Simulizi Mpya
Tidak ada notifikasi baru.

MAMA MWENYE NYUMBA (53)

Mwandishi: Mbogo Edgar

SEHEMU YA HAMSINI NA TATU
Hapo Rose akahisi mtekenyo ambao uliambatana na utamu ulio samba kuanzia kwenye utosi mpaka kwenye nyayo zake, nakutamani kuingiziwa dudu mida hiyo hiyo

SASA ENDELEA...
“Ingiza Eddy ... ingiza baba...” aliongea Rose akipitisha mkono wake uvunguni kwake nakuipokonya dudu kwenye mkono wa Edgar kisha akaichomeka kwenye kitumbua, akaanza kutikisa kiuno huku akiushika mkono wa Edgar ana kuuleta kwenye ziwa lake, hapo Edgar akaanza kupump akisaidiwa na Rose aliekuwa akiendelea kutikisa kiuno na kufanya makalio yake yacheze nakutikisika kwa namna ya kuamsha mzuka, huku pumb.. za Edgar ziki piga na kusugua kwenye kialaghe ambacho kili kuwa kina pata shida ya kusuguliwa na dudu na hizo kegere

“Tamu jamani... Edgar nakesho tena.. unajuwa kutomb.. mpenzi wangu” alibwabwaja Rosie huku akiendelea kukatika kiuno cha mzungusho, mchezo uli endelea huku Edgar wakati mwingine akiisimamamia, au kupiga goti moja, akiizamisha dudu mpaka akawa anahisi anaguza kitu ndani ya kitumbua, “Eddy ... Eddy.. ume... mefika... hapo hapo patamu husitoe mwenzieo nasikia ...nasikia utaaaamuuuu” dakika kumi na tano mbele Rose alijibwaga jkitandani nakusababisha dudu ya Edgar ichomoke kwenye kitumbua “tupumzik kidogo baby,” alisema Rose akiwa ame jilaza kifudi fudi kitandani, “naomba hiyo chupa ya mvinyo” Rose alimwambia Edgar, anayeye akatoka kiatandani nakuifwataile chupa iliyo kuwa na mvinyo mwekundu iliyo kuwa imefunguliwa tayari, akaichukuwa na kumpatia Rose, ambae aliiweka mdomoni na kupiga funda moja languvu

“Najisikia kiu mwenzio “aliongea Rose akimpatia ile chupa Edgar, ambae nae aliinywa kidogo na kuiweka mezani, “twende tukaoge” aliongea Edgar akijaribu kumshika mkono Rosie, waende bafuni “unataka ukani tomb..e bafuni?” aliongea Rose akiudaka mkono wa Edgar akakuinuka wakingia bafuni, huku wanacheka, ndani bafu wakiwa wana mwagikiwa na maji ya bomba la mvua, Rose alianza kwa kuichezea dudu ya Edgar ambayo ilikuwa ime simama bado, aka chuchumaa huku bado anaichezea dudu ya Edgar “nikikuumiza na meno niambie, maana mh!” aliongea Rose huku akimtazama Edgar usoni, kisha aka ilengesha mdomoni na kuidumbukiza, akaza kinyonya, safari hii Rose alijitahidi, baada ya dakika kama kumi na za kumnyonya dudu, Rose akasimama na kujisogeza karibu kasa na Edgar hapo Edgar akamshika mguu moja Rose na kuupandisha kwa juu akikumbuka stayli moja aliyo wai kuifanya na Suzan, tena walikuwa bafuni kamavile, kisha akaipenyeza kwa chini dudu yake, nayo ikateleza nakuingia ndani kazi ikaanza taratibu, sekunde chache baadae Rose alionekana kuzidi kunogewa na dudu, maana alianaza kuhema pumzi nzito na kamguno ka utamu wa dudu kwenye kitumbua chake, huku akisogeza midomo yake kwenye midomo ya Edgar, nakuanza kunyonya urimi wa kijana huyu matata, ambae akujuwa alicho toka kukifanya huko Dar mcha wa uliopita

Dakika tatu mbele wakasogelea ukutani, hapo Edgar akambana Rose kwenye kona moja ya bafu lile nakumnyanyua miguu yote miwili, akiyakamata makalio ya Rose, huku Rose mwenyewe akizungusha mikono yake shingoni kwa Edgar, dudu ikiwa ndani ya kitumbua, hapo Rose alikuwa akinesa nesa, nakuipanya dudu iwe ina piga nje ndani “unanifanya nikupende weee Eddy weweee, unajuwa kuto..” alipiga kelele Rose huku kazi ikiendelea, kazi ambayo aikuchukuwa mda refu sana, kutokana na uzito wa Rose, walibadiri na sasa Rose alishikilia ukuta akiwa amesimma na kurudisha kiuno chake nyuma, kisha Edgar akaingiza kiulainiiii kama ananawa, kazi ikaendelea, dakika kumi mbele wotw kwa pamoja wakatangaza ushindi, hapo kilicvhofwata nikuoga na kwenda kulala Rose akiwa hoi, Edgar akimalizia ule mvinyo uliokuwa kwenye chupa iliyo funguliwa, ilsha timia saa tisa na nusu

Mida hiyo ni mida ambayo mama Sophia alikuwa ametoka kupokea simu ya Suzane, iliyo pigwa kwenye simu ambayo mwanzo alizani ni yamume wake, “nikweli hii ni simu ya Edgar” alisema mama Sophia akiwa anaigeuza geuza ile simu, “inamaana aliefanya haya ni Edgar, na alifikaje kwenye gari la mume wangu?” aliongea mama Sophia akichukuwa simu yake na kujaribu kipiga namba ya Edgar, kweli simuile ikaita na jina likaonekana ‘mama Sophi’ “makubwa inamaana huyu mzee na awa vijana, walitaka kumdhuru Edgar” aliwaza mama Sophi, “kwahiyo Edgar akajiokoa” aliendelea kuwaza nakuwazua mke wa bwana Mashaka, “au atakuwa amegundua kuwa Edgar nime tembea nae, au amendundua kuwa anatembea na Suzane, maana awezi kukasilika kwa kumpa mimba mwanae” aliumiza kichwa mama sophia, “ngoja ukweli utajulikana tu, sasa Edgar yupo wapi”

Saa moja nanusu za asubuhi, ndiyo mida ambayo Sophia alikuwa anaingia maeneo ya benk ya wananchi tawi la mbezi kwa lengo la kuonana na Suzan kumweleza kuhusu Edgar kutembea na mama yake pia wakati yeye anaujauzito wake, akitokea nyumbani kwake akiwa na hot pot lenye supu pamoja na mfuko wa chapati pembeni, akiwa ame viweka kwenye seat ya mbele ya abiria, alisimamisha gari lake nakushuka kisha kuelekea ofisini kwa mhasibu msaidizi, lakini leo alimkuta mtu mwingine kabisa, lakini ana mfahamu, “karibu dada poleni na kuuguza” aliongea kijana alie mkuta mle mle ndani, alikuwa anamfahamu

“Ahsante sana’ vipi huyu nimemkuta?” aliuliza Sophia pasipo kujuwa kuwa yule kijana alkuwa anamaanisha kuwa mgonjwa ni Suzane, na siyo baba yake, “bado haja toka hospital, tume pata taalifa kuwa ame zinduka saa tisa za usiku” alisema yule kijana ambae alikuwa anajuwa kabosa kuwa Sophia ni rafiki wa karibu wa Suzane, hapo Sophia akaduwaa, lakini akachezesha akili ya haraka sana, nakujifanya anajuwa kuwa rafiki yake alilazwa, “unajuwa jana nilisafiri kidogo, sasa nime ipata hii taalifa juu juu, kwani Suzane alilazwa?” aliuliza Sophia kwa mshangao, na yule kijana aka msimulia kuwa, Suzane alipata mstuko wa ghafla na kuzimia, akakimbizwa hospital ya Matumaini ya Dr Stellah, hapo Sophia akaondoka kuelekea Hospital kumtazama Suzan akiwa na uakika atakuwa amepata mstuko baada ya kusikia kuvamiwa kwa mzee Mashaka, “na sasa atazimia tena akisikia mpaka mama keshaliwa na Edgar, lazima ata mtimua” aliwaza Sophia huku akikata kona ya kuingia Matumaini Hospital...

Sophia alimwona Suzan akiwa ameshika karatasi mkononi mwake, lkini kitu cha hajabu, alimwona Suzane na mwenzake, wakionyesha kuwa na furaha sana, licha ya kuwa aliambiwa kuwa Suzan alikuwa ame lazwa kwa patwa na mstuko, tena toka jana saa tano, na kuzinduka manane ya usiku, lakini alimwona Suzane akiitazama ile karatasi na kuendelea kushangilia kwa kuruka ruka, huku akitembea kwa speed kuelea kwenye gari lake, “mshenzi wewe, ngoja nikuletee na hili la mama, ufe kabisa” kitu chakushangaza Sophia ambae alitegemea kumkuta Suzane kitandani akiwa na hali mbaya, alijisikia kuchukizwa na ile furaha ya Suzane, ambae ni Rafiki yake wa toka chuoni, Sophia alisimamisha gari na kushuka, akatembea kumfwata Suzane na mwenzake, ambao walikuwa wanafungua gari tayari kuingia ndani

“Suzane nisubiri kidogo” alisema Sophia akiongeza mwendo kumfwata Suzane ambae alisimama baada ya kumwona Sophia, “mambo jamani” alisalimia Sophia akijitaidi kuficha haliyake ya chuki zidi ya Rafiki yake Suzan, “poa zakwako?” alijibu Suzan akimtazama Sophia usoni, huku tabasamu likichanua usoni mwake, “nimesikia ulizimia, mbona naona kamaaaaa..... ni tofauti na nilivyosikia” aliongea Sophia akishindwa kumtazama Suzane usoni, “nikweli nilipatwa na mstuko baada ya kusikia Edgar ametekwa, na mpaka sasa sijuwi yupo wapi, nikipiga simu yake anapokea mama yako anasema alikuwa nayo baba yako,” aliongea Suzane akianza kubadirika usoni na kuwa na uso wa uzuni, huku Sophia akishangaa kwa maneno ya Suzane, hapo akaanza kupata picha ya kwanini mama yake anasimu ya Edgar, “Sophia najuwa umemwambia baba yako kuhusu mimi na Edgar, ndiyo maana baba yako amemteka Edgar, naomba kaongee na baba yako, amwachie Edgar aje tulee ujauzito huu pamoja, asimdhuru ili amwone mwanae akizaliwa” maneono hayo licha ya kumstua Sophia, lakini pia yalimstua Monica, kwamala ya kwanza akafahamu kuwa Edgar ni mpenzi wa Suzane, na siyo kaka kma alivyo tambulishwa, “mimba! ina maana na wewe una mimba?” aliuliza Sophia akionyesha mshangao mkubwa wa wazi

Kumbe ilikuwa hivi, ilipoingia asubuhi najuwa kuchomoza, alikuja Dr Matrida, moja wa maDoctor ambao wana fanya kazi kwenye Hospital ya Matumaini, inayo milikiwa na Doctor mrembo na tajili Dr stellah, Dr Matrida alimkagua mgonjwa ambae Jana alimwacha amezimia, akaona mgonjwa anaendelea vizuri kabisa, hapo hapo akamwita ofisini na kumsomea majibu ya vipimo vyake, ambavyo walimpima toka jana nakushindwa kumpatia majibu, kutokana na kuwa amezimia, vipimo vyote vilionyesha kuwa yuposawa, zaidi kipimo cha ujauzito ambacho kilionyesha kuwa Suzane au mama mwenye nyumba ni mjamzito, wenye umri wa miezi miwili, akishauriwa kuanza clinic mala moja, hapo ndipo Suzane alipo toka ofisini kwa Dr Matrida, wakati anatoka pia akakutana na manage wa tawi lao la benk ambae alimjulisha kuwa uamisho wake unaendelea kushughulikiwa, hivyo kwa sasa aende nyumbani akapumzike, huku anajiandaa na safari, atakapoona yupo tayari aende kuchukuwa form yake ya uamisho aende Songea, wakaachana na manage akienda kulipia ghalama za matibabu, huku yeye ana monica wakienda kuchukuwa gari waondoke

Kiukweli Sophia aliachana na Suzane akiwa amevurugwa kichwa chake, maana aliona kuwa ujauzito wake ndiyo fimbo ya kumtandikia Suzane na kumpokonya Edgar, yani mpaka anafika tumbi kule Hospital, bado akili yake ilikuwa imesha hama kabisa, mpaka anaingia kwenye chumba alicho lazwa baba yake, Sophia alikuwa ame tulia kama mzimu uliofufuka, mama sophia alistuka sana kumwona mwanae akiwa vile “mwanangu nilitegemea unge furahi kumkuta baba yako amepata nafuu, kwanini hupo hivyo?” aliuliza mama sophia akimtazama mwanae na kumshika bega, “mama yani mimi sielewi, sijuwi ata kwanini nili mwambia baba,” hapo mzee Mashaka ambae alikuwa bado hawezi kuongea alitoa macho kumtazama Sophia, huku mama yake akijuwa anachotaka kuongea mwanae, nadicho ambacho mzee Mashaka alijuwa anacho maanisha mwanae Sophia, “kumbe kweli aliniona sikuile, nan die alie mpasua binti wa jana,” aliwaza mzee Mashaka, “Sophia umekutana na Suzane?” aliuliza mama Sophia akitaka kuakikisha jambo flani, “ndiyo nilienda kumuona hosptal, na yeye alilazwa baada ya kupata taalifa ya kutekwa kwa Edgar”

TAZAMA KICHEKESHO HIKI KISHA BONYEZA SUBSCRIBE ILIYOPO CHINI YAKE WAKATI TUKIELEKEA KWENYE MUENDELEZO



USIKOSE SEHEMU YA HAMSINI NA NNE

Maoni, Ushauri na Chochote Share Namimi Katika Mawasiliano Haya:
+255 718 274 413 Ipo WhatsApp
+255 764 339 438
ZephilineEzekiel@Gmail.Com
7 Mama Mwenye Nyumba Simulizi
Jiunge kwenye mazungumzo
Chapisha Maoni