Mtunzi: ___
SEHEMU YA KUMI NA NNE
ILIPOISHIA...
ILIPOISHIA...
(Nina umbo zuri sana lakumtamanisha mwanaume yeyote sasa yanini nirudi bush nikataabike hapana siendi
labda nimtupe mtoto ili nianza maisha mapya
lakini nilimsariti mume wangu kisa kupata mtoto leo nimtupe hapana labda nitapanga chumba
kimoja mchana takuwa na mwanangu usiku tamfungia ndani
kisha takuwa natembea katika mabaa ili nijiuze kwa wanaume ili nipate pesa)
IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI
ENDELEA...
aliwaza jinsi yakufanya Monica
ili atoke katika mateso hayo
anayo yapata kwa shangazi yake sulee aliye geuka kuwa mbogo.
“Umesababisha sulee akimbie hapa ndani utakoma Nibora uhame hapa ndani sikutaki kabisa
sawa usije ukanifia humu ndani
mshenzi wewe”
“shangazi kosa langu mimi nini”
“ebu tulia huko sawa takumwagia mafuta yamoto haya sawa napokuwa naongea mimi wewe
kaakimya sawa”
“sawa shangazi”
“pumbavu weee paa paa paah(makofi) Nani shangazi yako
eeeh”
Mateso kila kukicha yalizidi
Sikumoja walikuja wanaume wa3
nyumbani kwa shangazi
Alikuwepo Monica peke yake
sebuleni akiangalia TV.
Walipo kalibishwa ndani walikaa
katika viti.
“karibuni wageni”
“asante anti Merry yupo”
“ni nani huyo kwani”
“mmh kwani wewe mgeni hapa”
“siyo sana nashangaa ilo jina
ni geni kwangu”
“ooh Jina lako ni nani”
“Monica”
“jina Zuri sana kama
umbo lako”
Aliongea jamaa mmoja
aliye kuwa ana madevu kama
osama.
“vizuri sana sisi ni watu wakazi
tumekuja hapa kufanya tukio kwa Anti merry tuna mdai nakama hayupo tuna omba zawadi kutoka
kwako sawa”
“zawadi gani tena hiyo kutoka kwangu”
“aah hujuwi tunataka penzi lako utupe sisi wote kama tulivyo.
(Wakati huo mlinzi alikuwa akikoloma kama time hizo zilikuwa saa8 za usiku kumbe ilikuwa ni mchana wa saa6
hakujitambua kabisa)
“noooh hapana siwezi mimi
nyie vipi”
“hutakieee utafanya kinguvu tu”
“Abuu mkamate miguu”
alisikika mmoja akimwambia mwenzake hivyo.
Walipo kuwa katika jalibu hilo lakutaka kumbaka Monica
Monica alikuwa na nguvu zaajabu sana hata yeye alijishangaa aliko zipata wapi alipambana na wanaume hao wa3 huku akipiga
kelele za hari ya juu
alimpiga mmoja teke la kwenye kolodani jamaa akadondoka chini
nakupiga kelele za nguvu sana
zilizo mshtua mlinzi nje aliye kuwa ana sinzia mchana.
Mlinzi aliamka akiwa amechoka sana naaliye kuwa kama mtu aliye lewa kumbe alikuwa ( Kapuliziwa madawa ya kulevya )
Alijiuliza imekuwaje mpaka
yupo katika hari hiyo’ na kuna nini huko ndani kuna kelele hivyo
hakupata jibu.
Mlinzi aliingia ndani
na bunduki yake mkononi
alipo chungulia dirishani alikuta
Monica akiwa amelaliwa juu na Mwanaume huku mmoja akiwa
kamshika mikono na yule mmoja
alikuwa pembeni kashika
sehemu zake za siri akiugulia maumivu.
Mlinzi ali ongea kwa sauti ya juu
nyie wapumbavu acheni ujinga wenu sawa”
walipo shtuka walikimbia kwakutokea mlango
wa nyuma mlinzi aliwafukuza
na kupiga Risasi paa paa
aaaaah uuwiii
zilikuwa sauti za mmoja wao na wale watu.
Alikuwa kapigwa mguuni
alichukuliwa mpaka police
kuojiwa vizuri.
Monica alikuwa salama japokuwa
alikuwa kavimba kichwani kwakujigonga katika
kabati.
Mharifu alihojiwa kwanini walitaka kufanya tukio hilo
alijibu baada ya kuteswa sana
“Ni kwamba Anti merry alitutuma
tumbake Yule dada ili tumwambukize ukimwi sisi wote
ni waasirika wa H’I’V”
“kweli mna uwakika”
“nindoyo”
Monika aliona kama Mungu
ndiye kila kitu kwake kwakuponyeka katika tukio ilo.
Shamgazi alikamatwa na kufungwa kutokana nakuwa ana pesa alihonga na akatoka.
wakati huo Monica alikuwa akiishi
nyumbani kwake alipanga chumba kimoja kazi yake ilikuwa
yakujiuza lakini kila akipata bwana aliishia kuongea dau
na kuachwa bila kuchukuliwa
kila siku ilikuwa hivyo
hakupata mabwana wakulala nao
hali ilizidi kuwa mbaya sana
njaa ilizidi kumtesa monica
siku moja alimsimulia shoga yake neema kila kitu
kutokana nakuto pata mabwana
watakao mpa pesa.
“Monica nenda kwa mganga wewe kila kazi ina dawa ya kuvutia wewe haushangai umbo lako zuri hivyo ukakosa mume yani wewe ungekuwa namba moja kila siku kuchukuliwa
hapa ujanja upo shosti wangu”
“mmh kweli Neema”
“kalaga baho utazidi kuchina”
_________
ni kweli Adams
nakupenda sana kwakweli
yani natamani niwe mkeo
uwe mume wangu”
“sulee morogoro tumesha fika
hapa naomba tulale kesho nikupeleke Iringa sawa”
“haina tatizo kabisa”-
Ilikuwa saa12 jioni.
“sule ngojea nimwite meneja wangu anae nisaidia umuone”
“sawa..
Tambaa nayo sasa..
Ukisha muona tuta lala kisha kesho itaanza safari ya kwenda iringa”
“Mimi sina tatizo kabisa yani utakacho niambia mimi nipo tayari”
“ok tumesha fika hii ndiyo kijumba changu kinacho nihifazi
kwa kulala na kuishi jumla”
“Adams mmmh kijumba
nyumba nzuri hivi”
“haha hapana mbona ni yakawaida sana”
“bac sawa uonavyo wewe”
Tuliingia ndani kulikuwa nakila kitu kilicho enea nilikaa katika sofa zilikuwa ni sofa zakujaza na upepo nilijisikia Raha sana
dk chache nilisikia simu ikisubiliwa kupokelewa.
“hallow Big upo wapi”
“nipo home kwangu”
“unaweza ukaja mara moja”
“sawa nipo tayari maana tulikuwa
tuna kikao kanisani”
“poa njoo nyumbani kuna mgeni
wangu uje umsalimie sawa”
“naja sasa hivi”
_______________________________________
yalikuwa maongezi yakwenye simu baina ya Adams na dokta kisarawele.
Baada ya nusu saa
Kisarawe alikuwa jirani sana
na nyumbani kwa Adams sekunde kadhaa alikuwa kisha fika
nje ya nyumba ya Adams
kisarawe alipokea simu yake
kisha akaanza kuongea.
“oooh nili sahau boss na hata hivyo data zote nimeacha katika compyuta ipo nyumbani”
“nataka sasa hivi nijuwe
ubora wake ulivyo wahizo gari sawa nitumie ili niwajibu wadhamini sasa hivi wana taka
nakupa daki45 unitumiye katika
mtandao sawa tuna taka gari 24″
“ok sasa hivi nivutiye subira”
“hakuna tatizo”
Kisarawe alimpigia simu
Adams aliye kuwepo ndani.
“Adams sita weza kuingia ndani
kuna kampuni ina taka gari kama 24 sasa wanataka
maelezo yake ya ubora ngoja nikawatumie ili tupate kazi”
“dakika mbili ingia umsalimie”
“hapana tachelewa”
“big kesho nampeleka iringa
huwezi ukaonana nae, basi ngoja tuna kuja nje”
“sawa”
Adams na Sulee walipo toka nje
hawakumkuta Kisarawe ambaye alipewa jina na Adams jina la Big kiutani”
“sijuwi vipi huyu kasema sawa anasubiri kaondoka aah”
“lakini salamu na kazi bora nini”
“kweli sulee bora kazi ndomana
huyu kaka nampenda sana anajituma sana katika kazi”
“yani Adams shukuru mungu kwakupata mtu anae jari sana kazi yako kama yake mafanikio ladhima upate tu”
“sulee kweli kabisa tokea nimpate huyu kaka mambo yangu kila siku yanazidi kuwa supe siyo siri”
_______________________________________
Kisarawe alipo fika nyumbani kwake alizituma data zote za sifa za gari hizo aliludishiwa taarifa kuwa wamelizika nazo na wakaongeza 6 tena nakufikia gari30 wapeleke kwa awamu mbili yakwanza 15 baada ya mwezi 15 tena kisarawe alifurahi sana kwakupata diri hilo
alimpigia simu Adams kuwa diri limekamilika.
“gari 30 zinahitajika kwanzia sasa”
“kweli”
“yes, boss”
“usiniite boss niite hata mdogo wako sawa tyuu inapendeza”
“sawa Adams tukutane kesho”
“kesho asubuhi sana nataka nimpeleke iringa huyu dada etu katika ofice yetu”
“ina pendeza ila ni mwaminifu,pia unamfahamu kiundani sana”
“kuhusu uaminifu ondoa shaka kila mari yamtu huwa ina ulinzi hakuna tajiri yeyote awe na mari nyingi ikakosa ulinzi kuhusu kumfahamu ni story ndefu sana tutakuja kuongea nikirudi sawa”
“sawa Adams nawatakia safari njema”
“ok”
_______________________________________
Walipo fika Iringa Adams alimtambulisha sulee kwa wafanyakazi wenzake.
“jamani mpeni ushilikiano wenu huyu mgeni sawa kama kawaida akikosea mpeni somo nadhani ataelewa tyuu ugeni uwa unasumbuwa sana mahari popote pale, mimi narudi zangu Morogoro sawa dada janeth utakaa na sulee nyumbani kwako sawa”
“sawa boss , karibu sana sulee
uwe na amani sana”
“asante janeth”
_______________________________________
Adams alianza safari yakurudi
moro, Sulee nae aliongozana na janeth kurudi nyumbani wakiwa ndani ya gari ya ofice nyumbani walikokuwa wakienda ni nyumba ambayo ni ya Adams aliyo jenda kama sehemu ya kuwekea magari na vifaa vya magari yani spea zilizo tumika na mpya pia.
“janeth maisha ya hapa iringa yakoje”
“mazuri sana dada angu yani tofauti kabisa na morogoro”
“kivipi yawe mazuri kuliko moro”
“kwanza iringa imejengeka vizuri sana unaweza kutembea sehemu mbali mbali ukaenjoy kwa mazingira yake siyo moro
ipo ipo tyuu”
“naomba unitembeze siku ambayo ya mapumziko ya kazi sawa”
“sawa jumapili au jumamosi”
“ok”
Adams alifika salama moro
alikutana na Kisarawe waka yajenga mipango yao kuhusu mauzo ya magari
“tumekubariana kwa bei yetu
niliwaanzia mbali kama ml50
wamefika 45″
“diri poa sana hilo kaka kisarawe
nakuhaidi kaka ukiendelea hivi hivi takupa zawadi nzuri sana naomba tuishi kama ndugu nasiyo kama mtu na boss wake sawa”
“uta furahi na kuna isue ipo dar wana itaji kama gari 5
dodoma gari 3 pia naomba ufunguwe web na page katika mitandao ziwe kibao ambazo zitaweza kututangazia biashara hata kwa mtu mmoja mmoja
atakae hitaji gari natukiweka na bei poa”
“wazo zuri sana hilo kaka
fanyia kazi sasa”
“SAWA Adams”
“ila umekosa kusaminisha
Mtoto mzuri sana wangu”
“Adams sina mpango tena wa wanawake tena naangalia maisha sasa”
“khaa kaka umeamuwa sasa
ila japo kuwa siyajuwi sana mambo yako ya zamani”
“sinilikusimulia kisa chote”
“yah najuwa ila poa kaka
wake za watu achana nao”
“sawa Nime mkabizi Mungu
Moyo wangu”
_______________________________________
“janeth Mji huu nimeupenda sana
yani ni mzuri sana napenda sana haya mawe mawe kwakweli nime enjoy sana”
“hahaa sulee hapa tupu tume zunguka sehemu chache sana”
“sikunyingine takutembeza zaidi
leo nime choka sana jana nili fua sana”
“sawa usijari janeth”
Tulirudi nyumbani
Tulikula hotelini tulipo fika tukawa tunaangalia Tv huku tukiongea”
“sulee naomba nikuulize”
“uliza dada”
“Boss Adams una mfahamu vizuri”
“siwezi kukujibu kwanza, una maana gani janeth”
“ungenijibu kwanza inge pendeza”
Niliingiwa na Hofu
je kuna nini anacho taka kuniambia nilitaka kumjibu kuwa na mfahamu vilivyo lakini nilisita kumwambia wenda kuna jambo lililo jificha nitaka kujuwa.
“Janeth simjuwi nimekutana nae ndani ya siku 5, nyumbani dar”
“Una uhakika usemayo”
“Ndiyo niamini naomba kama kuna jambo usinifiche”
“ok vizuri ni hivi”
“boss wetu Ana H’I’V , najuwa mimi tu”
“mh ,kwa nini ujuwe wewe tu”
“niliviuna vidonge pamoja na vyeti”
“mh kweli janeth”
Janeth alikuwa mdada mzuri
sana aliumbika sana mwili wake
ulio jinyonga kama umbo la namba nane kiukweli tuliendana
kiumbo mpaka tabia zake zilikuwa nzuri sana kwa Muda mchache nilio kaa nae nili mjuwa kama ni mtu mwema.
“kweli sina muda wakumsingizia kabisa”
Naomba Bonyeza Matangazo Kila Unapoyaona ili Kunipa Nguvu ya Kuendelea Kuwaletea Simulizi
USIKOSE SEHEMU INAYOFUATA