MUUZA CHIPS (77) - CnZ Media

CnZ Media

Jisomee Simulizi Mpya Kila Siku

Jumapili, 11 Juni 2023

MUUZA CHIPS (77)

UMEWAHI KUONA AU KUSIKIA KUHUSU PICHA ZA AI?
Sasa naomba nikufundishe bure kabisa nawewe uzitengeneze kirahisi kabisa

Mwandishi: MoonBoy

SEHEMU YA SABINI NA SABA
ILIPOISHIA...
Sabra alitoka na kuchukuwa gari yake mana wana magari hapo nyumbani kwa dada yake na hizo mali ni zakwao,.. Sabra alitoka nia yake ni kukutana na chidi ili tu afanikishe kile anachokitaka na namba yake anayo muda tu hivyo hakuna ugumu wa kumpata,… Sasa kwakuwa wakayi huo chidi alikuwa bado yupo kazini na asingeweza kumpata, sabra alipitia kwanza kwa mashost zake,…

KUNA MATANGAZO YANATOKEA YAGUSE KILA UNAPOFUNGUA SIMULIZI ILI KUNIPA NGUVU YA KUENDELEA
INSTALL CnZ Media ILI USIPITWE NA MIENDELEZO KILA INAPOKUWA TAYARI

SASA ENDELEA...
Tukija huku airport tunamuona mama saida akiwa keshafika airport lakini mama sarah hakuwepo hapo airport, haijulikani kaenda wapi,… Mama saida alienda mapokezi na kulipia helikopta binafsi ili waondoke,.. Alioomaliza kulipia alimpigia mama sarah,

"wewe mwanamke upo wapi"

"nilikuwa toilet shost"

"wahi sasa twende"

Mama sarah kweli alikuwa chooni, mana alivyokuja alikuwa akijitengenezea nguo zake vizuri,.. Mama sarah na mama saida pamoja na ridhiwani walipanda ndege ya private kwenda moshi kwa huyo mganga,.. Sasa chidi hana lolote tena, mana hio ndege hapo ni robo saa tu wamefika kwa mganga,…

Tukija huku hotelini tunamuona mama miriam anakwenda jikoni kwa wapishi wa chipsi

"we kijana njoo ofisini kwangu"

Mama miriam alimwita kijana chidi mpaka ofisini kwake,.. Chidi alikuwa mwoga kiasi fulani mana jana tu alifokewa na mama huyo,.

"wewe ndio unamsababishia mwanangu kuuguwa wewe"

"boss, mbona mimi sina lolote na mtoto wako,… Ni marafiki tu lakini sina shughuli yeyote na boss miri"

"sikiliza we kijana… Nitakupoteza kama hutoyajali maisha ya mtoto wangu"

"niyajali kivipi boss"

"kuyajali kwako ni kuwa mbali nae"

"basi naomba kuacha kazi boss"

"sijakwambia uache kazi… Bali sitaki mazoea na mtoto wangu… Masikini mkubwa wewe"

Chidi alikasirika sana kwa kuitwa masikini mkubwa,.. Lakini hakuwa na la kufanya mana hana pesa za kushindana nae,… Chidi aliondoka wala hakutaka kubishana na mama miriam,.. Chidi hata kukaa tena hapo kazini hakuona umuhimu tena kwa siku hio, aliamua kuondoka lakini alikuwa na mawzo sana juu ya miriam kuambiwa aende, mana anampenda sana miriam wake lakini ndio hivyo safari inawiva kwani hata huko kujifanya kuumwa sio kitu kwasababu ni lazima atapona,.. Akikumbuka na vile alivyoambiwa masikini mkubwa ndio kwanza hana hata raha….

Lakini akiwa hapo nje ya hoteli simu yake iliita kuangalia jina, alikuwa ni sabra, na wakati huo ni mida ya saa 10 jioni…

"haloo"

"eeee chidi mambo"

"safi niambie"

"poa… Upo wapi"

"nipo nyumbani kwani vipi"

"naomba tukutane basi"

"kuna nini kwani"

"chidi bwanaaaaaaaaa"

"mmmhhhh ok nipo hapa miras hoteli"

"nisubiri hapo hapo"

Chidi alikata simu kisha akatulia hapo nje, mana anaekuja ni kama shemeji yake hivyo hana budi ya kumsubiri, lakini hakuwa na raha, mawazo mengi yalimtawala kijana huyo,… Ghafla sabra katokea akiwa na gari kalii

Chidi akaona huyu huyu ndio ampeleke nyumbani mana hana hali nzuri, alikuwa na mawazo mengi sana

"tena bora umekuja na gari, nipeleke nyumbani asee nimechoka sana"

Sabra binafsi alijiskia raha sana kwasababu ndio nafasi aliokuwa anaitaka

Nusu saa mbele walikuwa wameshafika nyumbani

"heeeee hapa ndio kwako"

"ndio"

"hhhhmmmm pazuri"

Chidi alikuwa mchovu sana hivyo alienda bafuni ili kuoga, lakini sabra ukumbuke nia yake ni kumpata chidi,… Saa ngapi sabra hajafungua mlango wa bafuni na kuingia

"we sabra mbona huna adabu lakini"

"we mbona juzi uliniona uchi wangu sijasema"

"lakini sabra"

"hakuna cha lakini…. Heeeeeeeee chidi umejaaliwa we mtoto, na hapa bado tu haijasimama je ikisimama itakuwaje"

Chidi kushikwa tu alishtuka sana… Haikupita muda sabra alibakiwa na chupi tu,…. Lakini huezi amini chidi hakusimamisha hata kidogo,.. Sabra alikuwa mzuri na mwenye umbo la kunoga, lakini chidi hakuvuta hisia za kusimamisha,…

"chidiiiiiiiii…. Mbona unanifanyia kusudi lakini… Mbona juzi ilisimama haraka afu leo unajifanya hutaki"

Hata chidi nae aliingiza hofu juu ya hilo,..

"ebu achia"

Aliongea chidi wakati Sabra alikuwa kaishika zakaria ya chidi… Maskini ya mungu sijui imekuwaje, au ndio kule moshi wameshafanya yao nini… Lakini chidi kwakuwa hajui lolote alihisi labda imechoka…. Sabra alikaa mikao yote ya kumtamanisha chidi lakini waaapi,… Sabra aliiweka kinywani mwake lakini waapi… Huezi amini chidi alianza kulia kama mtoto mdogo…

"hivi kwanini unanifanyia hivi chidi, niambie kama hunipendi basi nijue"

Sasa chidi anakuwa kama ridhiwani mtoto wa mama saida,

Chidi hakuwa na hamu na sabra lakini baada ya kuona sabra tayari keshavua nguo na kubakiwa na chupi, chidi hakutaka kumuacha mtoto wa watu mana kaja kwa ajili yake hivyo akimuacha itakuwa ni dharau kubwa sana juu yake,… Chidi alitoka bafuni na kwenda kitandani huku sabra akifuata nyuma kwa kumshika kiuno, sabra hawezi kushtukia kitu chochote kwamba huenda chidi ni mwanaume suruali, mana alishawahi kumuona akimla dada yake, afu siku ile alipokuwa nae mpaka wakafumwa chidi alisimamisha kama kawaida na sabra anajua, sasa leo sabra anajua fika chidi alikuwa akifanya kusudi, lakini chidi hakusoma sana lakini alizingatia sana somo la sayansi, hivyo alimuomba sabra atulie na alale angalau masaa kadhaa,…

Hata sabra pia hakuwa na haraka ya kuindoka tena yupo radhi hata kulala alale

Sasa turudi nyuma kwa kule moshi jinsi ilivyokuwa,…

Kwa sasa ni mida ya saa 10 jioni, na kule wamefika saa 6 mchana, hivyo saa 10 akina mama saida wapo nyumbani na walisharudi kitambo sana,..

Sasa turudi masaa matatu nyuma kabla ya saa 10… Wakiwa juu ya helikopta mama saida alikuwa na furaha sana mana tatizo la mtoto wake ridhiwani linakwenda kupona,.. Walikuwa wakicheka kama safari ile ya mwanzo vicheko vya umbea vilitawala katika ndege hio… Na humo ndani wapo watu watano tu… Rubani na mtu wake wa pembeni,.. Mama sarah na mama saida pamoja na ridhiwani,..

Haikupita hata nusu saa wameshafika kwa mganga, mama saida haamini kama kweli kafika salama, hivyo hata kuchelewa kuingia kwa mganga hakutaka kupoteza muda,…

"karibuni karibuni taireeeee"

Yalikuwa ni makaribisho ya mganga kwa wateja wake,

Mama saida ndio wakwanza kuingia ndani mana alihisi anaweza kupata ajali hata hapo nje ya mlango wa mganga,.

"babu fanya haraka basi mana isije ikaharibika"

"subiri mamaaa…. Tukifanya haraka tutaharibu,.. Hebu lete hio kondomu"

Mama saida alitoa ile kondom pale kwenye mkoba wake na kumpa mganga, wakati huo mama sarah alikuwa anaumwa na roho na wasiwasi juu ya kijana anaekwenda kufanyiwa kitu kibaya, lakini mama sarah alinyanyua mdomo na kuongea na mganga

"eti babu, kama itafanikiwa huyo kijana atakuwa hana nguvu tena"

"taireeeeeee…… Huyo kijana mwenye hizi mbegu, itabidi tu avae kanga na magauni mana hana hadhi ya kuwa mwanaume tena"

Mama sarah aliona hata bilioni moja haina thamani tena kwa yule kijana wa watu,.. Lakini mama sarah hawezi kufanya lolote tena, mana mbegu alishapokea mganga na mbegu hizo ni nzima kabisa tena bado zamoto utafikiri zimetoka muda huo… Lakini mama saida yeye alikuwa akifurahi sana,..

"nipatie nguo yako ya ndani"

Mganga aliongea hivyo ila wakati huo ridhiwani aliachwa nje kwanza ili asijue kuwa nguo ilimponyesha ni nguo ya ndani ya mama yake,..

Mama saida bila kumuogopa mganga, alivua chupi yake pale pale mbele ya mganga,…

"hiii hapa babu"

"weka hapo kwenye chungu"

Mama saida aliiweka ile nguo katika chungu, kisha mganga akachukuwa ile kondomu yenye mbegu za kijana chidi, kisha akazimimina kwenye kikarai flani hivi anakijua mwenyewe, kikarai hicho kilikuwa na dawa ya maji, hivyo ile dawa ndio ilichanganywa na mbegu hizo kisha ikamiminiwa kwenye kile kiungio cha chupi pale katikati,..

"muite kijana mgonjwa"

Mganga alimaanisha aitwa huyo mgonjwa,.. Mganga aliichukuwa ile nguo ambacho kaimiminia dawa iliochanganywa na mbegu za chidi,.. Maskini chidi wa watu hakuna haja ya kuitwa chidi tena,..

Basi mganga aliingia katika chumba kingine kisha na ridhiwani nae akamfuata mganga,….

"kijana…. Si unajua kilichokuleta hapa"

"ndio babu"

"sasa vua nguo zako zote"

Kijana bila uoga alivua nguo na kuwa mtupu kama alivyozaliwa,.. Mganga alimkabidhi kijana nguo ya mama yake mzazi ambayo imepakwa mbegu za chidi ambazo zimechanganywa na dawa za mganga huyo,…

"sasa hio dawa pakalia kwenye uume wako kwa kutumia hio nguo"

Waliitumia nguo ya kike tena ya mama yake ili kumvutia hisia za kimapenzi

"hakikisha unapakalia uume mzima mpaka isimame afu uhakikishe hapo unatoa na zakwako bila kutoa zako utasimamisha lakini hutotoa mbegu"

Maana kijana alitakiwa awe kama vile anajichua (punyeto) kwa kupitia nguo ya ndani ya mama yake na sii ya mtu mwingine,… Kijana alianza kazi hio mana anajua alichokifata kwa mganga huyo,…

Dakika 10 mbele mama saida alikuwa akitega skio huko chumba cha pili ambacho yupo ridhiwani anajichua, na kilainisho ni mbegu za chidi na dawa za mganga,…. Sasa ndani ya dakika hizo ridhiwani alionekana kufika mshindo

"jamani tayari mganga twende tukaone"

"hapana, huruhusiwi kumuangalia mtoto wako"

Ridhiwani alipiga mshindo wa kwanza tena kwa kelele ya hali ya juuu, mana ndio mara yake ya kwanza kufanya hivyo yaani toka azaliwe hajawahi kutoa mbegu zake, yaani hata utamu wa mapenzi haujui ila anausikia tu..

Basi mganga aliingia chumba cha pili na kumkuta ridhiwani kaganda na chupi ya mama yake, mana raha alizosikia hajawahi kupata…

"haya lete sasa… Zunguka pale ukaoge"

Ridhiwani hakuamini kama kweli kapona na anaweza kuwa na mwanamke kama wanaume wengine, lakini kupona kwake kumegharimu mtu mwingine kupoteza nguvu za kiume na sii mwingine bali ni kijana chidi.. Mganga alitoka na ile nguo kisha akaifunga kwenye kitamba chenye rangi tatu, kisha akakiweka katika mfuko mweusi na kumkabidhi mama saida..

"hiii hapa, fanya juu chidi ukaitupe baharini,… Ikishindikana baharini, basi utatakiwa kuitupa mahari ambapo mtu yeyote hawezi kufika, hata ni msituni sawa lakini sio msitu mdogo… Ukifanya hivyo ni sawa na kuyatupa matatizo yote ya mtoto wako.. Na ukiilimbikiza nyumbani basi jua unazidi kulimbikiza matatizo ya mtoto wako… Fanya juu chini ukitupe baharini ndio kunapotakiwa"

Aliongea mganga tena kwa msistizo mkali mno, kwasababu hio nguo ndio imejaa matatizo ya mtoto wake huyo..

Pale pale mama saida alishukuru na kumuachia mganga kitita cha shilingi milioni 3 kwa kazi alioifanya mganga huyo… Sasa mama saida walipotaka kuondoka, mama saida akaamua kuondoka moja kwa moja mpaka Dar es Salaam ili kwenda kuitupa nguo hio, mana wapo katika ndege ya private…. Na nia ya kwenda Dar es Salaam ni kwamba, Arusha hakuna bahari, hivyo aliamua kwenda Dar es Salaam kuitupa hio nguo,

Safari ilianza ya kuelekea Dar es Salaam

Wakati wakiwa juu ya ndege ridhiwani alikuwa ni kama kabeberu fulani hivi mana muda wote nanii yake ilikuwa ikisimama,.. Mana mama sarah nguo aliovaa ilikuwa ndefu lakini ni nyepesi mno, hivyo kijana alikuwa kila muda hamu zinamjia…. Kama unavyojua usafiri wa ndege ni tofauti na safari zingine,… Kutoka moshi mpaka Dar es Salaam ni kuhesabu madakika tu..

INAENDELEA...

Bonyeza Matangazo Kila Unapoyaona ili Kunipa Nguvu ya Kuendeleza Simulizi

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni