MY DIARY (17)
Zephiline F Ezekiel
6 min read
Mtunzi: __
SEHEMU YA KUMI NA SABA
TULIPOISHIA...
TULIPOISHIA...
Nilijifikiria mara mbili nikajikuta namkubalia kwani alionekana ni mpole na mstaarabu sana.Basi tukaenda hadi kwake ambapo haikuwa mbali na hapo tulipokuwa na kweli alikuwa na chumba na sebule na sebuleni kwake niliona picha ya ukutani akiwe yeye na mke wake nahisi ilikuwa siku ya harusi yao.
TUENDELEE...
Nikasema huyu kijana atakuwa amefunga ndoa akiwa bado ndogo sana. Picha ilikuwa inavutia sana na huyo binti alikuwa ni mzuri kwa kweli ukilinganisha na makeup na shela walipendeza sana. Nilifarijika kidogo kugundua kuwa yeye hakuwa bachela lakimi kuna swali lilinisumbua kichwani mwangu je mke wake yuko wapi?
Aliingia chumbani kwake akabadilisha nguo na alipotoka akanambia nikaribie sana hapo ndo kwake na kwa kuwa mimi ni mgeni basi ananiomba mimi nilale chumbani na yeye atalala hapo kwenye sofa sebuleni. Nilimkatalia katu katu kwa kumwambia hasiwe na hofu mimi nitalala tu hapo sebuleni lakini alikataa.
Sikuwa na jinsi ukarimu wake ulinifanya nikubali kwenda kulala chumbani. Na yeye akachukua shuka na kwenda kulala sebuleni huku aikiniaga kwa kuniambia usiku mwema.
Kwa kweli usingizi ulikuwa hauji kabisa nilimuonea huruma sana yule kaka. Baada ya kama lisaa limoja hivi nilimsikia yule kaka akifungua mlango wa chumbani nikajua tayari mambo yameshaharibika uzalendo umemshinda. Kumbe wala kaka wa watu alikuwa akienda chooni mara chumba kilikuwa na self contained room. Akaingia chooni kwa kunyata jambo ambolo lilinipa hofu nikajikuta nawasha taa kwa kutumia bedswitch. Alivyotoka akanambia “kuwa na amani mdogo wangu na naomba ulale”. Sikumjibu kitu ila nilijiuliza mbona yeye hajalala tatizo ni nini?Kwa haraka haraka nikagundua kuwa ni mbu walikuwa wakimsumbua ukijumlisha na joto la Dar es slaaa basi ni kazi kweli kweli.
Kutokana na ustaarabu aliouonesha ilinibidi nimfuate na kumwambia aje kulala chumbani kwani mimi sina usingizi hivyo aniwekee filamu niangalie. Hapo ndo alikataa katu katu na kuniambia nilale kwa sababu ilikuwa ni usiku sana. Basi nikaamua kumtega kwa kumwambia aje tulale wote kwa sababuu kitanda kilikuwa ni kikubwa sana nahisi ni saba kwa saba. Aliniangalia mara mbili mbili nahisi hakuamini alichokisikia ila akashindwa tu kuniambia nirudie kauli yangu.
Nilimuonea huruma sana na nilikuwa tayari kupunguza lile deni la laki tano usiku huo.
Basi usiku huo pia nilikuwa nachati na Joyce na nilivyomwambia hali halisi niliyokutana nayo alinambia hiyo ndo nafasi sasa nikishindwa kumpagawisha usiku huo hiyo laki tano nitailipa mwenyewe yeye hana hiyo pesa. Kauli hizo ndo zilinifanya nimwambie yule kaka aje tulale wote. Basi kwa kuwa nilibeba zile zana zangu za mapambano yaani kondomu ya kike tena iliyoandikwa lady pepeta nilingia chooni na nikaivaa kabisa. Basi wakati narudi kutoka maliwatoni nilidondosha ile khanga moja ya mke wake niliyokuwa nimeivaa. Kitendo hicho kilimchanganya na kuvuruga uwezo wa kaka huyo kuvumilia.
Asikwambie mtu mapenzi hayana mtakatifu ilibidi anifuate mwenyewe huku akijaribu kumrudisha nyoka wake pangoni kwani alishazidiwa na kusimamisha kichwa. Akapanda kitandani haraka haraka na kujilaza upande wake wenyewe wanaita mzungu wanne. Kumkomesha nikawasha taa na kwenda tena chooni huku nikitisha tingisha makalio yangu kwa makusudi tu. Sikuwa najinsi kwa sababu mkuu wangu wa kazi Joyce alishanipa kazi ya kufanya usiku huo. Lakini niligeuka ili nimwangalie kama ananiangalia lakini nikakua wala hana time ndo kwanza amefunga macho, nahisi aliangalia mara moja na ya pili akafunga macho.
Kule maliwatoni nilkaa sana kwa makusudi nimuone atafanyaje. Ilimbidi aje karibu ya mlango na kuita Joyce Joyce mbona umekaa sana unaumwa na tumbo nini? Halikuwa jina langu lakini nahisi alituchanganya majina pale tulipokuwa tunajitambulisha. Kwa sauti ya mlegezo nilimwambia njoo njoo huku ikiwa nimeshikilia mguu wangu kwa madai kuwa eti niliteleza na kudondoka
Hapo ndipo alipofanya makosa makubwa sana eti alikuja na kuniinua na kunibeba na kunipeleka kitandani. Sikufanya makosa nilimng’ang’ania vizuri sana na
kila mtu mapigo ya moyo yaliongezeka na yeye alinibana kwa nguvu kwenye kifua chake. Nikamsukuma kwa nguvu na kumtoa na nikamuuliza unataka kunibaka? Akacheka na kusema “ kwa kweli upo vizuri sana uvumilivu umenishinda. Nikamwambia sasa wewe si ni mme wa mtu akanijibu ndio kisha akafungua kabati lake na kutoa kondomu.
Nikamwambia mimi sio wa hivyo na kama amezidiwa ajue kabisa akinionja tu deni la laki tano limeisha. Akanambia hata kama la milioni yupo tayari.
Nikamwambia bado simwamini na sipo tayari kulala na mume wa mtu. Yaani na upole wake ule alitia huruma sana na alinipigia magoti na kuniomba nimuonjeshe tu mautamu yangu. Mpaka hapo nikajua nimeshaifanya kazi niliyotumwa na Joyce hivyo nilimpa ishara anisogelee.Akanisogelea na kuanza kunipa denda, nikamwambia zima taa hakutaka kusikia mikono yake ilikuwa haitulii mara ashike makalio, mara matiti basi sikumwelewa kwa kweli.
Yaani hata mda wa romance haujaisha tayari alishauzamisha mtwangio wake kwenye kinu changu. Nikaoana hana haraka sana yaani hata ule ute ute wangu haujashuka si atanichubua huyu kitu ambacho ni hatari sana kwa maambukizo ya ukimwi na magonjwa ya zinaa. Nikaamua kuichomoa makusudi tu ili nioene atafanyaje, aaaah wapi kwani anataka sasa nikichomoa anachomeka, nikichomoa anachomeka ikawa kama tunashindana hivi. Na kwa kuwa nilikuwa nimelala na tumbo nimewekaa mto tumboni na kuruhusu mashine yangu kubinuaka kwa nyuma tayari kwa kukoboa ana kusaga hivyo nilishindwa kumtoa.
Mashine yake ilikuwa haifiki vizuri kutokana na ukubwa wa makalio yangu. Basi ilibidi anigeuze mimi na nikapanda juu na kufanya yangu. Hapo uvumilivu ulimshinda maana nilikizungusha sana kichwa cha nyoka wake mpaka nikaihishi nitakinyofoa na yeye akapiga kelele huku akitaja jina la Joyce. Sikujua nini kiliendelea maana nilikuja kushituka ilikuwa ni asubuhi na nilibaki mwemyewe kitandani. Nilimsikia akioga bafuni na alipotoka alinambia niendelee tu na ratiba zangu kwani yeye anaenda kazini na kuhusu swala langu alinambia nirudi moshi anaendelea kulishughulikia.
Akanambia nirudi tu Moshi na pia nilipe ada ya semester ya kwanza kwani jambo hilo sio lazima lifanikiwe kwa haraka. Alinambia ukweli kuwa bodi kwa wakati huo ilikuwa haina hela kabisa hivyo nisubiri mpaka ule mda wa kukata rufaa.Sikuwa na jinsi zaidi ya kurudi zangu moshi ingawa Joyce alinambia nimsubiri kwa siku moja zaidi ili na yeye akamilishe mambo yake. Basi siku hiyo pamoja na mambo mengine tulikwenda mlimani city kufanya shoping.
Tukiwa huko tulimwona star mmoja wa bongo fleva akigombaniwa na watu wapige naye picha. Joyce naye kwa jinsi alivyokuwa akimkubali alinambia twende mimi nikakataa kwa sababu huwa sipendi kumshobokea mtu yeyote.
Tukiendelea na shoping sikuamini macho yangu nilipomuona mwalimu John mwanaume wangu wa kwanza ambaye alinitoa uwanawali wangu na niliyekuwa nikimpenda sana. Mwalimu John hakuwa mwenyewe bali na msichana mwingine. Sikuwa na papara niliamua kumfuatilia ili niweze kujua kama alikuwa ni mtu wake au la maana walishikana mikono. Kuna mahali walienda wakaakaa na kuanza kupata vinywaji. Ilinibidi na mimi nimuombe Joyce tukapate kinywaji sehemu hiyo.
Tulikaa meza ya pembeni yao na kuendelea kupata vitu. Hama kweli dunia inaendeshwa na mapenzi kwani walikuwa wakilishana bites na kuchangia kinywaji.
Kwa kweli niishindwa kuvumilia kumwona mwalimu John akifanya ujinga mbele yangu.Nilinyanyuka na kumfuata na kumsalimia kwa kumpa mkono lakini alikataa kunipa wa kwake.Hapo niliboreka sana yaani ananifanya hanijui nilimwammbia neno moja tu asante kwa zawadi ya usaliti. Kisha nikarudi sehemu tuliyokamaa na kumpa ishara Joyce kuwa tuondoeke. Ingawa Johna alinikana na kusema nilimfananisha uzalendo ulimshinda ikabidi anifuate lakini sikutaka kumpa nafasi ya kumsikiliza. Nikajisemea kumbe ndo maana alikuwa hataki kupokea simu zangu na pia ndo sababu ya yeye kubadilisha namba za simu.
Yaani hapo ilikuwa kama movie yule binti aliyekuwa naye alimshika shati kumzuia asinifuate na yeye alikuwa amenishika mimi kunizuia nisiondoke. Joyce naye eti badala ya kunisaidia alikuwa akipiga picha tukio hilo. Nilimshangaa sana na kumuona ni kituko ndo yale watu wamepata ajali badala ya kusaidiwa bali wao wanaangaika kupiaga picha na kupost kwenye mitandao ya kijamii. Ilinibidi nivuke barabara na kwa hasira nilipanda hice niliyokutana nayo. Sikujua hata ilikuwa inaenda wapi ila nilichokijua mimi ni kotoweka eneo la tukio.
Baadaye kituo kilichofuata nilishuka na kupanda gari za kwenda ubungo sehemu ambayo tulikuwa tumepanga chumba. Nilikwenda moja kwa moja hotelini,
Yule muhudumu wa hotel alishitushwa na spidi yangu ikabidi aniulize vipi mbona unahema sana kuna tatizo? Nikamjibu kwa kifupi hapana. Nikamuambia hope chumba chetu kipo salama.Alinijibu kwa wasiwasi kuwa kwa kuwa jana hamkulala tuliingiwa na wasiwasi na tayari meneja alisharipoti polisi.Nikamwambia kwa hiyo mlikifungua? Akanijibu ndio na vitu vyenu tumewahifazia baada ya polisi kusema haviana shida.
Wakati tunaendelea kujibizana mara Joyce akatokea na kukuta majadilanao hayo. Joyce mara baada ya kuelewa mada hakutaka mazungumzo mengi zaidi ya kuomba vitu vyetu na kuniambia tuondoke.Cha ajabu ingawa tulipewa mizigo yetu Joyce alikuwa akitetemeka jambo ambalo hata mimi lilinishitua. Sikujua kulikuwa na hatari gani lakini baadaye tulikaa mahali akaagiza maji kubwa na baada ya kunywa alivuta pumzi kwa nguvu. Baaadaye alinambia kuwa tuna bahati sana kwani tungeishia segerea.
Sikumwelewa na hakutaka kufafanua zaidi na sikutaka kumlazimisha lakini ukweli ni kwamba Joyce alikuwa akifanya kazi nyingi sana za haramu na magendo.
Niihisi kabisa alikuwa akiuza mihadarati na kilichotusaidia siku ile alibeba mizigo yake na pale hotelini tuliacha nguo tu. Tuliendelea kukaa hapo mpaka usiku ukaingia lakini best yangu huyo alikuwa hana amani kabisa. Ikabidi nimuulize vipi leo mbona umepooza sana. Basi na yeye kwa kunikumbusha machungu akanambia eti anafikiria lile tukio lillotokea baina yangu na mwalimu John.
Halafu eti akawasha simu na kuonesha zile picha alizotupiga kweli huyu rafiki yangu alikuwa hamnazo sio picha tu alituchukua video kabisa na sauti. Akanambia ngoja ampigie paparazi mmoja hivi aje ili atengeneze habari tupate hela. Kauli hiyo ilinikosesha amani na kunikera sana akanmabia eti kuna namna ya kufanya ili sura yangu isitokee.
Naomba Bonyeza Matangazo Kila Unapoyaona ili Kunipa Nguvu ya Kuendelea Kuwaletea Simulizi
USIKOSE SEHEMU IJAYO
Chapisha Maoni
Chapisha Maoni