DOKTA SIUMWI HUKO (16)

0
Mtunzi: ___

SEHEMU YA KUMI NA SITA
ILIPOISHIA...
Nilimkumbatia Adams huku
niki mkiss kiss kwa fujo sana.
_________________­__­­_
Hakika ningekupoteza Adams kijinga sana ivi kina endelea nini
kati yako na Janeth, Adams?”

IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI

ENDELEA...
“kwa nini wauliza”

SULEE”
“kwakuwa Janeth ana kuwa mkaidi sana kwangu mimi
natena pale tu ninapo kuongelea”
“kivipi sulee”
“Jambo lolote tu sijuwi kwa nini mpaka ikafikia hatua akaniambia”
“akakwambia nini”
“Adams nijibu kwanza swali langu
wewe na janeth mkoje, pia una mpenzi au huna”
“sina mpenzi pia jane, nikwamba ana nitaka tuwe wapenzi ila mimi sitaki kabisa”
“hapana Adams unanidanganya
wewe na jane, niwapenzi ndomaana akanitisha eti wewe una ukimwi ili niachane nawewe
plz sitaki matatizo Adams hatujawa wapenzi bado hari hii
inajitokeza je ikiwa tayari wapenzi itakuwaje sitakufa nimetokea katika matatizo
basi sipendi nirudie huko”

“ahaaaa kumbeee
Sulee niamini niamini jane, sina mahusiano nae hatakidogo
yeye ana ladhimisha iwe hivyo mimi sittaki”
“siwezi kuamini nihakikishie basi
kwa jambo lolote”
“ok sawa sawa nipe wiki2 utafurahi”
“sawa iwe ahadi ya kweli
Adams nakupenda sana nataka uwe mume wangu Mzee Maryo nije nimuite mkwe wangu”
“hahaa wala usijari nami pia nakupenda kupita maelezo”
“basi sawa nakuamini”
“asante pia naomba nikuamishie Morogoro hapa ni tatizo tena asije akakuwekea madawa”
“hata mimi nilikuwa na wazo hilo hilo je nyumbani unakaa na nani”
“nipo na wadogo zangu wakike na wakiume”
“kwahiyo takaa kwako au utanipangia”
“kuna kupanga tena hapana utakaa kwangu”
“sawa”

_________________­__­­___________________­_
TULIONGEA MAMBO MENGI TUKIWA iringa mida ya jioni saa10 tulianza safari kufika ipogoro gari ili
pata pancha Tushukuru mwendo haukuwa mkubwa.
Tuli shuka chini nakubadilisha tayri nasafari ikaendelea saa4:30 usiku tulisha fika Morogoro
hatukufikia nyumbani kwa Adams.
“sasa sulee hapa ni morogoro
tumefika hari ya hewa ina ubaridi kidogo”
“kweli kabisa naona”
“sasa naona tufikie gest tulale kisha asubuhi tufike nyumbani”
“sawa tu wewe nimwenyeji wangu”
“ok, Wewe utachukuwa chumba chako na mimi changu”
ALINICHANGANYA SANA SIKUJUWA NIA YAKE NI NINI KWANGU SASA KILA MTU CHUMBA CHAKE CHA NINI WAKATI TUSHAKUWA WACHUMBA.

“sawa “
“sasa sulee una itikia sawa umelidhika kila mtu alale kwake”
“Adams vyovyote sawa”
“mmh ๏๏ sulee twende tuka lale wote sawa”
NIKAMA ALINITEKENYA
ADAMS NILIJIONA NIMEPATA PRESHA YA SEX GHAFLA NILITAMANI TUFIKE KITANDANI HARAKA SANA mwili wangu uliishiwa nguvu kabisa nilitembea huku nikijishikilia begani kwa Adams.
“sulee vip”
“niko sawa”
“kweli sulee”
“yes kwani vipi”
“naona upo tofauti kidogo ghafla”
“wala hisia zako tu”
KAMA ALIJUWA VILI adams wangu AKANIKUMBATIA KIUNONI KWANGU TARATIBU AKAWA ANANIKOKOTA NIKAMA MTU ALIYE LEWA HAJIWEZI

nililewa kwa mahaba niliyo yaona katika hisia zangu nilikuwa navuta picha jinsi Adams atakavyo kuwa yupo juu ya kifua changu namimi ninavyo onyesha maufundi ya kukata nyonga
nilikuwa na waza stayle gani nizitumiye kati mechi yetu.
“Adams Adams najisikia vibayaaa
aaah”
“Nini tena sulee”
Nilijikuta nikimshika mkono
wake nakuutumbukiza ikulu kwangu naye bila ajizi aliipekecha chupi yangu nakutumbukiza kidole chake cha kati katika(……….)
“yalaaa ashii ashii aaah…..

adams aah naumia mpenzi wangu
naomba nitibu haraka nipo mahututi mpenzi”
“ok okkkkky ayaah”
zilikuwa sauti za mahaba katika
chumba hiko furaha ya ngono
ilitawala katika chuma hiko
Sulee alitumia ujanja wake wote
wakumteka kimapenzi Adams
naye Adams alionyesha ufundi
wake wote wakumfanya sulee alizike na penzi lake
hakika mchezo ulikuwa
wanguvu sana Sulee alianza kuchoka kwakuwa alitumia stayle zote za 6by6.

“Asante mpenzi wangu kwakunipa penzi lako tamu sana
hakika wewe ni mwanamke utakae nisuuza Moyo wangu”
“Nami nime furahia sana penzi lako tamu kamaaaa siwezi kufananisha na chochote naweza kusema ni tamu sana Adams”
Walipoa maliza walijilaza
kitandani na usingizi uka chukuwa nafasi yake kwa wote wawili
walilala wakiwa wamekumbatiana.
_________________­__­­___________________­_

Sulee kumekucha nadhani tuka
oge ili tuelekee nyumbani”
“sawa mpenzi wangu ila nimechoka sana kiuno kime kaza sana naomba uni nyoshe”
“ok sawa”
mchezo ulianza kwa dk45
wote walichangamka
walienda bafuni kuoga walipo maliza waliludi chumbani na kuvaa nguo zao na kuondoka.
“hapa ndiyo nyumbani sulee”
“aah panzuri sana mpenzi wangu
hongera sana”
“asante ila hapa tawaacha wadogo zangu mimi tahamia
nane nane najenga nyumba nzuri
kuliko hii”
“ooh Sawa mpenzi sina neno kwako tumuombe Mungu atulinde”
“nikweli yeye ni kila ki
tu”
_________________­__­­___________________­_­_

Tuliingia ndani kwakweli
kulikuwa kuzuri sana tatizo uangalizi mzuri kulikuwa hakuna
vitu vilikuwa holela holela.
“sasa sulee mpenzi ngoja niende ofsini nadhani kila kitu kipo jikoni
uta pika kisha kama kula utakula
mimi tarudi badae naenda kupanga mambo sawa”
“sawa mpenzi wangu”
_________________­__­­___________________

“kaka kisarawe habari za kwako”
“nzuri Adams za huko”
“safi sana wangu kila kitu kimeenda sawa kabisa”
“kweli”
“yes”
“sasa ngoja nikupe siri ya mapenzi
kati ya Mume na mke ndani ya ndoa”
“ipi hiyo kaka kisarawe”
“nikwamba, Jitahidi sana sana
kuwa jirani na mkeo pia kumlidhisha kimapenzi/sex hakika hawezi kutoka nje ya ndoa yako
kabisa punguza ubize mjari mkeo
kabisaa hiyo ni siri ya penzi”
“Nimekuelewa kaka”
“zingatia sana asilimia kubwa sana wake za matajiri wana toka nje ya ndoa zao kwa sababu kuu mbili (1) Kuto pata ukalibu
sana na mumewe mara nyingi wanaume wanakuwa bize sana
mwanamke anataka faraja aliwazwe kama mtoto (2) Wanahitaji sex pale anapokuwa na hamu Mara nyingi wanaume wanarudi nyumbani wamechoka
kiakiri sasa hata wazo la ngono na mkewe wanakuwa hawana kabisa

Mtu akiwa na mawazo hisia huwa zina potea za kimapenzi, nadhani umenielewa”
“kaka somo kubwa sana hili
tafanya hivyo”
“itapendeza sana huo ni uchawi wa mapenzi, kwahiyo yupo nyumbani au”
“ndiyo yupo kaka”
“sasa sijuwi itakuwaje nikionana nae maana itakuwa tatizo”
“kaka najuwa mkionana yeye ata hamaki alafu ata fanya yeye hakujuwi nakama anakujuwa ataonyesha kushangaa kuwa wewe upo na mimi usionyeshe dariri yoyote ya mashaka mchangamkie sawa alafu mimi tamwambia siku nyingine kila kitu
alafu tamwambia nime msamehe”
“yes nalo ni wazo zuri jioni takuja”
“sawa tamwambia kunamgeni ana kuja”
“ok “
“ehee kazi zina semaje”
“kama kawaida katika page zote tatu kunamaombi ya Noah Min, kama 10 tatu mikumi 3 mikese na 4 hapa hapa ndani ya siku 20 ziwe hapa na kuwapelekea nimeongea nao na advansi wame toa milioni5 kila mmoja”

Biashara ya Adams iliongezeka
mara 3 zaidi ya mwanzo alivyo kuwa mwenyewe alifurahi sana
kuwa juu kiuchumi.
“kaka kisarawe nashukulu sana
kwa usaidizi wako”
“usijari Adams na hapa ni nyumba ya nani Ramani yake ni nzuri sana nimeipenda sana kwa kweli
Namuomba Mungu Akinipa pesa tajenga kama hivi..

“KAKA kisarawe mambo madogo sana haya unaweza kupa nawala
usiumize kichwa chako”
“Ndoto hizo Adams”
“wala siyo ndoto ni kweli unapo fanya kazi kwa bidii na ukiwa na malengo kichwani hakika uta weza kufanikisha ndoto zako”
“sidhani kama ni kweli wengi wetu hukata tamaa haraka sana
kabla ya kujalibu jambo”
“hapo ndipo tunako kosea”
Kisarawe na Adams walizidi kuongea huku wakikagua
mazingira ya nyumba hiyo
nzuri sana ya kisasa.
“Fundi hapo bado nini na nini”
“Nadhani bado umeme na
bustani tu kila kitu kiko tayali kabisa”
“vizuri umeme kesho wanakuja nimeongea nao leo”
“sawa”

Kisarawe hii ni nyumba yako naomba nikukabizi kutoka Moyoni mwangu ni zawadi yangu kaka”
“Eeh eeh Mimi”
“yes wewe”
“siamini kabisa ooh Mungu wangu asante sana kwakuonyesha njia hii iliyo bora kwangu, kaka Adams asante sana”
“asante wewe kaka maana ume niwezesha sana kupata mafanikio hapa nilipo yamekuwa kwa kiwango kikubwa sana”
“hapa ni mwanzo tafanya kazi kama kazi yangu sitajari kama kazi siyo ya kwangu na Mungu ata saidia”
“ok twende nyumbani ukaonane na Sulee sasa naomba heshima iwepo kwani huyo dada nampenda sana”
“sawa taonyesha bila wasi wasi yazamani yame pita”
_________________­__­­___________________­

Karibu sana kaka, baby baby
kuna mgeni”
“naja sweet”
Nilipo ingia sebuleni nilipatwa na mshtuko nili simama lakini kutoa hofo kwao nili geuza nyuma
nakwelekea moja kwa moja mpaka
kwenye friji nakutoa jagi lamaji na glasi nakwenda nayo na kuweka mezani.
“pole nakazi Mume wangu”
“asante sana za hapa”
“nzuri tu, karibu mgeni za kwako”
“salama sana za hapa”
“safi tu tupo”
“asante shemeji”
“baby wangu huyu mgeni anaitwa kisarawe alikuwa ni dokta sasa ni msaidizi wangu katika kazi zangu za kibiashara,

kaka kisarawe huyu ni shemeji yako anaitwa sulee naombeni heshima iwepo kati yenu wawili sawa”
“sawa Adams bila shida yoyote, shemeji karibu sana Nipo nae mr wako hapa ni mwaka na nusu sasa tupo kama ndugu”
“asante shemeji kwakukufahamu,
naombeni mniluhusu nipo na pika jikoni”
“sawa lakini takutafutia mfanyakazi sawa”
“sawa mpenzi wangu”
Baada ya kuongea maongezi hayo pande3 zote walikula chakula nawalipo maliza kula Kisarawe aliondoka nakurudi kwake.

“sasa unaweza kuhamia katika nyumba ile sawa kuna vutu nime kupelekea pale unapo kaa kuna kijana anakuja kukaa mfanyakazi
wa nyumbani atakuwa anafanya kazi kwangu lakini ku lala atalala pale”
“sawa asante sana Adams sikutegemea kabisa”
Maisha yali songa mbele Adams akajenga nyumba nyingine akawapeleka wadogo zake kukaa uko.
“Adams mpenzi wangu”
“naam”
“una nipenda kweli”
“ndiyo tena sana”
“sawa asante nadhani hauta nificha nikikuuliza”
“yee yes yes”
“kisarawe ukoje nae au ulimpata wapi”
“mmh ni mfanyakazi wangu”
“kweli alafu ulimpata wapi”
“tulikutana oficeni kwangu, kwanini unauliza hivyo”
“hana jina lingine”
“sitambui ,mbona maswali hivyo kuna nini”
“kama namkumbuka vile”
“wapi ulionana nae”
“kama dar vile”
“labda umuulize ata kujibu”

Mpenzi wangu Adams siyo Majibu
hayo kama nimekukosea Nisamehe”
“No no hapana upo sawa
Mpenzi wangu unakila sababu yakuniuliza jambo lolote
kama linanihusu, ila kuhusu mambo yote naomba muulize
Yeye mwenyewe kisarawe atakujibu Mimi sijuwi”
“sawa mpenzi wangu”
Tuliacha Maongezi hayo tulianza kuongea story zingine za maisha
yetu jinsi itakavyo kuwa mbeleni
siunajuwa Maisha yalivyo magumu.
_________________­__­

Maisha ya Monica na mwanae yalikuwa yakawaida sana japokuwa alipewa msaada na mama yule lakini msaada uli simama baada ya Mama yule kupata ajari ya gari akielekea Arusha na kufa papo hapo

Naomba Bonyeza Matangazo Kila Unapoyaona ili Kunipa Nguvu ya Kuendelea Kuwaletea Simulizi
USIKOSE SEHEMU INAYOFUATA

Chapisha Maoni

0Maoni
Chapisha Maoni (0)