DOKTA SIUMWI HUKO (2)

0
Mtunzi: ___

SEHEMU YA PILI
ILIPOISHIA...
“Jamani hon…,” alijikuta akikomea njiani japokuwa lile neon hon alitaka kutamka haoney, lakini akajikuta akibadili haraka baada ya machale kumcheza haraka.
“Hata haujachelewa, aisee unazingatia sana muda…”

IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI

ENDELEA...
“Kawaida tu dokta…,” alijibu Sulee huku akijifanya kuvaa sura ya ubize kidogo.
“Ehee, naona umekuja na mgeni…”
“Siyo mgeni, huyu ndiye mume wangu…”
“Ooh, karibu sana….”
“Ahsante…,”aliitikia Masofa huku akimuangalia Dokta Kisarawe kwa jicho la “si utoe tiba tuondoke.”
“Dokta Kisarawe naye akamwangali kama anayesema “Mbona umekaa kitemi sana.”
“Ok, sasa sikiliza anti, nadhani jana uliyaelewa maelekezo yangu…”
“Ndiyo dokta…”
“Kuna dawa nitakupa kwa leo, ambazo utazitumia kwa siku tatu mfululizo kabla ya kurudi tena…”
“Sawa, dokta…”.
Dokta Kisarawe akainama na kutoa kopo f’lani lililokuwa na dawa za vidonge, pamoja na zingine za maji!
“Hizi dawa ni muhimu sana, katumie kwa mtindo niliokuelekeza jana…”
“Sawa.”

Baada ya maelekezo hayo, waliagana kwa kupeana mikono huku Dokta Kisarawe akimpa moyo Masofa kuwa mkewe atapona na kuondokana kabisa na tatizo la kutozaa.
“Usijali, mkeo atapona tu…”
“Ahsante sana dokta…,” alisema Masofa huku akipeana mkono.
Wakaachiana mikono lakini Dokta Kisarawe akawa anamtupia jicho Sulee aliyekuwa kimya muda wote.
***

Toka siku hiyo, Dokta Kisarawe akawa anashinda akila karanga pamoja na kunywa mchuzi wa pweza kwa wingi, yote hiyo akiwa amempania Sulee atakapokuja siku ya tatu, kwani aliamini kwa vyovyote vile ni lazima aende peke yake.

Kila mara Dokta Kisarawe hakuacha kumkumbuka Sulee…!
“Dah, yule ni mwanamke bwana…,” aliwaza Dokta Kisarawe jioni moja akiwa amejipumzisha.
“Halafu, si nilimwambia aje baada ya siku tatu…?,” aliendelea kujiuliza maswali mengi.
“Eeh bwana…Ina maana kesho yupo hapa…Afadhali, kesho nitabimbilika naye tena…,” akaendelea kujikumbusha mwenyewe ndani ya chumba hicho.
“Twende mbele, turudi nyuma, aisee yule ni demu…Na hata muumba aliposema nitakufanyia msaidizi, alimaanisha yule…Kweli tena, fuatilia sana…,” Dokta Kisarawe akazidi kuzama kwenye mawazo hayo ya kujibizana na nafsi yake.

Dozi kali ya mchuzi wa pweza na karanga mbichi kwa wingi alizokuwa akizitumia Dokta Kisarawe, ziliendelea kumuweka sawa kwa ajili ya mechi kali ya kukata na shoka siku atakapokutana na Sulee.
“Mume wangu si unakumbuka dokta alisema nirudi baada ya siku mbili…?,” Sulee alimuuliza mumewe baada ya siku hiyo kufika.
“Kha!, sasa mimi na wewe nani anapaswa akumbuke…?,” Masofa alimjibu kwa mkato na sauti ya kishari.
“Wote…,” Sulee naye akajibu kishari huku akimtupia jicho.“Halafu wewe siku hizi mtata sana…”
“Nakumbuka basi, unasemaje…?”
“Basi ni leo…”
“Sasa ulikuwa unauliza au kunitaarifu…?,” Masofa alijibu lakini safari hii akiwa ‘siriasi’ zaidi.

Maisha ya Sulee na Masofa ndani ya ndoa yao, yalikuwa yameshaanza kuingia dosari.
Hii ni kutokana na hali ya Sulee kutopata ujauzito.
Sulee alinyamaza na kuendelea na shughuli zake. Masofa naye akaondoka kwenda kwenye mihangaiko yake ya kila siku.
Jioni ilipofika, Sulee alijiandaa kwa ajili ya kwenda kuonana na Dokta Kisarawe, moyoni akiwa amepania sana kupata tiba ya uhakika.
Akaianza safari ya kuelelekea kwenye zahanati ya daktari huyo. Alipofika alimkuta akiwa na mwanamke mwingine ndani, ikabidi asubiri nje.

Dakika moja baadaye, yule mwanamke aliondoka na kumpa nafasi Sulee kumuona Dokta Kisarawe…
“Niambie jamani…,” alisema Sulee huku akipanua mikono yake ili kumruhusu Dokta Kisarawe amkumbatie.
“Safi tu, mbona una furaha sana…?”
“Aah!, si nimefurahi kukuona jamani, au hupendi…?,” Alijibu Sulee wakiwa bado wanaendelea kukumbatiana.
“Sijasema hivyo, vipi kwema lakini…?”
“Kwema tu, naona ulikuwa na mwanamke humu, naye ana tatizo kama la kwangu…?”
“Hapana, kuna dawa nilikuwa namuelekeza, vipi mume mwenzangu mzima…?,” Alijibu Dokta Kiasarawe lakini mikono yake ikianza kukosa utulivu mwilini mwa Sulee.

“Aah!, jamani sa…saaa…,” Sulee alijaribu kuuliza lakini tayari joto la miili yao lilikuwa likimuendea ndivyo sivyo.
“Sasa kwani nini tena jamani…?,” Dokta Kisarawe aliuliza huku mikono ikiendelea kuutalii kwa utundu wa hali ya juu sana mwili wa Sulee.
“Aaa….h, mmh…,” Sulee alishindwa kuvumilia utundu wa mikono ya Dokta Kisarawe ambaye sasa alikuwa amemsogeza karibu kabisa na kifua chake kuliko hapo awali.
Mikono ikashuka hadi kwenye kiuno cha Sulee kilichobinuka vyema na kujitenga kwa juu.
Akawa kama anakibinya kimtindo, hali iliyomfanya Sulee apige ukelele wa kuashiria kuguswa yalipo maruhani yake.

Dokta Kisarawe hakuishia hapo, sasa akawa anaparaza kifuani na kuzigusa nido kimtindo…
Sulee akawa anajinyonga huku naye akirudisha mashambulizi kwa kummiliki Dokta Kisarawe.
Ikafika wakati kila wakishikana, wanakuwa wanalegezana nguo taratibu, baadaye kila mmoja alijikuta akiwa kama alivyokuja duniani.
Dokta Kisarawe akamuweka sawa Sulee kwa chini na kuanza kuchimba chumvi kisimani hali iliyozidisha uraha wa ajabu kwa Sulee.
“Yes, yesiii..yee..eee…siiiiii…..,” Sulee alizidi kuitikia kila alichoulizwa na Dokta Kisarawe.

Wakati akichimba chumvi, mikono ya Dokta Kisarawe ikawa bize na kifua cha Sulee, alizishika nido na kuzizungusha, Sulee akawa hana cha kufanya, akatoa macho yake meupe na kuyazungusha huku na kule.
Sulee aliposhindwa na uzalendo, akamgeuza Dokta Kisarawe na kuikimbilia maiki yake, akaishika vyema na kuanza kuimba nyimbo mbalimbali tamu.
Dokta Kisarawe akawa anasikilizia utamu wa mashairi ya Sulee kwa kufuatisha alivyokuwa akiimba.
Muda wa sebene ukawadia, kila mmoja akamuweka sawa mwenzake. Mechi kali ikaanza.

ILIKUWA ni furaha ya aina yake kwa Dokta Kisarawe japo kwa Sulee ilitegemea na biti kwani wakati mwingine aliisikia sauti ikimwambia…
“Lakini wewe ni mke wa mtu, unalijua hilo?”
Sulee alishindana na akili zake kuhusu hilo, lakini sasa mapigo ya Dokta Kisarawe yalimfanya asitishe kwa muda kuwaza mambo hayo na kumpa ushirikiano mzuri…
“Dokta,” aliita Sulee lakini hakuitikiwa kwani dokta alijitahidi ili amalize haraka na kuwahudumia wagonjwa wengine.

Hivyo alijitahidi kupiga mipira ya karibu. Sulee alikuwa hoi, kwa sababu alisimama, miguu iligoma kufanya kazi, akataka kukaa kwenye kiti lakini nafasi hiyo haikupatikana kwa Dokta Kisarawe.
Ni Sulee huyohuyo ndiye aliyeanza kutangaza hali ya hatari golini kwake, dokta akambana vizuri zaidi ili kumkinga na anguko lolote…
“Dokta…dokta nipe mtoto basi,” alisema Sulee akitaka kujitoa kwa dokta baada ya kupasua dafu lake lakini dokta ambaye alihamasishwa na lugha hiyo alimzuia na yeye akatangaza kushuka chini ya mnazi na kuvunja dafu lake, wote wakavunja madafu yao.

Mlio wa pangaboi ndani ya chumba hicho cha dokta ndiyo uliosikika pekee huku kila mmoja akiwa hana la kumwambia mwenzake. Sulee alikaa kwenye kiti na kuinamia meza, dokta alisimama, mkono mmoja ulishika sehemu ya juu ya suruali yake akiiziba njia.
“Wewe Sulee wewe, hivi kweli umekuja kutibiwa au kutibua?” Sulee alisikia sauti ikimwambia hivyo…
“Nimekuja kutibiwa,” eti Sulee aliijibu ile sauti kwa kujiamini.

Sasa alikaa vizuri, dokta naye alikuwa kwenye eneo lake la kiti akimwangalia mwanamke huyo, aliyeumbika sawa na mapenzi ya muumba.
Wote walijikuta wakicheka, lakini Sulee akakatisha kicheko kwa swali…
“Hivi mfano dokta…”
“Ee…”
“Ikitokea nimepata mimba mtoto wa nani?”
“Si wa kwako!”
“Hutamtaka?”
“Ha! Nimtakie nini wakati mimi nina mke wangu na watoto watatu, nimtake mtoto wako sijitaki kwangu?”
“Kwa hiyo unaniahidi?”
“Nakuahidi Sulee wala usiwe na wasiwasi.”

Siku hiyo Dokta Kisarawe hakumpa dawa yoyote Sulee, akamwambia akaishi kwa siku thelathini kamili halafu arudi tena…
“Noo dokta, mume wagu ataniuliza dawa ziko wapi?”
“Oke…oke, basi chukua hizi, akikuuliza muoneshe…” Dokta Kisarawe alimpa Sulee vidonge vya kutibu mifupa, maarufu kwa jina la ‘indosidi’.
“Hapo sawa.”
Sulee aliondoka akiwa mwepesi sana, alitembea kwa madaha kurudi nyumbani kwake.
***

Usiku wakiwa kitandani, mume wake alimuuliza…
“Vipi hospitali?”
“Nilikwenda.”
“Walikupa dawa?”
“Ndiyo.”
“Dawa gani?”
“Mi sizijui, sijui zinaitwaje!”
“Ziko wapi?”
“Sulee alitoka kitandani kwenda kuzichukua, akampa mumewe…
“Hizi siyo za kuongeza damu?”
“Mi sijui, alisema niwe nameza vidonge viwili kwa siku mpaka mwezi mmoja uishe halafu niende tena.”
“Sawa. Tutaona, kama hakuna matumaini itabidi tuachane naye,” alisema mwanaume huyo akiwa amelala anaangalia juu.
***

Mwezi mmoja na siku mbili, siku hiyo Sulee alijiandaa vilivyo, si kama anakwenda kwa daktari kupata tiba ili anakwenda kwa mpenzi wake. Kama mumewe angekuwepo nyumbani angemzuia kuvaa alivyovaa…
“Hapa niko sawa, mwenyewe akiniona atajua mimi ni mwanamke wa nguvu. Lakini Dokta Kisarawe naye, mh! Sijui alikwenda chuoni!”

Sulee alikuta wagonjwa wengine, akapanga foleni akiwa ni mtu wa kumi na saba mpaka kuingia chumba cha daktari. Alipita nesi…
“Samahani anti, mwambie Dokta Kisarawe nipo hapa nje.”
“Mh! Unadhani ataweza kuwaacha wenzako wote hawa akakuwahi wewe tu?” alihoji yule nesi.
“Sijasema awaache, nimekwambia mwambie nipo hapa nje.”
“Umesema nani vile?”
“Sulee.”
“Haya, subiri.”

Nesi aliingia kwa dokta, aliweka cha kuweka kabla hajatoka akamwambia…
“Kuna dada anaitwa Sulee, anasema amefika.”
“Kwa hiyo?”
“Kasema nikwambie.”
“Oke, mwambie umeshaniambia, asubiri. Yeye anadhani ni wa maana kuliko wenzako siyo?”

Nesi alitoka akafunga mlango huku macho yake yakikutana na macho ya Sulee…
“Nimemwambia anti, lakini hajanijibu kitu.”
Sulee kuna kitu kiligonga kichwani mwake…
“Au wanawake wote hawa ni wake, kwa hiyo kila mmoja ana umuhimu kwake? Maana kama mimi tu ndiyo mtu wake angetoa jibu lolote lile, isitoshe hatujaonana siku nyingi, mwezi na kitu sasa.”
“Aingie mwingine,” alisema Dokta Kisarawe akiwa amesimama mlangoni, alikutana macho na Sulee lakini hakuonesha uchangamfu wowote ule.
Dakika tano baada ya huyo mwanamke kuingia, vicheko na kugongeana mikono kulisikika kutoka kule ndani.

Sulee akaamua kunyanyuka mahali alipokuwa amekaa na kusogea karibu kabisa na mlango.
Akawa anategesha sikio kusikia zaidi kinachoendelea ndani ya chumba cha Dokta Kisarawe.
Vicheko viliendelea kusikika, kugongeana mikono kukazidi kuchukua nafasi kubwa….!
Sulee alirudi hadi alipokuwa ameketi awali, nakuanza kujiuliza maswali mengi yasiyokuwa na majibu.
“Hivi, wanaweza kuwa wanafahamiana kweli…?”
“Kha, lakini nami bwana, sasa kama hawafahamiana wanawezaje kucheka na kugongesheana mikono namna hiyo…?”

Naomba Bonyeza Matangazo Kila Unapoyaona ili Kunipa Nguvu ya Kuendelea Kuwaletea Simulizi
USIKOSE SEHEMU INAYOFUATA

Chapisha Maoni

0Maoni
Chapisha Maoni (0)