MUUZA CHIPS (78) - CnZ Media

CnZ Media

Jisomee Simulizi Mpya Kila Siku

Jumapili, 11 Juni 2023

MUUZA CHIPS (78)

UMEWAHI KUONA AU KUSIKIA KUHUSU PICHA ZA AI?
Sasa naomba nikufundishe bure kabisa nawewe uzitengeneze kirahisi kabisa

Mwandishi: MoonBoy

SEHEMU YA SABINI NA NANE
ILIPOISHIA...
Mana mama sarah nguo aliovaa ilikuwa ndefu lakini ni nyepesi mno, hivyo kijana alikuwa kila muda hamu zinamjia…. Kama unavyojua usafiri wa ndege ni tofauti na safari zingine,… Kutoka moshi mpaka Dar es Salaam ni kuhesabu madakika tu..

KUNA MATANGAZO YANATOKEA YAGUSE KILA UNAPOFUNGUA SIMULIZI ILI KUNIPA NGUVU YA KUENDELEA
INSTALL CnZ Media ILI USIPITWE NA MIENDELEZO KILA INAPOKUWA TAYARI

SASA ENDELEA...
Na kama unavyojua helikopta hua inatua sehemu yeyote ile kasoro sehemu ya mchanga mchanga,… Lakini kwakuwa kitu chenyewe ni cha kutupa katikati ya baharini, hivyo hakukuwa na haja ya kutua mahali badala yake walishuka mpaka jirani na bahari katikati kabisa huko,… Kisha mama saida akaitupa ile nguo kana kwamba ndio katupa matatizo ya kijana wake ridhiwani, yaani hayatojirudia tena,… Helikopta inapaa juu ili kuendelea na safari yake ya kwenda Arusha,…… Sasa wakiwa njiani tena mbali na Dar es Salaam afu wapo kilometa nyingi sana,… Saa ngapi ridhiwani hajaanza kuumwa, uume ulisimama na kukaza bila sababu kana kwamba kwa wakati huo alikuwa akitaka mwanamke, lakini haikusimama kwa hiari yake bali ulisimama wenyewe, tena ridhiwani alikuwa akigalagala chini huku akiwa kajikunja kwa maumivu makali..

"ridhiwani mwanangu una nini baba"

Alikuwa ni mama saida ndio alimuuliza mtoto wake

"mama imesimama na Inauma sana"

"mungu wangu… Mama sarah za sa tufanyeje"

Mama sarah kapiga kimya, na hapo wanawake ni wawili tu mama yake mzazi na rafiki wa mama yake… Na ridhiwani kazidiwa na maumivu makali

"mama sarah jamani, au kisa sio mtoto wako"

"sasa mama saida, mimi nifanyeje"

"nipe ushauri basi jamani"

"skia mama saida… Maana ya hio kitu kusimama ni kwamba inatakiwa apewe"

Aliongea mama sarah bila kumficha rafiki yake

"mungu wangu mama sarah…. Sasa atapewa na nani jamani… Mimi ni mama yake mzazi na wewe ni sawa na mwanao… Nipe ushauri basi mama sarah, mwanangu anakuwa mwekundu eti jamani"

Ridhiwani alishkika mno, nguvu za kiume zilimjia kwa ghafla na kujikuta anahitaji mwanamke,

Akina mama saida walikuwa wakihaha humo ndani, mana hakukuwa na mwanamke mwingine zaidi yao wao wawili tu, na ni ngumu wao kujitoa mana ni wazazi wa kijana huyo,..

Ridhiwani akiwa katika floo anagalagala ghafla alitulia kimya.. Mama saida alikumbuka sharti la mganga kuwa,

"itakuwa inamsumbua lakini sio mara kwa mara, yaweza kuwa kwa mwezi mara moja au mara mbili, mana hio sio asili yake… Hivyo itamsimama kwa maumivu makali sana, na mwisho wake atazimia,.. Akishazimia nayo itatulia"

Mama saida alipumua kwanguvu mana kwanza haamini kama mtoto wake kapona,..

Kweli baada ya dakika mbili, suruali ya ridhiwani ilionekana kutulia na unaambiwa itamjia kwa mwezi mara moja au mara mbili tu, itategemea na jinsi anavyofanya mapenzi,.. Akiwa kicheche sana basi hata maumivu yatampungua katika zakaria yake…

Ridhiwani alilazwa mahari pazuri huku ndege ikiwa bado katika safari yake ya kurudi mjini,..

Nusu saa mbele wakawa wapo uwanja wa ndege jijini Arusha,.. Na kila mmoja alikuja na gari yake, mama sarah alikuja peke yake, ila mama saida yeye alikuja na mtoto wake,.. Ridhiwani alihamishiwa kwenye gari akiwa bado kazimia,..

"waaooo mama langu umerudi"

Aliongea jamaa mmoja ambae ni mhudumu wa hapo airport..

"we vipi, nani mama yako"

Aliongea mama sarah, na ndio haswa aliopointiwa kwa kuitwa mama na jamaa huyo,..

"heeeeee mara hiii ushanisahau tena"

"watu wengine sjui ni machizi, hebu nitokee mimi"

Aliongea mama sarah huku akikwea gari yake

"kwani mama sarah huyu kijana ni nani, na mbona anaonekana kukufahamu sana"

"wala hata simjui, tuondoke zetu bwana"

Mama sarah na mama saida waliwasha gari zao na kuanza kuondoka

"sawa mama lakini najua utanikumbuka tu,.. Mimi ndio Richard bwana, na unajua vitu vyangu"

Aliongea kijana huyo kwa kujigamba sana kana kwamba kuna zuluma imefanyika hapo, sasa sijui ni mambo ya paking hawajalipana mi sijui..

Mama saida na mama sarah waliingia katika hoteli moja ya maana hapo jijini, mama saida alitoa kitabu cha kuandikia cheki, kisha akaandika kiasi cha pesa kinachotakiwa na mama sarah mana walikuwa katika dili na dili limekwisha,.. Mama saida aliandika cheki yenye thamani ya shilingi Bilioni moja na nusu akazitoe mama sarah kama jinsi alivyomwambia kuwa angelimpa bilioni moja kisha atamuongeza kidogo,..

Mama sarah alifurahi sana kuona cheki hio,..

"hapa sasa sina usemi"

Aliongea mama sarah huku akiiweka cheki hio katika mkoba wake, kisha kila mmoja aliondoka kivyake,… Mama saida alipofika nyumbani alimwingiza ridhiwani katka chumba chake huku akiseidiana na saida pamoja na wafanyakazi wengine,..

Baada ya hapo mama saida alimvuta mwanae saida na kumueka chini.. Alitoa cheki ya kiasi cha milioni mianane na kumpa saida ambaye ni mtoto wake wa kwanza,.. Na alimuahidi akifanikisha atamnunulia gari ya gharama kubwa kuliko gari zote duniani… Saida alifurahi lakini moyoni mwake kuna kitu alikuwa akikiwaza na ndicho kilichozidi kumpa furaha katika moyo wake… Kwahio mtoto wa mama saida ambae ni Ridhiwani keshapona kabisa yaani kwa sasa anasimamisha kama wanaume wengine..

HIO NI KUMBUKUMBU JINSI ILIVYOKUWA KWA MGANGA MPAKA KUPONA KWA RIDHIWANI…….. SASA TUENDELEE NA SIMULIZI MBELE KWA MBELE..

Tuliishia chidi akiwa kitandani na mdogo wake jasmini ambae ni sabra, kama unakumbuka vizuri,…

Chidi baada ya kushindwa kusimamisha uume wake ili kumpa sabra haki alioifuata, lakini mtarimbo ulikuwa doro, maskini sabra alikata tamaa ya kufanya mapenzi na mtu huyo mana kamseidia vyakutosha, sabra aliinyonya sana aliingiza kila tundu liliopo katika mwili wake, lakini bado haisimami… Basi waliamua walale usiku huo mana hata sabra asingeliweza kuondoka na usiku huo japokuwa ana gari yake….

Lakini chidi akiwa bado kalala, ghafla simu yake inaita, kucheki jina alikuwa ni mama sarah

"haloo mamy"

"yes chidi wangu mambo"

"safi tu"

Chidi alionekana kuwa mnyonge sana kwa siku hio,

"chidi upo na nani hapo"

"nipo peke yangu tu"

Mama sarah aliuliza kana kwamba labda alikuwa akiibiwa kazakaria kake,..

"chidi mpenzi wangu… Mwenzio nina hamu"

Aliongea mama sarah huku kama akideka ili lujua kama kweli kamekufa au

Mana yeye anajua fika kameshakufa,..

"mi mbona sijiskii kabisa"

"jamani chidi wangu… Afu mwenzio nimevaa ile chupi unayoipenda"

Chidi alikuwa akiskia mambo ya nguo za ndani za kike, yaani anasisimkwa na mwili wake, lakini leo doroooo

"ok sawa we vaa tu"

"kwani vipi chidi mbona kama huna raha"

"sina raha ndio… Mana nina masaa zaidi ya matano sasa lakini haisimami"

"Whaaaaaat"

Mama sarah alishangaa sana tena mpaka simu ikamdondoka,.. Lakini swali linakuja, ni kwanini mama sarah kashangaa tena na mshtuko juu na wakati anajua ishu nzima ya kijana chidi… Baada ya simu ya mama sarah kudondoka chini, na chidi nae alizima simu yake, kisha akaendelea kulala….

Ilipofika mida ya saa 11 alfajiri chidi akiwa kalala, alishangaa kuhisi uume umesimama tena,… Chidi haamini kama kasimamisha tena, na ilikuwa ni kweli… Chidi alimuamsha sabra kwa mbwembwe nyingi sana,.. Sabra kuamka anakutana na zakaria ya chidi imesimama barabara kabisa na ipo vile vile katika ubora wake… Sema sasa chidi yeye hajui kama kuna ishu alikuwa akichezewa na mama sarah,…

Chidi alinza kumchezea mtoto wa watu mpaka ikafikia wakati sabra anaililia zakaria hio,… Chidi alimvua sabra chupi yake taaratibu kisha ndude ikaingia kwenye kidude,. Sabra aliutamani uume wa chidi toka kitambo sana sasa leo anakutana nao live bila chenga,.. Chidi alimsulubu mtoto wa watu, yaani hatokaa amsahau kamwe kwa kitu anachomfanyia sabra wa watu ni miguno tu ya kimahaba ndio iliokuwa ikisikika..

Ivi unajua ni kwanini uume wa chidi ulilala?

Ni kwasababu alikuwa na msongo wa mawazo, hata wewe ukiwa na mawazo mengi sana unauathiri mfumo mzima wa nguvu za kiume,.. Mawazo yana kiwango chake, lakini ukipitiliza inakuwa ni shida.. Sasa ili uamini kuwa mawazo ni kitu kibaya sana katika mfumo huo,.. Hebu kuwa na mwanamke kitandani.. Afu akuambie jambo la kukudhi wewe, yaani jambo hilo likufanye ukasirike, na ukikasirika tu Hapo hapo hata kama ilikuwa ndani ya K, lazima itasinyaa mana ubongo umepokea taarifa mbaya,.. Hivyo mpaka damu zije zitulie, utatakiwa kupumzika kwanza, ili kila kitu kikae sawa,.. Yaani hata kama mwanamke kakukosoa kutokana na ufanyaji wako,.. Yaani ukikasirika tu ile kutoka moyoni, lazima ngoma ilale, yaani sio hiari bali ni lazima… Mana uume unasimamishwa na damu,

Chidi alimaliza shughuli yake ya kumkamua sabra,.. Wote waliingia bafuni na kuanza kusuguana sehemu zao,…

Baada ya yote hayo chidi ni muda wake wa kwenda kazini, na sabra yeye aende nyumbani kisha aende zake chuo, mana tayari keshatafutiwa chuo ili asome na weze kujua mengi zaidi japo wana utajiri mkubwa sana…

Chidi na sabra wanatoka wote, lakini sabra alikuwa akitamani kulala na chidi kila siku,..

"chidiiii"

"sema"

"kesho naja tena"

"ushaniona mie mashine si ndio"

"no sio hivyo,.. Unajua chidi wewe unayajua mapenzi, yasni unayajua haswa, mwanamke nani atembee na wewe afu asitake tena, we mtamu chidi"

"ok poa but usije kesho"

"nije lini sasa"

"njoo siku yeyote ile ila sio kesho"

Aliongea kijana chidi huku akiwaza kazi yake

Lakini akiwa yupo njiani kuelekea kazini ghafla simu yake inaita, kuangalia jina alikuwa ni baba yake mzazi..

"haloo mzee shkamoo"

"marahaba ujambo"

"nipo poa tu"

"sasa mwanangu… Ile kazi ulionipa nimeshaifanikisha, sasa ni wewe"

"wanaweza kazi vizuri hao… Mana nataka kijiji chetu kiheshimike"

"nimeenda kuwachukuwa mjini kabisa na hivi ninavyoongea nipo nao"

"ok… Sasa kesho we njoo uchukuwe mzigo kamili mzee ila hakikisha kila kitu kinakuwa sawa"

"Usijali, hawa watu wanafahamiana na rafiki yangu mmoja hivi na wana kazi nyingi sana walizofanya"

"sawa basi we kesho njoo nikupe mzigo"

Chidi alimuita baba yake aje mjini kuna kitu ampe, sasa hatujui chidi na baba yake waneanza kuuza nini, kitu ambacho hatukifahamu,.. Mana inaonekana kuna biashara haramu imeshaanza hapa baina ya baba na mtoto….

Chidi alikata simu na kuendelea na safari yake ya kwenda kazini…

SAA… SIKU….. WIKI…. MIEZI… ILIKATIKA

Baada ya miezi kadhaa mbele,.. Leo chidi akiwa hospitali yeye na kaka yake Ibrahim, wakiwa wapo nje ila hatujui mgonjwa alikuwa ni nani,..

Lakini ghafla nesi anatokea na kutoa taarifa juu ya mgonjwa waliokuja nae akina chidi…

"hongereni, tumepata mtoto wa kiume"

Ibrahim alifurahi sana kuskia kuwa kumepatikana mtoto wa kiume,.. Kana kwamba jasmini ndio kajifungua leo, lakini ndugu msomaji nadhani unakumbuka hii mimba ni yanani,.. Ila chidi hajui kuwa jasmini ana mimba yake, yeye chidi hajui kitu, lakini hio mimba au huyo mtoto ni wa chidi, lakini chidi hajui kitu..

INAENDELEA...

Bonyeza Matangazo Kila Unapoyaona ili Kunipa Nguvu ya Kuendeleza Simulizi

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni