Notifications
  • MY DIARY (22)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA MBILITULIPOISHIA...Alitumia vizuri umbo lake la kimiss kutembea kimiss na kuweka mapozi ya maana. Na baada hapo alilala kwenye kile kigodoro na akachojoa vyote isipokuwa kufuli jeupe ambalo nalo alipewa hapo hapo kwa ajili ya kazi hiyo. IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Basi sikumpa nafasi Joyce niliingilia nafasi yake na kuchukua ule uume wa bandia nikamfuta yule dada.…
  • MY DIARY (21)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA MOJATULIPOISHIA...Nilichomeka simu chaji na kuiweka hewani ili nione kama kutakuwa na sms yeyote iliyoingia.Hofu ilizidi kunitawala na wakati naendela kufikira simu yangu iliita niakzani labda ni Joyce na nilipoiangalia nilimkuta ni Msouth. Sikutaka kuipokea nikaiacha iite mpaka ikate yenyewe.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nikajiuliza kwani amepatwa na nini usiku huo mpaka…
  • MY DIARY (20)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINITULIPOISHIA...Nikamwambia kuhusu namba zangu za simu amuombe aliyemtuma anisaidie na kuhusu hilo la pili je hatuwezi kufanya kesho kwa sababu kuna mahali nilikuwa nikienda? Alifikiria kwa sekunde kadhaa na kuniambia kuwa hapana anaomba nimsaidie leo kama yeye alivyonisaidia mimi kwa sababu ningekuwa kwenye foleni nisingeweza kuondoka kirahisi hivyo kama ninavyofikiria.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA…
  • MY DIARY (19)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA TISATULIPOISHIA...Baada ya hapo niliendelea kumdadisi juu ya tukio lile lakini hakuwa tayari kufunguka zaidi ya kusema aliumia sana. Hapo nikaamua kuutafuta ukweli kwa kutumia mbinu za kike.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nilimwekaa mikono begani na kumwambia pleaee dear naomba uniambie ukweli ili nijue nakusaidiaje? Basi Ramadhani akaanza kulalamika kuwa baba yake amekuwa akimwingilia…
  • MY DIARY (18)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA NANETULIPOISHIA...Halafu eti akawasha simu na kuonesha zile picha alizotupiga kweli huyu rafiki yangu alikuwa hamnazo sio picha tu alituchukua video kabisa na sauti. Akanambia ngoja ampigie paparazi mmoja hivi aje ili atengeneze habari tupate hela. Kauli hiyo ilinikosesha amani na kunikera sana akanmabia eti kuna namna ya kufanya ili sura yangu isitokee.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA…
  • MY DIARY (17)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA SABATULIPOISHIA...Nilijifikiria mara mbili nikajikuta namkubalia kwani alionekana ni mpole na mstaarabu sana.Basi tukaenda hadi kwake ambapo haikuwa mbali na hapo tulipokuwa na kweli alikuwa na chumba na sebule na sebuleni kwake niliona picha ya ukutani akiwe yeye na mke wake nahisi ilikuwa siku ya harusi yao.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nikasema huyu kijana atakuwa amefunga ndoa…
  • MY DIARY (16)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA SITATULIPOISHIA...Mwanamke akaamua kuingia jikoni na kukarangiza viazi na nyama rosti na kilipoiva kililetwa mezani tukaendelea kujenga afya. Sikuaamini kama Joyce alikuwa anakumbuka hata kupika kwa sababu alibadilka sana na alikuwa akiishi maisha ya starehe.. Lakini aliniprovu wrong kwa kutoa rost ya hatari.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Baada ya kula alinambia kuwa alikuwa amechoka…
  • MY DIARY (15)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA TANOTULIPOISHIA...Hapo mzungu wa watu hakuweza kuvumilia tena aliichomeka yote.Mmmmmh mmmmmh ishiiiiiiiiiiii yeaaaaaahhhhhhhh yeaaaaaaah ni miguno niliyoitoa mara baada ya kusikia joto tamu la kiungo hicho.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Ikabid nijivute kwa nyuma ili lengo likiwa ni kukaa vizuri ili kichwa cha nyoka kiwe juu juu ya pango langu ili niweze kukisugua sawa sawa na pia…
  • MY DIARY (14)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA NNETULIPOISHIA...Nikamuuuuliza hivi wewe haugopi maradhi? Akanijibu kuwa angekuwa haogopi basi angeshakufa. Sikiliza Leah hapa nipo na vile vipimo vya ukimwi hivyo usiwe na wasiwasi tutapima wote wanne kama wapo fresh tutaingia kazini wewe si unatafuta hela ya kujiunga na chuo au?IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Kabla sijajibu akanambia nitakupa na dawa ya kumeza ya kuzuia mimba na pia…
  • MY DIARY (13)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA TATUTULIPOISHIA...Joyce akaanza kujimiminia mwenyewe, kweli dunia ina mambo wakati wenzake wakichanganya nay ale maji makubwa yeye alikuwa akinywa kavu kavu.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Basi mimi sikuwa na jinsi zaidi ya kuaagiza ile bia yangu ambayo alinifundisha yaani savanna. Safari hii hakusubiri ili ifike mwisho ili anitambulishe bali tulivyoanza tu kunywa akawaambia wale…

MY DIARY (12)

Jina: MY DIARY
Mtunzi: __

SEHEMU YA KUMI NA MBILI
TULIPOISHIA...
Niliamua kufanya ziara ili nijue pakoje na mwisho wa siku niliamini kuwa kutokana na umaarufu wa marehemu baba yangu isingekuwa kazi sana kulipata shamba lake..

IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI

TUENDELEE...
Basi nilitembea kijiji hadi kijiji huku nikijaribu kuuliza kwa wenye viti wa mtaa kama walikuwa wakimjua marehemu Bura. Kwa kweli kazi ilikuwa ngumu sikuweza kuvimaliza vijiji vyote. Ilinilazimu kuondoka ili niweze kuwahi usafiri wa kurudi mjini maana usafiri wa huko ulikuwa wa tabu sana.

Kutoka hapo mpaka sehemu moja inayoitw kikavu chini ilikuwa ni lazima kutumia usafiri wa boda boda tena kwa bei ya shilingi elfu 30. Nikajisemeaha kuwa kule ukitaka kufanikiwa lazima mtu uwe na hela ya zaidi na sio kama mimi za kuunga unga. Hivyo kesho yake sikuweza kurudi, niliamua kujipa mda ili nisimalize viehela vyangu bure na kuteseka hapa mjini.

Basi niliendelea na ratiba zangu za kila siku za kuangalia movie mchana kutwa huku nikisubiri majibu ya kupangiwa chuo. Siku zilikwenda na kwa bahati mbaya TCU kabla hawajatoa majina ya waliopata chuo walitoa majibu ya waliokosa chuo na mimi jina langu lilikuwepo. Nilizidi kuchanganyikiwa na kwa mujibu wa TCU wanafunzi hao walikuwa na sifa ila hawakupangikwa chuo kutokana na sababu mbalimbali kama kujaza vibaya au kuomba kozi ambazo zilikuwa na ushindani sana au kuomba kozi ambazo hawana sifa na kuzisoma.

Nilichanganyikwa kwani vyuo vyote vilivyobakia ilikuwa sio plan yangu, siku zote nilitaka kusoama Moshi hivyo kujaza vyuo vya nje ya Moshi ilikuwa ni mtego mkubwa. Niliumia zaidi kuona ndoto yangu ya kusoma sheria ikipotea hivi hivi. Nilifikiria kujaza kozi ya ualimu lakini nafsi yangu ilinisuta kwa sababu sikuwa na wito kabisa. Niliendelea kuwaza na kuwazua hapo kwenye internet na kufikia uamuzi kuwa nitajaza chuo chochote cha Moshi hasa hivi vya hapa mjini ili niendelee na plan zangu za kuyatafuta yale madini.

Siku zilisonga mbele na ikabaki siku moja kati ya tatu ambazo zilitolewa kukamilisha zoezi hilo la kuapply upya. Sikuwa na mtu wa kunishauri ila nilpenda kusonma chuo cha Ushirika na biashara kwa kuwakilikuwa kipo mita chache kutoka sehemu niliyopanga chumba. Basi kwa bahati nzuri katika chuo hicho kulikuwa na kozi mpaya iliyoanzishwa na ilikuwa badi inahitaji watu basi bila hata kujua hayo masomo kuwa mimi nitayaweza au la nilibofya kitufe cah kijani kilichoandikwa APPLY.

Papo hapo nililetewa majibu, umefanikiwa kupata nafasi ya kujiunga na chuo kikuuu cha Ushirika na Biashara Moshi kusoma ya ujasiliamali na masoko. Kwa kiingereza Bachelor of Atrs in Market and Entrepreneurship (BA-ME). Kwa kweli nilifurahi sana na sikuataka kujua kuwa hiyo kozi ni ngumu au la nilichoju mimi siku zote hili niweze kupata yale madini yaliyofichwa ni lazima niishi Moshi..

Basi tuliendelaea kusubiri majina ya wanafunzi waliopata mikopo. Na baada ya wiki yalitoka na kwa bahati mbaya sikupata mkopo. Hapo sasa furaha yote ya kupata chuo Moshi iliyeyuka na sikujua kwa nini sikuwa na bahti kabisa kwenye haya maisha. Eti jamani hela ya kodi ilinishinda sasa hiyo hela ya kujisomesha shule ningeipata wapi mie. Nililia sana na kuuliza mungu kwa nini mimi nilikuwa na kosa gani au hayo majaribu ya kutisha nitayashinda vipi. Kwa kweli sikuwa na amani moyoni mwangu, hizo wiki tatu za kuripoti chuo niliona kama siku mbili. Safari hii sikutaka kumshirikisha rafiki yangu Joyce kwa kuwa na yeye alifeli hivyo nalihisi asingeweza kunisaidia kwa lolote. Wakati naendela kufikiria nin cha kufanya mara simu yangu iliita.

Kuangalia alikuwa ni Joyce nikamwmbia kweli una maisha marefu sana yaani nimetoka kukuwaza sa hivi. Akanambia yupo Moshi nimwelekeze kwangu aje mara moja. Mmmmh niliguna kidogo na kumwambia achukue bodaboda aje mapaka miami juu kidogo ya chuo cha Ushirika barabara ya kwenda KCMC. Basi alimtafuta bodaboda akanipa niongee naye si unajua tena ugeni haunaga ujanja.

Dakika kumi best yangu huyo alifika na bila hiyana niliruka na kumkumbatia kwa furaha. Akampa bodaboda hela yake na kabla hatujaingia ndani geti lilifunguliwa na alikuwa ni yule kaka mwenye nyumba nikashtuaka kumbe wikiendi ilikuwa imeshafika. Alikuwa kwenye usafiri ambao nahisi ni gari la kampuni kwaniz hi hizi kruza mkonge. Alituisalimia kwa kutupa mkono na kutuambia “hamjambo warembo, inaelekea huyu ni ndugu yako kama sijakosea” Wote tukacheka tu yeye akaingia chumbani kwake na sisi tuakingia kwangu.

Kwa kweli Joyce alikuwa ni mzuri sana ingawa hakunifikia mimi ila hivyo vivazi alivyotupia kweli alinipoteza na kunifuka. Moyoni sikuja nini furaha yake na kupendeza hivyo. Basi huko ndani akaanza kunipa michapo ya haopa na pale, wakati tukiendelea na stori simu yake iliita akapokea “ yes sweatie, vp umeshafika moshi mwanume huyo aliuliza?” Ndio beib lakini hatutaweza kuonana sa hivi kwani nimeenda kwa mama yangu mdogo na nikishamalizana nae ntakwambia kuna mzigo wake nampelekea.

Simu ilivyokatiaka akanambia yaani leo ni majanga nataka nionane na wanaume wawili na wote niwatimizie na huyo mmjoa ni wa usiku na ni pedeshee aliyenifungulia saluni na haka kalichopiga sa hivi ni kachalii kadogo sema kanauzaga simu hivyo ni muhimu maana mimi kila siku nabadilisha simu

Siunajua tena raha ya smmartphone ni kubadilishabadilisha kila mwezi sio una kaa na simu mpaka nwanakuweka nayo doa alisema Joyce. Hapo hapo nikagundua kuwa kumbe ndo maana anauhakika wa maisha kwa kutumia mwili wake. Nilibaki namsikiliza tu kwani sikujua kwanini msichana mrembo kama yeye amechagua aina hiyo ya maisha. Basi akanambia ratiba zake jinsi zilivyo na mimi sikuwa na cha kumpinga zaidi ya kumwitikia na kumkubalia kwa kila jambo.

Baadaye aliniuliza kuhusu mambo yangu ya chuo na nilipomwambia kuwa sikupata mkopo na ninatakiwa niripoti chuo wiki tatau zijazo kiukweli na yeye alipigwa na butwaa. Alinambia niangalie hiyo form ya kujiunga na chuo kisha nipige hesabu nadaiwa shilingi ngapi ili tujue tunafanyaje. Niliona ni jambo zuri kwani huwezi kuomba msaada wakati hujui unadaiwa shilingi ngapi.

Basi kama ilivyo kawaida yake hawezi kukaa sehemu moja, alinambia twende mjini tukaonane na mtu mmoja hivi. Na kwa kuwa sikuwa na cha kufanya na bado nilikuwa nikiitaji msaada wake wa mali na mali ilibidi nimkubalie.

Nikaingia bafuni nikaoga vizuri na kujipara ikabidi nivae nguo fupi kama za kwake ili tuonekane tunaendana. Siunajua sikuzote ili muwe kivutio mjini lazima muendane sio mwingine kama nguo za kanisani na mwingine za club.

Tulivyofika barabarani alikataa kupanda daladala wala bodaboda hivyo tulipanda tax. Sikujua hicho kiburi alipata wapi maana alionekana ameshayapatia maisha.

Basi tulifika sehemu moja inayoiywa Fresh restaurant ambayo ipo karibu na stendi. Kwa mbwembwe akanambia agiza kitu uanchotaka alafu yeye akaagiza maji.

Hapo nikaona aibu ya kuagiza chakula nikaagiza sahani ya matunda.

Basi wakati tukiendelea kuburudika alikuja dada mmoja ambaye alivalia kiislam. Sikuelewa walikuwa wanafanya biashara gani lakini Joyce alioa burungutu la hela na kupewa kamzigo kadogo kwenye mfuko wa rambo mweupe ile ya supermarket. Ilionekana kuwa mzigo huo uliuwa na thamani kubwa sana kwani alimuahidi kuwa atammalizia hela yake wiki ijayo.

Basi Yule dada hakutaka kukaa na wakati anaaga akitambulishwa kwangu “huyu ni rafiki yangu tuliosoma nae na sasa anasubiri kujiunga na chuo wiki tatu zijazo” alisema Joyce. “ Nashukuru sana kukufahamu alisema dada Yule ambaye alionesha kuwa alikuwa na haraka sana. Wakati anaondoka alinambia neon moja kuwa “basi mwambie mwenzako akuiingize kwenye kikosi ili upate hela ya chuo.

Sikuelewa alichokuwa ana maanisha na nilipo muuliza Joyce alicheka tu. Jambo lililonifanya niwe na shauku kubwa sana ya kujua ni biashara gani walikuwa wakifanya. Pamoja na shauku yangu hyo kubwa lakini sikupewa majibu ya kueleweka. Tuliendelea kukaa hapo huku mwenzangu akiwa bize kujibu simu na meseji kwenye simu yake.

Wakati mimi naendelea kuichunguza sehemu hiyo jinsi ilivyotengenezwa kuvutia wateja mara “helow nikukute wapi aliuliza Joyce. Njoo hapa mkulima bar nishaangiza mguu wa mbuzi unakusubiri sauti ya kiume ilisikika kwenye simu. Poa nipo na rafiki yangu mwambie aweke mitura ya kutosha alisema Joyce na kunifanya mate ya tama ya nyama kunijaa mdomoni.

Alivyokata tu simu akanambia shoga tuondoke tukimbizanae na hizi ratiba. Akalipa na tukaondoka na kwenda huko Mkulima bar sehemu ambayo ni maarufu sana kwa kuchoma nyama ya mbuzi. Nikawa najiuliza maswali mengi sana juu ya rafiki yangu huyo kwa sababu yeye anaishi Arusha lakini ni mwenyeji Moshi kuliko mimi. Pia nililijiuliza kuwa ameijua Moshi lini na kama alikuwa akija mara kwa mara mbona alikuwa hanitafuti?

Hapo makosa yangu yote yalikosa majibu na tukiwa njiani kuelekea huko mkulima bar simu yangu iliita na kuangalia nani anayepiga nikakuta ni Yule motto wa baba mwenye nyumba. Niliamua kuipokea simu yake na alinuliza nipo wapi n abila hiyana nikamwambia kuwa mimi nipo mjini na rafiki yangu aliyemuona hapo. Akanmbia vipi tunaweza kutoka out siku hiyo kwa sababu kuna jambo la muhimu anataka kunieleza. Nikacheka kidogo kusikia jambo la muhimu lakini sikuwa na jibu ya swali lake nikamwambia asubiri mpaka nitoke mjini ndo nitamjibu kuwa nitawezaa au laa.

Hapo mkulima tuliwakuta vijana wawili ambao kiukweli walionekana ni walevi sana na kiukweli mmoja alionekana kama teja vile. Sikutaka kuwahukumu sana kwa sababu mezani kulikuwa na maji kubwa. Sikuwa mbali sana na hisia zangu kwa sababu swali la kwanza Joyce alilowauliza ni kwanii walikuwa hawanywi pombe. Wakajibu kwa haraka harak akuwa walikuwa wanamsubiri bosi wao yaani Joyce. Basi Joyce kwa dharau na mbwembwe akawaambia haya basi agizeni.

Hawakujivunga waliagiza mzinga mkubwa na cha ajabu Yule muhudumu alileta glass nne kama tulivyo. Joyce kuona hivyo ikabdi acheke kwa sababu alijua kuwa sina uwezo wa kutumia kile kinywaji kilichopo mezani. Ikabidi amwambie muhudumu aniletee mimi kinywaji ninachoaka. Wakati najifikiria ninywe nini nilimuona Joyce kwa ujasiri akaifungua ile konywaji kwa kuigonga nyuma. Yaani sikuamini kuwa ni motto wa kike ndo alikuwa akifanya mambo yote hayo.

Joyce akaanza kujimiminia mwenyewe, kweli dunia ina mambo wakati wenzake wakichanganya nay ale maji makubwa yeye alikuwa akinywa kavu kavu.

Naomba Bonyeza Matangazo Kila Unapoyaona ili Kunipa Nguvu ya Kuendelea Kuwaletea Simulizi
USIKOSE SEHEMU IJAYO
67 My Diary Simulizi
Jiunge kwenye mazungumzo
Chapisha Maoni