UTAMU WA DADA (1)
JINA: UTAMU WA DADA Mwandishi: Kelvin Chitanda SEHEMU YA KWANZA Mapenzi yamekuwa chachu sana kwenye ulimwengu huu wa utandawazi ambao mitandao na dhana nyingine nyingi za kileo zimekuwa na dhima kubwa sana katika kuongeza tatizo la kuvunjika kwa maadili katika watoto hata wakubwa wa jamii zetu za…