BIKRA YANGU (34)
Zephiline F Ezekiel
6 min read
SEHEMU YA THELATHINI NA NNE
ILIPOISHIA...
Simu ile ili katwa na kumfanya kway azidi kuingiwa namashaka sana juu ya maisha yake alielewa nini maana ya kuja kwa shemeji yake huyo aliyekua mtata na mkorofi kuliko ndugu zake Julia wote,SASA ENDELEA...
Hali ya Enock ilizidi kuwa mbaya sana risasi zilizopenya ndani ya tumbo zilifanya sumu isambae kwa haraka sana, madaktari walizidi kumshambulia ipasavyo ili kuokoa maisha yake,
walisha angaika nae sana baada ya kuitoa risasi ya kwanza ilibaki moja tumboni iyo ilihitajika umakini wa hali ya juu sana sababu ilizama kabisa karibu na utumbo na ndiyo sehemu iyo ilikua ngumu sana kwa madaktari kutokana na sehemu hiyo kuwa laini,
umakini wa hali ya juu ulihitajika kupita kitu chochote kile,
Kila daktari ilibidi awe makini kufanya risasi hiyo itoke tumboni, wakati yana fanyika hayo Enock hakuwa anaelewa chochote kinachoedelea chini ya jua alikua ni kama mtu aliyekufa kabisa!,
Kitu kilicho msaidia ni mashine ya kupumulia huku tumbo lake likiwa wazi madaktari bingwa wakizidi kufanya kazi ya kuokoa maisha yake,
yalisha pita masaa matano sasa bado hawakufanikiwa kuitoa risasi hiyo ndani ya tumbo lake na kushindwa kuelewa ni kitu gani wafanye.
Hakua na chaguo lingine zaidi ya kukubali kuyarudisha maisha ya mama yake mzazi duniani hiyo ilimaanisha kuwa alikubali kufanya Ngono na daktari huyo ambaye alikua akiyaokoa maisha ya mama yake,
hakutaka kumpoteza mama yake hata kidogo aliamini utu wake hauna thamani kuliko maisha ya mama yake mzazi yaliyokua mikononi mwake mwenyewe,
Japokua ilikua ni jambo gumu kwake ilimbidi tu akubaliane na daktari huyo,
Usiku huo walisha fika gest iliyokua Mabibo mwisho na wote kushuka ndani ya gari, kwa mara ya kwanza Catherine alijua ni utani ila aliamini,
ni baaada ya kukabidhiwa funguo za gest hiyo nakuingia chumbani, muda wote meno ya daktari yalikua nje akiyakenua kwa furaha sana kwenda kufanya mapenzi na binti mrembo na mbichi kama huyo,
haraka haraka alizivua nguo zake na kuanza kumbusu Catherine midomoni na kuanza kumvua nguo zake mbio mbio,
Alionekana alikua na uchu sana, hata hakumuandaa moja moja aliipanua miguu ya Catherine na kuingiza kombola lake,
hakuelewa kuwa Catherine alipata maumivu kiasi gani alichojali yeye ni kujiburudisha kimwili tu na sio vinginevyo.
Maumivu aliyo sikia Catherine kwa wakati huo hayakuelezeka kutokana na uume mkubwa sana aliokua nao daktari na kumwingilia kimwili pasipo hata ya kumuandaa ili Catherine atoe ute ute, yeye hakujali hilo alifanya mambo kwa fujo zote na kumfanya Catherine alalamike lakini kwake yeye ilikua burudani sana,
“bado sijaridhika tuingie round ya pili, ngoja nikaoge”
“tufanye siku nyingine nakuomba”
“basi nimuache mama yako afe”!
Hakua na chaguo linguine zaidi ya kukaa kimnya ila aliumia ndani kwa ndani hakua na jinsi zaidi ya kukaa kimnya tu,
daktari Yule alitoka tena nje na kurudi akiwa na taulo tu huku mbele yake kulionesha kutuna kutokana na kombola kutokeza kwa mbele,
alivua taulo lake na kulisogeza kombola lake mdomoni mwa Catherine na kumwambia anyonye huku akimtishia kuyapoteza maishaya mama yake,
Hakua na namna nyingine kwa kuwa alitaka maisha ya mama yake yarudi ilimbidi tu alishike kombola la daktari huyo kwa mikono yote miwili na kuanza kuliingiza mdomoni japo kua mdomo wake ulikua mdogo ilibidi tu alazimishe kuliingiza huku daktari huyo akiwa amezibana nywele za Catherine kwa nyuma akililazimisha kuingia ndani kabisa,
wakati mwingine alihisi kutapika kutokana na kombola hilo kuzama kabisamdomoni mwake,
Haikuwa tena ngono yalikua ni mateso sasa alikua ni mtumwa wa ngono kwa wakati huo, alipiga moyo konde sababu alishaaamua kuyaokoa maisha ya mama yake mzazi aliyekua hospitalini maututi!,
Daktari Yule alizidi kuhisi raha sana. hasa alipohisi risasi zina kuja Catherine alipotaka kutoka alizidi kumshika na kufanya risasi za daktari huyo kuingia kinywani mwake jambo ambalo hakutaka litokee,
alisimama mbio mbio mpaka bafuni na kwenda kusukutua mdomo wake.
Kadri siku zilivyo zidi kwenda hali ya mama yake ilizidi kuwa nzuri, swala la kumuhudumia chakula mpaka vinywaji alilibeba yeye pamoja na Loyda shangazi yake,
walimuonesha kila aina ya ukaribu alimshukuru sana Mungu kwa kitendo cha yeye kupona bila kujua isingekua mwanae Catherine kutoa rushwa ya ngono kwa daktari pengine angekua marehemu,
Dokta William aliingia ndani ya chumba hiko na kupewa shukrani sana, ila kwa Catherine alimkata jicho kali lenye chuki sana,
“ahsante daktari sasa hivi naendelea vizuri sana”
“usijali naweza nikapata faragha ya kuzungumza na wewe kidogo?”
Aliomba dokta William huku akiwatizama Catherine na Loydah kumaanisha kuwa waweze kutoka nje ili wao waweze kuongea, na wao kutoka wakiwaacha.,
“una ujauzito, ndio ilifanya sukari ishuke,ina kubidi uanze kuudhuria clinic, mara moja”
Kumbu kumbu zake zilimpeleka kwa Kway hakuelewa kuwa huko alipo ana matatizo makubwa kupita maelezo alimtizama daktari na kushusha pumzi ndefu.
“sawa nitafanya ivyo, nitafanya ivyo”
“baada ya siku mbili nita kuruhusu uende”
“ahsante dokta”
Baada ya maongezi hayo kuisha alichukua simu ya Catherine na kumtafuta kway hewani ila simu hiyo iliita kisha baadae kupokelewa.
“naongea na nani”?
Upande wa pili ulisikika wa simu baada ya kway kupokea simu.
“kway ni mimi Sabrina nili…tiititi”
Kabla ya kumalizia chochote kway alikata simu yake kumaanisha kuwa hakutaka mazungumzo na mwanamke huyo hata kidogo,
“alikua anaenda sokoni asubuhi, aliniaga vizuri lakini baadae nikapigiwa simu amepata ajali ndio maana ikawa ivyo”
Kway alizungumza maneno ya uongo mbele ya Bozii wakiwemo wakwe zake mzee Ladisglas Munganga na mke wake, nyuma yao alisimama kaka yake Julia mwingine aliyeitwa Chanci, walikua tuli wana sikiliza maelezo ya Kway,
“bongo, anadanganya, Julia alinipigia kwa telephone yangu analia alikua analia juu ya nini anadai nika mpokee uwanja wa ndege, acha kuzungumza uongo bwana mdogo”!
Ilikua teyari jipu lime pasuka sasa, moyo wa kway ulimlipuka hakuelewa aanzie wapi kuongea, alipata kiwewe cha ghafla alishadanganya tayari,
“pardon la..”
Kabla ya kuongea alipokea ngumi nzito ya tumbo kutoka kwa shemeji yake Bozii na kumfanya ajikunje na kulishika tumbo lake,
alipokea teke jingine la kifua duuf! na kujibamiza ukutani, kilichomsaidia ni chanci kumshika mwanaume huyo ambaye alishaanza kuleta fujo hospitalini hapo,
ndani ya moyo wake hakutaka mdogo wake Julia apate matatizo au anyanyasike.
“sawa, sawa,..aaaah tulipishana kidogo maneno asubuhi akaamua kuondoka ndi..o ivyo, huo ndiyo ukwel…”
Kway aliongea kwa shida sana huku akiwa amejishika tumboni kutokana na maumivu makali aliyo yapata.
“maneno yepi”?
“Bozi haya hayakuhusu embu jaribu kupunguza hasira huyu ndiye mume wake, unamkosea heshima”!
Alizungumza Mzee Munganga akijaribu kumtuliza Bozii aliyekua na hasira sana.
“ndio ndio mshajua yupo hospitali ipi”?
“ndio bosi”
“yupo wapi”?
“amelazwa Lugalo pale”
“vizuri sana ngoja nimpigie Machabe afanye kazi yake yako imesha kwisha”
Yalikua ni mazungumzo ya mzee Mwasha Alisha kuwamwenye wasi wasi mwingi sana, hakutaka kurudi tena jela,
kuzinduka kwa Enock kitandani kilimaanisha yeye kwenda jela aliamini kuwa kitendo cha yeye kupata fahamu zake angeeleza kila kitu juu ya yaliyo mtokea,
Aliamua kuchukua uamuzi mgumu sasa wa kutaka kumpoteza duniani, japo kua alimpenda sana lakini hakuwa na jinsi yoyote ile zaidi ya kumtafuta mkuu wa majeshi aliyekua akifanya kazi hapo lugalo aliyeitwa Machabe,
Alibonyeza namba za simu na kuiruhusu simu iruke hewani kisha kusubiri ipokelewe.
“Yes Mr, Mwasha”
“bwana Machabe, za masiku?”
“nzuri tu ni siku nyingi sana, nipe habari”
“nataka nikupe kazi moja ndogo sana kwako, ngoja nisipoteze muda, nafikiri una mfahamu kijana wangu Enock”?
“ndio, Yule aliyekua ng’ambo”?
“huyo huyo, sasa amelazwa hapo Lugalo, nataka nijue ni wapi kalazwa kisha umuondoshe duniani”
“unasema”?
“kama ulivyonisikia, nakutumia milioni mbili sasa hivi kama robo ya malipo”
“ahaaa okay basi sawa hakuna tabu. Leo hii hiii, tegemea mazuri, sasa sasa hiyo utanitumia humu kwenye hii namba”
“kitendo cha kukata simu utakua nayo teyari”
“sawa”
“Mambo”!
“poa”
“unaelekea wapi”?
“stendi”
“naweza nika kupeleka?”
“hapana”
Ndani ya gari alikua kijana mtanashati aliyeitwa Faisal akiwa anatembeza gari taratibu sana akienda sawa na mwendo anaotembea Catherine huku nyuma akiwa anatingisha,
kweli mwendo wake ulimvutia kila mtu, alijua kuutumia mwendo wake alikua kama ananyata lakini ndiyo ulikua mwendo wakeasilia,
Faisal Alisha mfuatilia chuoni kwao CBE na kutomuona ivyo alielekezwa mpaka hapo kwao Bunju B na kupitia picha yake aliweza kujua ndiye yeye hata yeye alikiri machoni mwake kuwa msichana huyo sio wa kawaida ili hitajika nguvu ya ziada paka kumnasa.
“Kaka tueshimiane basi, niache nina mambo mengi kichwani nisije nikakutukana bure nikuharibie siku, pita basi na gari lako”
Alifoka Catherine akiwa amesimama anamtizama Faisal akiwa amejawa na hasira, ndani ya moyo wake alimchukia kila mwanaume wanaume wote aliwaona ni sawa tu hakuna aliye na afadhali, kila aliyempenda alimfanyia vituko,
Baada ya kuongea maneno hayo alifika stendi ya dala dala na kuingia kwenye dala dala la mwenge, safari ilianza ya kuelekea Hospitali ya Lugalo kumuona Enock,
moyo ulimuuma ilikua ni lazima amshukuru kwa kitendo cha yeye kuokoa maisha yake sababu isingekua Enock alikua teyari leo hii angekua maiti amekufa na kufika ahera,
akiwa kwenye dala dala aliwaza mambo mengi sana yaliyokua yakipita katika maisha yake,wakati mwingine alidhani wenda anaigiza filamu na watu wana mtizama,
ila mambo yaliyo tokea hapo nyuma yalikua yana mtokea katika maisha yake,
“Konda Lugalo”
Alisema Catherine na kupandisha sketi yake ndefu aliyovaa kisha kumpatia kondakta pesa yake nayeye kushuka ndani ya dala dala,
Alitembea akiwa mwenye mawazo tele kichwani mpaka alipofika getini na kujitambulisha na kuingia ndani,
Alitaja jina la mgonjwa anayeenda kumuulizia na kuelekezwa aweze kuingia ICU chumba cha wagonjwa mahututi, taratibu alijongea na kuingia ndani ya chumba hiko ila cha ajabu kilichomshangaza hakukuta hata muuguzi mmoja na kustaajabu baada ya kuona mashine alizokua ameweka Enock zote zipo pembeni kuanzia ya mapigo ya moyo mpaka ya hewa,
aliogopa sana na kutoka nje ili kuwaita wauguzi.
Baada ya wauguzi hao kufika hata wao walishangazwa sana kukutana na hali hiyo.
Sio kway peke yake hata kwa madaktari na wauguzi walishaanza kuingiwa na hofusana babadaya mwanamke waliyekua wakimpa matibabu kutokuzinduka kwa siku nne kitandani, ilikua ni jambo la ajabu sana walivyo mchoma nusu kaputi hakuweza kuzinduka tena lakini kilichokua kinawapa moyo ni mapigo yake kudunda wakiamini kuwa hali yake ni nzuri sana,
KWA WATUMIAJI WA APP KUNA MATANGAZO YANATOKEA KWENYE APPLICATION YETU HIVYO UKIYAONA NAOMBA BONYEZA HAPO NDIO UNANIPA SAPOTI MIMI, UKIBONYEZA UNAWEZA KUCANCEL SIO LAZIMA UENDELE ULIKOPELEKWA, KIKUBWA UBONYEZE HATA MARA 2-3 KILA UKIFUNGUA APP YETU
USIKOSE SEHEMU INAYOFUATA
Chapisha Maoni
Chapisha Maoni