MUUZA SUPU (8) - CnZ Media

CnZ Media

Jisomee Simulizi Mpya Kila Siku

Jumamosi, 6 Mei 2023

MUUZA SUPU (8)

Je unajua kwamba Simulizi zote unazozipata hapa zipo kwenye app ya CnZ Media?

Humo Pia Utakuta:
๐Ÿ“– KUSOMA SIMULIZI
๐ŸŽฌ FILAMU na TAMTHILIA za KITANZANIA
๐Ÿ˜‚ VIDEO za KUCHEKESHA
๐Ÿ“‘ MAKALA za AFYA na MAPENZI

Install app hii GUSA HAPA utavipata vyote hivyo bure kabisa
Mwandishi: Geofrey Malwa

SEHEMU YA NANE
ILIPOISHIA...
Aliita hivyo Subira huku sura yake ikiwa imebadilika kwani tayari mkono ulikuwa umekaribi akufika ikulu ,,,,aaaah,, Sonkiii,, mmh,, oooh,,, ssssssssss,,, aaah,, Sonkiiii,,, alilalamika kimahaba Subira huku asiamini kama kitu hicho kinamtokea kweli,,,,kidole cha Sonki kiliendelea kukisugua kiarage cha Subira aliyekuwa anahema huku akipiga kelele za mautamu kwa sauti ya chini

WAKATI UNAFUNGUA KUNA MATANGAZO YANATOKEA YAGUSE WALAU KILA UNAPOFUNGUA SIMULIZI ILI KUNIPA NGUVU YA KUENDELEA
KAMA UPO NJE YA APP INSTALL CnZ Media ILI USIPITWE NA MIENDELEZO KILA INAPOKUWA TAYARI

SASA ENDELEA...
,,,niachie,,Sonki,,nimekubali tufanye,mmh,,aaah,,,Sonki alikuwa kama kama hasikii,alipohakikisha tayari kuna unyevu wa kutosha,,,alimpandisha tisheti yake juu na kumvua sidiria kisha kuanza kuzinyonya Chuchu zake,,,kidole kilikuwa kukichezea kiarage huku ulimi ukimnyonya Chuchu,,,mtoto wa watu alijibana sauti huku akilia kimahaba na kuhema haswa,,,,

Kwa kutumia mikono yake yenye nguvu,alimnyanyua juu Subira mpaka usawa wa kiuno chake kisha akauchomoa mtalimbo wake uliokuwa tayari umesimama,,aaaah,,sonkiii,,mmmh,,alilalamika Subira kwa jinsi ulimi ulivyokuwa ukizinyonya Chuchu zake vyema ,,,mmmh,, haaaa!,, aah,, aaaaah,,, aasssssssssssssssss,,, uuuh,, chomoa kwanza bwanaaaa,,,, aliongea hivyo baada mtalimbo wa Sonki kuonekana ni mnene zaidi na kushindwa kupenya kwenye kitumbua chake,,,kwavile kiliingia kichwa pekee,Sonki akaanza kupampu huku akiingiza kichwa na kukitoa,,,alifanya kama mara tisa hivi,ya kumi aliusukuma kwa nguvu mtalimbo wake ambapo ulipita wote na kuzama ndani ya kitumbua cha Subira,,,aaaah,,,oooooh,,,aaaaaaaah,,,,mamaaaaa,,,uuuuh,,alianza kupiga kelele za mautamu Subira huku Sonki akimsugua taratibu,,,

Ilifika wakati Subira alishindwa kuvumilia kulalamika kimahaba kwa sauti ya chini badala yake ilimbidi Sonki kumziba mdomo ili kuzuia sauti hiyo isisike nje ya chumba hicho,,,Sonki alikata kiuno huku akimsugua Subira aliyekuwa kalegea mpaka macho,,mmmh,,mmhh,,aaaaah,,ooooohg,,aliendelea kulalamika Subira huku akimkumbatia Sonki na kumvuta shati lake mpaka akalichana maeneo ya mgongoni,,,aaaaah,,aaaah,,alimalizia kulalamika hivyo huku akimwaga uji wake,,Sonki ndio akawa anautafuta uji wake ulipo,,alikazana kumzamisha mashine yake iliyozama mpaka ndani na kutoka kwa kasi,,mara wakasikia sauti za wafanyakazi wenzao ambao walikuwa wanakuja jikoni hapo,,,,

Kwa haraka Sonki kabla hata hajamwaga,aliuchomoa mtalimbo wake na kuuingiza ndani ya suruali yake,,,ambapo hata Subira alijiweka sawa kwa kuvaa alichovuliwa na Sonki kisha wote wawili wakaketi kama hakuna kilichokuwa kimeendelea kati yao,,,kwa bahati mbaya au nzuri wahudumu hao walipokaribia jikoni walikuwa na Maongezi marefu ya siri,,wakazungumza na kurejea walikotokea,,, hata hamu ya kuendelea na mchezo huo ambao kwa asilimia kubwa kila mtu lazima aufanye iliisha, Subira alifungua mdomo wake kimya kwa muda ambapo alikuwa akimwangalia Sonki kwa macho ya kuibia ,,usijali, siku nyingine nitakupa umalizie,,,aliongea hivyo Subira ambapo Sonki aliishia kutabasamu tu,,,

Baada ya kupita wiki moja,Kisungura mhudumu wa mgahawa SWEET HOME akiwa ameketi na Sonki baada ya kuuza Supu yote ambapo na wao walijipimia ya kwao ya kutosha na kujinywea huku wakipiga stori,,,
,,,,Sonki,kwanini wanawake wanakupenda sana,,?,halafu huna hata muda nao,ukiangalia ni watoto wakaliii,,,
,,,,Kisunguraa!,,!,we unafikiri mimi ni kwa ajili ya kila mwanamke,,,?
,,,,sawa naelewa,lakini ni bora uwapitishie mtalimbo hao,,,
,,,,una maana gani kusema hivyo,,,?
,,,,kile ulichokifanya wiki iliyopita na huyu Subira ndicho kinachoendelea kunishangaza mpaka leo,,,,
,,,,usijifanye hujui kanuni zangu Kisungura,alileta dharau mimi nikamshikisha adabu,,,
,,,,na hicho ndicho kitakachokurudisha TAMUNI ukiwa mwembamba mpaka kiunoni utazungusha mkanda mara kumi ndio ufunge vizuri,,,
,,,,ina maana ni makosa,,,?
,,,ujue Sonki sikiliza kitu kimoja,badili mfumo wa maisha,si kila mwanamke anayekudharau eti huwezi kufanya mapenzi ndio umsugue heshima irudi,,,
,,,,sasa natakiwa kufanyaje hapo nikishadharauliwa,,,?
,,,,jitahidi hata umpige makofi,hata ngumi we mpige lakini usifanye naye ngono,hawa wanawake wenyewe wa siku hizi hawaeleweki,kama huyu Subira huko mtaani kwao wanamwitaga cha Wote,hajui kukataa,ye milango yake kaiacha wazi muda wote,wageni wasipate shida ya kubisha hodi,,,
,,,,,mmh,nimekuelewa Kisungura,lakini,,,
,,,,,lakini nini Sonki,badilika bwana,tena cha muhimu kwa sasa,tafuta mwanamke mzuriiii,bonge la mrembo,iwe bakora moja adabu sana,,,halafu tulia nayo,utafaidi vitu vizuri,,,
,,,,,,usijali ndugu yangu,shemeji yako yupo lakini,muda si mrefu utamuona kaniambia anakuja hapa,,,,
,,,,,,dah!,e bwana ngoja tumsubiri maana najua ni mtoto wa kishua tu huyo,na kama si mzungu basi mwarabu,,,
,,,,,utamuona tu,usiwe na presha,,,
,,,,,haya bwana,,,

Sauti kubwa ya Honi ya gari iliyosikika nje ndio ilikatisha Maongezi yao Sonki na Kisungura,,,huyo atakuwa yeye,nenda kampokee,,,Kisungura alitii kama alivyoambia hivyo na Sonki ambapo alijiweka sawa na kwenda kumpokea mgeni,,,
,,,mmmh,karibu ndani,jisikie huru,,,kwa heshima zote aliongea hivyo Kisungura na kumwambia mrembo huyo
,,,ahsante,nimemkuta Sonki,,,?
,,,anakusubiri kwa hamu sana,yupo ndani,karibu,,,kauli hiyo ya Kisungura ailimfanya mrembo huyo kutabasamu na kukubali kuongozana na Kisungura,,,

Mrembo huyu ndiye Celline yule mwanamke wa kizungu mwenye mchanganyiko na rangi nyeusi aliyekutana na Sonki kule kijijini,,,alipelekwa mpaka Sonki alipokuwa ameketi ambapo walikumbatiana kwa furaha,kisha wakaanza kuzungumza,,kwa kuwaangalia tu jinsi wanavyoangaliana,kucheka,kudekeana,kususa,kupigana makofi ya kimahaba,na muda mwingine kushikana mashavu mpaka kubusiana iliashiria tosha kwamba watu ni wapenzi,,,
,,,we Subira cha wote,,,!
,,,halafu sipendi hilo jina Kisungura,mwone kwanza ndio maana unasadikika uligundua ngazi,,,
,,,si bora mimi nimegundua ngazi kuliko wewe uliyegundua jehanamu ya kwako peke yako shetani asipate shida ya kukuchoma moto,,,aliongea hivyo Kisungura kauli iliyompelekea Subira kutabasamu,,,
,,,njoo uwaone wapendanao huku sio unakomaa na kuosha masufuria tu hayo,,,!,,kwa makusudi Kisungura Alisema hivyo,

Bila ya kipingamizi Subira alikurupuka akiwa hajui ni nani aliyeitiwa amwone,,masikini wa mungu moyo wake ulishtuka alipomuona Sonki akishikwa kidevu chake na mtoto wa kizungu aliyejilegeza hasa kwa Sonki,,,mimi kila siku unanibania,nakuambiaga unipe,,ooh, mie,mara Mwanasayansi nipo mwezini,sasa umemzawadia jamaa ndio huyo anakula ujana taratibu na mzungu asiyenuka supu,,,aliongea hivyo Kisungura ambapo alimzidisha hasira Subira bila ya kujua,,,
,,,Kisungura naomba unyamaze,,au niende nikamwaribie nini,,,?,aliongea hivyo Subira huku akionyesha kweli nia ya kutaka kwenda kuharibu
,,,tulia kwanza,jisikilize unavyoongea wewe mwenyewe,haya hiyo Shombo ya supu ukampake mzungu wa watu wapi na wapi,,,?

Baada ya kauli ya Kisungura,Subira alijikuta akiwa mpole sana,alirudi jikoni na kughairi kusafisha tena masufuria,alijishangaa akimwonea wivu Sonki bila sababu mpaka kutaka kwenda kumwaribia,,,
Wakiwa katika Maongezi yalinoga kwa utamu wake,,kiukweli Celline alifurahi sana kumwona Sonki tena akiwa mahali ambapo anaweza kumtembelea muda wowote akipenda,,mara Lina aliingia mgahawani hapo akiwa na Sensia yule rafiki yake kipenzi,,pindi macho ya Lina yalipotua kwenye meza aliyokaa Sonki na Celline alishtuka mpaka akajikuta anaangusha pochi yake aliyoishika mkononi,,,Lina,usiwe na mawazo hayo bwana,,,aliongea hivyo Sensia huku akaokota pochi ya Lina,,,

Lina na Sensia walipitiliza na kuingia kwenye chumba maalumu ambapo kilikuwa kama ofisi ya Lina kisha wakaketi huko,,,Sensia mi nampenda Sonki mbali na utengenezaji mzuri wa pesa anaoufanya,sikuwahi kuwaza kama angeweza kuwa na mpenzi,mapema hii,mi sikubali bwana,,,Sonkiiii,,alinyanyuka Lina na kumwita Sonki kwa sauti lakini kwa bahati mbaya Sonki alikuwa katika dunia tofauti,hata hakusikia kama anaitwa
,,Lina,usifanye hivyo,muda wa kazi ulishapita kitambo sana,ungeweza kusema anafanya uzembe kazini,yuko huru kufanya anachokitaka kwa sasa,,,
,,sasa kwanini wanasubiri mimi nimlete mjini wao ndio wamdandie,,,?
,,utajuaje kama walianza mahusiano tangu kipindi kile cha kwanza,,,umesahau mwanaume huyu walivyokuwa wanamgombania hapa mpaka wakataka kumwua,,,?,kwahiyo ni lazima tu atakuwa na mpenzi,,unataka kuniambia ule mpango unahitaji uwe kweli kabisa,,,?

Kufuatia swali hilo Lina alitulia kimya huku udhaifu wake wa kushindwa kuficha hisia juu ya Sonki ukionekana wazi,,,Sensia mi sijielewi kwakweli nimejikuta namwonea wivu Sonki,,,aliongea hivyo Lina na kumwacha mdomo wazi Sensia aliyekuwa akimwangalia kwa makini,,
,,,hujanijibu lakini swali langu,nimekuuliza ule mpango kwahiyo unataka kufanya uwe kweli,,,?
,,,kama ikiwezekana Sensia,nikwambie tu ukweli,nampenda sana Sonki ukiachana na kazi nzuri anayoifanya,,,,
,,,mmh,mbona hapo pagumu Shoga yangu,lakini usijali kila mbuzi atakula kwa urefu wa kamba yake,,,

Mbali na maongezio hayo kilichopo nyuma ya pazia kati ya Sensia na Lina juu ya Sonki ni kwamba,pindi wakifanikiwa kumrudisha Sonki mjini,ili aendelee kupenda kukaa mjini kwa muda mrefu,Lina afanye kila njia amshawishi Sonki mpaka awe naye kimapenzi,kwenye vichwa vyao walijua Sonki akiwa mpenzi wa Lina hawezi kupinduka na kutaka kurudi nyumbani,kitu kingine ni kwamba,kwavile Sonki alikuwa akipendwa sana na wanawake mpaka kusababisha vurugu mgahawani hapo kwa kipindi kile cha nyuma,,,waliamini wakiwa wapenzi,wanawake hawatamfuata sana Sonki kwa kumheshimu yeye,,,

Huo ulikuwa ni mpango wao Sensia na Lina,lakini kwa upande wa Lina hataki tena mambo ya mipango anachotaka ni kuishi na Sonki kabisa,kitu ambacho Sonki mwenyewe hakijui,,,mpaka Celline anaondoka mgahawani hapo huku wakiagana na Sonki kwa mabusu motomoto,Lina alikuwa akishuhudia n akuumia moyoni
,,,lakini Lina rafiki yangu,mbona imekuwa ghafla sana kufanya maamuzi ya kumpenda Sonki,,,?
,,,mi sijui bwana,we nisaidie nimpate tu,,,
,,,mmh,sawa,,,,

Kwavile Lina alikuwa amezama sana kwa Sonki,hali hiyo ilimfanya Sensia kulifumbia macho lile tukio la Sonki kufanya mapenzi na Queen yule mfanyakazi wake wa nyumbani,alijua tu akimweka wazi,kibarua cha Queen kitakuwa mashakani,aliamua kutulia kimya huku akimpa moyo Lina kwamba lazima atampata Sonki

Siku hiyo usiku wake,yalikuwa ni majira ya saa nne na nusu,Lina akiwa kitandani mwake,mawazo tele yalimjaa juu ya Sonki,alijivutia picha nyingi kichwani mwake jinsi atakavyofurahia mapenzi akiwa na Sonki katika ulimwengu huo,aliyapeleka mawazo yake mbali kiasi kwamba aliposhtuka akajikuta anatabasamu tu yeye mwenyewe,,,

USIIKOSE SIMULIZI INAYOFUATA

Umeyaona Matangazo?
Yabonyeze Kila Unapoyaona ili Kunipa Nguvu ya Kuendeleza Simulizi

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni