MAMA MWENYE NYUMBA (64)
Zephiline F Ezekiel
6 min read
SEHEMU YA SITINI NA NNE
Wakati huo bwana magige alikuwa sebuleni na mke wake, “haaaa kazi nyingine hizi ni usumbufu sana” alisema mzee Magige akisimama huku akijisonya sonyaSASA ENDELEA...
“Vipi tena mwnzetu?” aliuliza mke wake ambae alikuwa nae pale sebuleni waki tazama Tv, “kuna zarula huko kazini wacha kwanza nika waskilize mala moja” alisema mzee Magige akiinuka na kuelekea chumbani, ambako alibadilisha nguo na kuvaa nguo nadhifu za kiraia na viatu vyeusi, pia akachukuwa basora ya ke aina ya revolve, akatazama kama ilikuwa na Risasi, akaziona zipo kumi, akaisundika kwenye kiumo chake usawa wa lisani, akachukuwa kifia yake kubwa ya muara, waswahili wanaita pama, alaiweka kichwani likifunika nusu ya uso wake, kisha aka akatoka chumbani na kuaga kwa mke wake, alafu akatoka nje, ilikuwa ina elekea saa tano na nusu za usiku
Wakati huo huo gari lake la kazini lilikuwa linaingia kwenye uwanja wa nyumba yake kubwa ya kisasa, liliposimama na yeye bila kuchelewa akaingia ndani yagari, akatazama nyuma ya gari, akaona vijana watano wakiwa wame Valia sale zao za kazi tulia kwenye siti zao wapotayari kwa kazi “amjambo vijana?” aliwasalimia, kisha wote kwa pamoja wakaitika, “atujambo afande” kisha mzee Magige Chacha akaendelea, “tuna elekea Nuymbani Lodge, pale kazi ni moja tu, kuna kijana anacheza na demu wangu, nacho itaji ni kumshikisha adabu,” aliongea bwana magige kwa uchungu mkubwa sana huku akikumbuka ghalama anazo tumia kwa mpenzi wake Rose, tena Jana tu ametoka ughalamia safari yake ya Dar es salaam alikuwa ameenda likizo, ilimtoka zaidi ya million kumi
“Kwanza mkifika mna mlegeza huyo kijana alafu mna mpakiza kwenye gari alafu tuna ondoka nae, kitakacho mkuta huko, ata mimi bado sija kijuwa” aliongea bwana chacha huku akichukuwa simu yake na kumpigia Rose, “niambie mama hupo wapi?” aliuliza Magige baada ya simu kupokelewa na Rose, ndiyo na malizia mizunguko ya kukusanya Report kisha nika pumzike, vipi unaongea mida hii umwogopi mkeo?” aliuliza Rose huku mzee Magige akizuwia hasira zake za wazi zilizo zidi kipimo, “ok! poa nita kupigia” mzee Magige akakata simu, maanaamnge endelea kuhoji zaidi Rose ange stukia kuwa ame jaa hasira
“Malaya mkubwa unachukuwa riport guest” alisema Mzee Magige akijisonya sonya kwa hasira, “mkuu we tulia tunachoomba usituwekee mipaka juu ya uyo kijana, kuhusu shemeji atuto mgusa” aliongea mmjoa kati ya wale askari, “hapo ume nikumbusha jambo, Rose msi mguse yeye nita malizana nae mwenyewe,” alisema mzee Magige huku Said akiendesha gari kwa speed ya zima moto, kuelekea Nyumbani Lodge huku Said akiendelea kutoa maelekezo, ya chumba walicho chukuwa na mwonekano wa Edgar, baaada ya dakika kumi na tano gari hilo linalo tumiwa na makamanda wapolisi wenye mamlaka kama ya bwana Magige Chacha , Tanzania nzima, lilisimama kwenye viwanja vya hotel hii ya Nyumbani Peace, na milango ya gari ikafunguriwa mala moja
Askari wepesi wa vitendo walitumia sekunde tano kuwa wamesha shuka toka kwenye gari hilo wakimsubiri boss wao ambae alikuwa anashuka taratibu, kutokana na unene alionano, baada ya kushuka tum zee Magige kitu cha kwakukiona ni Toyota Harrer , alikuwa analifahamu vizuri sana akuwa na haja ya kulikagua au kuulizia maana yeye ndie alie enda kulichagua Dar es salaam na kumnunua kwa million 25, akimnunulia mpenzi wake huku akilisajili kwa jina la mpeziwake huyo ambae leo mida hii, alikuwa ndani anasaliti penzi lao la siri, “ok! mmoja abaki hapa asiingie mtu kwenye lile gari, tulio bakia twendeni ndani, watatu wapite mlango wa nyuma saidi na mmoja wenu aje na mimi” alisema bwana Magige akiongoza kuufata mlango wa Hotel huku uso wake ame uziba kwa kofia lake pana, Said na askari mmoja wakimfwata huku wengine watatu wakieleka upande wapili wajengo ambako kuli kuwa kuna mlango mdogo wa kutokea
Askari mmoja akabaki amesimama kwenye gari walilo kuja nalo huku macho yapo kwenye Toyota Harrer, kuakikisha hakuna mtu anaye ingia kwenye gari hilo, “Karibu anko naona umesha rudi” alisikika yule dada mhudumu wakati wanakatiza mapokezi, lakini akashangaa kuona akujibiwa kitu na wale watu wakikatiza huku mmoja akiwa ame valia sale za polisi, “mh! kumbe huyu kaka ni polisi?” aliwaza yule mhudumu huku akishangaa kuona polisi wengine wakitokea kwenye mlango unao okea upande wanyuma
‘Leo kuna nini.. au niwalee..” aliwaza yule dada mhudumu, akiwa shuhudia wale polisi waliougana na kufikia idadi ya sita, wakikatiza kwenye kolido huku wakitazama kwenye milango kukagua namba ya chumba, akawaona wakiendelea kukagua milango mpaka walipo potelea kwenye kolido la upande wapili, akiwa bado ame duwaaa, mala yule muhudumu akasikia mlango wa chumba kimoja ukigongwa kwa fujo sana, dakika chache baadae akasikia kishindo cha mlango ukivunjwa, hapo akatimua mbio kumfwata manage wa ile hotel, lakini kabla haja fika mbali akasikia mlipuko wa risasi, hapo zilisikika kelele za watu wakitawanyika na kukimbia vibaya sana eneo lote la bar na wengine wakitoka kwenye vyumba vyao na nguo mkononi huku bahadhi wakijifungia ndani kuogopa kutoka wakizani majmbazi wame vamia,...
Kiukweli pale hotelini palikuwa ni patashika.. watu walikimbia na wengine wakihacha magari yao, hapo wakaonekana polisi wanne mmoja wao ameshikilia bega akifuja damu, na wengine walio valia nguo za kiraia wawili wakitoka ndani ya hotel mbio mbio na kuingia Toyota V8 walilo kuja nalo, “tuondoke haraka tumesha, hapatufai hapa, elekea hospital ya polisi haraka” aliongea mzee Magige aliekuwa amevalia kofia yake kubwa ya pama, “sijuwi walicheza mchezo gani wale maana nili waona wakiingia kabisa” alisema said huku akiondoa gari kwa speed ya hajabu akiwa kosakosa watu walio simama nje ya eneo la Hotel wakishanagaa tukio la kusikika kwa mlio wa risasi, ilikuwa laima washangae wakina Magige, sababu walicho tegea ni tofauti na walicho kikuta
Kumbe walipo fika kwenye mlango wa chumba namba mbili ‘B’ kwanza wakapokelewa na miguno ya kimahaba iliyo ashiria kuwa watu humo ndani wana peana dudu kisawasawa, tena sauti ya kike iliongoza kwa kupiga kelele, hapo Roho ya mzee Magige ililipuka kwa wivu na kuongezka kwa uchungu mala dufu, hapo mzee Magige akashika kitasa cha mlango na kuki nyong kwa nguvu, akitaka kufungua mlango, lakini mlango ulikuwa ume fungwa na zile kelele za kusikilizia utamu kwa sauti ya kike, zikiendelea kusikika, “huyu jamaa anajifanya fundi sana” aliwaza mzee Magige ambae ni afisa utawala wa jeshi la Polisi mkoa wa Ruvuma (kwa kipindi hicho) akukumbuka kuwa aijawai kutokea Rose kutoa sauti kama hiyo, atasiku moja wakati waifanya mapenzi
Akaugonga mlango mala tatu mfululizo, kimya kimya akitumia ngumi, baada ya kwenzi kama tulivyo zowea, mala sauti za minung’uniko ya kimahaba zikakata, kimya kika tanda, mzee Magige akaginga tena kwanguvu sana huku akiwa ameshikwa na hasira utazani ame bakwa yeye, akika hawala anauma kuliko mke, “lazima alipie huyu mshenzi, leo na mgonga mwenyewe, huku Rose anashuhudia” aliwaza Magige Chacha, huku akirudia tena kugonga kwanguvu mlango namba mbili ‘B’ “nani wewee” ilisikika sauti ya kiume iliyo zidiwa na ulevi, “nime sema fungua we mshenzi, lasivyo tuna vunja mlango” alisema mzee Magige huku akigonga tena mlango kwa fujo
“Vunja tu kwani nime jenga mimi?” kauri hiyo ili mchukiza zaidi Afande magige ambae alirudi nyuma kidogo na kumwonyesha ishala askari mmoja kwamba auvunje ule mlango, bila kuchelewa askari mmoja akarudi nyuma kidogo, kisha akaufwata ule mlango na kuukandamiza teke moja la nguvu, na mlango uka salimu amri, na kufunguka, wote wakazama ndani lakini ile wanaingia tu! askari mmoja ambae ndie wakwanza kuingia mle ndani, ali stuka akipigwa ngumi nzito ya shavu, kuona vile mzee Magige akachomoa bastola yake na kumlega kijana mmoja, ambae alikuwa huchi kabisa, alie mshambulia askari wake kisha akavuta kifyatulio kwa kidole chake
Wakati anafanya hivyo akastuka akimwona yule kijana akimvuta yule askari alie pigwa ngumi na kujikinga, kitendo kilicho sababisha risasi ituwe kwenye bega la askari yule ambae mzee Magige alikuwa amekuja nae, hapo Magige akaona amesha aliibu kwa kumpiga askari wake mwenyewe nasiyo mgoni wake, akiwa bado ameshikwa na hasira Magige alimtazama tena yule kijana, huku ame nyooshea bastol, ambae, alimwona yule kijana akiwa uchi kabisa, huku bado alikuwa ame mshikilia ule askari kwa kumkaba shingo, wakati mzee Magige anajiandaa kufyetua risasi ya pili baada ya kupata malengo sahii, hapo akili ikamtuma atazame kitandani, ‘mala paaa’ akamwona mwanamke ambae mda wote, alikuwa anaamini kuwa ni mpenzi wake, alikuwa ni mwanamke mwingine tofauti
Hapo akageuza shingo a kumtazama Said, macho yao yaka gongana, nili waona wanachukuwa chumba hiki, niliona kabisa yule kijana akiandika jina lake kwenye kitabu” aliongea Said huku uso wake umeshikwa na aibu, hapo Magige aka mtazama yule kijana ambae bado alikuwa ame mng’ang’ania yule askari, akamkodolea macho ya bumbuawazi, huku akishusha chini bastora yake taratibu, “tuondokee haraka” alisema Magige, kisha wakaanza kuondoka, huku yule kijana alie kuwa uchi, akimwachia yule askari ambae alikuwa ameshikilia begalake lililo kuwa lina vuja damu kwa wingi, wakaondoka zao, “washenzi kabisa hawa jamaa, watakuwa wametufananisha, na wale walio tuachia chumba”aliongea yule kijana akigeuka kumtazama mwanamke wake ambae alikuwa amesha mwaga mikojo mingisana pale kitandani, tuondoke hapa tuka tafute sehemu nyingie ya kulala?” alisema Yule mwana mke akitoka kitandani na kuzi fwata nguo zake
Unajuwa ilikuwaje,? kumbe Rose baada ya kumtuma Egdra aingie ndani ya Hotel akatafute chumba, na yeye kubaki ndani ya gari lake, alikaa sana akiona kuwa Edgar anaachelewa ni kutokana na kushikwa na hamu ya dudu, ambayo jana alichezewa tu!pasipo kulizishwa na mzee Magige,ambae wakati yupo safari alikuwa anachati nae akimsisitiza kuwai kurudi, akidai kuwa nahamu sana, lakini ile kukutana jana usiku alimgusa gusa tu kisha akamwaga mzigo akaaga na kwenda kwake, Rose alisubiri sana simu ya Edgar bila mafanikio
Hata leo alipo kutananae alijiona kama yupo ndotoni, nandio maana akutaka kumwachia Edgar aondoke na yule mdada wanguvu alie jitambulisha kuwa ni mchumba wake, “lakini yule dada anafaidi mweee! lakini siyo mbaya nika kuwa mke mwenzake” aliwaza Rose huku macho yake yapo kwenye mlango wa hotel, akitalajia kumwona Edgar akija kumwita wakapeane dudu, lakini akastuka kumwona Said akitoka kwenye ile hotel
NAOMBA SAPOTI, KUNA MATANGAZO(ADS) YANAJITOKEZA KWENYE APP YETU, LIMOJA LINAJAA KWENYE KIOO CHAKO JINGINE LINANG'ANG'ANIA HAPO CHINI KABISA, BONYEZA JAPO MARA 2 AU 3 KILA UKIFUNGUA SIMULIZI HIYO ITANIPA NGUVU YA KUENDELEA ZAIDI NA SIMULIZI ZETU🙏🙏
TAZAMA KICHEKESHO HIKI KISHA BONYEZA SUBSCRIBE ILIYOPO CHINI YAKE WAKATI TUKIELEKEA KWENYE MUENDELEZO

USIKOSE SEHEMU YA SITINI NA TANO
Maoni, Ushauri na Chochote Share Namimi Katika Mawasiliano Haya:
+255 718 274 413 Ipo WhatsApp
+255 764 339 438
ZephilineEzekiel@Gmail.Com
Maoni, Ushauri na Chochote Share Namimi Katika Mawasiliano Haya:
+255 718 274 413 Ipo WhatsApp
+255 764 339 438
ZephilineEzekiel@Gmail.Com
Chapisha Maoni
Chapisha Maoni