MUUZA SUPU (7) - CnZ Media

CnZ Media

Jisomee Simulizi Mpya Kila Siku

Jumamosi, 6 Mei 2023

MUUZA SUPU (7)

Je unajua kwamba Simulizi zote unazozipata hapa zipo kwenye app ya CnZ Media?

Humo Pia Utakuta:
๐Ÿ“– KUSOMA SIMULIZI
๐ŸŽฌ FILAMU na TAMTHILIA za KITANZANIA
๐Ÿ˜‚ VIDEO za KUCHEKESHA
๐Ÿ“‘ MAKALA za AFYA na MAPENZI

Install app hii GUSA HAPA utavipata vyote hivyo bure kabisa
Mwandishi: Geofrey Malwa

SEHEMU YA SABA
ILIPOISHIA...
Walipoketi wote kwenye kochi,ambapo Lina na Queen waliketi kwenye kochi moja huku Sonki akiwa ameketi peke yake kwenye kochi la mbali kiasi,,,aah,Sonki na Queen nimewaita hapa kuna kitu nahitaji kuwaambia,,,kuhusu yule mlinzi wetu,amepatwa na matatizo hivyo ameomba aende nyumbani kwao kwa siku mbili kisha atarejea,nimemruhusu aende,kwahiyo kuanzia kesho kazi ya ulinzi inakuwa ya kwetu sote,,,sawa jamani,,,?,,aliongea hivyo Lina na kuweka kituo kwanza,,,

WAKATI UNAFUNGUA KUNA MATANGAZO YANATOKEA YAGUSE WALAU KILA UNAPOFUNGUA SIMULIZI ILI KUNIPA NGUVU YA KUENDELEA
KAMA UPO NJE YA APP INSTALL CnZ Media ILI USIPITWE NA MIENDELEZO KILA INAPOKUWA TAYARI

SASA ENDELEA...
,,,,amepatwa na matatizo gani,,,?,alihoji Sonki
,,,,anasema baba yake anaumwa sana na anahitaji kuwaona awatoto wake wote,,,,
,,,,aaah,halafu aliniambia muda kuwa baba yake ni mgonjwa,,,aliongea hivyo Queen
,,,,na ukishaona dalili kama hizo basi ujue kuna uwezekano mkubwa wa mungu kumchukua,,,,
,,,,ni kweli aisee,pole yake jamani,,

Baada ya Maongezi hayo ambapo kila mmoja alielewa jambo aliloitiwa,Queen aliondoka sebuleni hapo kwani hakuweza kumwangalia Sonki na kuacha kutabasamu,alihofia hali hiyo inaweza kumjulisha Lina kilichopo kati yake na Sonki
,,,mmh,samahani Bosi,naweza pata chaji ya simu hii,,,?,aliuliza Sonki huku akimwonyesha Lina simu yenyewe
,,,bila shaka ipo,ndio ninayoitumia,hiyo simu ni ya kwako,,,?
,,,ndio,ya kwangu,,,
,,,jamani kumbe una simu,,,?
,,,ndio,nilipewa na wageni nikiwa kijijini kwetu,,,
,,,anhaa,basi ngoja nikupe chaji,halafu utanipa namba yako,,,

Hakuchukua muda Lina,pindi alipoingia ndani alitoka na chaji ya simu akiwa ameuzungusha ule waya wake nyuma ya shingo,,alimpa Sonki na kurejea chumbani kwake,,huku nyuma Sonki alijikuta akiwa na furaha ya ajabu,,,aliingia chumbani kwakena kuichomeka simu hiyo kwenye chaji,haikuwa kazi ngumu kuichomeka chaji hiyo kwenye swichi kwani alishazoea kwasababu haikuwa mara yake ya kwanza kutumia simu,,,

Hakusubiri mpaka ijae,alichokifanya aliiwasha na kuanza kuitumia huku hatua ya kwanza aliyoichukua baada ya kuiwasha simu ni kumpigia Celline yule mwanamke wa izungu aliyempa simu hiyo,,,simu ya Celline iliita kwa muda bila kupokelewa,,Sonki alijikuta akiingiwa na huzuni moyoni mwake kwa ajili ya simu yake kutopokelewa,,,alipiga tena kwa mara ya pili ambapo Celline alipokea haraka kama alikuwa anasubiri tu apigiwe.,,,

,,,,hello mpenzi wangu jamani,,,kwa sauti nyororo ya kudeka Celline aliongea hivyo
,,,,Celline,nisamehe sana kwa kuwa kimya sio makosa yangu,,,
,,,,najua Sonki,uhali gani mpenzi wangu,,,?
,,,,namshukuru mungu,nina afya njema hofu kwako tu Celline wangu,,,
,,,,mimi pia ni mzima wa afya,,nilikumisi,,!
,,,,hunishindi mimi,nilikukumbuka sana,,,
,,,,nakupenda Sonki,kata simu baba anakuja,,,

Sonki kwa uwoga alikata simu na kuanza kutupiana meseji ambapo kila mmoja alionyesha kumkumbuka mwenziye,,kwa upande wake Sonki hakuona kama amemsaliti Celline,alichukulia kama alikuwa anamfunza heshima Queen,,,basi ulikuwa ni mtindo wa kurushiana jumbe fupi zenye vionjo vya msisimko wa mahaba,,,kitu alichokuwa hajazoea Sonki ni kujibu ujumbe kwa haraka pindi utakapoingia kwenye simu yake,,,pia hata hakujua namna ya kufupisha maneno,ili kutojichosha katika kuandika,,

Sonki akiwa makini na simu yake huku akiwa ameichomeka kwenye chaji,,,mara akasikia hodi inabishwa kwenye mlango wake
,,,nani,,?,,aliuliza Sonki huku akiwa amelala bado,mwanzoni mwak alijua ni Queen
,,,mimi Lina,vipi umemaliza kuchaji,,?,
,,,Hapana Bosi,unahitaji,,?
,,,au chukua simu yangu hii uichaji nitaichukua asubuhi,,,
,,,ingia tu,,,Sonki alimruhusu Lina aingie chumbani kwake kwani alijua ni kitu cha mara moja tu,,

Basi Lina akiwa ndani ya khanga moja iliyomwishia juu kidogo ya mapaja yake,,,weupe wa mapaja yake ndio ulikuwa unavutia hisia pale uyatazamapo,,,hipsi zake zilijaa mpaka khanga ilionekana inambana,,,nyuma alifungasha mzigo wa maana,makalio laini ambayo hata akijitingisha kidogo yalikuwa yanatingishika na yenyewe,,,,khanga yake aliifungia kupitia kifuani,nywele zake ndefu aliziachia na bila kuzizuia na kitu chochote,,,hakuwa na makuu,alipoingia ndani alimkabidhi simu na kuanza kuondoka,,, hapo ndipo ikawa balaa, Lina aliumbika jamani hasa maeneo ya hapa kati,hipsi na makalio laini ndio ilikuwa silaha yake ya kulingia popote asimamapo mbele ya wanaume,,aliamini kati ya wanaume ishirini,kumi na nane ni lazima watamwangalia akipita mbele yao,,,

Lina alitembea taratibu huku makalio yake laini yaliyokuwa ndani ya khanga moja yakitingishika kama yanataka kuanguka,,,ilionyesha wazi hata chupi hakuvaa,macho ya Sonki yalikuwa makini kuangalia kiuno cha Bosi wake na jinsi makalio hayo yalivyomsisimua kwa jinsi yalivyokuwa yakingishika,,,yani utafikiri tako la kushoto lilikuwa linamsukuma mwenziye ambaye alikuwa hataki kusukumwa,,, ulikuwa ni mwendo mfupi mpaka kufika mlangoni lakini Sonki aliona kama ni umbali mrefu,,, halafu jinsi makalio yake yalivyokuwa yakitingishika ndipo khanga yake aliyoivaa ilikuwa ikipanda juu na kuyaacha mapaja yake meupe yaliyojaa nyama kuwa wazi zaidi, Lina alipofika mlangoni alimgeukia Sonki kwa kumshtukiza ambapo alimkuta akiwa makini kumuangalia makalio yake,,,

,,,usiku mwema,,na kwako pia,,,alijibu Sonki huku akionyesha tayari mtalimbo wake ulishasimama,kwani alikuwa kama anaipishanisha miguu yake kuuzuia usijitokeze na kuonekana,,,ooooh,ahsante DIO,niepushie hizi balaa,,,aliongea hivyo Sonki akimshukuru DIO wake kwa kumuepusha na jaribu hilo baada ya Lina kutoka chumbani kwake,,

Ilikuwa ni baada ya kupita siku mbili,ndani ya asubuhi hiyo iliyochangamka,usoni mwa Lina kukiwa na tabasamu pana lililoashiria furaha,alijihisi kama amesharudi enzi zake za zamani,,furaha ya Lina iliongezeka zaidi pale alipokuwa akimtazama kijana shupavu mchapakazi Sonki akiwa jikoni anatengeza Supu nzuri kwa ajili ya wateja,,,tayari Sonki alikuwa ameshaanza kazi yake iliyomleta mjini,,,

SWEET HOME ikaanza kurudisha wateja taratibu,kwa tathmini ya haraka wateja wengi waliopata kuhudhuria eneo hilo walikuwa ni wanawake,wengi wakivutiwa na uzuri wa Sonki wa asili,,,wengine walimwachi anamba zao za simu huku wengine wakiwa ni vinganganizi kweli wakihitaji penzi la Sonki,,,japo Mgahawa wa Lina ulikuwa na wafanyakazi wengi lakini wote nyota zao zilifunikwa na Sonki,hata kama mmoja kati ya wafanyakazi hao akifanya jambo zuri Lina ambaye ndio Bosi wao aliamini nyuma ya jambo hilo Sonki amehusika kwa namna moja au nyingine,,,
,,,Sonki,kuna kitu nataka kukuuliza,,,
,,,kipi hicho,,,?
,,,ulivyoondoka,nilikuwa nafata hatua zile zile kama ulizokuwa unafuata wewe za upishi wa supu,lakini kwanini ukipika wewe wateja wanapenda sana,,,?
,,,mmh,siku moja nitakufundisha na utajua kwanini nikipika mimi Supu inakuwa tamu na inamvutia kila mtu,,,
,,,haya bwana,karibu tena,,,
,,,ahsante,,,

Yalikuwa ni Maongezi kati ya Sonki na mpishi mwenziye wa kike aliyeitwa Subira wakiwa jikoni kwenye maandalizi ya Supu,,,mara akaja mfanyakazi mhudumu wa mgahawani hapo aliyejulikana kwa jina la Kisungura kama jina lake la utani
,,,kaka,kama kawaida yako,unaitwa nje na mtoto mkaliiiiiii,,,
,,,si unaona niko jikoni lakini Kisungura,,,
,,,kakaaa,unajua nimeshapokea elfu ishirini yake kwa ajili ya kukubembeleza uende ukaonane naye,,,?
,,,usipokee tena hizo hela bwana,,,Sonki aliongea hivyo na kutoka nje kwenda kuonana na huyo mtu
,,,mmh kwa jina naitwa Reshmi,nakufahamu kwa jina la Sonki,sipendi kukuita mpishi kwasababu hufanani na hiyo kazi,chukua mawasiliano yangu haya tutaongea baadaye,muda wowote wewe nipigie,,,bye Handsome,,,aliongea maneno mfululizo binti huyo aliyekuwa na asili ya kihindi ambapo alikuwa ni mrembo hasa,yaani unaweza kusema haendi msalani,,Sonki alishukuru na kurejea jikoni ambapo namba ya binti huyo alitupa pale pale hatua chache baada ya kuachana,,,

Kila yalipofika majira ya jioni Lina alikuwa ni mwenye furaha siku zote,kwani aliingiza pesa ya maana,,,hali yake ya mwanzo ikarudi kama kawaida,,,

Akiwa kazini siku hiyo kama kawaida maeneo yake ya jikoni ndiko alikokuwa,tayari walikuwa wameshaivisha Supu ambapo waliketi kwenye viti na kuanza kupiga stori na mpishi mwenziye Subira,,,
,,,,,Sonki,,!,kwanini wanawake wanakupenda sana,,,?
,,,,,mmh,mi sijui,wenyewe ndio watakuwa n amajibu sahihi,,,
,,,,,utakuwa n akitu cha ziada wewe,unanificha tu,,,
,,,,,hakuna kitu Subira,hivi unionavyo ndivyo nilivyo,,,
,,,,,ila sishangai,wanaume wanaopendwa sana na wanawake wengi kuliko kawaida huwa wanakuwa hawako vizuri kitandani,,,
,,,,,eeh,,!
,,,,,kwani hajasikia,,,,?
,,,,,una uhakika,,,,?
,,,,,ndio sa unabisha,,,?

Tatizo moja la Sonki ndio hili,ukimwambia unampenda unaweza ukakesha ukimfuatilia na asikujibu,huwa haamini kama kuna upendo pasipo ngono ya uhakika,,,,lakini ukimwonyeshea dharau ya aina yeyote itakayoashiria kwamba hawezi kumsugua mwanamke ni lazima akusugue mpaka umheshimu

Hivyo ndivyo ilivyotokea kwa Subira ambaye baada ya kumwambia hivyo Sonki alibaki akimwangalia kwa jicho lililoashiria kukasirishwa,,,alichokifanya Sonki alisogeza kiti chake karibu na Subira,wakawa wanaangaliana,,,,Subira hakuwa anaujua mpango wa Sonki,kwa dharau kabisa akajisogeza Sura yake karibu na Sonki,,,,niambie,umekasirika,,,,?,,alimwuliza hivyo huku midomo yao ikiwa karibu kabisa,,,mbona unahema kwa kasi hivyo,,una ugumu nini,,,,?,haya ngoja nikubusu tu kwenye shavu,,,mmmmwaaah!,,Subira alimbusu Sonki kwenye shavu huku akiendelea kumwangalia,,kwa upande wake alichukulia ni kawaida tu kwasababu alishazoea kuwadharau kina Kisungura hapo Hotelini,,,

Sonki alichokifanya aliusogeza mdomo wake kwa kasi na kuuingiza ulimi wake ndani ya mdomo wa Subira,,,haraka akamshika shingo yake na kumgangania haswa,,,he!,wewe,unataka kunibaka au,,?,aliongea hivyo Subira ambapo hakulichukulia jambo hilo uzito,,,Sonki hakuwa mwongeaji,alimnyanyua Subira na kumpelekea mpaka ukutani kisha akambana kisawasawa,miili yao ilikaribiana haswa kiasi kwamba Subira hakupata hata nafasi ya kujitikisa ,,,,Sonki tafadhari jamani, unataka kufanya nini,,huu ni ubakaji lakini,,,muda huo Subira anaongea hivyo Sonki ulimi wake ulikuwa shingoni ukimtekenya na kumsisimua Subira

,,mmh,Sonki lakini ndio nini hivi,,,,Sonki hakusikiliza kitu chochote kutoka kwa subira,,ndio kwanza aliuteremsha mkono wake mpaka katikati ya mapaja ya Subira yaliyokuwa yamejaa kweli,,,Subiri Sonki,,,jamaniii,,Sonki tabia mbaya hiyoo,,,Sonkiiiiiii,,aliita hivyo Subira huku sura yake ikiwa imebadilika kwani tayari mkono ulikuwa umekaribi akufika ikulu ,,,,aaaah,, Sonkiii,, mmh,, oooh,,, ssssssssss,,, aaah,, Sonkiiii,,, alilalamika kimahaba Subira huku asiamini kama kitu hicho kinamtokea kweli,,,,kidole cha Sonki kiliendelea kukisugua kiarage cha Subira aliyekuwa anahema huku akipiga kelele za mautamu kwa sauti ya chini

USIIKOSE SIMULIZI INAYOFUATA

Umeyaona Matangazo?
Yabonyeze Kila Unapoyaona ili Kunipa Nguvu ya Kuendeleza Simulizi

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni