ili madaktari wafanye kazi yao.

Baada ya dakika thelathini aliitwa ofisini na daktari kisha kuingia mpaka ndani.

“Mama yangu anaendeleaje”?

“kaa kwenye kiti kwanza punguza jazba”

Baada ya Catherine kukaa kwenye kiti kimoja wapo cha pembeni ,

dokta aliye jitambulisha kwa jina la William alianza kutoa makaratasi mezani akimtajia majibu aliyo yapata kutoka kwenye vipimo vyake.

“Mama yako ana presha na sukari imeshuka ghafla, lakini naweza kukusaidia, namimi nisaidie pia”

Kwa mara ya kwanza catherine hakuelewa ni kitu gani hasa ana hitaji daktari Yule mpaka alipofunguka kuwa anahitaji kulala nae kwa usiku mmoja ndipo mama yake mzazi aweze kutibiwa,
Ki ukweli maisha ya mama yake yalikua mikononi mwa daktari huyo,

catherine alikua katika wakati mgumu sana hakuelewa ni mkosi au laana aliyokua nayo aliachiwa na nani, alishindwa kuongea na kubaki kububujikwa na mchozi.

“una dakika arobaini tu za kufikiria, na wala usifikirie kumbadilisha hospitali yoyote ile, ukifanya mchezo, utamkosa Mama yako mzazi”

Alizidi kusisitiza daktari huyo huku macho yake yakiwa yame tua juu kifuani mwa Catherine.

Mwanamke aliyekua juu ya kitanda cha wagonjwa mahututi alikua hasemi tena, aliongea maneno mawili tu na kukaa kimnya pale pale, picha ilionesha kuwa hakukua na dalili yoyote ile ya uhai,

alionesha hali ya kuchanganyikiwa sana hata kwa manesi waliokua wakikimbiza kitanda kile katika chumba maalumu cha wagonjwa nguvu ziliwaishia,

“Kway,!…..me…r..ci”(kway Ahs.a.nte)”

Maneno hayo mawili yalizidi kupita ndani ya kichwa chake na kujirudia rudia ndani ya ubongo wake.
aliye lala juu ya kitanda kile alikua Julia mke wake hasemi neno lingine lolote,

Moyo ulimnyong’onyea hakuelewa ni kitu gani kilitokea katika maisha yake, alidhani wenda ni ndoto ndefu anaota yenye kusisimua na baadae angeshtuka akiwa kitandani na mke wake lakini haikuwa ivyo,
mambo yaliyo kua yana tokea hapo yalikua yana ukweli mtupu,

Kila aliye muona alimuonea huruma sana sababu alionesha ni mtu aliye changanyikiwa, macho yake yalishaanza kulowana na machozi,

kupoteza mtu aliye mpenda katika maisha yake haikuwa rahisi kuikubali hali iyo hakuelewa ataishi vipi bila mke ya wake Julia aliyekua akimpenda sana,

Mtoto wake Mdogo Natu kufariki tena na leo hii kufiwa na mke wake kipenzi ubavu wake,

lawama zote alizidondosha kwa Sabrina yeye ndiye aliye sababisha hayo yote yana tokea, yeye ndiye alitoboa siri na kumfanya mke wake atimue na gari na kukutwa na umauti,, ivyo ndivyo vitu vilivyokua vikimomonyoka ndani ya akili yake.

Alishuhudia manesi mbio mbio wakiingiza kitanda ndani ya chumba maalumu akiwa bado ameganda mwili wake umekufa ngazi hakuweza kuzungumza,

alienda chini taratibu na kuchuchumaa huku mikono yake akiwa ameiweka kichwani, hakua anafikiria kingine kichwani mwake zaidi ya kuandaa taratibu za mazishi kutokana na jambo aliloliona machoni mwake muda mchache tu uliopita nyuma!.

Kilicho mshtua katika dimbwi la mawazo mazito ni simu yake ya mkononi alishtuka sana baada yakuona simu iyo imetokea nchini Congo,

ilikua ni ya kaka mkubwa wa Julia aliyeitwa Bozii hakuelewa angemjibu aliye elewa shemeji yake huyo alikua ni mkorofi sana,

kumwambia ukweli wa mambo ingemlazimu achukue ndege kutoka lumbumbashi mpaka Tanzania siku iyo iyo.

Aliya pangusa machozi yake ili ajaribu kuweka sawa sauti yake.

“Shemeji”!

“Naam shemeji, mbona Julia ako simpati kwenye telephone yake kuna jambo gani”?

“aah aaaah atakua anaichaji tu lakini yupo nilikua nae sasa hivi”

“sasa nita piga tena baada ya dakika njoo kumi baadae ili niweze kuongea nae”

“sa.. sawa”

Ndani ya moyo wake alihisi jambo kuwa kaka yake kuna kitu anahisi moyo ulizidi kumdunda atakapo piga baadae ni nini ange mueleza, ili kua ni habari aliyo takiwa kuitoa kwa makini sana sio ya kukurupuka,

dakika zilikwenda mwishowe lisaa kupita bado hakupewa majibu yoyote ya mke wake, dalili zilionesha kuwa waliogopa kumpa taarifa mbaya kuhofia usalama, bado

alijenga picha mbaya ya msiba kichwani kwake, kabla ya kukaa sawa simu yake iliita tena, alikua sio mwingine bali ni Bozii shemeji yake,

aliamini kuwa kitendo cha kuipokea simu ile kilimaanisha amueeleze ukweli juu ya wapi mdogo wake Julia alipo au kumpatia aongee nae.

“Kway nina kuheshimu, usinifanye mie petit, njoo nakuheeshimu sana wajua, nieleze ukweli nataka kuongea na Julia saa hii saa hii,”

“lakini Bozii, sikiliza nikwambie Julia ame amepata ajali”

“juu ya nini?, unasema nini,, nakuya huko unieleze vizuri ,chunga unieleze vizuri”

“lakin tititi”

Simu ile ili katwa na kumfanya kway azidi kuingiwa namashaka sana juu ya maisha yake alielewa nini maana ya kuja kwa shemeji yake huyo aliyekua mtata na mkorofi kuliko ndugu zake Julia wote,

KWA WATUMIAJI WA APP KUNA MATANGAZO YANATOKEA KWENYE APPLICATION YETU HIVYO UKIYAONA NAOMBA BONYEZA HAPO NDIO UNANIPA SAPOTI MIMI, UKIBONYEZA UNAWEZA KUCANCEL SIO LAZIMA UENDELE ULIKOPELEKWA, KIKUBWA UBONYEZE HATA MARA 2-3 KILA UKIFUNGUA APP YETU

USIKOSE SEHEMU INAYOFUATA

TAZAMA KICHEKESHO HIKI KISHA BONYEZA SUBSCRIBE ILIYOPO CHINI YAKE WAKATI TUKIELEKEA KWENYE MUENDELEZO

14 Bikra Yangu Simulizi
Jiunge kwenye mazungumzo
Chapisha Maoni