Notifications
  • MY DIARY (19)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA TISATULIPOISHIA...Baada ya hapo niliendelea kumdadisi juu ya tukio lile lakini hakuwa tayari kufunguka zaidi ya kusema aliumia sana. Hapo nikaamua kuutafuta ukweli kwa kutumia mbinu za kike.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nilimwekaa mikono begani na kumwambia pleaee dear naomba uniambie ukweli ili nijue nakusaidiaje? Basi Ramadhani akaanza kulalamika kuwa baba yake amekuwa akimwingilia…
  • MY DIARY (18)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA NANETULIPOISHIA...Halafu eti akawasha simu na kuonesha zile picha alizotupiga kweli huyu rafiki yangu alikuwa hamnazo sio picha tu alituchukua video kabisa na sauti. Akanambia ngoja ampigie paparazi mmoja hivi aje ili atengeneze habari tupate hela. Kauli hiyo ilinikosesha amani na kunikera sana akanmabia eti kuna namna ya kufanya ili sura yangu isitokee.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA…
  • MY DIARY (17)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA SABATULIPOISHIA...Nilijifikiria mara mbili nikajikuta namkubalia kwani alionekana ni mpole na mstaarabu sana.Basi tukaenda hadi kwake ambapo haikuwa mbali na hapo tulipokuwa na kweli alikuwa na chumba na sebule na sebuleni kwake niliona picha ya ukutani akiwe yeye na mke wake nahisi ilikuwa siku ya harusi yao.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nikasema huyu kijana atakuwa amefunga ndoa…
  • MY DIARY (16)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA SITATULIPOISHIA...Mwanamke akaamua kuingia jikoni na kukarangiza viazi na nyama rosti na kilipoiva kililetwa mezani tukaendelea kujenga afya. Sikuaamini kama Joyce alikuwa anakumbuka hata kupika kwa sababu alibadilka sana na alikuwa akiishi maisha ya starehe.. Lakini aliniprovu wrong kwa kutoa rost ya hatari.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Baada ya kula alinambia kuwa alikuwa amechoka…
  • MY DIARY (15)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA TANOTULIPOISHIA...Hapo mzungu wa watu hakuweza kuvumilia tena aliichomeka yote.Mmmmmh mmmmmh ishiiiiiiiiiiii yeaaaaaahhhhhhhh yeaaaaaaah ni miguno niliyoitoa mara baada ya kusikia joto tamu la kiungo hicho.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Ikabid nijivute kwa nyuma ili lengo likiwa ni kukaa vizuri ili kichwa cha nyoka kiwe juu juu ya pango langu ili niweze kukisugua sawa sawa na pia…
  • MY DIARY (14)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA NNETULIPOISHIA...Nikamuuuuliza hivi wewe haugopi maradhi? Akanijibu kuwa angekuwa haogopi basi angeshakufa. Sikiliza Leah hapa nipo na vile vipimo vya ukimwi hivyo usiwe na wasiwasi tutapima wote wanne kama wapo fresh tutaingia kazini wewe si unatafuta hela ya kujiunga na chuo au?IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Kabla sijajibu akanambia nitakupa na dawa ya kumeza ya kuzuia mimba na pia…
  • MY DIARY (13)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA TATUTULIPOISHIA...Joyce akaanza kujimiminia mwenyewe, kweli dunia ina mambo wakati wenzake wakichanganya nay ale maji makubwa yeye alikuwa akinywa kavu kavu.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Basi mimi sikuwa na jinsi zaidi ya kuaagiza ile bia yangu ambayo alinifundisha yaani savanna. Safari hii hakusubiri ili ifike mwisho ili anitambulishe bali tulivyoanza tu kunywa akawaambia wale…
  • MY DIARY (12)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA MBILITULIPOISHIA...Niliamua kufanya ziara ili nijue pakoje na mwisho wa siku niliamini kuwa kutokana na umaarufu wa marehemu baba yangu isingekuwa kazi sana kulipata shamba lake..IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Basi nilitembea kijiji hadi kijiji huku nikijaribu kuuliza kwa wenye viti wa mtaa kama walikuwa wakimjua marehemu Bura. Kwa kweli kazi ilikuwa ngumu sikuweza kuvimaliza vijiji…
  • MY DIARY (11)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA MOJATULIPOISHIA...Wakati akiongea maneno hayo mara mtarimbo ukaanza kusimama nikajisemeha nimeshakosea nilitakiwa niondoke nilivyoona kimelele tu, nikajua hapo lazima atanitafuuna bila huruma. Basi akaingia bafuni akachukua sabuni akajipaka ili kujisisimua ngoma isimame vizuri.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Yaaani nilichanganyikiwa na huko bafuni nilisikia maneno ambayo yalinichekesha…
  • MY DIARY (10)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMITULIPOISHIA...Nikamwambia Joyce ndo maana mimi nakupendaga. Nikamwambia “nitakuapa feedback ngoja nimpigie asije akaja na makufuli yake leo hii. Nikampigia baba mwenye nyumba eti kwa kujiamini kabisa akapokea nakusema “ Halow mrembo” Nikamwambia Yes mpenzi kitu ambacho kilimfurahisha sana..IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Kuokoa hela ya vocha nikamwambia nimekubali ombi lako alafu nikakata…

RANIA (30)

JINA: RANIA
SEHEMU YA THELATHINI
ILIPOISHIA...
Lakini mwanangu mbona alikufa?..au habiri atakua alizaa na mwanamke mwingine?.. Au ni mtoto wa ndugu yake habiri?.. Alijiuliza Rai bila kupata majibu sahihi..

SASA ENDELEA..
Mama..tatizo ni nini?...aliuliza Dom baada kuona mama akishangaa sana.

Aaah....hamna kitu.. Alisema Rai.

Wote walibaki wakishangaana.

Wakikaa kimya kwa muda mfupi baadae Rai aliuliza;

Mlikua mnaelekea wapi?.

Tulikua tunakuja hapa...alisema Dom.

Kuja hapa?....alisema Rai kwa mshangao.

Ndio mama...alijibu.

Ikawaje mkaumia?..aliuliza Rai.

Walimweleza yote yaliyotokea hadi wakaumia hivyo.

Mmh....poleni sana wanangu.. Haya hapa mlikua na shida gani?... Aliuliza Rai.

Mwenye shida ni mimi hapa...kuna jambo natamani kufahamu...Alisema Fasha.

Jambo gani?...aliuliza Rai.

Bila shaka wewe unajua mambo mengi kuhusu ikulu na utawala....nahisi pengine unaweza kunisaidia kuwajua wazazi wangu halisi...alisema Fasha.

Kwani una mwanga wowote kuhusu wazazi wako?.. Aliuliza Rai.

Sina mwanga wowote.. Lakini ninachojua ni kwamba malikia suya aliiniiba kwa mama yangu na kunilea...alisema Fasha.

Alikuiba?..kiaje?...aliuliza Rai.

Wakiwa wanaongea hapo mara Rania alizinduka.

Rania.. Unajisikiaje?...aliuliza Rai.

Rania alikua na hali mbaya.. Hata kuongea aliongea kwa taabu sana.

Rai alimsogelea na kuanza kumhudumia Rania..alikua na vidonda vingi na alihisi maumivu makali sana

Pole...jikaze utapona..alisema Rai.

Rania alitikisa kichwa ishara ya kukubali...ila baada ya dakika kama tano hivi alizirai tena.

Wote walihisi kuchanganyikiwa baada ya kuona hali ya Rania.

Rai ilibidi ambadilshie tiba na kumwanzishia tiba yenye nguvu zadi..

Upande wa pili Mganga alikua katika chumba chake cha uganga.

Alishangaa kuona alama nyekundu kwenye dawa zake..

Ikumbukwe kua dawa iliyovunjwa na Dom na Fasha ilikua ya kumfanya Rania asitambulike akikanyaga ikulu.. Halafu mganga hakuweza kufanya yenye nguvu zaidi kwa kuhofia Fasha.. Sasa kwakua hawako ikulu basi Mganga alishatengeneza dawa na kumpata NADISH akija ngomeni..ila sasa alikua amechelewa kwa kua alikua na maongezi marefu na Suya na Rania ashaondoka.

Nini?.. NADISH?... Yule mtoto?.. Alijiuliza mganga kwa mshangao.

Haraka alitoka na kumwambia malikia suya.

Kwahyo huyo mtoto ni NADISHI?.. Aliuliza malikia kwa mshangao.

Ndio... Alisema mganga.

Haraka teua watu katika makundi ya watu hata wannewanne wakawatafute na huyo NADISH auawe...alisema suya.

Haraka mganga aliteua watu na kuwaagiz wakamwue Rania.

Wale watu walitawanyika katika makundi na kusambaa kila njia.

Kundi moja liliipatia njia na kwenda hadi kwao Dom

Wakati huo Rai alitoka nje kuchukua dawa zadi kwa ajili ya Rania.. Alipotoka nje alishangaa kuona watu kama wanne hivi wamejificha wanaangalia pale kwake.

Alirudi ndani haraka ndani kuwataarifu Dom na Fasha

Bila shaka kutakua na watu waliokua wanawafuatilia..kuna watu wamejificha maeneo haya...alisema Rai.

Kwahiyo watakua wametumwa na Suya... Alisema Fasha.

Bila shaka atakua ni yeye...alisema Dom.

Upande mwingine wale watu walikua wakiambizana.

Inabidi tuwe makini..nazani unamfahamu vyema Fasha.. Sio Mgeni kwako..halafu jichunge Fasha asije akafa maana itakua balaa kubwa..wa kumuua ni huyu binti ambae ni NADISHI...alisema mmoja wa wale watu.

Kwahiyo wewe ndo unajidai kiranja...wote tulikuepo wakati wa maelekezo.. Kwahiyo tuliza mdomo huo...alisema mpambe mwingine.

Kwahiyo nisiwakumbushe..na mkikosea je?..alisema mpambe wa kwanza.

Kwahiyo tukikosea utahojiwa wewe?..acha kiherehere kijana...alisema mpambe wa pili.

Yule mpambe wa kwanza alikasirika na wakaanza kujibizana vibaya na mpambe wa pili.

Kilichotoka humo ni ngumi kati ya wale wawili.

Wakiwa wanapigana Dom na Fasha walipata nafasi ya kuwashambulia..

Wale wapambe walishtuka tayari walichanaswa kwenye mtego wa wavu kama samaki😊.

Walivutwa hadi pale uwanjani..wakapata kipigo kikubwa hadi walalegea.

Baada ya hapo walitolewa humo wakafungwa miguu na mikono

Fasha alimchukua mmoja na kwenda nae kwa ajili ya kumuuliza huku wengine wakifungiwa chumba kingine.

Yaan huyu mwoga ameenda kutoboa yote.. Alisema mpambe yule w kwanza baada ya mpambe wa pili.

Ni kweli.. Atasema yote.. Tutafanya nini sasa?.. Aliuliza mpambe mwingine.

Hata sijui kwa kweli.. Alisema mpambe wa kwanza

Huku mahojiano yaliendelea.. Fasha hakutaka Dom awepo pale maana dom angewahurumia kuwapa mateso ili waseme..

Bila shaka mmetumwa na Suya...amewatuma kumuua nani?..aliuliza Fasha.

Wewe ni nani kutuuliza hivyo?.. Kwanza wewe sio mwanamfalme.. Tukuambie ili iweje?. Alisema mpambe mmoja kwa madaha.

Pale utakakapopata kipigo ndo utajua nauliza kama nani...alisema Fasha huku akichukua ukuni wenye moto kumuunguza yule mpambe.

Haha..nichome tu uniue...ila sahau kupata ukweli... Alisema mpambe yule.

Fasha alitulia kidogo.. Akamwangalia sana yule mpambe akagundua ni mwoga ila anajisemesha kauli za kijasiri ili Fasha akate tamaa.

Baada ya kugundua hivyo aliupasha ukuni wake sana na kumtia moto kwenye paja...mpambe yule alipiga kelele kama anachinjwa.

Fasha aliupasha tena ukuni ule amchome mpambe ika mpambe alijiwahFashakusema:

Niache niseme!!!

Haya sema... Alisema Fasha.

Tumekuja kumuua huyo binti anaitwa Rania.. Alisema mpambe yule.

Kwanini mumuue?..aliuliza Fasha

Ni NADISH.. Ulikua hujui?...aliuliza mpambe.

Swali la mwisho nakuuliza..alisema Fasha.

Uliza..alijibu mpambe

Mars alikuja hapo kufanya nini?...aliuliza Fasha.

Hapo utaniua tu mwanamfalme...kiukweli sisi tulimleta tu hatujui walichoongea..alisema mpambe.

Bado yuko na Suya na Mganga?. aliuliza Fasha.

Hapana...nachojua ni kwamba ameshaondoka na ameelekea sehemu ila sio ikulu....Alisema mpambe.

Ameenda sehemu sio ikulu?!!...aliuliza Fasha kwa mshangao

Ndio... Alisema mpambe

Haya nimekujibu....utaniacha hai?..aliuliza mpambe kwa woga.

Wewe sitakuua...ila hata hivyo hautarudi kwa Suya

Ndio kabisa... Nikirudi kwa suya ataniua...alisema mpambe.

Haya kaa humu... Wenzio nitawafungia kwinginne hadi nikakaporidhia kuwaachia huru...alisema Fasha.

Huku Dom na mama yake walikua wakimwangalia Rania amabe alikua hajazinduka bado.

Mama...mbona ulimshangaa sana Fasha?.. Aliuliza Dom.

Mwanangu..nisikufiche...Fasha anafanana sana na baba yako mzazi.. Alisema Rai.

Eeeh...baba?...aliuliza Dom kwa mshangao.

Ndio.. Anafanana nae kama mapacha...alisema Rai.

Mmmh...aliguna Dom

Baada ya muda mfupi Dom alishtuka kama Mtu aliegundua kitu fulani.

Mama dom: nini?

Mwanamfalme aliwahi kuniambia kua suya alisema kua alimwibia mwanamama mmoja mtoto na kumuwekea mtoto wake aliekufa....Alisema Dom.

Rai alishtuka... Hakutaka kuamini akichokifikiria...alibaki amekodoa macho.

Wakiwa bado wanashangaana Mara Fasha alikuja.

Alipofika Rai alimgeukia na kumwangalia kwa makini.

Fasha alishangaa kidogo jinsi mama yake Dom alivyoonekana.

Mwanamfalme... Kwani muda ule ulitaka kusema nini?..aliuliza Rai.

Aaah...muda ule uliponiuliza kama najua lolote kuhusu wazazi wangu?... Aliuliza Fasha.

Eee muda huo.. Alisema Rai.

Nilikua nataka kusema kua malikia suya alisema kua aliniiba kwa mwanamke mmoja aliekua anajifungua siku moja na yeye...alimbadilishia mtoto na kumwekea aliekufa..huyo mwanamke alikua msaidizi wa mganga... Alisema Fasha.

Rai moyo uliruka...macho yalimtoka kama anataka kukata roho..

Fasha alishangazwa na hali ile ikabidi aulize.

Mama..umemfahamu huyo mtu.. Tena Malikia alisema kua mama yangu aliitwa Rai...alisema Fasha ili mama Dom akumbuke vizuri.

Rai alijikuta anatatokwa machozi bila kujua ni ya furaha au huzuni...ulikua kama muujiza.

Dom anae alishtuka sana kusikia hivyo....alibaki amekodoa macho baada ya kuujua ukweli.

Kuna nini?..aliuliza Fasha.

Rai hakujibu chochote.. Alitoka na kwenda kumkumbatia Fasha huku akiwa anatetemeka.

Mwanangu... Mwanangu... Aliita Rai akiwa amemkumbatia Fasha.

Fasha alikua haelewi kitu chochote.. Alikua aking'aa macho tu.

Mwanangu... Ulikua wapi siku zote?...ulikua wapi baba yako alipokufa?...aliuliza Rai huku machozi yakimtoka.

Rai alimkumbatia Fasha kwa muda mrefu na baade walimwachia.

Unafanana sana na baba yako....alisema Rai alimwangalia Fasha usoni.

We..we..ndi..ndie mama?..aliuliza Fasha kwa kigugumizi..

Rai alitabasam kwa furaha huku akitokwa machozi.

Fasha alihisi anaota vile... Aligeuka na kumwangalia Dom ambae nae alikua anashangaa.

Fasha alimkumbatia mama yake kwa nguvu huku anatetemeka..

Ma...ma..aliita Fasha.

Dom alipokua alitamani hata kupaa kwa furaha.. Yule mdogo wake aliekua akiahidiwa na mama yake kua atanunuliwa sokoni leo kanunuliwa sasa.

Fasha alimkumbatia mama yake kwa robo saa hivi.

Baada ya hapo alitoka kwa kasi na kwenda kumkumbatia kaka yake Dom... Msio na kaka mjinyonge😋😋.

Walikumbatiana huku kila mmoja akitokwa machozi ya furaha.

Baada ya kutambuana waliondoka na kwenda kukaa pamoja karibu na Rania.

Muda mfupi baadae Rania alizinduka...

Hapo angalau alikua na uafadhali.

Rania.. Unajisikiaje mwanangu?.. Aliuliza Rai.

Kwa sasa. Nipo vizuri... Alisema Rania.

Wote walifurahi kuona Rania amepata nafuu kubwa..

Kulikua kumekucha tayari kipindi Rania anazinduka...

Ingawa Rania alikua na majeraha mengi ila alijitahidi hata kutembea kidogo..

Rania ilikuaje ukamfuata Mars?..unaona sasa kidogo ufe....alisema Fasha.

Ni kweli...kama tusingekua tuna safari ya kuj huku sijui ingekuaje.

Kweli kaka Dom.. Angekufa huyu mapepe...alisema Fasha.

Mmmh...kaka Dom?....alisema Rania kiumbea zaidi asijue kinachoendelea....

USIKOSE SEHEMU YA THELATHINI NA MOJA

TAZAMA VIDEO HII KISHA BONYEZA SUBSCRIBE CHINI YAKE WAKATI TUKIELEKEA KWENYE MUENDELEZO
3 Rania Simulizi
Jiunge kwenye mazungumzo
Chapisha Maoni