Notifications
  • MY DIARY (24)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA NNETULIPOISHIA...Kwa kweli siku hiyo niliwaza sana na kutafakri vitu vingi. Wale wanachuo wenzangu wamenambia kuwa Msouth alikuwa kwa kimada mwingine na japo stori haikumalizikia ila ukweli ni kwamba alifumaniwa na kupigwa vibaya na huenda walimtupa mahali na ndio maana chanzo cha kifo chake hakieleweki.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nilijaribu kuijikontrol ili nisiwaze kitu…
  • MY DIARY (23)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA TATUTULIPOISHIA...Alinisihi sana nisitoe niilee na yeye atatoa huduma zote lakini tuendelee kufanya siri ili tusije tukahatarisha ndoa yake na kusababisha familia yake kuyumba. Kwa kweli sikuweza maana ilikuwa ni kujipa tabu mimi na huyo mtoto atakayezaliwa. Bora ataa ingekuwa ni mimba ya ule mwalimu ambaye hajaoa.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nilitamani nimchomekee hiyo mimba…
  • MY DIARY (22)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA MBILITULIPOISHIA...Alitumia vizuri umbo lake la kimiss kutembea kimiss na kuweka mapozi ya maana. Na baada hapo alilala kwenye kile kigodoro na akachojoa vyote isipokuwa kufuli jeupe ambalo nalo alipewa hapo hapo kwa ajili ya kazi hiyo. IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Basi sikumpa nafasi Joyce niliingilia nafasi yake na kuchukua ule uume wa bandia nikamfuta yule dada.…
  • MY DIARY (21)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA MOJATULIPOISHIA...Nilichomeka simu chaji na kuiweka hewani ili nione kama kutakuwa na sms yeyote iliyoingia.Hofu ilizidi kunitawala na wakati naendela kufikira simu yangu iliita niakzani labda ni Joyce na nilipoiangalia nilimkuta ni Msouth. Sikutaka kuipokea nikaiacha iite mpaka ikate yenyewe.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nikajiuliza kwani amepatwa na nini usiku huo mpaka…
  • MY DIARY (20)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINITULIPOISHIA...Nikamwambia kuhusu namba zangu za simu amuombe aliyemtuma anisaidie na kuhusu hilo la pili je hatuwezi kufanya kesho kwa sababu kuna mahali nilikuwa nikienda? Alifikiria kwa sekunde kadhaa na kuniambia kuwa hapana anaomba nimsaidie leo kama yeye alivyonisaidia mimi kwa sababu ningekuwa kwenye foleni nisingeweza kuondoka kirahisi hivyo kama ninavyofikiria.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA…
  • MY DIARY (19)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA TISATULIPOISHIA...Baada ya hapo niliendelea kumdadisi juu ya tukio lile lakini hakuwa tayari kufunguka zaidi ya kusema aliumia sana. Hapo nikaamua kuutafuta ukweli kwa kutumia mbinu za kike.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nilimwekaa mikono begani na kumwambia pleaee dear naomba uniambie ukweli ili nijue nakusaidiaje? Basi Ramadhani akaanza kulalamika kuwa baba yake amekuwa akimwingilia…
  • MY DIARY (18)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA NANETULIPOISHIA...Halafu eti akawasha simu na kuonesha zile picha alizotupiga kweli huyu rafiki yangu alikuwa hamnazo sio picha tu alituchukua video kabisa na sauti. Akanambia ngoja ampigie paparazi mmoja hivi aje ili atengeneze habari tupate hela. Kauli hiyo ilinikosesha amani na kunikera sana akanmabia eti kuna namna ya kufanya ili sura yangu isitokee.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA…
  • MY DIARY (17)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA SABATULIPOISHIA...Nilijifikiria mara mbili nikajikuta namkubalia kwani alionekana ni mpole na mstaarabu sana.Basi tukaenda hadi kwake ambapo haikuwa mbali na hapo tulipokuwa na kweli alikuwa na chumba na sebule na sebuleni kwake niliona picha ya ukutani akiwe yeye na mke wake nahisi ilikuwa siku ya harusi yao.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nikasema huyu kijana atakuwa amefunga ndoa…
  • MY DIARY (16)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA SITATULIPOISHIA...Mwanamke akaamua kuingia jikoni na kukarangiza viazi na nyama rosti na kilipoiva kililetwa mezani tukaendelea kujenga afya. Sikuaamini kama Joyce alikuwa anakumbuka hata kupika kwa sababu alibadilka sana na alikuwa akiishi maisha ya starehe.. Lakini aliniprovu wrong kwa kutoa rost ya hatari.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Baada ya kula alinambia kuwa alikuwa amechoka…
  • MY DIARY (15)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA TANOTULIPOISHIA...Hapo mzungu wa watu hakuweza kuvumilia tena aliichomeka yote.Mmmmmh mmmmmh ishiiiiiiiiiiii yeaaaaaahhhhhhhh yeaaaaaaah ni miguno niliyoitoa mara baada ya kusikia joto tamu la kiungo hicho.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Ikabid nijivute kwa nyuma ili lengo likiwa ni kukaa vizuri ili kichwa cha nyoka kiwe juu juu ya pango langu ili niweze kukisugua sawa sawa na pia…

MUUZA CHIPS (63)

Sehemu ya Sitini na Tatu, na mama saida, kama ni kweli, sarah na mama, haamini kama kweli, mama sarah na, ya mama sarah, alipomaliza kumuaga chidi
Mwandishi: MoonBoy

SEHEMU YA SITINI NA TATU
ILIPOISHIA...
Aliongea chidi huku akijifuta usoni, lakini alishangaa kutojibiwa na mtu, kana kwamba hakukuwa na mtu hapo ndani,.. Sasa kutoa taulo usoni,…. Ohooooo hakukuwa na mtu wala nguo,.. Chidi akatoka nje na kuangalia gari haipo, kana kwamba mama sarah kesha ondoa zake,

KUNA MATANGAZO YANATOKEA YAGUSE KILA UNAPOFUNGUA SIMULIZI ILI KUNIPA NGUVU YA KUENDELEA
INSTALL CnZ Media ILI USIPITWE NA MIENDELEZO KILA INAPOKUWA TAYARI

SASA ENDELEA...
"ataondokaje sasa na nilimwambia anisubiri"

Chidi alijisemea huku akiifuata simu yake ili ampigie,.. Lakini alipoinyanyua ile simu chini kulikuwa na karatasi ya kutolea pesa bank (Cheki) lakini kabla hajataka kupiga simu alikutana na SMS mbili… Moja ni namba asioijua na nyingine ni ya mama sarah,… Alianza kusoma ya mama sarah

"samahani chidi wangu, nimepigiwa simu ya kikazi hivyo nisamehe kwa kukuacha… Ila nimekuachia cheki ya pesa uliotaka, hivyo unaweza kwenda bank kuchukuwa hio pesa muda wowote"

SMS ya mama sarah iliishia hivyo, kwahio hata chidi hakuweza kupiga simu tena baada ya sms hio kuandikwa hivyo, chidi haamini kama kweli amepewa milioni mia moja (100) keshi,…

"hivi hii cheki ni ya kweli au anatania"

Alijisemea kijana chidi huku akiiangalia sana ile cheki,… Lakini akiwa anaangalia cheki hio mara sms ikaingia,.. Ilikuwa ni sms ya pili kwenye ile namba ambayo chidi haijui,… SmS ya kwanza iliandikwa

"mambo"

Na sms ya pili iliandikwa

"jamani mambo zako best"

Chidi hakuijua hio namba lakini hakutaka kuipuuzia,..

"poa tu nani mwenzangu"

Chidi nae alijibu kwa sms vile vile..

Sasa tukija huku kwa mama sarah, alikuwa anampigia mama saida ambae ndio mhitaji mkuu wa mbegu hizo

"haloo mama saida… Vipi umeshajiandaa"

"bado, kwani vipi umeshazipata hizo mbegu"

"haaaaa tayari shost, hapa nilipo ninazo zamotomotoooo"

"waaooooohhhh siamini macho yangu mama sarah"

"fanya haraka basi mama saida, umesahau kuwa tumepewa masaa saba tu"

"ni kweli ngoja nimuite mwanangu"

"fanya haraka, afu hio chupi si ushaiandaaa"

"ndio, itatumika hii hii nilioivaa sasa hivi"

Kazi ya mama sarah ilienda sawa sawia tena bila shaka na wala hawazii kutoa milioni 100 kisa hizo mbegu

Maskini kihana chidi ndio kwaheri nguvu zake….. Wakati huo mama saida tayari keshamchukuwa mtoto wake mkubwa tu umri unaendana na chidi vile vile, sema kazaliwa akiwa hana nguvu za kiume, na mbegu hizo za chidi ndizo zinazokwenda kurudisha nguvu za kijana huyo ambaye ni mtoto wa kiume wa mama saida, yaani mdogo wake na saida,…

Mama sarah na mama saida akiwemo na kijana huyo ambaye hana nguvu za kiume hata tone,…

Safari ya kwenda moshi kwa mganga ilianza, tena gari ilikuwa inakwenda kwa spidi kali ili masaa saba yasipite,.. Mana wamepewa masaa saba kutoka Arusha kwenda moshi ndani ndani huko, na yakipita masaa saba hizo mbegu hazina kazi tena,..

Tukija huku kwa kijana chidi Wakati huo ndio kwanza anatoka ili kwenda kujaribu hio cheki kama ni kweli au sio kweli mana haamini amini kama ni kweli hio ni cheki original,… Ila wakati huo bado alikuwa anachati na ile namba asioijua,

"naitwa Miriam, sjui wewe mwenzangu"

"mmhhh Miriam gani huyo… Unaishi wapi na namba yangu umeitoa wapi"

"hhhmmm samahani, nitakuwa nimekosea best, ila sio mbaya kama tutaendelea kufahamiana zaidi"

"ok poa basi naomba nicheki baadae kwa sasa sina muda wa kuchati"

"sawa best"

Chidi alishindwa kuelewa

"mtu kakosea namba lakini bado anataka tujuane, aahhh watu wengine bwana"

Alijisemea chidi, ila wakati huo ndio anakaribia benki kutoa hio pesa kama ni kweli au kadanganywa,… Alishushwa na pikipiki hapo nje ya benki huku moyo wake ukimuenda mbio kana kwamba kama ni kweli itakuwaje.. Pesa kama hio huwa unaingia ndani kabisa.. Customer Room Only… Wale wateja wenye kutoa pesa ndefu hutolei dirishani pale kama ilivyo ada,… Chidi aliinyoosha ile cheki kwa mmoja wa wahudumu,… Heeeeeeee hata mhudumu mwenyewe akashangaa, cheki ndefu kweli…

"we dogo vipi"

"toa pesa hio mbona unauliza hivyo"

Mhudumu alionyesha wazi kuwa cheki ilikuwa ni original na sio feki na wala chidi hakudanganywa…. Chidi akiwa kakaa kwenye viti vya wateja akisubiria huduma ya kukabidhiwa pesa yake,… Dakika chache mbele chidi alishangaa anapewa begi ndogo ambayo ni ya pesa

"we unanipa begi la nini nipe pesa"

Chidi aliongea hivyo huku akilikwepa lile begi,

"chukuwa pesa zako we kijana"

"unasemaje wewe? inamaana hio pesa ndio ipo kwenye kibegi chote hiki"

"ndio"

Chidi alilipokea lile begi lakini haamini kama kweli amepata pesa kama hio..

"mungu wangu pesa nyingi sana"

Chidi hakuamini macho yake baada ya kufungue kile kibegi kilichojaa milioni 100 taslimu. Chidi aliondoka pale benk huku akiwa anachekelea mno….

Lakini wakati huku chidi anachekelea pesa hizo… Huku kwa akina mama sarah na mama saida pamoja na mtoto wa kiume wa mama saida, wakiwa bado wapo njiani, ila hawakuwa mbali na kwa mganda, tena zimebakia kilometa chache sana wafike kwa mganga,…

"mama sarah, yaani siamini kama kweli unazo shost"

Aliongea mama saida mana hajaziona bado ila ameambiwa zipo lakini hajaziona

"heeeee mama saida ina maana huniamini… Ona hizi hapa"

"waaaooooooo Tena nzito mpaka raha"

"usijali mama saida, kijana wako anakwenda kupona"

Wakati wakiongea hivyo mama sarah alitoa simu yake na kuonyesha picha ya chidi,

"chidi mwenyewe ni huyu hapa, Jamani tunaomba tumuage"

Aliongea hivyo mama sarah huku wakicheka kwa furaha

"heeeeee umuage wewe si ndio mpenzi wako, afu kalivyo kahensam maskini ya mungu"

Aliongea mama saida huku akicheka kwa dharau

"sasa tulieni nimuage kamwisho mana ndio mwisho wa kuwa nae tena"

"we muage tu baby wako wala hatuna shida nae"

"Chidi mpenzi wangu, naomba unisamehe sana, ni pesa ndio imenipelekea kufanya hivyo,… Ugua pole chidi wangu"

Mama sarah alipomaliza kumuaga chidi kwa kutumia picha,… Walianza kucheka wote wawili kwa kicheko cha kejeli huku gari ikiwa spidi kali kana kwamba hapo wamebakiza dakika 15 tu kufika kwa mganga kwa hio spidi wanayoitembelea wao ili kuwahi masaa saba yasiishe

"He heeeeeeeeee HaaaaaLooooooooo…. Mwenetu umeponaaaaa"

Sasa kumbe Dereva wa gari hio, ndio huyo huyo kijana mwenyewe anaekwenda kushughulikiwa nguvu za kiume……

Mama sarah alikuwa ni mtu mwenye furaha sana kwasababu kazi yake inakwenda kukamilika, na sii yeye tu bali ni wote waliokuwemo ndani ya gari hio, na humo ndani walikuwamo watu watatu tu, MAMA SARAH, MAMA SAIDA,NA RIDHIWANI ambae ndio mgonjwa wa gonjwa hilo, hata ridhiwani alikuwa akifurahia mana ameahidiwa kwenda kupona, na kupona kwenyewe ni kwa kutumia imani ya kishirikina zaidi, bila hivyo asingeweza kupona,… Sasa mama sarah na mama saida wakiwa siti za nyuma wanafurahia kuona mbegu za chidi,…

"sasa tulieni nimuage kamwisho mana ndio mwisho wa kuwa nae tena"

"we muage tu baby wako wala hatuna shida nae"

"Chidi mpenzi wangu, naomba unisamehe sana, ni pesa ndio imenipelekea kufanya hivyo,… Ugua pole chidi wangu"

Mama sarah alipomaliza kumuaga chidi kwa kutumia picha,… Walianza kucheka wote wawili kwa kicheko cha kejeli huku gari ikiwa spidi kali kana kwamba hapo wamebakiza dakika 15 tu kufika kwa mganga kwa hio spidi wanayoitembelea wao ili kuwahi masaa saba yasiishe

"He heeeeeeeeee HaaaaaLooooooooo…. Mwenetu umeponaaaaa"

Sasa kumbe Dereva wa gari hio, ndio huyo huyo kijana mwenyewe anaekwenda kushughulikiwa nguvu za kiume,….

Sasa yeye nae alikuwa ana shauku sana ya kuongea na wamama hao waliokuwa wakicheka na kumtaja kuwa keshapona,… Sasa kile kicheko cha mama sarah na mama saida kilimfurahisha ridhiwani na kumfanya ageuka na wakati gari ilikuwa na spidi kubwa mno,…

"mama nashuku…… "

Sasa kabla ridhiwani hajamaliza kuongea neno kwa mama yake, ghafla mama kuna kitu kaona katikati ya barabara…

"wewe ridhi angalia mbele"

Maskini ya mungu ridhiwani alikuwa ni kijana mwenye huruma na binaadamu wenzie, kwani mbele ya gari hio palikuwa na mwanamke mzee aliokuwa akivuka katika barabara hio,.. Ridhiwani kwa umahiri wake alikata kona kubwa ili kumkwepa yule bibi kizee asimgonge,.. Kwa kufanya hivyo imekuwa ni kosa katika familia hio,.. Kwakuwa gari ilikuwa kwenye spidi kubwa ambayo ridhiwani alishindwa kuidhibiti,… Huezi amini gari ilibingilika mara tatu mpaka kichakani, Lakini sasa cha kushangaza ni kwamba yule bibi kizee aliokuwa anavuka barabara mbona haonekani tena,.. Hapo kuna maswali ya kujiuliza juu ya hilo, kunani hapo, sasa wakati huo pale kwenye gari ikiwa imetulia haijulikani kama watu wamekufa au wapo hai,

"mama… Mama"

Alimwamsha mama yake huku akitamani kulia,.. Marah mama sarah ndio alizinduka wakati huo wamejaa vumbi kila mahari,… Haikuchukuwa muda na mama saida nae kazinduka… Lakini sasa mbona ajali ni kubwa lakini hakukua hata na majeruhi,..

"mama sarah umzima wewe"

"mi mzima wala sijaumia popote"

"we Ridhiwani hujaumia mwanangu"

"ndio mama mi mzima"

Wote walijishangaa sana gari yao imebonyea kila kona lakini wao ni wazima wote, kitu cha kumshukuru Mungu kwa Neema zake juu ya familia hio,… Lakini walishangaa sana kuona gari yao ipo pembezoni mwa barabara na wakati waliingia mpaka kichakani kabisa

"nani katuseidia mama sarah"

"mmmhhh mwenzangu mi hata sijui"

Kiukweli hata hawakumbuki chanzo cha ajali hio ilikuwaje,

"heeeeee mama sarah, hebu angalia saa yako"

"uuuuuuwwwwiiii… Mungu wangu weee tusije tukachelewa kwa mganga"

Walipoangalia saaa bado ilikuwa inaruhusu kwenda na wamebakiza kilometa moja tu wafike kwa mganga,.. Ridhiwani alijaribu kupiga Stata ya gari, lakini cha kushangaza gari iliwaka na wakati imepondeka pondeka sana lakini iliwaka…

"khaaaa we mama sarah… Hiii ni ajali gani hii jamani"

"mimi hata sijui shost"

"eeee mungu weee hebu twende haraka"

Wakati huo mama sarah kachukuwa mkoba wake ili atoe simu yake aongee na familia yake,…

"heeeeeeee mama saida"

"abee mama sarah"

"mbona kile kitu sikioni"

"kitu gani tena mama sarah"

"ile kondomu"

"Whaaaat?"

Mama sarah alikung'uta mkoba wake kama kichaa huku moyo wake ukiwa upo juu juu,..

"mama sarah jamani au hujaangalia vizuri"

"mama saida, si tulikuwa tunaiangalia wote hapa"

"jamaaaani mtoto wanguuuuuu"

Mama saida alianza kulia huku akisachi katika mkoba wa mama sarah, kana kwamba haamini kama kweli ile kondom yenye mbegu za chidi imepotea,…

"na mimi niliifungia na zipu kabisa,… Mbona pesa na simu zipo"

"lakini mama sarah wewe una makosa, kwanini usingenipa mimi"

"tusameheane mama saida ila sio kosa langu"

Wakati huo ridhiwani kuegemea kwenye steringi ya gari huku akilia kiume, ile kimya kumya,…

"basi turudini, mana kitu muhimu tumeshakikosa"

Aliongea mama saida huku akimpoza mwanae tu kuwa atapona tu,.. Ridhiwani aliwasha gari hio japo ilipondeka sana lakini iliwaka na kuondoka zao kurudi mjini Arusha,…

INAENDELEA...

Bonyeza Matangazo Kila Unapoyaona ili Kunipa Nguvu ya Kuendeleza Simulizi
50 Muuza Chips Simulizi
Jiunge kwenye mazungumzo
Chapisha Maoni