Mtunzi: ___
SEHEMU YA KUMI NA TATU
ILIPOISHIA...
ILIPOISHIA...
“kivipi sulee mbona kama una jazba vile”
“hujuwi eeh hujuwi”
“nijuwe nini mie”
“sikia wewe hivi unajiskiaje
mimba yangu ilivyo toka”
“mbona nikawaida tu”
IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI
ENDELEA...
“kawaida eti, kwahiyo umefurahi”
“mh kivipi”
“wewe ndiyo uliye sababisha
haya niambie nia yako sasa”
“mbona sikuelewi sulee”
“hunielewi eee haya sasa
njama yako uliyo ifanya
imejulikana eti ukafanya njama na dokta wako aseme mimi naukimwi ili Mume wangu aniache pia mimba yangu itoke
nanimebaini shangazi wewe ni muuwaji sana sikupendi sikupendi”
“mpumbavu sana wewe leo mimi muuwaji kwa nini nisinge kuuwa tangia mdogo eeeh huni pendi kwani mimi ndugu yako shenzi wewe huruma yangu niliamuwa kukulea kama mwananguz/mtoto wandugu yangu mpaka leo jitu kubwa umesha ota mapembe basi unavimba kichwa nilikutuma ukafanye ujinga wako ulio kufanya uachike eeeh”
Shangazi alinisimulia kila kitu katika maisha ya wazazi wangu
mpaka wakafariki iliniuma sana Moyoni nikawa sina jinsi yakufanya.
ghafla simu yangu
ikaita nikatazama nikaona namba
ya Adams japo siku isevu niliikumbuka.
“hallow”
“vp mbona kimya hivyo”
“ooh nilikuwa nakikao naja nipo njiani”
“ok wahi basi”
Nilitoka bila kuaga
“ukiona nakubana usirudi hapa”
“sawa tyuu”
Nilimjibu hivyo kwakuwa nilikuwa nina hasira sana
safari yakwenda Tegeta ilianza
nilikodisha tax njiani nilikuwa nina mawazo mengi sana
hata kufikilia uwito wakwenda kwa Adams nilikuwa sina kabisa”
________________________________________
Ehee nini kilicho kutuma umwambie Sulee kuwa hana ukimwi na kuwa mimi ndiye niliye fanya mpango huo”
“shangazi sijamwambia mimi”
“amejuwaje”
“alikuwa akilalamika
kichwa kinauma alienda kupima
kaniambia alipima kama kinga zime shuka au zipo juu alipopima aliambiwa kuwa hana H.I.V.
Nihapo alipo juwa, pia akaenda kwa dokta tuliko endakupima sikuile alimpeleka mahakamani
ndiyo alikutaja kuwa wewe unahusika shangazi”
“unajifanya mjanja eeeh
subiri”
______________________________
dk45
sulee alifika Afica sana alipo
kuwepo Adams aliye tulia
katika baa ya, Mango garden.
Alikuwa hana wasiwasi akiwa
anakunywa juice ya embe.
Talatibu sulee alitokea katika lango kubwa alikuwa akizubaa zubaa akiangaza angaza kushuto kulia akimtafuta Adams alipo kaa
Adams alipo muona alimuita Muhudumu hakutaka kupiga simu.
“dada tafadhari naomba niitiye
yule dada aliye vaa nguo za pink
getini”
“sawa kaka”
Dk2 zilimtosha sulee kufika katika eneo alipokuwepo Adams kijana aliye kuwepo katika pozi matata ndani ya suti maridadi sana manukato yake yalikuwa mazuri sana hakika alitokerezea mbaya.
“mambo vp mrembo sulee”
sulee alivuta pumzi uuuu phuuu
“safi Mr zatokea siku ile”
“nzuri tu samahani kwakuto kukupigia sikumbili zilizo pita
nilikuwa na mizunguko sana”
“ooh wala usiwaze kwahilo
hata mimi pia nilikuwa na mambo mengi sana”
“kuna tatizo”
“mhh yah yah”
“vp kifamilia au kibinafsi sulee”
“naweza sema kifamilia pia yangu binafsi pia”
“pole sana siwezi kujuwa”
“mmh mapema sana Mr”
“ok usijari “
Adams aliinuka katika kiti
alipo kaa.
“sulee samahani naenda
choon”
“ok ok”
Adams alipokuwa akielekea
choon macho ya sule yalikuwa mbele kumtazama Adams
aliye valia suti ya Rangi ya maziwa iliyo mpendezesha sana.
“mmh huyu kaka mzuri…!
Sana sijuwi ataniambia nini
atakacho niambia kazi kwake ngoja arudi sasa atanijuwa tyuu.
Samahani Sulee kwakuchelewa”
“bila samahani,mpendwa”
“Ehee nipe story”
“nakusikiliza wangu sikuile ilikuwa juu juu”
“nikweli kabisa, Muhudumu tafadhari njoo”
“naam kaka”
“sulee agiza unacho taka
kuwa huru”
“Nipe maji baridi sana”
“mmh sulee maji”
“yaah, yana tosha”
“hapana,dada niitie na yule
muhudumu wa jikoni”
“sawa kaka”
Tuliendelea kuongea
mawili matatu.
“Kaka nimekuja kusikiliza uwito”
“ndiyo tuna taka nyama mbuzi kilo2 na ndizi 8 sawa haraka”
“ok sasa hivi”
_______________________________________
“sulee naona hauko sawa
kwa nini”
“yah sipo sawa Adams”
“tafadhari naomba niambie”
“Adams takwambia nipo katika
wakati mgumu sana mihivi
___________________________________________
Yah Huyo mwana ume sijuwi mpaka leo alipo na hapa nimetoka kugombana na shangazi yangu nanimemuacha Monica ambaye mwenzangu ana mtoto
sasa baada yakubaini kuwa shangazi ndiye aliye nifanyia mpango huo ilinionekane nina H.I.V .nimetokea kumchukia sana
nimuuaji kasababisha mimbaya yangu itoke ambayo iliyo sababisha kuachana na mume wangu ambaye nilimpenda sana”
“umesema huyo dokta anaitwa nani”
“simkumbuki jina kwakuwa yamesha pita tuachane nayo
Adams”
“ok sasa umegombana na shangazi yako itakuwaje utaenda kuishi wapi”
“sijajuwa taenda kilosa kwa Rafiki yangu ana fundisha huko”
“mh!”
“mbona una guna”
“yani uzuri wako huo ukakae bush”
“ndiyo kuna tatizo kwani”
“ndiyo huoni”
“sioni”
“utakuwa mzee kibibi asee”
“sasa tafanyaje”
“ok nataka nikupeleke Iringa kuna
kampuni yangu pale”
“ya nini”
“najishugulisha na uuzaji wa magari natoa japani naingiza tanzania kituo kikubwa kipo morogoro”
“kweli Adams”
“ndiyo”
“tashukuru sana jamani”
“wala usijali uaminifu kitu bora kwangu utaona mafanikio yako
uta sahau shida zote sawa”
“Adams ooooh asante siamini”
“sawa sulee ukiwa tayari utanijulisha mimi naondoka kesho leo talala hapa hapa katika hotel hii asubuhi naondoka zangu”
“Adams Mimi sirudi kwa shangazi tena kama upo tayari tuondoke wote sawa”
“ok hakuna shida “
Nyama ndizi zilikuja tukala
mpaka zikabakia muda ulikimbia
ilikuwa saa5 usiku Nilikuwa nikisubili chochote atakacho sema
muda wote nilikuwa katika sura ya furaha najinsi macho yangu yalivyokuwa yakulembua yalimpa shida Adams aliye onekana akiwa ana hangaika akitaka kusema kitu ambacho alishindwa kunitamkia.
*huyu sulee kwakweli mrembo sana sijuwi nimwambie ukweli kuwa tuka lale wote, lakini atajuwa mimi maraya mmh angalia jicho lake uwiii jamani naumia mimi aaaah*
Alijisemesha Adams.
*mmh Adams ananivutia jamani
zaidi ya mwanaume lakini anaonekana muoga sana ah ananichelewesha mimi nahamu nae kwakweli ana vutia*
kila mmoja aliwaza anacho jua
mwenyewe akilini mwake lakini nani amuanze mwenza wakawa akiogopana.
“sulee tuingie ndani sasa”
“sawa”
“Dada tupe chumba kingine “
“ok namba 115 nikizuri karibu”
“sawa”
“sulee nadhani kitakufaa”
“yaah kizuri sana”
“tena wewe ni 115 mimi
ni 118″
“kweli adams tupo jirani sana”
“ok usiku mwema”
“nawe pia”
tulipo agana
ndani ya dakika 40 nili inuka kitandani nakufungua mlango nakutembea mpaka katika mlango wa chumba namba 118
nilinyosha mkono nigonge mlango lakini moyo ukasita nikaegemea ukuta nikiwaza nifanyeje sasa nigonge au naakifungua tamwambia nini Adams.
______________________________________
Adams nae ndani katika chumba chake alikuwa kaamka akiwaza njia yakuingia katika chumba cha sulee namba 115 alitembea mpaka mlangoni aka nyonga ufunguo mara ya kwanza sulee alipo sikia alitimua mbio mpaka chumbani kwake na kujifungia
nakuegemea katika mlango.
Adams alinyonga ufunguo mara ya pili mlango ukafunguka
akatemea kama atua 8 alifika katika mlango wa sulee
aliushika mlango na kushusha pumzi uphuuu akageuka na kuegemea mlango wa chumba cha sulee alikuwa kaishiwa nguvu
Adams aliwaza sana Sulee atanifikiliaje kumgongea usiku huu naje akitoka tamwambia nini
tarabiiibu alirudi chumbani kwake Adams alionekana hana furaha kabisa.
Saa9 usiku sulee aliamka
nakwenda katika chumba cha Adams kwakuwa alishajuwa azma yake Adams nae.
Safari hii nagonga tu mlango potelea mbali”
Sule alifungua mlango wake
na kutembea taraatibu mpaka mlangoni mwa Adams…
Sulee aligonga mlango
mara mbili Ulipofunguliwa
Adams aliuliza “vipi sulee kuna tatizo”
“ndiyo Adams”
“lipi”
“Usingizi sipati kabisa”
“kwa nini”
“hapa tupo mlangoni naomba
tuingie ndani nikuelezee vizuri”
“ok ingia”
Nilimweleza yangu ya moyoni
sikuficha hata kidogo jinsi navyo mpenda sana Adams
nilinyanyuka nilipo kaa nakwenda
jirani na alipo kaa Adams.
“Nakupenda Adams
niamini japo sijakufahamu kiundani sana ila umetokea kunifutia sana sina nia mbaya na wewe ni moyo wangu ulio dondokea kwako plz naomba unikubalie.”
“sulee sawa nimekuelewa
lakini nataka kukusaidia tyuu
kimaisha nikupe kazi”
“sawa lakini tunaweza kuwa wapenzi huku kazi ina fanyika
vizuri”
“sulee kazi na mapenzi
haiwezekani kabisa”
“najuwa sana ila mimi kwangu haipo hivyo niamini”
“sulee siyo leo nipe Muda”
“sawa ila siwezi kulala peke yangu chumba kubwa vile”
“kwa hiyo”
“tulale wote hapa hapa”
“itakuwa ngumu”
“sawa basi nipe nauri ni Rudi
nyumbani”
“sahizi usiku sana Sulee”
Nili anzisha vurugu patashika
mle ndani mara nikae vibaya
kwenye sofa lililo
kuwepo ndani mara nijilaze kitandani imradi nimpe matamanio Adams ili akolee
lakini Adams alikuwa jasiri sana
“sulee basi nimekubari
tulale wote sawa”
Nilifurahi sana nikaanza
kuhisi joto la Adams likitoka kifuani kwake Nilipanda kitandani
fasta nilijuwa anaweza akabadirika’
“sulee basi keukia huko
mimi na geukia huku”
“aaah tena jamani”
“sasa unatakaje”
“unikumbatie jamani”
nilideka sana lakini
haikuwezekana kabisa:
_______________________________________
Adams mate yalikuwa yakimtoka
kwa Sulee lakini alihofia kuwa sulee wenda ana ukimwi kweli
*siwezi kufanya mapenzi nae bila kupima*
alijisemea moyoni
kwake Adams hakuwa nawazo
la kufanya uamuzi wakufanya
ngono na sulee.
Tulilala mpaka asubuhi
tulipo amka tukajiandaa
kwaajili ya safari ya kUnipeleka
Iringa katika ofice aliyo nihaidi
sehemu takayo fanyia kazi
nilifurahi sana kwakuwa
nilimueleza ukweli wangu wakumpenda Adams nilisha utua mzigo ulio moyo..
Kwangu juu ya Adams
“ingia katika gari Sulee”
“sawa mpenzi”
“hahaa sulee bwana nishakuwa
mpenzi mara hii khaa”
“sasa hautaki”
“ujuwe sulee nimekaa mimi muda mlefu sana bila kuwa na mwanamke unaweza kuamini”
“hata kidogo kwajinsi ulivyo
hivyo sitaki unidanganye”
“amini amini nakwambia ukweli mtupu”
“sawa bac najuwa Tafaidi
sana utakuwa mchumba/mume Bora kwangu”
“hahaa acha utani bwana.
__________
Monica alianza kuteseka sana
pale nyumbani kwa shangazi
yake sulee hakujuwa aende wapi
kila mara alijaribu kupiga simu ya sulee lakini haikupatikana
alijuta moyoni safari ya kijijini
ilimuita lakini aliwaza sana
(Nina umbo zuri sana lakumtamanisha mwanaume yeyote sasa yanini nirudi bush nikataabike hapana siendi
labda nimtupe mtoto ili nianza maisha mapya
lakini nilimsariti mume wangu kisa kupata mtoto leo nimtupe hapana labda nitapanga chumba
kimoja mchana takuwa na mwanangu usiku tamfungia ndani
kisha takuwa natembea katika mabaa ili nijiuze kwa wanaume ili nipate pesa)
Naomba Bonyeza Matangazo Kila Unapoyaona ili Kunipa Nguvu ya Kuendelea Kuwaletea Simulizi
USIKOSE SEHEMU INAYOFUATA