MAMA MWENYE NYUMBA (36)
Zephiline F Ezekiel
6 min read
SEHEMU YA THELATHINI NA SITA
Kiukweli dada yake Edgar mkubwa hakujuwa aseme nini, zaidi alipoagana na yule mama aka elekea nyumbani kwake nakuingia ndani, akaitoa simu yake na kuanza mawasiliano, kwanza alipiga simu kwa mdogo wake anaye mfwata, “we! mama semeni, hivi una taalifa yoyote ya kule nyumbani,”SASA ENDELEA...
Lilikuwa swali la kwanza mala tu baada ya simu kupokelewa, “ipi tena kuna zaidi ya ile ya baba kuumia?” aliuliza mama semeni kwa mstuko mkubwa “hapana, nazani baba ameuza mashamba mpigie mama tatu tukutane, ili tujuwe la kufanya”
Taalifa hizo zili samba mpaka kwa bwana kazole, akaduwaa “nimiujiza gani imetembelea kwa huyu mzee” alitaaruki bwana Kazole akipanga kujuwa chanzo cha fedha cha mzee Haule, ikiwezekana na yeye afaidike kupitia mke wake, kumbe mkewake alisha kutana na wadogo zake wawili, kujadiriana kwakile walicho kizani ni kwamba baba yao kauza mashamba na kukarabati nyumba pamoja na kufungua biashara, lengo likiwa ni kwenda kudai mgao wao,
Hatima ya kikao chao, kilicho fanyika nyumbani kwa dada yao mkubwa, nikwenda moja kwamoja nyumbani kwa wazazi wao, maana walidai hawazezi kuku bali kukosa fedha, ambayo wali dai wazee wao wame uza mashamba, hawa kupoteza muda safari ikaanza huku wakipania kuondoka na fedha nyingi kama mgao wao
Huku nako bwana kazole alipania kweli kweli kujivunia fedha za mzee haule kupitia mke wake, siku hiyo alirudi mapema sana nyumbani kwake, alikuta peupe, mke wake hakuwepo nyumbani, akampigia simu, ndipo mke wake akamwambia kuwa ameenda kwa wa zee wake luhuila seko, mke wake alifunguka sababu ya kwenda kwa wazee hao kuwa ni kwenda kufwata mgao wa fedha ambazo bado walikuwa na Imani wazee hao wame uza lasili mali zao, hapo bwana kazole akatabasamu akijuwa leo ata pata mkwanja wa maana, akatumie na kimada wake
Siku hiyo mzee haule alikuwa ameamka vizuri zaidi, alikuwa ame toka nje ya nyumba yake, akaangalia dukani, akamwona mwanae Faraja ana endelea na biashara. ambayo kiukweli ilikuwa inamwendea vyema kabisa, maana ilifikia kipindi wateja wakawa wanagombaniana huduma, kutokana na wingi wao, kiukweli kwa sasa bahadhi ya bidhaa zilikuwa zime wekwa kwa nje ya duka kutoka na wingi wake, ndio maana kwa sasa ameamua kuje nga duka kubwa kwaajili ya kutanua biashara yake, baada ya kulizika na ukaguzi wa duka, mzee haule akazunguka nyuma ya nyumba yake ambako alimkuta mke wake, ambae kwa sasa alikuwa anapendeza pengine kuwazidi ata mabinti zake ambao sikuzote ujiona kuwa wamefanikiwa kimaisha, mzee haule alimwangalia mke wake, ambae alikuwa anaweka madhingira safi kwenye shamba la o la migomba kwa dakika kazaa, huku akitabasamu, ndipo mama huyu alipo gundua uwepo wa mume wake eneo lile
“Hoo mbona ume duwaa alafu uana cheka peke yako” aliuliza mama Edgar, “unajuwa mke wangu siku nakuoa sikujuwa kitu kimoja” hapo mama Edgar akasimama na kumsikiliza mume wake, “kitu gani hicho?” aliuliza kwa shauku, “kumbe wewe ni mzuri bwana, yani natamani nikutungoze upya” hapo kicheko kika lipuka wote wakacheka, huku mzee huyu akijiunga na mkewake kuweka mazingira safi, wakati wao wana cheka na kufurahi hawakujuwa kuwa mabinti zao wamesha ingia pale nyumbani kwao, wapo dukani wanaongea na Faraja mdogo wao, “inamaana wewe wakutuficha jambo sisi, haya sasa kiko wapi ulizani hatuto juwa? tumejuwa sasa tuambie meuza mashamba yepi? na nishilingi ngapi?” alipayuka dada mkubwa huku wateja wakishangaa, “dada samahani bola mka mwulie baba mwenyewe yeye ndie atakae waeleza, maana mimi sijuwi cha mashamba wala hiyo ela mnayo taka kuijuwa” hapo uli fwatia msonyo mkali toka kwa mama Semeni, kisha wakatoka kwa hasira, waki elekea kwenye nyumba, ambayo ilikuwa tofauti na ile waliyo ishi toka wana zaliwa mpaka wanend kuolewa, “eti, hooo sijuwi” alisema dada mdogo kidogo, huku akiminya pua
“Yani yeye na mume wake kazi kula tu! ela za baba, si wakafanye vibarua vyao” “tena ona linavyo nenepeana” waliongea kwa hasira huku wakipokezana, wakaingia ndani bila hata kupiga hodi, mle ndani mcho yao yaka tawaliwa na vitu vigeni kabisa ambavyo kiukweli hawakuwai kuota kama wazazi wao wange kuja kumiliki siku moja, makochi ma kubwa ya kisasa sti mbili, yaliyo zunguka meza mbili za vioo, juu ya zulia la manyoya, lililo tandikwa kwenye malu malu (tayles) safi za ku ng’aa, tivi kubwa ya kisasa redio na mispeeker mikubwa ya kisasa, pia makabati mazuri ya vioo ya kuifadhia vyombo, na friji la vinywaji, huku pembeni meza kubwa ya chakula na viti vyake vyote vikiwa vipya kabisa, “karibu jamani samahani viatu tuna vua mlangoni” walistuliwa na sauti ya mschana mmoja ali valia nazifu kabisa, mavazi ya kufanyia kazi kama wahudumu wa mahotelini, wakajiangalia miguuni kweli walikuwa wameingia na sendo zao, ambazo zilikuwa zime jaa vumbi, kutokana na kuutwanga mguu toka mjini mpaka kwa wazee wao
“Kwani wewe ninani?” aliuliza mama Semeni akiwa na wasi wasi pengine ata nyumba ilisha uzwa au kupangishwa ndio maana mle ndani wame mkuta vile, “mimi ni mfanyakazi wa humu ndani” hapo wote wakatazamana kwamshangao, “mfanya kazi?” wakauliza kwa mshao wao hule hule, “ndiyo, kwani nyie ni wakina nani?” alijibu yule dada, ambae nikweli ni mfanyakazi alie letwa kwaajili ya kusaidia kazi pale nyumbani, “makubwa, ebu tuitie mama mwmbie wanao wamekuja”alisema dada mkubwa, “mama yupo nyuma huku kwenye shamba la midizi” alijibu yule dada akionyesha kushangazwa na wageni hawa wanao jiita ni watoto wa boss wake, kusikia hivyo walitoka mbio mbi wakizunguka nyuma ya nyumba, ambako licha ya ile miti ya mitunda na midizi sasa waliona kuna jingo linguine kubwa likionyesha dalili yakuifadhiwa mazao, mzee haule akiwa na mkewake wakiongea na kucheka kwa furaha, hwana ili wala lile
“Shikamoni” walizikia salamu hizo kama tatu zikipishana pishana, wakageuka nakuwa tazama wasalimiaji, walikuwa watoto wao, “hooo malahaba karibuni” waliitikia kwa furaha wazee hawa, kitu kimoja walicho nacho wazazi hawa, licha ya watoto wao kuwa na loho ngumu juu yao, lakini kitu cha kushangaza wali wapenda sana mabinti zao. licha yakuchekwa na majirani na marafiki lakini wala hawakujali, “sisi siyo wakaaji” aliongea mama semeni akiwa ame shika kiuno, huku wote wame jinunisha na kukunja sura zao, “kama siyo wakaaji sasa kikubwa nini” safari hii aliuliza mama yao ambae siku zote ndie uwa makali kidogo juu yao, “tumekuj mtueleze ukweli, maana mala yakwanza me uza mashamba kisa Edgar anaenda chuo, safari hii meuza mashamba, tena bila ata kutuambia, tunaomba chetu, maana Faraja na mume wake ndie mme mwona wamaana, sisi wangine atuna maana” alisema dada mkubwa huku wengine wakitikisa vichwa kukubariana na dada yao kwamba anachosema nikweli
“Nani ame waambia kuna shamba limeuzwa?” aliuliza mama yao wote wakatazamana, hakuna alie towa jibu, “au mmeona haya tunayo yafanya?” wote walikosa tena jibu, “kama ndo mna danganyana hiyvo basi mmenoa, tena kwa taalifa yenu mwaka huu tuta lima kwa trekta mashambayote, na lile mnalozani tumeliuza tumesha ligomboa” hapo wakazidi kushangaa, kabla dada mdogo kuuliza, “sasa hizi fedha mmezitoa wapi?” hapo mam yao akacheka kidogo, mge kuwa mna pokea simu zetu mnge juwa yote hayo, karibuni ndani mka pate ata soda za baridi,”aliongea yule mama akiwa kosha wanae makusudi, kisha akendelea na kazi zake, muda wote baba yao alikuwa kimya akiwatazama ma binti zake wakiongea na mama yao
“Mama sisi tuna taka tujuwe fedha zote hizi mmezitoa wapi? kamsiyo mmeuza mashamba?” aliuliza mama semeni huku mke wa bwana kazole akidakia, “kweli siyo mna tuzuga tu! kwa soda baridi, mtuambie mliko zitoa” hapo mama yao alisitisha kidogo kazi yake, akawatazama watoto wake kwa zamu, “tulienda kuchukuwa fedha alizo nwea pombe mpaka akakabwa, si ndivyo ulivyo tushauri, kipindi baba yako ameumia?” aliongea mama yao kwa sauti tulivu yenye kusuta, akimtazama dada yao mkubwa, ambapo wote wakatazama chini kwa ahibu “mama Edgar yaliyopita yame pita, ebu usi waongelee watoto hivyo” aliingilia kati mzee haule, “weeeee usi nitanioe baba Edgar wakati mimi nalia peke yangu, wewe ulikuwa ume lala tu, awa nimesha juwa wanacho itaji, hawapati ata shilingi kumi yangu” hapo mzee haule akajuwa kweli mkewake anamaanisha maana kwa sauti ya uchungu aliyoitoa, mh akajikongoja na kusogea pembeni ambako aliendelea na kazi yake, huku mkewake pia akiachana na mabinti zake na kuendelea na kazi yake, “twendeni tutajuwa la kufanya, mpaka kieleweke” maneno ya dada mkubwa mama Edgar aliyachukulia kama ni maneno ya mkosaji, akawashuhudia watoto wake wakiondoka kwa hasirs na ghazab
Maisha yali songa siku zika enda atimae ni miezi mitatu toka edgar aanze chuo pale kibamba, nijana tu alikuwa ametoka kumaliza taratibu za kumaliza chuo baada ya kumaliza mitihani yote ya mwisho, ilikuwa jumosi saa nane mchana, Edgar akitokea makuti lodge, ambako alikuwa ametoka kula kitumbua cha mama Sophia, walipana kwenye gari la mama Sophia Toyota vits, wakatembea moja kwa moja mpaka njia panda ya makabe, Edgar akashuka akisindikizwa na busu zito la mdomo kisha mama Sophi akashuka njia kuelekea kwake, Edgar akashika njia kuelekea benk ya wananchi tawi la ubungo kwa mpenzi wake Suzan, japo hakuwa ame mtaalifu kuwa ataenda huko lakini alijikuta ameamua kupitia kiwa hajuwi anaenda kufanya nini, ila kiukweli tokea jana jioni, wakiwa na Joyce wakipeana mautamu, chumbani kwa Joyce, ambapo Joyce alipozidiwa na utamu kaongea “mpenzi husiniache najuwa unamaliza chuo, lakini usinikimbie, bado nakuitaji” kiukweli kauli hiyo ambayo leo tena mama Sophia aliirudia wakiwa chumbani pale makuti lodge
“Edgar najuwa un maliza chuo unonaje niku amishe kwa Suzan nikupangie sehemu, nitakutafutia kazi au nikufungulie biashara” wakati huo Sophia week moja nyuma naye aliongea maneno ambayo, kiukweli yalizidi kumkosesha amani, “ilikuwa ni baada ya kugalagazana sana kitandani, nakuamua kupumzika “Edgar naona kila siku nazidi kuku penda unaonaje nitafute uamisho, niamie ata morogoro au kwenu Songea, ili unioe kabisa, uachane na Suzan” kauli hizo zote zili mfanya Edgar ajione ni mkosefu sana mbele ya Suzan, Edgar wakati anakaribia benk akakumbuka kupiga simu kwa mpenzi wake ambae anamweshimu na kumchukulia kama mtu muhimu sana kwake, asa kutokana na yeye Suzan anavyo mchukulia Edgar na kumjali, utazani wame zaliwa pamoja au mume wandoa, alafu yeye ni mume na Edgar ni mke, maana alimfanyia kila kitu, ikiwemo msaada mkubwa kwa wazazi wake, akapiga simu kwa Suzan kumjulisha kuwa anakaribi a pale ofisini, “hoo jamani Edgar nimetoka, njoo hapa tulipo kula sikuile, kwenye ile bar”
TAZAMA KICHEKESHO HIKI KISHA BONYEZA SUBSCRIBE ILIYOPO CHINI YAKE WAKATI TUKIELEKEA KWENYE MUENDELEZO

USIKOSE SEHEMU YA THELATHINI NA SABA
Maoni, Ushauri na Chochote Share Namimi Katika Mawasiliano Haya:
+255 718 274 413 Ipo WhatsApp
+255 764 339 438
ZephilineEzekiel@Gmail.Com
Maoni, Ushauri na Chochote Share Namimi Katika Mawasiliano Haya:
+255 718 274 413 Ipo WhatsApp
+255 764 339 438
ZephilineEzekiel@Gmail.Com
Chapisha Maoni
Chapisha Maoni