Notifications
  • MWALIMU MKUU (6)
    Jina: MWALIMU MKUUMtunzi: __SEHEMU YA SITAILIPOISHIA...Hatimae rameki alipata nafuu alizinduka Mama ake alifurahi kumuona mwanae akiwa amepata fahamu“””Eeeee mungu kweli umesikia kilio changu asante sana(uku alifurahi)pole mwanangu””IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈ENDELEA...“”Asante mama”alijibu ramekiMama rameki na mama loly walirudi nyumbani kumchukulia rameki chakula kwani tangu asubui akupata mlo.*********Upande wa bi sani alifurahi…
  • MWALIMU MKUU (5)
    Jina: MWALIMU MKUUMtunzi: __SEHEMU YA TANOILIPOISHIA...Mama roly alivyosikia rameki anataka kumwaga alimtema yule nyoka na kumficha pangoni mwake, rameki alimpambu mama roli kwa kasi ya ajabu kama ndege ya vita ikimbiavyo angani“Ramekiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!! tombaaaa”rameki na mama roli walipiga madafu kama manne “heeee rameki siamini???!!”IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈ENDELEA...“kwannn??”rameki aliuliza“DUDU LOTE HILI…
  • MWALIMU MKUU (4)
    Jina: MWALIMU MKUUMtunzi: __SEHEMU YA NNEILIPOISHIA...Mwalimu mkuu alistuka kuguswa na kitu kwenye makalio yake alijua rameki atakuwa kaweka mzigo nyuma yake rameki alivyoona ajakaa vizuri alisogea ili akae vizuri mwalimu mkuu alistuka kitu kama tango kikimgusa tena alipitisha mkono ili aone nn alistuka “MUNGU WANGUU”IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈ENDELEA...Rameki alistuka mwalimu mkuu alivyoshika tango lake akapaza sauti“AAAAAA MWALIMU…
  • MWALIMU MKUU (3)
    Jina: MWALIMU MKUUMtunzi: __SEHEMU YA TATUILIPOISHIA...chausiku alishangaa kuziona zile sale “JAMANI NANI KAKUPA MWANANGUU??!!”aliuliza chausiku kwa mshangao“Kaka juma”alijibu ramekiIKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈ENDELEA...“Oooh juma jamani mungu akubariki ooooh asante mungu”alitamka mama rameck uku akinua mikono juuRameck alizijalibu zile nguo hakika alipendeza sana adi mama ake alimfagilia kwa vigeregere “jamani juma mungu akuwekee…
  • MWALIMU MKUU (2)
    Jina: MWALIMU MKUUMtunzi: __SEHEMU YA MBILIILIPOISHIA...“MUNGU WANGU YULE SI MZEE ALINANI???!!!”aliuliza chausiku kwa mshangao chausiku alimuangaria mzee alinani ambae amepoteza furaha yake ya kusomaMzee alinani alikuwa anakuja kuangaria bishala zake pale sokoni kwa kina chausiku.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈ENDELEA...Mzee alinani alistuka kumuona chausiku alikwepesha macho yake kwa aibu alitoka kwenye soko lile, chausiku alimpitia…
  • MWALIMU MKUU (1)
    Jina: MWALIMU MKUUMtunzi: __SEHEMU YA KWANZA“MAMA USIFE MAMA NITAISHI VP NA HII MIMBA MAMA”ilikuwa ni sauti ya mdada aitwae chausiku akimwambia mama ake asifee bado anamtegemea mama ake na mimba yakee“CHAUSIKU MWANANGU NAJUA MIMI NDIYO TEGEMEZI LAKOO NILIPAMBANA NA KILIMO ILI USOMEE LAKINI UMECHEZEA SHIRINGI CHOONI MWANANGU UMESHIKA MIMBA BADO MWAKA MMOJA TUU UMALIZE LAKINI NDO IVYO MWANANGU MIMBA NDO ISHAINGIA SINA BUDI KUKUFUKUZA INGALI UKO MOYONI MWANGU NAKUPENDA MWANANGU CHAUSIKUU ILA…
  • THE NIGHTMARE (9)
    Jina: THE NIGHTMAREMtunzi: Hussein O MolitoSEHEMU YA TISAILIPOISHIA...“mmenifananisha, mimi ndio kwanza naigia ofisini mida hii.” Aliongea yule afande na kuigia kituoni.“sasa aliyekuwa anatuhoji ni nani kama sio huyo?”Alijikuta anajiuliza mwenyewe swali lililompa utata mkubwa kichwani mwake.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈ENDELEA...Wakati wakiwa hawajui hili wala lile, walishangaa kuona maaskari wakijazana pale na ambulance ikafika…
  • THE NIGHTMARE (8)
    Jina: THE NIGHTMAREMtunzi: Hussein O MolitoSEHEMU YA NANEILIPOISHIA...Walipofika feri, walipewa nahodha mwingine tofauti na yule aliyemuota na boti ilikuwa ndogo tu ya kawaida tofauti na ile aliyoiota.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈ENDELEA...Sharji alijikuta anapiga makelele baada ya kumuona Balqis akiwa amejaa damu mdomoni huku ametoa makucha yake akimfata kwa nia ya kumdhuru.“AAAAAAAAAAAGH”Sharji alipiga kelele na kukurupuka.…
  • THE NIGHTMARE (7)
    Jina: THE NIGHTMAREMtunzi: Hussein O MolitoSEHEMU YA SABAILIPOISHIA...“kha!!!!”Ulikua mshangao mkubwa kwa watu karibu wote baada ya kumuona Sharji akiwa na taulo akitoka chumbani kwa Balqis.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈ENDELEA...Wengine walicheka na kaka yake alionekana kutoifurahia hali ile.“sasa wewe unatutia wasi wasi bure, si ungesema tu kama unaenda kulala kwa huyu dada?” aliongea kaka yake na kukirudia kile chumba alichompangia…
  • THE NIGHTMARE (6)
    Jina: THE NIGHTMAREMtunzi: Hussein O MolitoSEHEMU YA SITAILIPOISHIA...“toa loud speaker bwana.”Aliongea Balqis baada ya Sharji kubonyeza kitufe cha kupaza sauti.“kwanini hutaki nisikie maongezi yenu?” aliongea Karimu kwa sauti ya ukali kidogo.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈ENDELEA...“kwani kuna ubaya mimi nikiongea private na mdogo wako?” alijibu Balqis baada ya kuisikia sauti ya Karimu.“hakuna ubaya.” Alijibu Karim kwa sauti ya…

MTAA WA TATU (16)

Mwandishi: Hafidhi J Ikram

SEHEMU YA KUMI NA SITA
Watu walicheka na kusema
Kidevu leo kawa kitobo anachomwekwa tu, baada hapo akaenda kudeki choo
kisha akafagia uwanja
Akachukuwa takataka na kwenda kuzimwaga shimoni

NIOMBE SAPOTI, BONYEZA TANGAZO LINALOKUJA NA KUJAA KWENYE SIMU YAKO WAKATI UKIFUNGUA SIMULIZI AU LILE LINALOKUWA KATIKATI YA SIMULIZI ZETUKABLA HAUJAIFUNGUA NDANI, PIA KUNA LILE LINAKUJA NA KUNG'ANG'ANIA HAPO CHINI, BONYEZA WALAU MARA 3-4 HIVI HIYO NDIO SAPOTI YAKO KWANGU, TAFADHALI NIPE NGUVU NAKUTEGEMEA SANA MSOMAJI WANGU
SASA ENDELEA...
“baby kumbe wee noma ehee?"

“unoma wangu nini tena".....
“mi nilijuwa kitandani tu kumbe hadi kupigana kibabe unaweza
sasa nitatembea kifua mbele keko nzima wataisoma number"...
Hafidhi akacheka sana na kutoka nnje
akaingia kitaa kila sehemu akakuta imebandikwa picha yake
ajabu kila anaekutana nae amsitukii kama ndio yeye,
Akadata si kidogo na kujiuliza inakuwaje
au watu hawajui kufananisha nini?
Akaingia sehemu moja hivi na kukuta
washkaji wakibishana
“wewe huyu jamaa ni mashine yani kawafinya polisi sijui wangapi peke yake
kisha akasepa huyu noma.
“ndio noma lakini kauwa kibaya zaidi Baba yake ni mkuu wa majeshi nchini itakuwaje hapo?"
“tambua kitu kimoja Mwanajeshi ni baba yake sio mwanae akikamatwa sheria itafata mkondo wake vilevile kama kufungwa atafungwa kama kunyongwa atanyongwa tu"
Hafidhi akaingilia kati kwa kuuliza
kwani huyo polisi aliyeuwawa
ana familia au?

“ndio inavyosemekana ameacha mke na watoto wawili anaishi Yombo vituka"
Kijana mmoja alijibu hivyo
pasipo kufahamu kama ile picha aliyoishika ya huyo aliyeuliza swali,
kuna kitu akaweza kuhisi akakumbuka maneno ya yule bibi kwamba yeye ni Jinni. Akaguna na kuondoka zake
njia nzima alikuwa na maswali
chungu nzima
asiweze kupata majibu.
Kwani sura yangu imekuwaje mpaka watu wanashindwa kufahamu kama mimi ndio ninaetafutwa na polisi
kuna sehemu kulikuwa na
Gari imepaki
basi akaenda mpaka saitmira ilipo akajitizama kwenye
kioo kisha akacheka na kusema kumbe duniani kuna watu mafala ehee
sasa mbona niko vilevile.
Wananiogopa nini?
Kisha huyoo akaondoka zake
“Habiba mwanangu hutakiwi kulia
Subiri nikusimulie
story ya maisha yangu nimepitia
vikwazo vya kila aina.
Sikukata tamaa nikasimama imara nikapambana juu chini mpaka
leo hii nimefika hapa".....
Wakati anataka kumsimulia story ya maisha yake na
Hafidhi ndio anaingia
“whao mume wangu
Chanduka huyoo,
basi akamkumbatia na kwenda kukaa karibu ya
Habiba akamuuliza
“unalia nini tena my sister?"
“nalia kwa sababu ya kukumbuka
mambo mengi sana
Ghafla sauti ikasikika nnje ikiita
“mama Asia toka nnje uone"....
si akatoka
kumbe kidevu kaenda kukusanya masela wake
kaja nao. Mama
Asia akajuta kwanini katoka ndani akabaki kutetemeka tu
mmoja kati ya wale vijana akaja na kutaka kumshika
Zuwena
ile kanyoosha mkono kabla hajamshika
Akashtukia anadakwa yeye na kupigwa ngumi
Ya uso akisindikizwa na teke
Hafidhi akasema
“baby kaa pembeni
niwaonyeshe shoo ya kibabe
watoto wa malaya
Hawa akakaa
Style ya ajabu mpaka upepo ukavuma.

Ha!ha!ha!ha! haka kajamaa kinajifanya
Jack Chan kwanza muoneni amekaa kama anataka kunya vile"...
Ilikuwa kauli ya mmoja kati ya wale vijana akimcheka
Hafidhi kwa jinsi alivyokaa ile stance.
Mwingine akasema
“ajifanye Jet le, Bluce Lee, Donny Yen, sisi tunatwanga tu mapicha yake ya kugeza apeleke huko.
Kwanza Tanzania na karet wapi na wapi
wabongo style zetu mawe"....
Hafidhi akatulia kimya kisha akapaza
sauti kwa kusema
“njooni sasa naona mnaongea saana"
Ghafla mmoja kati yao akarusha jiwe
Mwanaume akafutuka na kulipiga teke
kitu kikarudi kilipotoka na kwenda kumpiga usoni yule jamaa
kitu tiihii"....akayumba na kurushwa hewani wenzake wakashanga kitendo kile
Hafidhi ameshaingia kati,
sasa ikawa balaa asikwambie mtu
mtu anapigwa ngumi ya koromeo
ubwabwa anaita bwabwa,
Maji anaita mma Kidevu baada kuona mambo magumu mbona akatafuta sehemu ya kukimbilia
vichana kama sita wakachakazwa vibaya sana ndani ya dakika saba wako hoi.
“duhuu kweli huyu mwanaume wa shoka
watu sita wenye siraha ameweza kuwadhibiti peke yake
miujiza hii"
“sio miujiza ni kitu ambacho kinawezekana kama utakuwa umepitia mafunzo, kijana kama huyu ni hadhina tosha kwa nchi yetu.
Anaweza kuingia Jeshini na
kuwafunza vijana wetu
mbinu za mapambano kwa kifupi anatisha si kidogo"
Kila mmoja akabaki kumwagia sifa kedekede Hafidhi kwa kuwachakaza vibwengo wale.
Wakaondoka huku wakichechemea
“kazi nzuri baby mmwaaa,,,,,,
Zuwena akaenda kumkumbatia kipenzi chake na kumbusu mdomoni kisha wakaingia ndani,
Habiba alikuwa anacheka tu mpaka sura yake nzuri ikaanza kuonekanika
“mbona unacheka my dear sister vipi tena?"
Hafidhi alimuuliza
Habiba baada kuona ana furaha,
“hapana nimeweza kufurahi
baada kugundua wewe ndio mtu sahihi ambaye umeletwa kwa ajili ya kutatua matatizo yangu.
Naimani kila kitu kitaisha itabaki history tu
Asante Mungu hakika sitolia tena.
Siku zote niliomba usiku na mchana nililia mpaka machozi yalinikauka hakuna wa kunifuta.
Sasa shujaa kapatikana kwa uwezo wako na Niko radhi kumwambia ukweli wote"
Habiba aliongea hivyo uso wake ukiwa na tabasamu la machozi.
Zuwena akasema
“Habiba utakiwi kulia tena kwasasa mimi ndio mama yako utaishi hapa kwa furaha upendo na amani,
Vyote hivyo vipo ndani ya nyumba hii usilie tena.
Subiri nikupe historia ya maisha yangu.

Siku zote maisha ni safari ndefu kuna mirima na mabonde, nilipokuwa na umri wa miaka nane niliweza kushuhudia
Mara kibao mama yangu akilia.
hakulia kwa kujionesha kwa watu, alikuwa akijifungia chumbani na kulia kimya kimya.
sikuwai kumuona mama yangu akilia hata siku moja.
Basi siku hiyo nikiwa natoka kucheza niliingia ndani kwa ajili ya kunywa maji, nikaweza kusikia sauti ya kwikwi ikimaanisha yakwamba kuna
mtu analia, basi nikanyata na kuchungulia chumbani kwa mama.
Ni kweli alikuwa ni mama ndie anaelia.
Nikaingia chumbani nikamshika kichwani na kumuuliza mama unalia nini?
ajabu mama yangu akajifuta machozi na kutabasamu kisha akanishika na kunikumbatia akasema
“Zuwena mwanangu mimi silii kabisa
silii mwanangu twende nikakuandalie chakula uweze kula"
Nilishangaa sana, inakuwaje nimuone na kumsikia akilia alafu akatae kwamba alii
nikaja kuamini kitu kimoja
kwenye vifua vya mama zetu kumebeba siri nzito sana.
Usione mtu anafurahi nawe anacheka nawe kumbe ni mtu wa kulia kila siku
majumba yetu ni kama kaburi la muda tu
siku ambayo navunja ungo mama akaniambia
“Zuwena mwanangu umekuwa sasa subiri uyaone
sikuweza kufahamu niyaone nini
nikaja kupata mpenzi akanitoa usichana wangu, na kuniahidi atakuja kuniowa
Kumbe nia yake ilikuwa ni kunichezea tu
akanitumia vya kutosha nikaja
kupata mimba akaniambia nitoe
hakika niliogopa sana kufanya kitendo kama hicho
yani nikiuwe kiumbe kisichokuwa na hatia.
Nikapingana nae kwa kumwambia
sitaki, kumbe akapanga mipango yake
mwenyewe siku hiyo akanipigia sehemu na kuniambia kwamba anaumwa.
Nikafanya haraka kwenda kumuona
nikamkuta kalala nikajuwa kweli anaumwa kumbe walaa
nikamsindikiza hadi hospitali
kufika huko ajabu nikashikwa mimi
na kwenda kutolewa mimba
Binafsi nilijisikia vibaya sana nikatokea kumchukia kila mtu, nikaja kupata pigo kubwa sana baada mama yangu
kufariki
Nililia sana baba akaleta ndugu zake tuje kuishi wote pale nyumbani nikaja kushika mimba ya kijana mwingine
Ndugu wakanifukuza
sikuwa na jinsi zaidi ya kwenda kwa mwanaume wangu nae akanipokea kwa mikono miwili tukaanza maisha mapya ni
Mwanaume ambaye alikuwa anapenda ngono kuliko kula
akinikuta jikoni anataka sijui chooni nimeenda kunya anakuja kunifanya
Zuwena nikaanza kukonda na kitumbo changu
Mungu si Athumani nikaja kujifungua mtoto wa kike nikampa jina la
Asia ni jina la marehemu mama,
Mtoto bado mchanga akawa anataka tu.

nilimsihi kwa kumwambia mpenzi hata siku za kukandwa maji bado subiri nipone,
hakutaka kusikia hilo, wala kama tutambemenda, usiku alitumia nguvu kuniingilia nililia sana kwa maumivu niliyoyapata,
maisha yakazidi kusonga huku nikipata mateso ya kila aina kupigwa kutukanwa kulala na njaa yote yalikuwa majanga yangu
Nikaja kushika mimba nyingine
hii nilijuta kuzaliwa kabisa kwani siku
ambayo najifungua ndio siku niliyo fukuzwa kama mbwa ndani ya chumba cha bwana yule nililia na kumuuliza
David nimekukosea nini mimi unanifukuza nikiwa katika hali hii nitaenda wapi mimi"...
kumbe alikuwa kashapata mwanamke mwingine
yule Dada akatoka na kuniambia
“kama zama zako zimekwisha chukuwa time we malaya achia number tucheze
usajili mpya kama haitoshi akanimwagia maji ya moto hakujali kama nimebeba mtoto
mchanga,
siku zote uchungu wa mtoto aujuwae mzazi
hasira zikanishika nilimuweka
Zubeda chini nikamvamia yule
Dada na kuanza kupigana nae, David akaja kuingilia kwa kunipiga mimi
alinipiga sana kama ingekuwa sio wasamalia wema angeniuwa,
wakaja kumshika kisha nikachukuliwa mimi na wanangu
mzee mmoja akaniuliza
“Binti nyumbani kwenu wapi?
nikamjibu sina kwetu sina pa kuishi baba yangu"
Yule mzee akaniambia kwakuwa leo ni Ijumaa itabidi twende msikitini nitakuombea michango ili upate sehemu ya kujihifadhi ndani ya siku mbili tatu,
nikaenda msikitini japokuwa nilikaa nnje
Asia ndio kwanza ana umri wa mwaka mmoja na nusu nae anataka kunyonya, baada kuswali yule mzee akasimama na kusimulia historia yangu
japo kwa ufupi tu kila mtu aliguswa na kilio changu, na kutoa kidogo
kikubwa alichokuwa nacho kila aliyetoka msikitini akaja kunipa pole
na kusema hakika Mwenyezi Mungu ana makusudio yake,
hatimae nikaja kukabidhiwa kiasi cha pesa
kama laki Tisa waislamu walijichanga
kama haitoshi kuna baba mmoja akatangaza kwa kusema
“mimi najitolea kumpa nyumba yangu moja kati ya nyumba saba ninazo miliki huyo dada
Takbir ikasikika
Mbele ya mashekhe na waumini wengine
pamoja na mjumbe wa nyumba kumi
na serikali za mitaa nikakabidhiwa hati miriki ya nyumba hii sikuweza kuamini
Nikapiga goti chini na kuamini
Kweli Mungu ni mwema
yule mzee nikamthamini kama Baba yangu
Baba nae akaja kuniomba msamaha
kila kitu kikawa kimekwisha nilifungua mitaji ya biashara nyumba nikaongeza mabanda ya uwani nikapata wapangaji
Asia na Zubeda wakasoma
mpaka kufika chuo kikuu kila mmoja yupo kwake anajitegemea.
Habiba kuanzia leo nakuchukulia kama binti yangu, utakiwi kukata tamaa kabisa
unaweza kusononeka kwa kukosa
Chakula cha mchana,
kumbe mwenzako analia kwa kutokula siku nzima,
hiyo ndio historia ya maisha yangu japo kwa ufupi".....
Habiba machozi yakamtoka na kusema
“pole sana mama
hakika umepitia matatizo makubwa sana"
Hafidhi akauliza
“je huyo mwanaume yuko wapi kwa sasa?
Habiba hiyo barua aliyokupa
marehemu mama yako iko wapi?"
yani akauliza maswali kwa wote wawili
Zuwena akajibu
“ndio huyo mwanaume yupo
anaishi tabata bima,
Habiba nae akajibu
“barua ipo chumbani kwa kina
Nuiya watoto wa yule mama kusema kweli siwezi kuipata"

“kwanini usiipate?"
Hafidhi akauliza hivyo,
“siruhusiwi kuingia ndani ya chumba kile tokea mama yangu afariki kile chumba nikanyang'anywa na kuambiwa niwe nalala stoo"

NAOMBA SAPOTI, KUNA MATANGAZO(ADS) YANAJITOKEZA KWENYE APP YETU, LIMOJA LINAJAA KWENYE KIOO CHAKO JINGINE LINANG'ANG'ANIA HAPO CHINI KABISA, BONYEZA JAPO MARA 2 AU 3 KILA UKIFUNGUA SIMULIZI HIYO ITANIPA NGUVU YA KUENDELEA ZAIDI NA SIMULIZI ZETU🙏🙏

TAZAMA KICHEKESHO HIKI KISHA BONYEZA SUBSCRIBE ILIYOPO CHINI YAKE WAKATI TUKIELEKEA KWENYE MUENDELEZO



USIKOSE SEHEMU YA KUMI NA SABA

Maoni, Ushauri na Chochote Share Namimi Katika Mawasiliano Haya:
+255 718 274 413 Ipo WhatsApp
+255 764 339 438
ZephilineEzekiel@Gmail.Com
8 Mtaa wa Tatu Simulizi Z8
Jiunge kwenye mazungumzo
Chapisha Maoni