MY DIARY (19)
Zephiline F Ezekiel
6 min read
Mtunzi: __
SEHEMU YA KUMI NA TISA
TULIPOISHIA...
TULIPOISHIA...
Baada ya hapo niliendelea kumdadisi juu ya tukio lile lakini hakuwa tayari kufunguka zaidi ya kusema aliumia sana. Hapo nikaamua kuutafuta ukweli kwa kutumia mbinu za kike.
TUENDELEE...
Nilimwekaa mikono begani na kumwambia pleaee dear naomba uniambie ukweli ili nijue nakusaidiaje? Basi Ramadhani akaanza kulalamika kuwa baba yake amekuwa akimwingilia sana anga zake. Na kila mwanamke yeye amemtokea na baba yake anamtaka. Sasa si ni kutiana aibu huku alihoji Ramadhani?. Ingawa Ramadhani hakutaka kusema ukweli lakini inaonesha kuwa yule binti aliyeingia na baba yake alikuwa ni demu wake kwa sababu haiwezekani mwanaume achanganyikiwe hivyo wakati alikuwa na mimi.
Nilivyozidi kumdadisi alinijibu kwa kifupi kuwa baba yake amekuwa akimwingilia anga zake sana na hiyo haikuwa mara yake ya kwanza. Kufikia hapo sikuona sababu ya kuendelea kumuuliza mawsali mengi yasiyo ya msingi kwani ningeendelea kumsababishia maumivu. Nilimuonea sana huruma Ramadhani lakini pia nilijionea pia mimi mwenyewe huruma kwa sababu mzee huyo alishaniingiza kwenye anga zake kwa kigezo cha kukosa kodi. Ramadhani aliendelea kunywa ile pombe kali kwa nguvu sana na baada ya mda mfupi alijikuta akilewa na kuanza kutoa siri zake na sio zake tu abali mpaka na za baba yake.
Ujue baba aliachana na mama yangu kwa sababu ya umalaya wake alisema Ramadhani. Yaaani huyu mzee asipokufa na ukimwi ni bahati sana kwani anatumia vibaya utajiri wake. Yaani huwezi amini alishawahi kutembea na mama yetu mdogo yaani mdogo wake mama.
Siyo huyo tu bali mpaka housegirl wetu alishawahi kutembea naye achilia mbali wahudunu wa bar. Na ni sijui kwa nini miaka yote hiyo hapati ukimwi aliendelea kulalamika Ramadahani. Kauli hiyo ilinigusa kwa sababu nakumbuka siku ile kabla sijalala na huyo mzee mimi nilimpima na kumkuta mzima wa afya. Baada ya malalamiko yote hayo juu ya baba yake Ramadhan alianza kunitongoza. “Kwa kweli Leha wewe ni msichana ambaye umetokea kuuteka sana moyo wangu na siku zote nimekuwa nikivumilia nikiamini kuwa siku moja utakuja nielewa.”
Ujue siku zote huyu kaka mimi nilikuwa nikimchukulia kama rafiki na jirani yangu na ingawa kuna siku alishawahi kutangaza nia ila hatukusaini mkataba wa kuwa wapenzi. Alijieleza sana mpaka nikamuonea huruma ukilinganisha na misaada aliyokuwa akinipatia. Staili yake ya utongozaji ilimfanya anikose kwa sababu alikuwa akijifanya yeye ni mtakatifu na siku zote hataki kunichezea bali kunioa. Siku hiyo niliamua kumbana sana na kumuuliza maswali mengi kuhusu upande wake wa mahusiano. Alijikuta akinieleza ukweli wote kuhusu mpenzi wake wa Tanga na alinishangaza sana aliposema kuwa eti yupo tayari kumuacha kwa ajili yangu. “Kama upo tayari nikuoe mimi nipo tayari kuachana nae maana sioni kama tunafuture yeyote.” Alisema Ramadhan.
Kauli kama zile ndo huwa zinanifanya niwachukie wanaume kwani zinafanana kabisa na zile za Mwalimu John mwanaume ambaye huwa namkumbuka sana kwa mema na mabaya aliyonifanyia. Ilinibidi nimwambie ukweli Ramadhani kuwa swala la mimi na yeye wapenzi alipo na swala la kuolewa ndo kabisa kwani bado na safari ndefu sana ya kimaisha. Nilimwambia ni vizuri tubaki kama marafiki tu na yeye kamwe hasimsaliti mpenzi wake. Alitia huruma lakini nilimfariji kwa kumwambia tunaweza tu kusaidia na kama itabidi ila sitaki kuwa na mpenzi yeyote kwa sasa.
Ilinibidi nimdanganye kuwa na mpenzi wangu yupo Dar es salaam. Hakuwa na la kusema kwa sababu mistari yake yote ilizidiwa tu na korasi zangu hivyo akaona njia pekee ni kunisogelea na kuanza kunishika shika na ninakumbuka alinambia “ Please Leah nihurumie mwenzio niepukanae na hiki kilio. Nionee huruma mwana wa mwenzio nionjeshe kidogo tu leo hata nitoe machungu aliyonisababishia baba yangu. Aliendelea kulalama Ramadhani. Nilimwangalia kwa jicho la huba nikamwonea huruma sana maana alikuwa hajui kutongoza alikuwa anajua kulalamika. Nikafikiria ukarimu wote aliokuwa akinitendea nikajikuta nazidi kumwonea huruma.
Akanisogelea zaidi na kuanza kunishika matiti yangu huku akiwa nyuma yangu na nikahisi kiungo chake cha kuume kinanyanyua nyanyua nguo niliyoivaa sehemu zangu za nyuma kwenye makalio.Wakati naendelea kutafakari nifanyaje kwa sababu sio jambo zuri kutembea na baba na mwana alinigeuza kichwa na kunipa mate ambaya yalikuwa na ladha ya ile pombe ambayo tulikuwa tukinywa. Aliendelea kuonesha ujuzi wake kwa kutaka kunipagawisha zaidi kwa kuchezea viungo vingiene vya mwili wangu. Sikuwa na jinsi zaidi ya kumpa ushirikiano kitu ambacho alikitamani kwa mda mrefu sana.
Kosa nililolifanya ni kukubali anikumbatie kwa nguvu jambo ambalo nilihisi linaleta majanga. Yaani mimi hata sijielewi mwenzenu sijui nilikuwa na pepo la ngono maana mwanaume akishanipapasa tu makalio yangu basi ni shida joto la mwili linapanda sana na kushindwa kuvumilia.Hakutaka kuenda mbali hapo hapo kwenye sofa tulianza kuchojoana viwalo tulivyovaa. Na tulikuwa tukienda kwa stepu yaani akinivua moja na mimi namvua moja. Mmmmmh mwanaume alikuwa na kifua kizuri huyu wewe acha tu, kilizungukwa na garden love ambayo ilinitia kiwewe. Ikabidi nimnong’oneze kuwa atafute kinga nimwonjeshe hata kimoja tu cha hamu na ujirani mwema
Hakubisha alinivuta na tukaingia chumbani huko alifungua kabati lake na kutoa kondomu iliyoandikwa raugh rider na kwa wale wasiozijua hizi ni zile ambazo huwa zinauzwaga supermarket au maduka ya madawa. Kwa kumpagawisha sikutaka kulimenya tunda kitandani bali nilimpa mkono mpaka kwenye sofa.
Hakusita alikuwa anafuata maelekezo yangu tu kwani nilishavurugwa mara baada ya kusikia stori za baba yake. Yeye akakaa kwenye sofa na mimi nikamkalia na kabla hata sijaanza kuzungusha tayari alishafunga bao moja.
Nikajua huyu atakuwa ni mdhaifu tu yaani kuchomeka tu tayari ashamaliza raundi moja.
Hakusita alikuwa anafuata maelekezo yangu tu kwani nilishavurugwa mara baada ya kusikia stori za baba yake. Yeye akakaa kwenye sofa na mimi nikamkalia na kabla hata sijaanza kuzungusha tayari alishafunga bao moja.
Nikajua huyu atakuwa ni mdhaifu tu yaani kuchomeka tu tayari ashamaliza raundi moja.
Sikutaka kumpa nafasi ya kubadilsha kondomu maana angenikata stimu ikabidi niendelee kufanya yangu. Nilijiamini kuwa zile kondomu haziwezi kupasuka kutokana na ugumu na uimara ulokuwa nazo. Nilimsugua kwa nguvu hadi akapiga ukunga na nilipoakikisha kuwa amemwaga cha pili ndipo hapo nilimwachia.
Kwa kweli alionekana kuchoka sana kazi haikuwa ndogo kuunganisha raundi pili kwa mkupuo. Kuona nishamrizisha niliingia bafuni na kujisafisha vizuri na kurudi sebuleni. Nilipoanza kuvaa nguo alinirukia na kunilaza kwenye sofa. “sasa unaenda wapi si tulale wote jamani alilalamika kijana Yule”
Kimoyomoo nikajisemea huyu anajua gharama ya kulala na mimi kweli au anaropoka tu. Nilimjibu kwa kifupi kuwa haiwezekani lazima nikalale chumbani kwangu. Alivyosikia hivyo alichanganyikiwa na kuniambia ngoja kisha akaingia chumbani kwake. Kumbe alikwenda kuvaa soksi tayari kwa raundi ingine. Kwa mawazo yangu nilijua kuwa amekwenda kuniletea hela. Alivamia kwa ghafla na hata sijakaa vizuri tayari alishaanza kutwanga na kupepeta. Alinigeuza geuza kama samaki kikaangoni. Kumbe hakuwa dhaifu kama nilivyofikiria bali ni kiherehere tu cha bao la kwanza.
Kwa kweli alinipa mastaili ya jabu na baadaye tulijikuta tupo kwenye sakafu tukimalizia na ile staili ya kukumbatiana huku tumekaa. Hii ni kwamba unakakaa juu ya mwanaume na miguu unaipitisha kwa nyuma na kumbatiana kwa nguvu.Hapa nilisikia raha wa sababu joto lilongezeka na kuzidisha raha ya hako
kamchezo.
Tulimaliza na kama kawaida yangu nilikimbilia bafuni kwenda kujisafisha na nilivyotoka nilivaa nguo zangu nikambusu shavuni kisha nikafungua mlango na nikaondoka zangu. Alinisihi sana nilalale kwake lakini nilikataa na wakati natoka kuna mwanga wa gari lilokuwa getini ulinimulika. Kuangalia vizuri alikuwa ni baba mwenye nyumba na wakati naendelea kushangaa vizuri nilimuona binti akishuka na kuagana nae. Sikutaka anione nikaingia haraka haraka chumbani kwangu. Sikuweza kujua yule binti alikuwa ni nani na mwenye nyumba alitoka wapi usiku huo kwa sababu sisi tulimwacha bar tena akiwa na binti mdogo jambo lilomkasirisha mwanaye na kutufanya turudi zetu nyumbani.
Nikasema kama ameniona shauri yake kwani amenioa bhana mpaka nimwogope mimi ndo hivyo ishatokea bahati mbaya nimewachanganya baba na mwana sasa mimi nifanyaje na wote ni ving’ang’anizi. Jambo hilo liliniuma sana lakini sikuwa na jinsi ndo hivo tena ishatokea. Nilijibwaga kitandani na kuendelea kuwaza na kuwazua kuhusu mustakabali wa maisha yangu.
Niliwazaa sana na baadaye nilipitiwa na usingizi. Asubuhi niliamka na sikutaka kupoteza mda nilioga na kuelekea chuoni. Huko nilikutana na foleni ndefu sana na sikuwa na jinsi zaidi ya kuvumila tu ili niweze kufanya registration (usaili). Macho yangu mda wote yalikuwa yakiangaza huku na kule lakini wapi sikuweza kumwona mtu ninaye mfahamu.
Na tayari nilishakaa zaidi ya masaa matatu lakini sikuona dalili yoyote ya kufanikiwa.Baadaye nilipata wazo la kumtafuta Joyce na nilijua kuwa kwa umaarufu wake lazima tu atakuwa kuna mtu anamfahamu. Nilipomwambia kuwa nilishachoma mahindi hapo chuoni masaa manne na sioni dalili ya kufanya usaili kabla mida ya lunch alinicheka sana. Akanambi eti ndo maisha niliyochagua hivyo niwe na uvumilivu. Niliendelea kuvumilia na nusu saa baadaye alinifuata kijana mmoja ambaye alikuwa amevaa beji kuonesha kuwa alikuwa ni kiongozi.
Akachukua form zangu na kuenda nazo mbele na baada ya mda alirudi na kuniambia tayari ameshakamilisha hivyo kilichobaki mimi ni kwenda kuchukua room tu. Nilimwambia mimi sina mpango wa kukaaa nje kwani nlikuwa nimepanga nje ya chuo. Basi aliniomba nimaidie kitu kimoja na kwa hamaki niliamaki kitu gani hicho. Moja naomba namba zako na mbili naomba uongozana na dada yangu hyu yeye yupo mwaka watatu na wanakosaga vyumba vya ndani hivyo basi umsaidie apate kwa kutumia jina lako.
Nikamwambia kuhusu namba zangu za simu amuombe aliyemtuma anisaidie na kuhusu hilo la pili je hatuwezi kufanya kesho kwa sababu kuna mahali nilikuwa nikienda? Alifikiria kwa sekunde kadhaa na kuniambia kuwa hapana anaomba nimsaidie leo kama yeye alivyonisaidia mimi kwa sababu ningekuwa kwenye foleni nisingeweza kuondoka kirahisi hivyo kama ninavyofikiria.
Naomba Bonyeza Matangazo Kila Unapoyaona ili Kunipa Nguvu ya Kuendelea Kuwaletea Simulizi
USIKOSE SEHEMU IJAYO
Chapisha Maoni
Chapisha Maoni