MUUZA SUPU (5) - CnZ Media

CnZ Media

Jisomee Simulizi Mpya Kila Siku

Ijumaa, 5 Mei 2023

MUUZA SUPU (5)

Je unajua kwamba Simulizi zote unazozipata hapa zipo kwenye app ya CnZ Media?

Humo Pia Utakuta:
๐Ÿ“– KUSOMA SIMULIZI
๐ŸŽฌ FILAMU na TAMTHILIA za KITANZANIA
๐Ÿ˜‚ VIDEO za KUCHEKESHA
๐Ÿ“‘ MAKALA za AFYA na MAPENZI

Install app hii GUSA HAPA utavipata vyote hivyo bure kabisa
Mwandishi: Geofrey Malwa

SEHEMU YA TANO
ILIPOISHIA...
Pindi alipomaliza kumwaga,alibaki akimtazama usoni Silata aliyekuwa amenuna na kugeukia pembeni huku mikono yake akiipishanisha kifuani ambapo ilibana matiti yake,mkono wa kulia ukashika bega la kshoto na wa kushoto ukashika bega la kulia,ilionekana mikono yake imeunda alama eksi ,,,Silata,,!,, Silata,,,!, sijakusudia mwenzio, nilikuwa nimezidiwa nisamehe mpenzi wangu,,,

WAKATI UNAFUNGUA KUNA MATANGAZO YANATOKEA YAGUSE WALAU KILA UNAPOFUNGUA SIMULIZI ILI KUNIPA NGUVU YA KUENDELEA
KAMA UPO NJE YA APP INSTALL CnZ Media ILI USIPITWE NA MIENDELEZO KILA INAPOKUWA TAYARI

SASA ENDELEA...
Aliongea Konkara kwa sauti ya upole huku sura yake akiisogeza karibu na Sialata aliyekuwa bado amegeukia pembeni,,,alivuta pumzi ndefu Silata na kukishusha kisha akamgeukia Konkara,,umefanya makusudi wewe,ulitaka kunikomesha sijui mwenyewe,,,kwa sauti ya kudeka Alisema hivyo Silata,,,
,,,sijakusudia jamani,nielewe mamaa,,
,,,toka huko,,,!
,,,unanifukuza tena jamani,,,
,,,ndio,we unafanya kama upo kwenye mashindano,,,
,,,sasa ningefanya taratibu,ungesikia raha,,,?
,,,ndiyo,,,

Baada ya kujibu hivyo Konkara alimsogezea uso wake Silata ili amnyonye denda lakini Silata akawa ameziingiza lipsi zake ndani na kuzibana,,,lakini Konkara alianza kumnyonya kidevu chake na kushuka mpaka kwenye shingo,ulimi wake ulifanya kazi ya kumtekenya na kumsisimua Silata kwenye shingo yake nzuri,,,hamu ya Silata yote ilikuwa imeisha pangine angetulia hata kwa muda ndipo arudie tena tendo hilo,hivyo hata Konkara alivyokuwa akimpitisha ulimi shingoni hakuhisi kitu chochote,,, aliporudi juu kwenye lipsi bado Silata alikuwa amebana,alichokifanya aliuingiza ulimi wake kwa nguvu hapo hapo alipozibana lipsi zake,,,ilikuwa ni kama Hodi ambapo Silata aliisikia,akafungua mdomo na kuanza kunyonyana ndimi zao,,,,

Sonki akiwa nje mlangoni hapo panapofanyikia SUKUTO,alibaki akiwaangalia wageni hao ambapo ilikuwa ni muda mrefu hawajaonana,,,,moyoni mwake alijishtukia kwasababu aliwaaga anakwenda kijijini kwao halafu atarudi baada ya muda kidogo lakini kikapita kipindi kirefu,,,wageni hao hawakuwa wengine bali ni Lina na Sensia ambao kwa muda huu walikuwa wamesimama na Tibuta yule kijana anayeshughulika na kupokea wageni katika TAMUNI,,,

,,Karibuni sana TAMUNI,mjisikie mpo nyumbani,,,kwa ukarimu Tibuta aliongea hivyo
,,samahani,naomba kuuliza,mbona siyaelewi mazingira haya na mambo yanayofanyika humo ndani,,,,?,alihoji Sensia
,,huu ni utaratibu unaoeshimika sana kijijini kwetu TAMUNI,na unaitwa SUKUTO,,,
,,SUKUTO,,,?,ndio nini hiko kitu,,,?
,,unajua katika jamii zingine wanaamini kwamba ukitaka kumwoa mwanamke lazima umtolee mahali huyo ndio anakuwa wako na sherehe kubwa mfanye,wengine wanaamini hisia bila matendo,yaani mtu akikupenda basi mnaoana,lakini sisi tuko tofauti kidogo,ili mwanaume aweze kuoa lazima awe na uwezo wa kumridhisha mwanamke kitandani kwanza,na jambo hilo kipindi linafanyika hushuhudiwa na watu wote wenye umri wa miaka kumi na nane na kuendelea,kama ilivyo hii leo,,,
,,,,mmh,ina maana watu wanaoingia humo ndani wanakuwa hawapendani kabisa,,,?
,,,,sisi hatuamini kama kuna upendo pasipo hili jambo kufanyika kikamilifu kwanza,hivyo wote waingiao ndani humu mioyo yao ndio inajua,lakini imani yetu ndio kama niliyokueleza,,,na utamaduni wetu huu,unawafanya watu wengi hasa wanawake wakiolewa na kwenda nje ya TAMUNI huwa haipiti mwaka tayari wamesharudi kwasababu mwanamke yeyote wa TAMUNI hawezi kuishi na mwanaume mvivu kitandani,lakini wanaume wanaochukuliwa hapa ambao wamependwa na wanawake huwa wanarudi kutusalimia na sio kurudi kwamba wamefukuzwa,,,
,,,,mmmmh,kweli haya mapya mwenzangu,,,,

Maongezio hayo yalisitishwa baada ya Konkara kutoka nje huku akiwa anavuja jasho haswa,bado mtalimbo wake ulikuwa umesimama ambapo bukta yake ilikuwa imetuna kwa mbele,alitembea mpaka kwa mwenyekiti,kisha zikapita dakika kadhaa ndipo Silata akatoka nje,alikuwa akitembea kama mtu aliyeweka tonge la ugali la moto katikati ya mapaja yake hivyo anaogopa kugusanisha mapaja,,, ilionyesha dhahiri bwana Konkara alitenda kazi ya maana,,,,basi mwenyekiti aliwapa baraka ambapo wanakijiji wakaanza kushangilia kwa kuwasindikiza mpaka makazi yao mapya,,,

Lina na Sensia walikwenda na kumsalimia mwenyekiti wa kijiji cha TAMUNI ambaye kwa lugha ya upendo aliwakaribisha,ambapo taratibu zinazofuata zilizkuwa kati ya wageni hao Tibuta,,,
,,,samahani,Tibito,,,!
,,,naitwa Tibuta,,,
,,,ooh,Tibuta,sasa,,,kuna kijana alikuwa amesimama pale mlangoni kwenye kile kijumba walichofanyia hiyoo nini sijui,,SUKIII,,
,,,SUKUTO,,?,,alimalizia kulitaja jina hilo Tibuta baada ya kuona Lina hawezi kulitaja vizuri
,,,enhee,nahitaji kuongea naye sasa hivi,,,,
,,,hilo limekwisha,hivyo ndivyo vijana wetu wanavyopata bahati,,,
,,,(kicheko,,!),,hapana bwana,tunahitaji kuzungumza naye tu,,,
,,,basi hilo halina tatizo kabisa,tunaweza kwenda nyumbani kwake,,,

Baada ya kauli hiyo ya Tibuta wote watatu waliongozana mpaka nyumbani kwa Sonki,kijana aliyekuwa anauliziwa na wageni hao,,,pindi walipokuwa njiani Lina kwavile sio mwongeaji sana alimnongoneza Sensia kuwa wakifika asimwachie hata nafasi amshawishi mapaka Sonki akubali kurudi nao mjini,,,Sonki alipowaona aliwakaribisha vizuri na kuwatolea mkeka,kisha wote wakaa chini,Tibuta aliaga na kuondoka ambapo aliwaacha Sensia,Lina na Sonki kwenye mkeka,

,habari za hapa Sonki,,?
,,,nzuri tu,sijui ninyi huko mjini,,,?
,,,kwetu si nzuri sana,lakini tunashukuru mungu ni wazima,,,
,,,Karibuni sana TAMUNI,Karibuni nyumbani kwangu,,,
,,,aaah,sisi tumeshakaribia,lakini,,,tuna jambo tunahitaji utusaidie,,,
,,,nawasikilizaa,,,
,,,Sonki, ukiwa kama kijana shupavu unayeelewa nini maana ya maisha,tunakuomba tena tuko chini ya miguu yako,bado tunakuhitaji kwenye mgahawa wetu,unajua si jambo rahisi kufunga safari kuja mpaka huku kijijini kwa ajili ya kumfuata Muuza Supu,inaonyesha jinsi gani wewe ni wa pekee katika biashara hii,tafadhari Sonki rudi nasi,tunakuhitaji kwakweli,,,aliongea hivyo Sensia kwa sura ya kutia huruma
,,,aaah, nimewasikia vizuri,lakini mtanihakikishia vipi usalama wangu,,,?,maana ningeendelea kubaki pale nilikuwa nakufa mimi,,,
,,,,usijali kuhusu hilo,Bosi wako ameshakuandalia mpango madhubuti ambapo hutasumbuliwa tena kama kipindi kile,,,
,,,,mmmh,mngenipa muda nifikirie kwakweli,,,
,,,,Sonki tafadhari,ujue ni mbali kutoka hapa mpaka kijijini kwenu,yaani hivi tulivyokuja,tunahitaji kuondoka na wewe kama ulivyo,kila kitu usijali tutakununulia,,,
,,,,kwahiyo mnataka tuondoke sasa hivi,,?
,,,,Hapana,wewe jiandae,ukiwa tayari utakuja nyumbani kwa mwenyekiti kisha tutaondoka,,,,
,,,,sawa,ngoja nijiandae basi,,
,,,,haya,tunashukuru sana Sonki,,,
,,,,msijali,,,,

Maongezi yao yaliishia hapo ambapo Lina na Sensia waliongoza mpaka kwa mwenyekiti na kumsubiri Sonki,,,hazikupita dakika ishirini Sonki alikuwa katika mavazi yake ya kutokea sikukuu,hakuweza kuyapangilia na kuonekana kupendeza zaidi mvuto alionao,hakukuwa na muda wa kupoteza ambapo waliaga na kuondoka kijijini hapo pamoja na Sonki,,,jambo la kumpata Sonki lilimfurahisha sana Lina aliyekuwa akimuwaza kila muda kuhusu biashara yake,,,

Asubuhi na mapema ilifika ambapo kila mmoja aliamka huku Lina na Sensia wakihisi uchovu wa safari,,,lakini kwa Sonki alishajizoelea kazi nyingi hivyo hakuhisi kama alichoka,,,Sonki alifikishwa kwenye nyumba ya Lina ambapo nyumba nzima kulikuwa na mfanyakazi wa ndani aliyeitwa Queen na mlinzi aliyeitwa Msuba,kwahiyo jumla kwa sasa wakawa watu wanne nyumba nzima,,,Sonki hakuwa mgeni kwenye nyumba hiyo kwani Queen na Msuba walimjua vyema kwasababu hata kipindi cha kwanza alipokuja alikuwa anakaa hapo,,,

Zilipofika nyakati za usiku,,Sonki akiwa chumbani kwake,mara alisikia mlango ukigongwa,,,kwa heshima na adabu zote alikwenda na kuufungua,ambapo alishtukla kumwona Queen akiwa ndani ya khanga moja iliyoangaza maungo yake ya ndani
,,,hivi wewe nikwambie mara ngapi kama sitaki huu mchezo,,?,Sonki aliongea hivyo kwa hasira na kutaka kufunga mlango
,,,Sonki,kwanini unanifanyia hivi lakini,,?,mi nakupenda kweli,yaani hunielewi tu tangu kipindi kile jamani,,?,,kwa sauti ya kutia huruma aliongea Queen huku macho yake akiyalegeza na kuyarembua
,,,,nimeshakwambia,hayo mambo sitaki,we nenda bwana,,,
Jibu hilo lilimvunja nguvu Queen ambaye amekuwa akimfuatili Sonki tangu kipindi kile bila mafanikio,siku hiyo alijiandaa hata kupigwa kabisa na Sonki lakini lazima acheze naye mchezo wa kikubwa,,,jamani Sonki tafadhari usinifanyie hivyo,,,aliendelea kudeka Queen huku akimwangalia Sonki kwa jicho la kumtega,tayari mikono yake ilishafika kwenye kifua cha Sonki kilichojaa kimazoezi na kuanza kuitambaza kifuani hapo,,,lakini Sonki alitoa kwa hasira na kuendelea kuwa mkali,,,,

Queen alikata tamaa kabisa kilichofuata ni hasira kumpanda,,,alishikwa na hasira ambapo hakutaka tena kuendelea kuelezea hisia zake,,,,alimwangalia Sonki kwa jicho la ukali akaanza kumpandisha na kumshusha huku akiubenua mdomo wake kwa dharau,,,usikute napoteza muda kumbeleza hanisi,,,kwa dharau aliongea hivyo Queen na kutikisa mguu mmoja uliosababisha tako lake lililojaa vizuri likawa linatikisika huku mkono wake ukiwa kiunoni kwake,,,,

Katika maisha ya kuishi kijijini TAMUNI,vijana wote wa kule wana kasumba moja kwamba mwanamke akikudharau hususani kama alivyofanya Queen kitu pekee kinachoweza kurudisha heshima hiyo ni kumsugua haswa mpaka asahau jina lake,,,ndio maana wasichana wa TAMUNI wanawadharau vijana wasiooa mpaka waoe ndio wanaheshimika,,,hivyo maneno ya Queen yalipita mpaka moyoni kwa Sonki moja kwa moja na kumchoma,,,
,,,,loh!,nisije nikapata mkosi bure kumbe naongea na hanisi,,,,alirudia neno lake ambalo lilimaanisha Sonki jogoo wake hapandi mtungi,au mtalimbo wake huwa unalala dolo masaa yote,,,Sonki hakuendelea kuvumilia maneno hayo,alipandwa na hasira ya kumkomesha Queen kwa kumsugua kitumbua chake,,,

Alichokifanya Sonki wakiwa hapo mlangoni mpaka yeye mwenyewe Queen alishangaa,hakuongea kitu alimvutia Queen kwa ndani na kuufunga mlango,,kisha akaanza kumkumbatia na kumpapasa sehemu mgongoni mwake,,mikono yake ilimpanda mpaka kwenye shingo na kuanza kulichezea eneo kwa kucha zake ndefu wastani,,,Queen hakuwa n aujanja kwani hamu alikuwa nayo,,alijibu mapigo kama mtu ambaye hataki anataka,,,aliishusha mkono yake mpaka kwenye makalio laini ya Queen yaliyofichwa kwenye khanga moja,, aliyaminya kwa nguvu kama anayapandisha juu na kumsukumia kwake,,aaaah,,,mmmh,,aliguna kimahaba Queen mikono hiyo ilivyo kuwa ikimshikashika vyema,,,

Kwa jinsi ambavyo alikuwa akimshikashika makalio,khanga yake ilimpanda juu na kuyaacha mapaja yake wazi,,,Sonki aliona kama khanga hiyo inamzuia mambo mengi,aliivuta kwa nguvu na kuichana kisha akaitupa mbali,hapo Queen alibaki kama alivyozaliwa,,,

USIIKOSE SIMULIZI INAYOFUATA

Umeyaona Matangazo?
Yabonyeze Kila Unapoyaona ili Kunipa Nguvu ya Kuendeleza Simulizi

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni