MTAA WA TATU (17)
Zephiline F Ezekiel
6 min read
SEHEMU YA KUMI NA SABA
“Kwanini usiipate?"
Hafidhi akauliza hivyo,
“siruhusiwi kuingia ndani ya chumba kile tokea mama yangu afariki kile chumba nikanyang'anywa na kuambiwa niwe nalala stoo"
NIOMBE SAPOTI, BONYEZA TANGAZO LINALOKUJA NA KUJAA KWENYE SIMU YAKO WAKATI UKIFUNGUA SIMULIZI AU LILE LINALOKUWA KATIKATI YA SIMULIZI ZETUKABLA HAUJAIFUNGUA NDANI, PIA KUNA LILE LINAKUJA NA KUNG'ANG'ANIA HAPO CHINI, BONYEZA WALAU MARA 3-4 HIVI HIYO NDIO SAPOTI YAKO KWANGU, TAFADHALI NIPE NGUVU NAKUTEGEMEA SANA MSOMAJI WANGU
SASA ENDELEA...
“ok! usijali kuhusu hilo niambie tu umeiweka sehemu gani?"
basi Habiba akataja sehemu aliyo hifadhi hiyo barua
Mwanaume akasema kila kitu niachie mie.
Ndani ya mtaa wa tatu kulikuwa na furaha
baada mitaa yote kuungana na kuwa kitu kimoja heshima ikawekwa
Kamanda
Chollo akasimama juu ya steji na kuongea machache
“kwanza shukrani kwa Muumba wa mbingu na ardhi kwani bila yeye tusingeweza kukutana hapa shukrani kwa shujaa wetu kamanda wetu
Hafidhi j Ikram popote alipo heshima kwake
piga keleleee na hii ndio zawadi yangu kwake DJ nipe beat
??nipeeeee beat nizibitiiiii walisema hatupitiiiiii".....wakuda tukawazibitiiiiii"....Leo tumekuwa kitu kimooooja??heshima kwako
Hafidhi j Ikram tulitamanii kukuona ukitabasaam"....
Basi rudi nyumbaniiiiii kila kitu tushakitia kapuniiiiii kakaaaaaa".......
Watu weweee
unajuwa babaaaa
lete song"......
Hakika ilikuwa furaha sana kila mmoja alipanda stejini kucheza na kuimba
Salma simu yake ikawa inaita kutokana na ubize wa kuwa kwenye
Shukhuri akaipotezea
simu ikaita mpaka ikakata ikaita tena akaitizama number ngeni
Baada kuipokea akakata na kusonya kisha akaendelea kucheza ikaonyesha mpigaji ana shahuku ya kuongea na
Salma, basi
akapiga tena ndipo
Salma akapokea kwa dharau
akauliza
“unasemaje?"
Sauti aliyoisikia ikamfanya mwili utetemeke kidogo
akatoka mbio kwenda nyumbani kwao huku akipaza sauti kwa kusema
“kaka Hafidhi kapiga simu"....
ikawa kama fungulia mbwa
kila mmoja akamkimbilia akafika kwao na kumpa simu baba yake
Ikawekwa loudspeaker kila mmoja asikie.
Watu wote kimyaa hata mziki ulizimwa.
“halloo Ankor vipi hali yako baba?"
“ha!ha!ha!ha!
Ankor bwana mi mzima hofu kwenu tu vipi bado mitaa inasumbuwa au?
“si wazima wa hafya huku kila kitu kimekwisha na leo tunasheherekea kuungana kwetu baba"....
“vizuri sana kama imekuwa hivyo waambie hawo wapangaji wako walipe kodi kusanya madeni yako yote Ankor"
“sawa Ankor kwani uko wapi rudi nyumbani kazi tayali ishapatikana unasubiliwa wewe"
Hafidhi akasema hivi kila mmoja akabaki kinywa wazi sijui hakutambua kama simu imewekwa Loudspeaker"....
Kila mmoja akabaki kinywa wazi ni kauli ambayo hata sisi hatukutakiwa kuifahamu zaidi ya wale waliosikia.
Ankor wake akakata simu huku kijasho chembamba kikimvuja akasema
“vijana kama mlivyoweza kusikia kamanda wenu alivyoongea, ndivyo itakavyokuwa.
Na sisi hatuna budi kumuombea
huko alipo afanye kile
ambacho anataka kukifanya, nyie endeleeni na Sherehe wacha nijiandae kumpelekea vitu vyake".....
Ankor wake akaingia ndani
dakika si nyingi akatoka na kuchukuwa pikipiki na kuondoka zake japokuwa sherehe iliweza kuendelea furaha
aikuwa kubwa sana kila mmoja akajiuliza
kwanini Hafidhi anataka kufanya kitu kama
kile. Sijui ni kitu gani,
Tandika mabatini ndio sehemu ambayo walikutana mtu na
Mjombaake basi wakakumbatiana kwa furaha wakaweza kukaa sehemu na kuongea mawili matatu
“Hafidhi mwanangu kwanini unataka kutenda kitu kibaya kama hicho?
Hivi huwoni kama utakuwa unamkosea
Mwenyezi Mungu kwa kiasi kikubwa".....
Ankor wake akaanza kumwambia hivyo
Hafidhi, nae akajibu
“hapana Ankor hiki ninachotaka kukifanya mimi sio makosa
kumbuka dunia kuna watu wanaishi kiunyonge sana.
Embu tizama wale ombaomba mitaani wanamsaada gani, hivi
Ankor ushawai kumuuliza ombaomba kwanini anaomba?"
“hapana sijawai na sifikilii kufanya hivyo"
“kwanini hufikilii kufanya hivyo subiri nikwambie kitu
Ndani ya dunia hii kuna binaadamu tumepewa vipawa yani
Elimu, kama uliweza kupata bahati ya kwenda kusoma American kuna watu hawana uwezo huwo basi wapatie.
Mimi kipaji changu ni fighting ni mpambanaji wacha nipambane niwatetee wanyonge
kila mtu nitamsaidia,
Kadri ya uwezo
wangu wote yani
nitakavyoweza hata nikifa
nife kishujaa"....
“ndio unataka kuwatetea, wanyonge sikatai watetee lakini usiuwe kama ulivyosema"
Ankor".....
Hafidhi hakutaka kuongea sana
zaidi ya kuinuka akachukuwa begi lake na
kuondoka, akamuacha
Ankor wake akiwa kashangaa tu
Ghafla wazo la kumfatilia likamjia haraka akapanda kwenye pikipiki na kuanza kuifata
Daladala kwa nyuma.
Mdogo mdogo
Hafidhi nae kwa kuzuga kapanda daladala
inayokwenda
Ubungo tandika basi daladala ikafika mpaka buguruni
ikasimama watu wakashuka safari ikaendelea Ankor alikuwa makini sana
Hafidhi asije kumpotea kizembe.
Kumbe mwenzake alishatambua kitu kama hicho kitatokea tokea kule
Tandika akafanya kama kuingia ndani ya gari faster akashuka kupitia dirishani na kumuacha konda akitukana.
Wakati Ankor wake akiifatilia ile gari
yeye akabaki kucheka tu, na kuingia ndani ya
Daladala nyingine na kusepa eneo lile hakika ilikuwa chenga ya mwili
kwa mtu mzima.
“whaoo my dear my Sweet huyoo
Zuwena alienda kumpokea
Hafidhi bagi na kuingia nalo ndani
“hivi baby siwezi kupata chumba cha peke yangu?"
Hafidhi aliuliza hivyo mpaka Zuwena mwenyewe akashangaa,
“baby unataka chumba cha peke yako kivipi?
umechoka kulala na mimi au?"
“hapana baby kuna kazi nataka kuifanya na hiyo kazi ni kwaajili ya
Habiba mimi na wewe tutalala kama kawaida hata wala usijali"...
“basi sawa kama hivyo nitakupa hiko chumba sema nikitaka tu kuchokonolewa nakuja ehee?"
“ndio wee njoo tu hamnaga shida"
Basi wakakumbatiana na kuanza michezo yao tekenya nikutekenye
“ha!ha!ha! yani huyu mtoto kweli commando
kumfatilia hadi huku mawasiliano kumbe ndani ya gari hayupo
dahaa",,,,,,
Ankor wake akabaki kucheka tu na kumuuliza konda “inamaana
akashukia dirishani sio?"
“ndio yani kaingia akajifanya kukaa kwenye siti faster akatokea dirishani
nikamtukana"....
“dahaa pole sana kijana yule ni kijana wangu"
Konda nae akacheka na kusema
“hata wewe mzee wangu pole yani umefata gari ukifahamu yupo humu kumbe holaa"...
Baada kupita siku kama tatu hivi tokea
Hafidhi aombe kupatiwa chumba chake
basi akapatiwa chumba cha uwani kama alivyotaka yeye mwenyewe"...
Ndani ya kitaa hicho kulikuwa na kigodoro
kama ujuavyo uswazi kukiwa na kigodoro vijana kwa wazee walijazana pande hizo
Mabinti walijazana na kubinua makalio yao kwa kukata viuno
kulikuwa na vikundi kama viwili vya madada wakijishebedua.
Wakati Hafidhi a.k.a mzee wa nyapu hakuwa mbali na eneo hilo na yupo maeneo hayo spesho kwa ajili ya kumuwinda
Salome ni binti ambaye ni mmoja
kati ya watoto wa mama wa kufikia na
Habiba
“ebwanaee muone Salome jinsi anavyo
pagawisha na mitako yake, yani anazungusha kiuno utasema feni
mbona balaa hili!"
“wewe acha kuwa na macho ya makengeza hayo mtizame Shani na Jenny kule nini
Salome mbona wa kawaida tu yule!"
“toka zako embu niambie
Agogo unamuonaje Salome jinsi alivyo?"
yalikuwa mabishano baina ya vijana fulani kila mmoja akivutia kwake.
Huyu anasema
Salome yuko juu kwa kukatika kuliko wenzake mwingine anasema
Shani na Jenny ndio noma
mabishano yote hayo
Mzee wa nyapu macho yake hayakubanduka kwa bibiye Salome yani
mtoto alikuwa akikatika mpaka shanga zinaonekanika.
Wakati huo DJ kaweka nyimbo ya
Sema nao kutoka kwa Diamond platnamz
akimshilikisha bibiye
Khadija Omary Kopa hivyo viuno sasa mpaka wanaume wakabaki kutokwa na udenda wa uchu
kikaja kitu sugua gaga kutoka kwa bibiye
Shaa funika bovu Chura wa Snura
“baby twenzetu basi ukanipe
mwenzako sijiwezi kabisa"...
“mi sitaki wee Mwanaume gani huna hata shilling, kama vipi nipe
Pesa yangu kabisa ndio tukamalizane"....
“Ahaa Ashura ndio mambo gani hayo kumbuka mimi ni mpenzi wako yani unafanya kama vile unaniuzia.
Wakati nachovya tu kisha nakiacha"..
Jamaa aliongea hivyo huku akitowa
wallet mfukoni na kuchomoa noti ya
Shilling elfu tano na kumpatia Ashura
“yani unanipa elfu tano tu, kama vipi kampe
Shani yule kulee mi sitaki"
“ahaa baby usinifanyie hivyo mwenzako
nipe japo kiduchu nisije kupiga puchu
mbona nikiwa na pesa nakupaga nyingi tu"...
Yani kitu nyege mbaya sana
jamaa akabembeleza na kuambiwa
“haya twende unapiga kimoja tu basi"
Wakaongozana mpaka kwenye
mjumba fulani hivi hauko mbali na maeneo hayo.
Wakiwa wameingia humo ,Jamaa alimshika kidevu Ashura na kumgeuzia upande wake ambapo Ashura mwenyewe alielewa
kila kitu basi
aliyafumba macho yake na kupanua lipsi za midomo yake iliyolegea,,midomo ilikutana kisha wakaanza kunyonyana denda,mkono wa Jamaa ulifika kwenye kiuno laini cha bibiye na kukutana na Shanga ambapo Ashura mwenyewe alipoguswa alishtuka kidogo huku akivuta maneno,,sssssss
ssssssssssss,,mmmmh,,,vidole vya Jamaa viliingia kwenye khanga moja na kuishusha yote ambapo,vidole vyake vikawa vinayashikashika matako yake,,
Dakika mbili kila mtu alikuwa kama
Walivyozaliwa,
yani hawakujali kama wapo kwenye mjumba.
Ashura akatandika kanga chini
kisha dera lake na nguo za jamaa akafanya kama mto.
Jamaa alikuwa na dudu la maana,lakini halikumshtua sana Ashura aliyekuwa anajiamini.
Jamaa
akamlaza bibiye chali na kuanza kumnyonya Chuchu zake.
Ama kweli mtoto alikuwa anajua kuitikia mapigo ya utamu,ulimi wa Jamaa ulipozigusa Chuchu zake kule kwenye ncha kabisa alishtuka na kukipandisha kifua chake juu huku akito miguno ya kimahaba,,,,aaaaaaaaaah,,,,sss
ssssssss,,,,ooooooooooooh,,alijibana midomo yake kwa meno kwani ilikuwa ni utamu ulimi ulipokuwa unazinyonya Chuchu hizo kwa ufundi hasa zote mbili kwa zamu
Assssss,,,,,ohooooo,,,,,,ahaaaaaammmm
Ngosha ingiza dudu bwanaaaa,,,,aaaaaahaaaa
Ashura aliongea hivyo akiwa kazidiwa na minyege,
Tuachane na huku twende kule kwenye kigodoro ilikuwa yapata saa mbili usiku
mziki ulikuwa umepamba moto.
Watu wakazidi kuongezeka
Hafidhi akiwa amekaa kwa mbali kidogo akichezea simu yake
kuna mtoto akapita mbele yake, akamwita
“wee dogo"
Yule mtoto akasimama na kuuliza
“unasemaje kaka?"
“si unaenda kule kwenye mziki ehee".....
“ndio naenda huko kwani vipi?"
Hafidhi akatoa noti ya shilling elfu mbili na kumpa yule mtoto huku akimwambia
“shika hii ya soda naomba kaniitie yule
Dada aliyeshika chupa ya bia"
Haraka akapokea pesa na kuuliza
“unasema yule Salome au?"
“ndio huyohuyo
Salome nenda kamwite basi"
“akiniuliza anaitwa na nani nimwambiaje?"
Hafidhi akujibu kitu akabaki kimya
dogo akaondoka hakuchukuwa sekunde nyingi akaja akiwa kamshika mkono
Salome na kusema
“kaka mtu mwenyewe ndio huyu"
Kisha akakimbia kwenda kwenye mziki
“wee Chande wewe nyoko zako yani umeniacha peke yangu".....
Salome akaongea hivyo kwa kupaza sauti wakati Chande ameishia zake
Akamgeukia Hafidhi na kumsalimia
“mambo vipi?"
“poa tu"
“naona umekaa huku peke yako wakati vijana wote tupo kule tunachangamsha damu"
NAOMBA SAPOTI, KUNA MATANGAZO(ADS) YANAJITOKEZA KWENYE APP YETU, LIMOJA LINAJAA KWENYE KIOO CHAKO JINGINE LINANG'ANG'ANIA HAPO CHINI KABISA, BONYEZA JAPO MARA 2 AU 3 KILA UKIFUNGUA SIMULIZI HIYO ITANIPA NGUVU YA KUENDELEA ZAIDI NA SIMULIZI ZETU🙏🙏
TAZAMA KICHEKESHO HIKI KISHA BONYEZA SUBSCRIBE ILIYOPO CHINI YAKE WAKATI TUKIELEKEA KWENYE MUENDELEZO

USIKOSE SEHEMU YA KUMI NA NANE
Maoni, Ushauri na Chochote Share Namimi Katika Mawasiliano Haya:
+255 718 274 413 Ipo WhatsApp
+255 764 339 438
ZephilineEzekiel@Gmail.Com
Maoni, Ushauri na Chochote Share Namimi Katika Mawasiliano Haya:
+255 718 274 413 Ipo WhatsApp
+255 764 339 438
ZephilineEzekiel@Gmail.Com
Chapisha Maoni
Chapisha Maoni