MTAA WA TATU (15) - CnZ Media

CnZ Media

Jisomee Simulizi Mpya Kila Siku

Jumamosi, 20 Juni 2020

MTAA WA TATU (15)

UMEWAHI KUONA AU KUSIKIA KUHUSU PICHA ZA AI?
Sasa naomba nikufundishe bure kabisa nawewe uzitengeneze kirahisi kabisa

Mwandishi: Hafidhi J Ikram

SEHEMU YA KUMI NA TANO
Baada kunipiga alimuuliza hivyo mama wa kambo basi akatoka jikoni akiwa kashika
mwiko akaja kunichapa nao.

NIOMBE SAPOTI, BONYEZA TANGAZO LINALOKUJA NA KUJAA KWENYE SIMU YAKO WAKATI UKIFUNGUA SIMULIZI AU LILE LINALOKUWA KATIKATI YA SIMULIZI ZETUKABLA HAUJAIFUNGUA NDANI, PIA KUNA LILE LINAKUJA NA KUNG'ANG'ANIA HAPO CHINI, BONYEZA WALAU MARA 3-4 HIVI HIYO NDIO SAPOTI YAKO KWANGU, TAFADHALI NIPE NGUVU NAKUTEGEMEA SANA MSOMAJI WANGU
SASA ENDELEA...
Hakuchaguwa sehemu ya kunipiga
popote pale mwiko ulitoa iwe kichwani, usoni, nikapiga kelele kwa maumivu na kukimbilia nnje
Baba akabaki kucheka tu,
Nikaja kujirahumu kwa kumpa sifa za pekee baba yangu
kumbe kageuka kuwa mnyama hafai hata kidogo kwenye jamii
nikaanza kuteswa shule ikawa ndio basi tena kimbilio pekee nikaenda kushitaki kwa
Shangazi nikampa full story
shangazi akaja kumsema kaka yake mbele ya mama wa kambo
Baba akapaniki na kumpiga Dada yake kama vile hamjui kibaya zaidi akamuitia kelele za mwizi
Shangazi alipigwa na wananchi mpaka kufa
niliogopa sana,
mpaka hapo Hafidhi akadondosha mchozi"
Wakati yule binti akitoa full
kwa Hafidhi
ndani ya mtaa wa kwanza sijui wapili hali ilikuwa mbaya
baada mzee Juma kutia team
kwa ushenzi kaja na Helicopter ya kijeshi
akiwa na kikosi kizima
cha kata funua kamua mavi,
hakika wakazi wa maeneo hayo walijuta kumfahamu
Mitaa ilifungwa vijana walikamatwa
baada kutoka hapo safari
mpaka kituo cha polisi kwanza
Polisi wote wakashtuka kwa ujio wa mkuu wa majeshi kuvamia kituo hiko
tena na Helicopter ya kijeshi
sijui kafata nini.
Baada kuingia ndani ya kituo hiko akasema
“ndugu zangu, vijana wangu
sijaja hapa kwa shari wala nini
nimekuja hapa kwa nia moja namtaka
mwanangu.
Nafahamu mnajuwa wapi alipo nipo hapa kumngojea yeye niondoke nae
mleteni haraka",,,
Kila polisi akabaki kukodoa
macho mmoja akauliza
“Kamanda mbona huyo mwanao sisi hatumfahamu" mzee
J Ikram akageuka na kumwambia kijana mmoja
“embu wape picha haraka sana"...
Picha ikatolewa polisi walipoiyona tu wakatambua ni yule muuwaji
kumbe mtoto wa mkuu wa majeshi mbona balaa, mzee
J Ikram akasema
“sasa mimi naenda vijana wangu
hakikisheni mwanangu anapatikana vinginevyo sijui itakuwaje"....
Akatoka na kuingia kwenye
Helicopter na kusepa eneo lile.

“sasa hii ishakuwa balaa si mchezo tukizubaa kutanuka hapa,
Yani kumtafuta mwanae tu kaja kama vile anaenda Vietnam bwana"..

“usikute ndio mtoto wake wa pekee ni kama mboni yake,
Lakini yule kijana hatari sana karithi kila kitu kutoka kwa baba yake maana anapiga si mchezo"
Wakati kituoni kukinuka
Hafidhi alikuwa bado amekaa na
Habiba akizidi kumbembeleza asilie
yani Shangazi yake kauwawa bila hatia masikini ya
Mungu
“kaka inauma sana hii yani
Shangazi hata miezi sita bado tokea ajifunguwe watoto wawili mapacha
Akaja kunitetea mimi pasipo kufahamu kama ana kifata kifo chake.
Laiti kama angepewa nafasi ya kujitetea
Shangazi yangu asingekufa kinyama vile,
Mumewe alikuja huku analia
akiwa kawabeba vichanga wale wawili
Ndipo wananchi wakafahamu wamefanya makosa kumuuwa shangazi
nililia sana tena sana baba
Akajirahumu hatimae tukamzika shangazi
Mumewe akauza ile nyumba na kuondoka eneo lile sijui alihamia wapi
nakumbuka mara ya mwisho alisema
“Habiba mwanangu sitokaa kamwe nikasahau hilo,
Sitoweza kumsamehe baba yako mpaka naingia kaburini
Dada yake mwenyewe damu moja, ametoka kijijini kukimbia matatizo
Tukampokea kwa mikono miwili
yeye na familia yake.
Alionekana mpole mcheshi mzuri wa tabia kumbe
ni chui aliyejivika ngozi ya kondoo
One day tutakutana"....
Tokea siku hiyo sikuweza kumuona tena Mjonba hata nilipoenda nyumbani kwake nikaambiwa nyumba imeuzwa"..
Kaka nasikia njaa
Habiba aliongea hivyo.
Hafidhi akamwambia nyanyuka twende
akasema hakika siwezi kutembea
kitendo cha kusimama tu
Damu zikaanza kuchuruzika chini
Harufu mbaya ikazidi mpaka
Hafidhi akapiga chafya akaona isiwe tabu.
Akambeba na kuondoka nae njia nzima watu wakabaki kumshangaa
Damu ya hedhi ilikuwa inamdondokea mwilini mwake,


Hafidhi hakujali wale wanao mshangaa
hata hakujisikia vibaya kama damu inamchafua mavazi yake.
Akaenda nae binti yule moja kwa moja mpaka kwa Zuwena
au mama Asia ile anaingia nae tu uwani na kukuta umati wa kina mama umejazana pale
huyu anapika yule anamsuka mwenzake,
sijui mwenye kufuma kitambaa
kila mmoja na kazi yake.
Wengine wapo spesho kwa ajili ya kupiga umbea tu, kila mmoja akashtuka na kuziba pua zao,
“baby mbona hivyo unaenda wapi na huo mzoga? tafadhali urudishe ulipo
utoa please nakuomba"...
aliongea hivyo mama Asia akiwa kaiziba pua yake,
Hafidhi akasema maneno haya kwa hisia kubwa sana,
“hakika ulimwengu unashangaza sana
naweza kusema dunia ni mbaya
kumbe sivyo, walimwengu ndio
wabaya leo hii
Binaadamu anamwita binaadamu mwenzie ni mzoga inauma sana hii
sijui angekuwa ndio mwanao au ndugu yako
yupo katika hali kama hii ungemuitaji
naomba niwambie kitu
Dada zangu, mama zangu huyu binti
si wakuachwa hivi"....
Hafidhi akawapa full story japo kwa ufupi
kila mmoja machozi yakamtoka wakaacha kuziba pua zao na kuja kumbeba
Habiba wakampeleka chooni
kumuogesha
Hafidhi akakaa kwenye benchi
moyoni mwake akiwa na hasira
sauti ya Habiba akilia kule
chooni bila shaka walimsugua kwenye vidonda. Maji yenye kuambatana na damu
yalionekana yakichuruzika
ikawa mara katoka
huyu kachukuwa sabuni na kwenda nayo
Chooni akatoka
mama Asia na kuingia tena chooni akiwa na sufuria ya maji ya moto, kila mmoja alijitolea
historia ya binti yule iliwagusa sana.

shukhuri iliyochukuwa takribani nusu saa ndio wakatoka nae chooni
“mmh kweli nimeamini dunia haina utu
yani yule mama kujifanya mswali sunn
Swala tano ndio kamtendea hivi
mtoto wawatu? yani hatamaniki
kumtizama mara mbili
na asiombe kesho kwenye swala ya
Ijumaa nitamchana live.
Tena ndani ya msikiti mbele ya waumini wote shenzi zake"...
Aliongea hivyo mama Asia akiwa
na hasira kisha akamwambia
Hafidhi
“baby pole sana pia shukrani kwa kutuzibua masikio na macho,
maana huyu binti tulikuwa tukimpitia mbali baada kutangaziwa ni mchawi
eti ndio kamuuwa mama yake na
wadogo zake"....
Hafidhi hakuongea kitu binafsi alikuwa yupo mbali sana kimawazo.
Akajisemea moyoni mwake
“Habiba kuna mengi naitaji kuyafahamu kutoka kwako
naitaji kuisoma hiyo barua niweze.
kufahamu nini alichokiandika mama yako
nikifahamu ukweli wote
dunia itanitambua
Shenzi zao nitafyeka wote sitojali nani wala nyani. Kama unyama wacha iwe hivyo.
Wakati akiwaza hivyo akashikwa mkono kwa kuambiwa
“baby twende ukaoge basi"
Mwanaume nae akaenda kuogeshwa
miguno ikasikika chooni
Asssssss,,,,,,ohoooooo,,,,,mmmmm,,,,
Hafidhi Dudu lake lililokwisha anza kusimama
Zuwena akalishika
na kulibugia mdomoni.
Dudu hilo liliingia
mdomoni
nusu,
ambapo lilileta msisimko kwenye kulinyonya,,,aaah,mmmmh,,,aaaah,,,
Mwanaume
alilalamika ambapo unyonyaji wa Zuwena ulikuwa na raha ya ajabu
tofauti na kina
Beatrice, Zay,
Zulfa
aliokwisha wahi kukutana nao. Alihisi kama anataka kuwa
Spider man
Apae juu, akajisemea
Kweli wakubwa wanafaidi sio mapenzi ya vijana shombo tupu.
Joto likawa linapanda kwenye dudu lake na kumfanya asisimke kwa kuweweseka kama mgonjwa wa homa.
akabaki kuchuchumalia vidole si alisimama
Zuwena
akalinyonya dudu kwa ufundi hasa ambapo kuna mahali ilifikia iliutoa ulimi wake na kuanza kucheza na kichwa cha dudu,,,mmmmh,,,aaaaaaah,,,,mmm
mh,,,,alilalamika Mwanaume kwa muda kidogo huku akiinyoosha miguu yake ambapo aliongezea kwa kuyachezea mayai mawili yaliyokuwa chini ya dudu lake kwa kuyaminyaminya na mikono yake laini,,,,,,
“mmh
yani hawa nao kila muda wanataka kusuguana tu, tena mchana
kweupe chooni duhuu"...

“wee Mariat usiongee kwa sauti akikusikia atakupa notice uhame,
Kwanza mapenzi popote muda wowote"....

“embu sikia hiyo itakuwa kakalia dudu huyo,
Walikuwa ni mabinti wanaoishi nyumba hiyo
basi baada kusuguana vya kutosha
wapendanao wakatoka chooni.
Hafidhi akatupa jicho huku na
kule kucheki wambea kibao, kuna binti mmoja akamminyia jicho
Hafidhi huku akijiramba midomo
Ammmm,
Mwanaume nae akamkonyeza na kuingia ndani,
Basi siku hiyo
Habiba akaveshwa mavazi mazuri akapikiwa chakula akala na kuomba kupumzika
yapata kama saa mbili usiku hivi
Taarifa ya habari kutoka kituo cha
ITV ikatangaza kupotea kwa kijana
Hafidhi j Ikram inasadikika alikamatwa kwenye vurugu zilizotokea
huko mitaa mitatu
akafikishwa kituo cha polisi
Ajabu akafanya jalibio la kutoroka na kumuuwa
Kostebo Inno kijana huyo kumbe ndio mtoto wa mkuu wa majeshi bwana
J Ikram hii ndio picha yake
Hafidhi akataka kuzima TV
Ajabu
Zuwena akasema “hii jamani kijana handsome kumbe kauwa"
Hafidhi akadakia
“Hendsome kama mimi ehee".....
“hamna bwana wewe umezidi kuwa handsome
akufikii hata kidogo"
Hafidhi akashikwa na mshangao mbona yule kwenye TV ni picha yake,
au itakuwa bibiye haoni vizuri nini?
Usiku ukapita kesho yake
Asubuhi
Hafidhi akaogopa kutoka hata nnje sema
sauti ya kama ugomvi hivi.
ikamfanya atake kufahamu huko nnje kuna nini ikabidi atoke tu
na kukuta mama Asia
akipigwa makofi kama vile mtoto mdogo
alikuwa kalala chini akiomba msamaha,
“Kidevu nisamehe sitokufata tena
kukwambia udeki choo
Pwahaa,,akapigwa kofi lingine
mpaka akaenda chini na kuramba mchanga yule jamaa sijui ndio Kidevu
akafoka kwa kusema
“sikieni nyie watoto wa malaya shenzi zenu
Kidume kama mimi siwezi kudeki choo
wala kufagia uwanja, huyu
malaya analeta mdomodomo
kisa mama mwenye nyumba.
Kwanza hii nyumba au banda mamaye zenu mabwege wote,
huu ni mkono wa bati fala yeyote akiingia kwenye mkono huu
mabwege wenzake wakachimbe kaburi"
Hafidhi akaanza kucheka yani
alicheka sana
wakati umati wawatu ukiwa kimyaa
jamaa ni kweli anatisha vibaya mno.
“wee malaya nani amekwambia ucheke ushaniona Mimi comedian sio?
Hafidhi hakujibu kitu
mkono wake wa kushoto kaanda ngumi ya maana kwa jinsi
alivyo ikunja mpaka mishipa yote
ya mkono inaonekana.
Kidevu akafanya kosa kumsogelea
si akataka kumkunja ile kanyoosha mkono tu
Mwanaume akaudaka na kumpiga ngumi moja nzito ikatua
Mdomoni mwa yule jamaa
akayumba mwanaume
akaruka samasoti kama nyani na kumbetua kifuti cha kifua
Hakuna aliyeweza kuamini Aisee
jinsi
Hafidhi anavyo piga mapigo ya hatali
Kidevu akaenda chini akajizoazoa na kuinuka.
Hafidhi akamwita kwa dharau
“njoo binti yangu, come on
mrembo"......
Jamaa akaja na kupiga ngumi hovyo hovyo
Mwanaume alikuwa anapachi na kukwepa huku akimchepua za chembe.
Dakika si nyingi jamaa yupo hoi
Akapiga magoti chini huwezi kuamini
mbavu nene kadebweda
Hafidhi akamshika kichwa na kusema
ukubwa wa mkate usikutishe
dawa yake chai tu unanywea
Haya baby njoo umpige makofi kisha akadeki choo
ikawa kama fisi kaachiwa bucha
Mama Asia akaja kwa hasira zote na kumpiga makofi ya nguvu na matusi juu,
“mtoto wa malaya wewe shenzi zako
yani alimpiga hadi ngumi za mdomo.
Watu walicheka na kusema
Kidevu leo kawa kitobo anachomwekwa tu, baada hapo akaenda kudeki choo
kisha akafagia uwanja
Akachukuwa takataka na kwenda kuzimwaga shimoni

NAOMBA SAPOTI, KUNA MATANGAZO(ADS) YANAJITOKEZA KWENYE APP YETU, LIMOJA LINAJAA KWENYE KIOO CHAKO JINGINE LINANG'ANG'ANIA HAPO CHINI KABISA, BONYEZA JAPO MARA 2 AU 3 KILA UKIFUNGUA SIMULIZI HIYO ITANIPA NGUVU YA KUENDELEA ZAIDI NA SIMULIZI ZETU🙏🙏

TAZAMA KICHEKESHO HIKI KISHA BONYEZA SUBSCRIBE ILIYOPO CHINI YAKE WAKATI TUKIELEKEA KWENYE MUENDELEZO



USIKOSE SEHEMU YA KUMI NA SITA

Maoni, Ushauri na Chochote Share Namimi Katika Mawasiliano Haya:
+255 718 274 413 Ipo WhatsApp
+255 764 339 438
ZephilineEzekiel@Gmail.Com

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni