MTAA WA TATU (19)
Zephiline F Ezekiel
6 min read
SEHEMU YA KUMI NA TISA
“Unataka kukataa sio wakati umekutwa eneo la tukio shenzi zako.
Tuambie ukweli kwanini mmemuuwa bwana
Jacob? na hao wenzako kina nani? na wako wapi?"
NIOMBE SAPOTI, BONYEZA TANGAZO LINALOKUJA NA KUJAA KWENYE SIMU YAKO WAKATI UKIFUNGUA SIMULIZI AU LILE LINALOKUWA KATIKATI YA SIMULIZI ZETUKABLA HAUJAIFUNGUA NDANI, PIA KUNA LILE LINAKUJA NA KUNG'ANG'ANIA HAPO CHINI, BONYEZA WALAU MARA 3-4 HIVI HIYO NDIO SAPOTI YAKO KWANGU, TAFADHALI NIPE NGUVU NAKUTEGEMEA SANA MSOMAJI WANGU
SASA ENDELEA...
Eddy akabaki kutetemeka tu asijuwe hata ajibu nini.
“kwa taarifa yako mlinzi kasema wewe ni mmoja kati ya watu mlioshirikiana kwenye mauwaji haya
Nyang'au wee".. akazidi kupigwa makofi hakika nyege za usiku zilimponza.
Baada hapo akatolewa na kuletwa
mlinzi,
“unaitwa nani kijana?"
huku akianza kutetemeka mlinzi akajibu
“naitwa Kaji Alfani"
“tokea uanze kazi ya ulinzi kwa bwana Jacob ni muda gani mpaka sasa?"
“ni miaka saba"
“ok! kama ni miaka saba ni kitu gani kilikutuma mpaka ukaamua kushirikiana na majambazi kumuuwa boss wako?"
“hapana mimi sihusiki kabisa afande"...
Kofi zito likatua shavuni kwake
Pahaa
“pumbavu zako usitake kutufanya sisi hatuna akili au watoto wadogo wakati
jambazi mmoja tuliyemnasa
amesema wewe ndio uliyesuka mipango yote"....
“afande hapana sijausika mie"
Mlinzi nae akaenda kufungiwa
Selo binafsi polisi hawakutaka mchezo kabisa
Mke wa marehemu alipatwa na (Struck)
mshtuko na kupoteza fahamu
ikabidi akimbizwe hospital ya
Masana haraka kuokoa
maisha yake bibiye Suzan nae alikuwepo kumbe hakuuliwa aligoshwa tu mshipa wa fahamu na kujikuta akilala
usingizi.
Kwanza kwake aliona kama ni ndoto hakuweza kuamini kabisa kama
Baba yake kipenzi kapoteza maisha
akakumbuka tukio zima la janaake usiku
kisha akazidi kulia na kusema
“hapana baba yangu hajafa mnamsingizia tu,
hii si kweli kabisa ni ndoto tu"
Kwa kifupi alidata ghafla akadondoka chini na kupoteza fahamu.
Ni msiba uliovuta hisia za watu wengi sana hasa kwa watu masikini
wasiojiweza
walijazana vilio vyao vikasikika kila kona
“hiiiiiiiiiihaaaa mkombozi wetu
umeondoka na kutuacha peke yetu ni nani wa kutusaidia baba
Yahaaaaaaaaa!!!
Hafidhi nae hakuwa mbali kwenye msiba huo ni mmoja kati ya watu waliokuja kutoka Keko
bwana Khatibu ambaye ndio
Baba yake Habiba alitoa gari zake kama nne aina ya Coaster ziwapeleke
Wakazi wa maeneo hayo kwenye msiba wa rafiki yake kipenzi
Hafidhi akaitumia nafasi hiyo kwenda.
“Mke wangu kipenzi mbona
Habiba sijamuona hapa nyumbani yapata wiki sasa, yuko wapi?"
“ehee tena imekuwa vizuri kumuulizia huyo mbwa wako, kwa kifupi tu kachoka
kulinda hapa kisa tunamlisha machicha
Matokeo yake kaenda kulinda kule kwa mama
Asia"
“unasemaje wee mwanamke inamaana
Habiba aishi hapa tena?"
“ndio maana yake"
“ok! wacha nikamfate mbwa wangu huyo mama atanitambuwa
tunataka kwenda msibani hakuna mbwa wa kulinda nyumba"....
bwana Khatibu akatoka njia nzima akitukana
kitendo cha kufika tu, akamkuta
Habiba anachambua mchele akaupiga teke ungo wenyewe kule mchele ukamwagika
Habiba akapiga kelele
“yalaaa!!! uwiiiiiii, nisaidieni
mama Asia akatoka ndani mbiombio na kumkuta
Habiba akipigwa mateke ngumi zilituwa kila maeneo"....
Akashindwa kufanya chochote baada kumuona yule ni baba yake.
Akarudi ndani na kuchukuwa simu ampigie
Hafidhi si kaenda msibani.
Simu ikawa haipatikani dahaa akatoka tena nnje na kukuta
Habiba kabebwa, akabaki kulia tu
na kurudi ndani"
siku hiyo Habiba alijuta kuzaliwa kwani alipigwa vibaya sana
mdomo ukapasuka damu zilimtoka huwezi kuamini kama anaye fanya yote hayo ni
Baba yake mzazi.
Salome akapaza sauti kwa kusema
“baba muache inatosha utampigaje hivyo kama mnyama, tambua nae ni binaadamu
anaumia"
Ni kauli iliyowashangaza familia nzima
hata Habiba mwenyewe akashangaa.
Maana katika watu waliokuwa wakishabikia pindi akipigwa Salome alikuwa number moja,
Kingine ashawai kumpiga na chupa ya chai kichwani.
Chai ya moto ikamuishia mwilini, kwa kifupi
Salome hakuwa na huruma hata kidogo, iweje leo
Awe hivi
“Wife imekuwaje mbona Salome leo kawa hivi?"
“mmh mi mwenyewe nashangaa yani Salome huyu mwanangu leo hii kamtetea huyu mbwa"
Baada Salome kusema vile akaingia chumbani kwake huku akilia hakika alitokea kuingiwa na huruma sana.
Siku zote mtu anaweza kubadilika ghafla
mtu mbaya akawa mtu mwema.
Akaichukuwa simu yake na kukumbuka tukio la jana yake usiku
“Salome hakika wewe ni binti mzuri sana tena sana.
Lakini uzuri wako unautumia vibaya, yani roho yako haifananii kabisa"...
“kwanini unasema hivyo my baby Chanduka?"
Hafidhi kama anavyojiita eti Chanduka akaendelea kumwambia
“nasikia una roho ya kinyama sana juu ya mtoto wa baba yako wa kambo.
Salome please nisikilize kwa umakini sana tambua kitu kimoja kile usichopenda kufanyiwa basi na wewe usimfanyie mwenzako. Hivi unapenda kupigwa au kuteswa kunyimwa chakula?"
“hapana baby sipendi kufanyiwa hivyo hata siku moja"....
“ok! kama hupendi hata Habiba hapendi anaumia kusema tu anashindwa hata akisema hakuna wa kumsikiliza, anabaki kuwa mnyonge kilio chake
Mungu pekee anakisikia.
Salome"....
“abee baby"
“je unanipenda?"
“ndio nakupenda japokuwa tumekutana ndani ya usiku huu nimetokea kukuamini kwa kila kitu, yani umenibadilisha kwa kiasi kikubwa nakuapia
Wallah tena kuanzia dakika hii nitakuwa mtu mwema"
Aliongea hivyo Salome akiwa kajiegemeza kifuani kwa Hafidhi
“baby nikuombe kitu je unaweza kunifanyia ndani ya usiku huu?"
“baby mi niko tayari kwa lolote bwana embu niambie kitu gani hicho? Au unataka nikalale kwako mpaka asubuhi?"
“hapana baby sio hicho nataka uwende ndani ya chunba chenu kuna picha sijui katokea Buraki yani kichwa cha mtu mwili wake wa farasi.
Naomba ukaniletee hiyo picha".....
Salome akanyanyuka na kutoka mbio kuifata hiyo picha.
Akashtuka kutoka kwenye dimbwi la mawazo akajifuta machozi na kubofya simu yake.
Akaweka sioni kusikilizia simu ikawa inaita........"
Na kupokelewa
Sauti ya Hafidhi ikasikika japokuwa sauti ya vilio nayo ikasikika
“halloo my dear my love my sweat mambo vipi niambie".....
Salome akaangua kilio na kicheko
“hiiiiiiiiihaaa, hahahaha,
Hafidhi akabaki kushangaa na kuuliza
“vipi Salome huko sawa kweli?"
“Chanduka kipenzi changu nacheka kwa furaha kwa kuniita majina matamu kama hayo.
Nalia kwa hudhuni baada Habiba kukamatwa na kupigwa vibaya mno kabla hajaongea zaidi simu ikakatwa akaishia kusema
Halloo.....halloo
hakufahamu kama
Kutanuka dakika si nyingi kidume kitafika hapo.
Hafidhi baada kupigiwa simu na kuambiwa
Habiba kapigwa akajihisi kama vile kutoneshwa kidonda,
akamwita dereva bodaboda na kuongea nae kisha akapanda na kuondoka.
“sikia wewe mbwa siku ukitoroka tena
nitakata miguu yako mtoto
wa malaya wewe"
“kila muda najiuliza nilipi kosa langu ewe baba yangu, mara nyingi najiuliza hivi wewe ndio yule baba
uliyemkimbiza mzee Mkwanga na panga kisa alinichapa mimi, ni wewe
kweli ulikuwa ukimgombeza mama na kumwambia asithubutu kunitia hata singi.
Baba yangu ni kipi kimekubadilisha
leo hii unanichukia hivi
Kabla ya kuongea zaidi akapigwa teke la mdomo na yule mama
tena kavaa sukuna basi damu tu ajabu
Habiba akacheka na kusema
“ha!ha!ha! Baba hii ndio damu yako leo hii inamwagika mbele ya macho yako.
Umekaa tu"
“wee mwanamke embu kaletu pasi
tumfunge mdomo huyu mbwa yani kazidi kunichefua",,
Yule mama akaenda mbiombio chumbani na kutoka na pasi ikachomekwa kwenye umeme
Kisha akaambiwa
“mshike hicho kichwa kisha upanuwe huo mdomo wake Salome akatoka chumbani kwa kasi ya ajabu akaenda kuibeba ile pasi na kukimbia nayo chumbani kwake,
Mama yake akamuacha
Habiba na kumkimbilia
“wee Salome embu lete hiyo pasi wee mtoto mbona umekuwa hivi"...
“kwanza napiga simu polisi kuwaambia mnafanya mauwaji humu ndani
kama unaona raha jichome wewe kwenye matako yako, huo ni uuwaji
kabisa"
Alisikika akisema hivyo Salome.
“Salome kumbuka mimi mama yako yani unanitusi sio"....
Salome akabaki kimya wakati
huo mmoja kati ya mabinti zake sijui ndio
Sikitu akaingia chumbani kwake na kutoka na pasi
“mama achana nae pasi nyingine hii hapa"
Basi ikachomekwa
Habiba akashikwa tena
Ghafla mwanaume ndio anaingia, wote wakashtuka"....
Walijuwa ni polisi,
“nani wewe?" yule Mzee akauliza hivyo kuja kutahamaki akaanza kuchezea
ngumi za haraka haraka,
Mkewe akaja mbio eti amshike
Hafidhi akapigwa teke na kwenda kudondokea kwenye
ile pasi kibaya zaidi akaikalia.
Kwanza ilimuunguza kingine akapigwa short ya umeme.
sikitu na mwenzake wakatoka mbio na kwenda kujifungia ndani.
Kimbembe kikabaki kwa mzee yani alifinywa akashikwa kichwa na kwenda kubamizwa kwenye
TV flat screen sijui inch32
kitu kule uso ukawa hautamaniki
Salome akatoka chumbani kwake hakuweza kuamini Aisee
“Habiba my sister huyu kweli ni baba yako?
kama ni baba yako kwanini kawachinja ndugu zako kwa tamaa ya utajili,
Kawatowa sadaka ndugu zako,
Mama yako amekufa kutokana na sononeko la moyo ameumia baada kugundua wanae
hawakupelekwa shule ya boarding kusoma.
Walienda kuchinjwa sasa basi
huu ni mwanzo tu ndani ya barua ile
kuna list nzito walioshiliki kufanya kitendo hicho sina budi kuwaondoa wote
Duniani wee mzee subiri na uwone"....
Baada kuongea hivyo
Hafidhi akaenda kumshika
Habiba na kumnyanyua kisha akasema
huku akimnyooshea kidole
“wewee
Salome akaita baby"....
na kwenda kumkumbatia mtoto akarembua macho akiitaji denda si akapewa mdomo
Asssssss,,,,,ohoooooooaaaaahhh,,,,
Baby twende chumbani"
Salome akatamka hivyo
“usijali baby nitakuja wacha nimpeleke
Wifi yako hospitali"
Kisha mwanaume akatoka
“Salome kafunge mlango haraka"
Mzee akatamka hivyo.
Salome akamtizama baba yake akamnyari na kumwambia
“wee Mzee embu punguza presha
ujasikia kama kasema atarudi
kuja kunitoa nyege zangu wee vipi"....
Salome hakujali kama mama yake
kalala chini hajitambui kabisa
Huyoo akaingia chumbani kwake.
Mzee Khatibu akatoka mbio kwenda kufunga mlango yani alikuwa na maumivu kila
ya mwili wake.
Akaenda kumshika mkewe na kuanza kumtikisa
“wife my baby hamka yule jamaa ameshaondoka tayari
Jamila hamka please baby inuka
vilio vikasikika kutoka kwa Sikitu na mwenzie sijui anaitwa nani, wakilia na kuita mama,
Hafidhi baada kumchukuwa
Habiba akampeleka kwanza hospital maana aliumia sana,
Ndani ya hospital ya Temeke
Habiba akaweza kupatiwa huduma kama vile kutundukiwa dripu na kutibiwa baadhi ya majeraha,
Hakika alimuona
Hafidhi ni kama mkombozi wake.
na kujisemea moyoni mwake
“sijui nikuite nani kaka Chanduka hakika siwezi"....mchozi ukaanza kumtoka,
Ndani ya mtaa wa tatu
kulikuwa kumenoga yani full raha
Salma alikuwa akicheza rede na kina
Sada Beatrice Joyce
yani ilikuwa full kuona vichupi tu.
“wewee rusha mpira huo,
Zulfa na Sharifa walikuwa ndio wazingaji
“Kujimanua kote huku mwenzenu nasikia nyege zimenipanda balaa,
yani angekuwepo Hafidhi hapa sijui ingekuwaje"
ni kauli ya Zay akaenda kukaa chini
“hivi wewe miguru baja ushawai kutiwa muogo wa Hafidhi au unaongea tu?"
NAOMBA SAPOTI, KUNA MATANGAZO(ADS) YANAJITOKEZA KWENYE APP YETU, LIMOJA LINAJAA KWENYE KIOO CHAKO JINGINE LINANG'ANG'ANIA HAPO CHINI KABISA, BONYEZA JAPO MARA 2 AU 3 KILA UKIFUNGUA SIMULIZI HIYO ITANIPA NGUVU YA KUENDELEA ZAIDI NA SIMULIZI ZETU🙏🙏
TAZAMA KICHEKESHO HIKI KISHA BONYEZA SUBSCRIBE ILIYOPO CHINI YAKE WAKATI TUKIELEKEA KWENYE MUENDELEZO

USIKOSE SEHEMU YA ISHIRINI
Maoni, Ushauri na Chochote Share Namimi Katika Mawasiliano Haya:
+255 718 274 413 Ipo WhatsApp
+255 764 339 438
ZephilineEzekiel@Gmail.Com
Maoni, Ushauri na Chochote Share Namimi Katika Mawasiliano Haya:
+255 718 274 413 Ipo WhatsApp
+255 764 339 438
ZephilineEzekiel@Gmail.Com
Chapisha Maoni
Chapisha Maoni