Notifications
  • THE NIGHTMARE (6)
    Jina: THE NIGHTMAREMtunzi: Hussein O MolitoSEHEMU YA SITAILIPOISHIA...“toa loud speaker bwana.”Aliongea Balqis baada ya Sharji kubonyeza kitufe cha kupaza sauti.“kwanini hutaki nisikie maongezi yenu?” aliongea Karimu kwa sauti ya ukali kidogo.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈ENDELEA...“kwani kuna ubaya mimi nikiongea private na mdogo wako?” alijibu Balqis baada ya kuisikia sauti ya Karimu.“hakuna ubaya.” Alijibu Karim kwa sauti ya…
  • THE NIGHTMARE (5)
    Jina: THE NIGHTMAREMtunzi: Hussein O MolitoSEHEMU YA TANOILIPOISHIA...Alijikuta outomatic akijisemea kwa mshangao baada ya kumuona dada mmoja mrembo mwenye asili ya kiarabu akiingia mule ndani. Hakuvaa ushungi kama alivyowazoea kuwaona waarabu wengi ambao alikutana nao. Huyu alivaa suruali ya jeanz nyeusi na juu akiwa na kikoti chake cheusi.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈ENDELEA...Kati kati kulikua na nguo Fulani nyeupe iliyonakshiwa…
  • THE NIGHTMARE (4)
    Jina: THE NIGHTMAREMtunzi: Hussein O MolitoSEHEMU YA NNEILIPOISHIA...Aliongea Khalidi na kuufungua mkanda wa suruali yake na kuanza kumtandika Karim.“unanipiga mimi?...utaona!”IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈ENDELEA...Aliongea Karim na kuondoka huku analia.*****************************Zilipita wiki mbili bila ya Karim kuonekana nyumbani kwao. Sabra alisikitika kidogo kutokana na kuwapenda sana watoto wake japokuwa huyo mtoto mkubwa hakuwa…
  • THE NIGHTMARE (3)
    Jina: THE NIGHTMAREMtunzi: Hussein O MolitoSEHEMU YA TATUILIPOISHIA...Akiwa hewani akikata mawingu kurudi Tanzania, kichwa chake kilikua na mawazo mengi sana juu ya mume wake. Aliikumbuka siku waliyofunga ndoa.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈ENDELEA...Pia alijua kwanini mume wake alipendelea kufanya kazi uingereza na yeye kumfungulia ofisi huku huku Tanzania. Hakujua kuwa kazi anayoifanya mumewe ni ile ya kutembea na tajiri mkubwa…
  • THE NIGHTMARE (2)
    Jina: THE NIGHTMAREMtunzi: Hussein O MolitoSEHEMU YA PILIILIPOISHIA...Khalidi alishangaa kuitwa na mtu asiyemfahamu. Alitoka na kwenda kumuangalia huyo mtu maana kiukweli hakua na ndugu aishie hapa Dar hata mmoja anayemfahamu..IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈ENDELEA...Alipigwa na butwaa baada ya kumuona Sabra pale.“ahsante mungu.” Aliongea Khalidi baada ya kumuona tu yule binti pale.“pole sasa kaka yangu, nisamahe mie.” Aliongea Sabra kwa…
  • THE NIGHTMARE (1)
    Jina: THE NIGHTMAREMtunzi: Hussein O MolitoSEHEMU YA KWANZANi kipindi cha mvua za masika. Upepo mkali, na mvua kubwa iliendelea kunyesha kwa kasi kila kona ya nchi ya Tanzania.Ipo mikoa iliyofurahia mvua hizo kwa kuwa walikua wanaisubiria kwa hamu kwa ajili ya kilimo. Lakini ipo mikoa iliyokua inapata shida kwa uharabifu wa mazingira na mengineyo mengi.Moja ya miko hiyo ni Dar-es-salaam. Watu wanaoishi katika mkoa huo walichukia mvua mfululizo kutokana na sababu mbalimbali. Biashara nyingi…
  • MY DIARY (50)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA HAMSINITULIPOISHIA...Nilimnongo’oneza kuwa atumie kinga ili nisimwambukize ukimwi akanijibu kwa sauti ya mahaba nisiwe na hofu yeye yupo tayari kufa kwa ajili ya penzi langu hivyo hawezi kutumia kinga kwa mke wake aliyemoa tena siku muhimu kama hiyo.Sikutaka kumbishia yeye ndo muaamuzi wa mwisho kuhusu afya yake hivyo nilimuacha aendelee kufanya yake.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Kumbe na…
  • MY DIARY (49)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA AROBAINI NA TISATULIPOISHIA...Baada ya maneno ya kusilimu ambayo waliambiwa wayatamke kiongozi huyo alisema neno ya mwisho kabla hajashuka.” Kila alie na akili timamu, mwenye busara naa anaetaka haki, na kusimama pamoja na haki, basi akiangalia dunia ilivyo na jinsi inavyokwenda basi lazima kutakuwa na nguvu kuuu nayo ni mwenyezi mungu.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Kuna vitu vingi sana…
  • MY DIARY (48)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA AROBAINI NA NANETULIPOISHIA...Familia yangu haikukubali kabisa mimi kuolewa na rangi nyeusi hivyo walinitenga na kusema hawanitambui kuwa mimi ni ndugu yao.Lakini kutokana na mapenzi mazito niliyokuwa nayo kwa baba yake na Leah nilijikuta nipo tayari kwa lolote hivyo nikahama na kwenda kuishi Tanzania.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Katika miaka hiyo tuliyokaa nilibahatika kupata mtoto huyu…
  • MY DIARY (47)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA AROBAINI NA SABATULIPOISHIA...Lakini ilifikia mahali ndoto hiyo inanijia hata mchana nikiwa nimekaa mahali tulivu.Ilikuwa inanipa taswira nzuri ya sehemu ambayo madini yalikuwepo.Basi nilianza mikakati ya kulitafuta eneo hilo na hiyo ni mara baada ya ushauri wa mpenzi wangu Candy hapo akimaaanisha yule dada aliyekuwa naye pale jukwaaani.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Candy alinisihii sana…

MAMA MWENYE NYUMBA (67)

Mwandishi: Mbogo Edgar

SEHEMU YA SITINI NA SABA
Wakiwa mezani wana pata supuwawli tu! mala wakamwona dada mkubwa wa Edgar akitoka chumbani huku akiwa amevalia gauni lake pana lamoja kwa moja, huku amejitanda upande mmoja wa kitenge alicho pewa na mama yake

SASA ENDELEA...
“Habari wifi,” alisalimia Suzan lakini dada yake Edgar akapita kimya kimya, bila kuitia, kwamwendo wa fujo huku akiliza sendo zake, paa! paa! paa! nusu amgonga binti wakazi alie kuwa anatokea nje kuja ndani, “utazani huoni, mama akiamkamwambie mume wangu amenipigia simu kumbe yupo Hospital nimeendea kumwona”alisema mke wa bwana Kazole na kutoka zake nje, Edgar akujali sana ila Suzane alishangaa sana, “usijari Suzie, nime mzowea huyo” alisema Edgar huku akiendelea kula viazi vya kuchemsha na maziwa

“Mh! lakini inapendza sana pale mtu anapoelewana na ndugu wa mume wake” alisema Suzan huku kwenye Tv walikuwa wakitangaza tukio lililo tokea jana usiku Nyumbani Lodge, “mh! kumbe na huku Songea kuna matukio hen?” alisema Suzane wakiendelea kusikiliza habari, ambapo kamanda wa polisi mkoa alikuwa anaongea na waandishi wa habari “na pia mdafupi uliopita tume pokea taarifa ya tukio jingine la kukutwa mwili wa askari wetu wakike akiwa amefariki kwa hajari ya kugongwa na gari, ambae jana usiku alikuwa kazini,

Taalifa tulizo zipata nikwamba, WP Anifah usiku wa kuamkia leo, baada ya kumaliza zamu yake alipigiwa simu na mtu ambae ajafaamika mpaka sasa, akimtaka wakutane wa lengo la kumpeleka nyumbani,” mpaka hapo Edgar na Suzane waka shusha pumzi, baada ya kusikia jina la askari elie patwa na hiyo ajari na kupoteza maisha, maana wote waliofia asije akwa Rose, ambae kila mmoja wao alimchukulia kwa namna yake, wakati Suzan akimchukulia Rose kuwa ni mtu wenye upendo na huruma kwa kumtoa Edgar kituo cha Polisi, lakini Edgar alimchukulia kama mwanamke wake wa siri, “unajuwa miminilizania nyule afande Rose aliekutoa kituoni,” alisema Suzane

“Hata mimi nlizani kuwa ni yeye, dah! ila inauzunisha sana” alisema Edgar huku mama yake akiingia sebuleni akitokea chumbani kwake, “hoo wanangu mekuja, vipi mama uli enda kumtoa usiku ule ule?” mama Edgar alishangaa kuona Edgar yupo pale asubuhi ile wakati anajuwa anashikiliwa na polisi, kwakosa la kumpiga shemeji yake, “ametolewa na polisi mmoja hivi, shikamoo mama” alijibu Suzane akiinuka na kusalimia kwa kukunja goti kidogo, kamaulivyo utamaduni wetu washwahili wengi, “malahaba mwanangu He! ndiyo mme amkia makaba (viazi vitamu) wenzenu tullivyo yachoka” aliongea mama Edgar huku akitafutasehemu ya kukaa, “viazi ndiyo vita mwongeza nguvu, maana jana sijuwi kama alikula jioni,” hapo Edgar aka kumbuka haraka haraka, nikweli jna hakukiona chakula cha jioni, hapo akatabasamu kidogo, “shikamoo mama” alimsalimia mama yake, “malahaba mwanangu,” aliitikia mama Edgar wakat huo baba yake yani mzee Haule alikuwa anaingia subuleni kama kawaida anavuta mguu wake, japo kwa sasa alikuwa atembei na fimbo, “nime sikia sauti yako Tayson, vipi sasa huyoo mwizi mwenyewe yupo wapi?” aliuliza mzee Haule akiingizia utani, “shaulizako akusikie mke wake” alisema mama Edgar kwa sauti ya chini, wote wakacheka kicheko cha chini chini, “ametoka hapa kimya kimya, suzan ame msalimia lakini yeye ame kaa kimya” alisema Edgar kisha akasalimiana na baba yake, wakati huo huo simu ya Edgar ika iua kuangalia alikuw Rose, kwanza alisita kupokea, lakini baadae akajikaza na kupokea, “hallow habari za kazi, dada Rose” alisalimia Edgar baada ya kupokea, na kumfanya Rose acheke kidogo, kwa ungeajiule wa Edgar Rose alijuwa kabisa kuwa Edgar alikuwa jirani na Suzan, “safi tu! eti unamkumbuka yule dada aliekuwepo pale kituoni?” aliuliza Rose, “ndiyo nakumbuka,” alijibu kwa mkato Edgar, akiofia kuongea sana asije kuharibu mambo, “amegongwa na gari jana usiku, tena nahisi ndie alie toa taarifa ya kuwa nime kutoa mahabusu, kwa yule mzee Chacha,” alisema Rose, “wewe umejuwaje, kuwa yeye alitoa taalifa kuwa ume nitoa kituoni?”aliuliza Edgar, kwa mshangao, akianza kuona hatari iliyopo mbele yake, huku Suzan pamoja na wazazi wake wakimsikiliza pasipo kusikia muongeaji wa upande wapili, “ lazima itakuwa hivyo maana, maana hap anime sikia story za watu wanasema kuwa alikuwa anatembea na mzee Chacha, kabla yangu” hapo Edgar alishindwa kuongeza neno, maana ange onekana, anahuusiano zaidi ya ule wa kawaida, unao fahamika, “ok! kazi njema” aliaga Edgar, kisha akakata simu, “Suzie una mkumbuka kuna dada mlimkuta pale kituoni?” aliuliza Edgar huku akiendelea kula, mama Edgar mdawote alionekana kumtazama sana Suzan kamakuna kirtu anachukunguza, toka kwa mkwe wake, “namkumbuka sana yule dada, amefanyaje?” aliuliza Suzane “kumbe ndie huyo walie kuwa wanatangaza kuwa amegongwa na gari,” maongezi yakaendelea huku Suzane na Edgar wakiendelea kunywa maziwa na viazi vitamu

Wakati huo kweli Rose alikuwa yupo kwenye jengo la mkoa akiwa anajindaa kuondoa zake aende akapumzikenyumbani kwake, baada ya kkesha usiku kucha kwa kazi na michezo yao na Edgar, kiukweli Rose alistushwa sana na taarifa ya kugongwa na gari, kilicho mfanya astuke ni kwamba, alikuwa anausisha kifo cha dada huyo na tukio la jana usiku, ni baada ya kugundua kuwa Anifah alishawai kuwa mpezi wa mzee Magige Chacha, kwahiyo taalifa ya jana kuwa yeye yupo na Edgar aliitoa yeye kwa mzee Magige, na mzee Magige alipoona kuwa ameingizwa kwenye matatizo akaamua kumwangamiza mwanamke ambae amemsababishia, kweli kabisa mzee Magige ame mwacha ameitwa kwa RPC. akienda kuojiwa juu ya gari lake napolisi kuonekana kwenye tukio, huku maagizo yakitolewa kuwa atafutwe dreva wake, Said iliawataje walio usika na tukio hilo, shaulizake nani alimwaambia aning’ang’anie” aliwaza Rose ambae hapo alikuwa na ratiba ya kwenda kupumzika, kisha aende kuangalia maduka yake ya vipodozi, kisha akajiandae kwaajili ya mazoezi ya jioni maana ndio starehe yake kubwa sana , ukiachia hii aliyo iongeza kwa sasa ya kupeda dudu ya Edgar, “huyo nita mtafuta siku mchumba wake akianza kazi,” aliwaza Rose akiingia kwenye gari lake na kuondoka zake

Huku na ko numbani kwa Maee Haule Edgar na Suzan waliingia chumbani kwaajili ya kujiandaa kwa safari ya mjini ili Suzane akaripot kazini, wakipitia kuangalia nyuma ambayo Selina aliitafuta, Suzan alimpigia Seline simu awafwate na kwamba wao wana jiandaa, lakini mambo yaka badirika baada ya kuingia chumbani, baada ya kujiandaa kazi ikaanza, wakaanza kufanyiana michezo ya kimapenzi huku, mpaka walipojikuta wameangukia kwenye mchezo wa kuingiziana dudu, ambapo walijikuta wakitumia lisaa lizima pasipo kujuwa kuwa mzee Haule amepigiwa simu na mzee Kalolo akimtaka wakutane ili wazungumze juu ya Edgar kufanya fujo na kuharibu vifaa dukani kwake, wakapanga jioni maana Edgar na mchumba wake wanatoka

Baada ya hapo mzee Haule akamwagiza mkwe wake, alie muoa binti yake mdogo, bwana milinga, aende kwa mzee Ngonyani akamwambie aje jioni, kwaaajili ya kuliongelea swala hilo la Edgar, Huku wakiwa bado chumbani Edgar na Suzane wakiendelea na yao, iifikia kipindi Suzane alijikuta akiongea “usiingize sana utanuumiza mtoto” mwanzo Edgar akuelewa, lakini baada ya kumaliza, hku wakistuliwa na mschana wakazi, kuwa Seline amesha fika, “eti Suzie ulisema kuwa nitamuumiza mtoto?” aliuliza Edgar wakati wanajiandaa baada ya wote kutoka kuoga kila mmoja akioga peke yake kutokana na kuogea bafu la wau wote

“Eddy nlikuwa sija kuambia, kwa sababu atukukutana tokea nilipo juwa kuwa nina ujauzito ambao una karibia miezi miwili sasa” alisema Suzane , hapo ulifwatia ukelele wa shangwe toka kwa Edgar, “inamaana nitakuwa baba” alisema Edgar” huku akimkumbatia Suzane na kumbusu Suzane kwenye paji la uso, “siyo baba wa mmoja, kuna watoto wengine wana kungoja,” aliongea Suzan akimtazama Edgar usoni, wakiwa bado wamekumbatiana, “lakini hao wengine simiaka hijayo, maana lazima watoto wapishane angalau miaka ata mitatu,” alisema Edgar huku akibiga tena busu la kwenye paji la uso, mpezi wake Suzane

“Mh! wapishane, Sophia ana mimba Joyce ana mimba, sijuwi wengine” maneno haya ya Suzane yalimstua sana Edgar, nusu aanguke kwa kohoro, lakini Suzane akamdaka, “he! vipi tena we Eddy,” alisema Suzane, huku akimshikilia Edgar alie anza kustuka na kujiweka vizuri, akasogea kwenye kitanda na kukaa “samahani sana Suzane, kiukweli sikujuwa nifanye nini pili uliniingiza wewe mwenywe kwenye mitego ya sophia na Joyce” aliongea Edgar na kumsimulia jisi Sophia alivyo mvullia nguo sebuleni, siku ile ambayo Suzane alimwambia Edgar aende akamsindikize shambani, akaeleza jinsi Sophia alivyo shindwa kutimiza dhamila yae baada ya mama yake kuja kwa Sophia, pia akaeleza jinsi Sophia alivyo tembea na pasipo kujielewa baada ya kilevi kuwazidia sikuile nyumbani, alieleza pia jinsi alivyo lala na Joyce sikuile baada ya kumkimbia mzee Mashaka nyumbani na kwenda kulala kwenye chumba cha Joyce, huku Edgar akificha kuhusu mama Sophia

Suzane naye alimweleza Edgar nakmsimulia mkasa wote,ulio mkuta siku ile aliyo tekwa na mzee Mashaka pia akamweleza juu ya Joyce na huduma alizo amua kumpatia Joyce, akisema yeye ananeno kwasababu anaanini kuwa lilikuwa kosa lake, kuficha uusiano wao siku za mwanzo, “naamini kwa sasa hakuta kuwa na tatizo tena, au sio mume wangu?” mwonekano wa Suzane wa uchangamfu, ulimfanya Edgar arudi kwenye hali yake, ya mwanzo, dakika kumi baadae walikuwa njiani na Selina wakielekea mjini, kupitia seed farm kuiangaia nyumba, huku mzee Haule akiwa amesha msisitiza Edgar, ajitahidi saa kumi jioni awe nyumbani kwaajili ya kukutana na bwana kalolo waongee swala la uu8alibifu wa malizake dukani, pia na matibabu ya bwana Kazole

Mwanzo akili ya bwana kalolo ilikuwa ni kujipatia mashamba ya mzee Haule, niyale aliyo yakosa mwanzo, lakini baada ya kukutana na mke wa bwana Kazole ambae ni binti wa kwanza wa mzee Haule, na kumweleza kuwa amekuja mchumba wa Edgar alie saidia kubadirisha maisha ya wazazi wao na kwamba atakuwa na fedha nyingi sana, hivyo ipangwe mipango mizuri ya kuwakamua fedha, kiukweli mzee huyu ambae alimwona binti wa mzee haule kuwa hajitambui, na niwatu ambao anaweza kuwa dhurumu fedha zote watakzo jipatia kwa wazazi wao, “Kama mtu anataka kujipatia fedha kiudanganyifu kwa wazazi wake, anajitambua kweli huyo,?” aliwaza bwana Kalolo, ambapo walisisitizana kuwa saa kumi wote wawe nyumbani kwa mzee haule

NAOMBA SAPOTI, KUNA MATANGAZO(ADS) YANAJITOKEZA KWENYE APP YETU, LIMOJA LINAJAA KWENYE KIOO CHAKO JINGINE LINANG'ANG'ANIA HAPO CHINI KABISA, BONYEZA JAPO MARA 2 AU 3 KILA UKIFUNGUA SIMULIZI HIYO ITANIPA NGUVU YA KUENDELEA ZAIDI NA SIMULIZI ZETU🙏🙏

TAZAMA KICHEKESHO HIKI KISHA BONYEZA SUBSCRIBE ILIYOPO CHINI YAKE WAKATI TUKIELEKEA KWENYE MUENDELEZO



USIKOSE SEHEMU YA SITINI NA NANE

Maoni, Ushauri na Chochote Share Namimi Katika Mawasiliano Haya:
+255 718 274 413 Ipo WhatsApp
+255 764 339 438
ZephilineEzekiel@Gmail.Com
7 Mama Mwenye Nyumba Simulizi
Jiunge kwenye mazungumzo
Chapisha Maoni