Notifications
  • MY DIARY (36)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA THELATHINI NA SITATULIPOISHIA...Sasa wewe fikiria mimi niliyeletewa zawadi sikujua ni zawadi gani lakini yeye tayari alishafungua na kuchungulia na kujua nini kilifungwa huko ndani.Basi nikaendelea kumuhudumia yule mama huku na yeye akiniambia kuwa itabidi nikimmaliza hizo zawadi tusifungue hapo hapo na waniimbie wimbo wa happybirthday.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Tuliendelea na stori mbili…
  • MY DIARY (35)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA THELATHINI NA TANOTULIPOISHIA...Tatu niliambiwa kuwa ndugu zake na wazazi wake walihusika kwenye mipango hiyo hivyo walibariki kabisa huyo binti kuniacha mimi mumewe wa ndoa na kuamua mtoto wao aolewe upya. Nne ni kwamba huyo mzungu amewaamishia wazazi wake mjini na amewajengea nyumba ya kifahari.Kwa hiyo mimi ninavyowapigiana simu na kuwajulia hali kumbe wenzangu huwa wananichora tu.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA…
  • MY DIARY (34)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA THELATHINI NA NANETULIPOISHIA...Hapo nikakumbuka kuwa zile zana zangu za kazi nilikuwa nazo ni vile vifaaa vya kupimia ukimwi ambavyo huwa navitumia kabla ya kukutana na mwanaume yeyote nisiyemfahamu. Nikaamua kumkubalia huku nikiamini kuwa hiyo ndo kinga yangu pekee iliyobaki kama mwanaume huyo atataka kuzini na mimi usiku huo.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Basi tuliondoka na kwenda sehemu…
  • MY DIARY (33)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA THELATHINI NA TATUTULIPOISHIA...Nilikuwa nachanganya staili za kijamaika na hizi za kwetu, sikuacha pia zile za Nigeria hapo nikapata vitu vyangu vya tofauti kabisa. Basi baada ya kujihakikishia kuwa nipofiti kwa mastahili yangu hayo nilisubiri siku ya shindano ifike nikafanye yangu. Siku ya shindano ilifika na mimi nilikuwa miongoni mwa washiriki walioingia tatu bora.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA…
  • MY DIARY (32)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA THELATHINI NA MBILITULIPOISHIA...Lakini kuchepuka kwangu na kuingia mgombani haikumaanisha kuwa sheria ingeniacha hivi hivi.Ilifika mahali ikabidi nizime gari na kutulia tulii kusikilizia nini kitafuata.Tayari nilikuwa nimezungukwa na mapolisi ambao walikuwa wakinifuatilia kwa kutumia pikipiki.Kwa bahati nzuri dereva wa lile gari na yeye alishafika hapo na alishawaambia polisi kuwa mimi naugua ukichaa na nilifufuka kutoka mochwari.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA…
  • MY DIARY (31)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA THELATHINI NA MOJATULIPOISHIA...“marehemu pia alinieleza kuwa ana miliki duka la vitu vya urembo wa kike ambalo pia Leah analisimamia ila hilo apewe mdogo wake Marry ambaye yupo hapa. Mama mdogo huyo mara baada ya kuyasema hayo alikaa zake chini. Baba mdogo ambaye hakurizika na maelezo hayo alisimama na kusema “kwa hiyo kama marehemu alijua kuwa atakufa hivi karibuni kwani nini hakufuata taratibu za kisheria za kuandika wosia na kurithisha mali.IKIWA UNASOMA…
  • MY DIARY (30)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA THELATHINITULIPOISHIA...Baada ya hapo Nnilimwomba mama mdogo ajikaze na kuwatarifu ndugu wengine habari hizo za msiba.Tulisaidiana hivyo hivyo maana sio siri kila mmoja alikuwa na uchungu sana kutokana na mazingira ya kifo hicho. Habari zilizidi kusambaa kwa kasi na majirani walianza kukusanyika hapo kwa mama mdogo.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Msiba ni msiba tu na ukitaka kujua binadamu…
  • MY DIARY (29)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA TISATULIPOISHIA...Hapo sasa nikazidi kuchanganyikiwa ikabidi nimuulize mama huyo alikuwa akifanyia shughuli zake za kujipatia kipato sehemu gani.? Yule dada akanambia kuwa anafanyia soko la ndizi huko Korongoni. Sikuwa na jinsi nilimuomba anipeleke lakini na yeye alisita sita kwa madai kuwa alikuwa na kazi nyingi za kufanya na bado anatakiwa ampeleke mtoto shule.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA…
  • MY DIARY (28)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA NANETULIPOISHIA...Sisi tumesomea mambo haya bhana waliendela kuzungumza wale walinzi huku wakishuka ngazi kwa polepole. Hapo na mimi nikawa nimejifunza kitu kuwa kumbe unaweza kuingia na mtu guest akakuzuru kisha akaondoka zake.Sasa sijui kwenye zile guest zetu za uswahilini kama wanalijua hili.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Basi nilala japo usingizi ulikuwa hautaki kuja kwa…
  • MY DIARY (27)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA SABATULIPOISHIA...Alinamba eti hayo ya mimi kuolewa tuyaeke pembeni na kwa nini siku hiyo nisilale Moshi tukumbushie enzi zetu. Mwalimu John aliendelea kusema kuwa amenimiss sana na anomba nisahu yaliyopita na turudie yale maisha yetu ya zamani.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nilijifanya simwelewi lakini ukweli ni kwamba nyota ya mwanaume huyu ilikuwa ni kali sana zaidi yangu na…

MTAA WA TATU (6)

Mwandishi: Hafidhi J Ikram

SEHEMU YA SITA
wakati
Kidume
ni kama alikuwa anamwotea,aliunyanyua mguu wake na kuushikilia kwa juu ambapo aliendelea kumsugua kwa kasi mpaka akakojoa tena,,,,

SASA ENDELEA...
“nakupendaaaaaaaaaaaaa babiiiiiiiiiii,,,mamaaaaaaa
aa yangu mzaziiiiiiiiiiiiiiiii uwiiiiiiiiiiiii
iiiiiiii aaaaaaaaaaaaaaaaaah,,,,alilalamika hivyo wakati akimwaga bao lake la tatu Mwanaume sasa ndio akaanza kujikongoja akilitafuta bao lake.
Maana kina
Pepe wamekaba kila kona mpaka dakika ya kumi na tano
winga teleza hajatikisa, nyavu
ukicheki
huku
Pepe kule Ramos
kati Marcelo
utapita wapi ukafunge"........
Hafidhi.
alikuwa akimsugua huku mawazo yako sehemu nyingine,alicholinda ni uimara wa dudu lake tu.
Hakutaka kumwaga haraka,ila alipoona mtoto mwenyewe ameshakojoa mara nyingi,
naye aliona ni muda muafaka,ndani ya dakika kumi na saba,,,,aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
aaah,,,ooooghaaaa,aaaaaaaah,,,,,alilalamika hivyo na kumwaga bao lake,hakuchomoa dudu lake,walibaki wakiangaliana huku kila mmoja kijasho kikimtoka"......
Hatimae kesho yake
Asubuhi na mapema Hafidhi akaamka na kuitaji kwenda beach kufanya mazoezi.
akavaa track suit yake na Rana
juu akatinga kikoti fulani chenye kofia
kisha mwanaume akatoka
Na kukufana na
Salma nae anaenda mazoezini kila
mmoja akatabasamu
Salma akasema
“haya twenzetu"
mdogo mdogo wakatrokti safari ya kwenda beach.
kila sehemu waliyopita watu walioweza kuwaona wakabaki kuona gere.
Hakika walipendezana mtu na binamu yake
wakafika beach na kuanza kufanya mazoezi
ya hapa na pale, ghafla
Hafidhi akaweza kuona kikundi cha watu
kama sita hivi wakija eneo hilo
kibaya zaidi wamekamata siraha
mwenye nondo
mwenye chupa sijui panga
kisu yani bila shaka wanamfata yeye akasema
“Salma kimbia"...

Kwa sauti ya ukali Hafidhi akazungumza hivyo.
Salma nae huku akianza kulia akasema
“tafadhali kaka yangu tukimbie wote
watakuuwa wale"....
Ikabidi mwanaume atumie hasira kwanza
akampiga kibao cha shavuni
na kumsukumiza
“kimbia nimesema fanya haraka"
Salma akaona ehee isiwe shida wacha niondoke,
Kumbe wakati wanabishana wale majamaa washafika.
Na kusimama mbele yao kidogo.
Kisha mmoja wao akasema
“naona ni jinsi gani kijana unavyo jiamini kupita kiasi,
baada ya kukimbia wewe unataka binti ndio akimbie.
Sasa kwa taarifa yako tu roho yako ni yakwetu"....
Mwingine akasema
“kijana tambua umeingia anga sizo kabisa sasa basi cbagua moja
ukubali uwe Demu wetu au tukuuwe?"
Hafidhi akawatizama na kuwajibu
“acheni kuongea saana embu njooni kwa baba yenu, mabinti zangu mshakuwa
(Come on)
Njooni watoto wazuri ehee".....
Kauli ya Hafidhi ikawachefua kabisa yani waitwe warembo kudadeki mmoja kati yao akawaambia wenzake.
“nyie tulieni hii kazi nitaifanya peke yangu"
Akaja na kurusha ngumi kama tatu double
Hafidhi akapanchi na kuachia ngumi moja tu iliyompata mdomoni
jamaa maji akaita mma, kwanza aliyumba na kwenda chini, wenzake wakabaki kutizamana tu wote kwa pamoja wakaja na kumzunguka.
Hafidhi akawekwa mtu kati
watu sita kwa mmoja ajabu
Hafidhi akaanza kufuka moshi (Why?.......
“oyaa jamaa kawasha bange"
kwa kutumia siraha zao wakaanza kumshambulia
Mwanaume akawa ana wakwepa tu akiruka huku na kule na kuwapa ngumi na mateke ya maana.
Jamaa mmoja akajiandaa kumpiga
Hafidhi chupa ya kichwa ile anapiga tu
Mwanaume kwa kasi ya ajabu akaishika shingo ya jamaa mwingine na kumzungusha akamleta kwa mbele,
Chupa ikatua usoni kwa mwenzake
yani akamchanachana vibaya sana kitendo bila kuchelewa
Hafidhi akafutuka na zinga la take kumpiga yule aliyepiga chupa.
Akarushwa hewani na kutua chini kichwa kikadidimia chini ya mchanga.
Mwingine akapiga panga
Mwanaume akadaka ikawa jamaa kashika mpini Hafidhi kashika kwenye makali.
Kila mmoja akavuta
mkono wa Hafidhi ukawa unatoa damu si kashika kwenye makali, kwa kasi ya ajabu akafanya kama kuliachia hivi na kuzunguka
yule jamaa akajikuta anapigwa kiwiko
cha taya, mpaka panga akaliachia.
Mwanaume akakamata panga ndio ikawa balaa tupu.
Salma baada kuambiwa akimbia akatoka mbiombio kurudi nyumbani kwao
kutoa taarifa
wakati anakatiza kichochoro fulani hivi
akasikia anaitwa
“Salma"
Akasimama na kumuangalia huyo anaemwita ni nani,
“whao Devid kipenzi changu umerudi kumbe?"
Akauliza hivyo huku akienda kumkumbatia
basi Devid akamtekenya kidogo mtoto akatoa mguno
“ahaaa,,,,,opsiiiiiii,,,,,
Wakakutanisha midomo yao na kuanza kupata denda, yani
Salma kashajisahau kabisa kama kule binamu yake yupo katika hali ya hatari.
Huku sasa mwanaume akatembeza kichapo kwa kutumia lile
Panga alikuwa akipiga kwa kutumia ubapa.
ndani ya dakika kumi kila mmoja alikuwa kalala chini
Akiugulia maumivu tu huyu kichwa
yule mguu mwingine kiuno.
Hafidhi baada kuona kamaliza kazi akaichana T-shirt ya jamaa mmoja na kujifunga mkononi
pale alipojikata na panga kisha akaondoka zake kufika home
Beatrice akamfata kwa nia ya kumkumbatia
sema Zulfa akawai yeye.

Kitendo cha Zulfa kuja kumkumbatia Hafidhi
Beatrice akachukia vibaya mno,
yani akatamani hata kumtia ngumi.
Zulfa nae kwa makusudi tena kwa sauti kubwa akasema
"whaoo baby wamie huyo ametoka mazoezini"
ajabu
Hafidhi kwa sauti ya ukali kidogo akasema
"niache usinishike"
Kisha akamtoa mwilini mwake na kumuweka pembeni.
Zulfa binafsi
hakutambua kama mwenzake kavurugwa huko alipotoka.
Basi kina Beatrice wakaangua vicheko
"ha!ha!ha!ha! kujifanya kimbelembele kama
shipa la kunguni hillooo".....
Zulfa akabaki kujiuliza
huyu mwanaume vipi juzi tu nimemvulia chupi leo hii
anitaki, kumkatikia kote kule".......
akamkata jicho la hasira
Beatrice akijuwa huyu ndio mchawi wake baada
Hafidhi kuingia ndani dakika si nyingi akatoka na kuuliza
"jamani Salma yuko wapi?"
wakati huo Zay alikuwa anakaanga chapati za maji, sauti yake ya kusonya ndio iliyosikika kisha akasema
"hivi wewe mwehu kweli kwanza umetupita hapa bila kutoa salamu
ukaingia zako ndani.
Kisha utoke uanze kumuulizia malaya wako
inahusu"
Hafidhi akamtizama yule binti akauliza tena
"jamani Salma yuko wapi"......
Beatrice akajibu
"mimi sijamuona tokea niamke kamcheki chumbani kwake"
Zay akaendelea kusema
"bwana wewe embu usitupigie makelele kama
Malaya wako kamtafute huko".......
Hafidhi kwa kasi akaenda na kukipiga teke kikaango na ile sahani ya chapati kisha akamshika Zay shingoni
utasema kuku kishingo.
Yani akazivuta zile nywele sijui wigi au kashonea.
Akapiga kelele niachee wee m***nge".....
Akanaswa kibao akayumba kabla hajaenda chini akadakwa na kukaziwa face kitendo cha kutizamana macho kwa macho na
Hafidhi
Zay akaanza kutetemeka kwa sauti yenye kuunguruma akaulizwa
"nani malaya?"
Akajibu
"ni mimi ndio malaya" yani kulia alitaka kujamba akajamba
"haya unaweza kunijibu Salma yuko wapi"......

"mi sijui'
"ok! hayo ndio majibu sio kuanza kutukana watu pasipo sababu kama kusalimia ungeanza wewe kuna ubaya
gani"....pumbavu zako,
Hafidhi kama haitoshi akamuwasha kofi na kumuacha binti wawatu akienda chini.
Kisha mwanaume akatoka zake kuingia kitaa, ile anatoka tu kuna vijana kama wawili hivi wakaingia wakiwa wanahema,
Zay baada kupigwa kibao na kudondoka chini
akabaki kulia na kutukana matusi
"hiiiiiiii nyau wewe mshenzi malaya mkubwa wee nipige tu hunijui ehee kama mimi ndio commando".....
wakati analia na kuongea hivyo alipowaona wale vijana tu
akanyanyuka huku akisema.
"afadhali Sheby umekuja mwenzako nimepigwa".....
Mmoja kati ya wale vijana akauliza
"nani kakupiga baby, niambie haraka nikamtoe utumbo"

"ni yule jamaa mgeni"
Sheby kusikia jamaa mgeni akauliza
"unataka kusema yule aliyempiga Cholo jana au sio huyo?"

"ndio yeye baby, yani kanipiga huku na hapa"......
Sheby akamtizama hizo sehemu alizopigwa mpenzi wake na kumpa pole kwa kumwambia
"pole sana baby sema nini angalia na watu wa kuwachokoza yule
Jamaa hafai kabisa,
asubuhi hii hii kakunikisha huko beach,
Cholo si kamtumia kikundi cha Nyonya mavi kwa urimi,
Kufika kule beach jamaa kawafinya wote sita, hivi ninavyoongea
Cholo anajiandaa kuukimbia mtaa,
sijui huyu jamaa Commando au jini maana watu sita walioshiba tena wana siraha kawafyeka fyuu"......
Wakati Sheby anaongea hivyo kikundi cha wapangaji wa nyumba ile wakawa wamejikusanya kusikiliza tu
Bulongo akajisemea
"kama mambo yenyewe ndio haya tujiandae kulipa kodi kulala saa moja".....
Hafidhi akiwa kavurugwa akaingia kichochoro hiki na kutokea kile
Ghafla akaweza kumuona
Salma amebambanishwa ukutani akiliwa denda huku akishikwa shikwa maziwa yake mtoto wakati huo yuko
ndembendembe,
Hafidhi akasogea ile sehemu na kuuliza
"nyie mnafanya nini hapo?"
Salma akashtuka baada kugundua ni kaka yake akabaki kubabaika tu,
David akatema mate chini na kusema
"wee boya potea faster watu tujilie vyetu, kama chabo kapige kwa wazazi wako".....
Hafidhi hakutaka kuongea sana akamshika mkono Salma na kumpiga kofi huku akimwambia nikukute nyumbani"
David akajifanya kujuwa eti amzuie wee
akachotwa zinga la mtama na kwenda chini.
David akaishia kusema
"mamaa kiuno changu wakati Salma akatoka mbio.

"sikia nikwambie kitu wewe bwege, siku zote usitake kumdharau mtu usiemjuwa kingine ukiulizwa swali jibu kama inavyotakiwa.
Sasa basi yule binti ni
Dada yangu ole wako nikukute nae nitakata shingo yako"
Hafidhi akachimba mkwala kisha huyoo akaondoka na kumuacha
David akisema dahaa".....
Wakati Sheby akitoa maelezo kwa kusema
Hafidhi hafai hata kidogo
Ghafla kila mmoja akashtuka na kuitaji kukimbia baada Salma kupita pale uwani mbiombio,
"vipi mbona Salma yuko vile".....Bulongo akauliza hivyo
Joyce akajibu
"wee umuoni analia kama ajapigwa zinga la mbao atakuwa kapigwa dole"
"wee Joyce acha matusi yako kidole unakijuwa au unasema tu"

"ndio nakijuwa si hiki ndio kidole au nini"
Joyce akaongea hivyo huku akimuonyeshea Bulongo kidole cha kati, wengi hupenda kukiita cha matusi
Bulongo akakasirika na kutaka kumvamia
Joyce kisa kamtukana
"Bulongo embu tulia kwanza wenzako tuko hapa kudiskasi jinsi ya kujiunga na Mchina mweusi wewe unaleta nyege zako
nitakutwanga ohoo"......
Sheby akiwa na hasira akaongea hivyo na
kumkunja Bulongo kidogo hali ikatulia
Hafidhi baada kuachana na David akawa anatafuta kibanda cha mama ntilie kama wanauza supu akanywe
akiwa anatizama huku na kule akasikia anaitwa
"wee kijana"
Akageuka kutizama je anaitwa yeye akamuona mama mmoja wa kikubwa
hivi kwa ishara ya mkono akaitwa. Basi akasogea mpaka pale kibarazani yule mama alikuwa akiuza vitumbua na chapati.
"Shikamoo mama yangu"
"marhabaa kijana vipi hujambo?"

"mimi sijambo tu nilikuwa naulizia sehemu hii hakuna sehemu yeyote wanapouza supu"

"sehemu ipo hapo kwa mbele kidogo sema nimekwita hapa nikwambie kitu hivi wewe ni mgeni ehee".....

NAOMBA SAPOTI, KUNA MATANGAZO(ADS) YANAJITOKEZA KWENYE APP YETU, LIMOJA LINAJAA KWENYE KIOO CHAKO JINGINE LINANG'ANG'ANIA HAPO CHINI KABISA, BONYEZA JAPO MARA 2 AU 3 KILA UKIFUNGUA SIMULIZI HIYO ITANIPA NGUVU YA KUENDELEA ZAIDI NA SIMULIZI ZETU🙏🙏

TAZAMA KICHEKESHO HIKI KISHA BONYEZA SUBSCRIBE ILIYOPO CHINI YAKE WAKATI TUKIELEKEA KWENYE MUENDELEZO



USIKOSE SEHEMU YA SABA

Maoni, Ushauri na Chochote Share Namimi Katika Mawasiliano Haya:
+255 718 274 413 Ipo WhatsApp
+255 764 339 438
ZephilineEzekiel@Gmail.Com
8 Mtaa wa Tatu Simulizi
Jiunge kwenye mazungumzo
Chapisha Maoni