Notifications
  • MY DIARY (27)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA SABATULIPOISHIA...Alinamba eti hayo ya mimi kuolewa tuyaeke pembeni na kwa nini siku hiyo nisilale Moshi tukumbushie enzi zetu. Mwalimu John aliendelea kusema kuwa amenimiss sana na anomba nisahu yaliyopita na turudie yale maisha yetu ya zamani.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nilijifanya simwelewi lakini ukweli ni kwamba nyota ya mwanaume huyu ilikuwa ni kali sana zaidi yangu na…
  • MY DIARY (26)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA SITATULIPOISHIA...Joyce alinambia yeye haendi kujipanga foleni kama makahaba wengine hivyo yeye hufanya biashara hiyo kitaalamu zaidi.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Alisistiza pia kuwa eti huwa anatumia kinga kuwakinga wengine. Wakati mwingine alinambia acha awaambukize kwa sababu wanaume wangekuwa na akili basi wasingeenda kununua mwanamke. Anasema kuwa laiti biashara hiyo…
  • MY DIARY (25)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA TANOTULIPOISHIA...Sikuisha hapo pia nilimpongeza kwa kunijali na kunipenda na kuhakisha kuwa siingii kwenye majanga kama yake mara baada ya kutoka jela. Siku hiyo nilimuelewa sana Joyce na nilikuwa tayari kumsapoti kwa lolote ili mradi tu atimize athma yake hiyo ya kuzaa. Tuliongea mengi sana na baadaye alinionesha picha ya mtu ambaye alitaka kuzaa naye.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA…
  • MY DIARY (24)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA NNETULIPOISHIA...Kwa kweli siku hiyo niliwaza sana na kutafakri vitu vingi. Wale wanachuo wenzangu wamenambia kuwa Msouth alikuwa kwa kimada mwingine na japo stori haikumalizikia ila ukweli ni kwamba alifumaniwa na kupigwa vibaya na huenda walimtupa mahali na ndio maana chanzo cha kifo chake hakieleweki.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nilijaribu kuijikontrol ili nisiwaze kitu…
  • MY DIARY (23)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA TATUTULIPOISHIA...Alinisihi sana nisitoe niilee na yeye atatoa huduma zote lakini tuendelee kufanya siri ili tusije tukahatarisha ndoa yake na kusababisha familia yake kuyumba. Kwa kweli sikuweza maana ilikuwa ni kujipa tabu mimi na huyo mtoto atakayezaliwa. Bora ataa ingekuwa ni mimba ya ule mwalimu ambaye hajaoa.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nilitamani nimchomekee hiyo mimba…
  • MY DIARY (22)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA MBILITULIPOISHIA...Alitumia vizuri umbo lake la kimiss kutembea kimiss na kuweka mapozi ya maana. Na baada hapo alilala kwenye kile kigodoro na akachojoa vyote isipokuwa kufuli jeupe ambalo nalo alipewa hapo hapo kwa ajili ya kazi hiyo. IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Basi sikumpa nafasi Joyce niliingilia nafasi yake na kuchukua ule uume wa bandia nikamfuta yule dada.…
  • MY DIARY (21)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA MOJATULIPOISHIA...Nilichomeka simu chaji na kuiweka hewani ili nione kama kutakuwa na sms yeyote iliyoingia.Hofu ilizidi kunitawala na wakati naendela kufikira simu yangu iliita niakzani labda ni Joyce na nilipoiangalia nilimkuta ni Msouth. Sikutaka kuipokea nikaiacha iite mpaka ikate yenyewe.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nikajiuliza kwani amepatwa na nini usiku huo mpaka…
  • MY DIARY (20)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINITULIPOISHIA...Nikamwambia kuhusu namba zangu za simu amuombe aliyemtuma anisaidie na kuhusu hilo la pili je hatuwezi kufanya kesho kwa sababu kuna mahali nilikuwa nikienda? Alifikiria kwa sekunde kadhaa na kuniambia kuwa hapana anaomba nimsaidie leo kama yeye alivyonisaidia mimi kwa sababu ningekuwa kwenye foleni nisingeweza kuondoka kirahisi hivyo kama ninavyofikiria.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA…
  • MY DIARY (19)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA TISATULIPOISHIA...Baada ya hapo niliendelea kumdadisi juu ya tukio lile lakini hakuwa tayari kufunguka zaidi ya kusema aliumia sana. Hapo nikaamua kuutafuta ukweli kwa kutumia mbinu za kike.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nilimwekaa mikono begani na kumwambia pleaee dear naomba uniambie ukweli ili nijue nakusaidiaje? Basi Ramadhani akaanza kulalamika kuwa baba yake amekuwa akimwingilia…
  • MY DIARY (18)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA NANETULIPOISHIA...Halafu eti akawasha simu na kuonesha zile picha alizotupiga kweli huyu rafiki yangu alikuwa hamnazo sio picha tu alituchukua video kabisa na sauti. Akanambia ngoja ampigie paparazi mmoja hivi aje ili atengeneze habari tupate hela. Kauli hiyo ilinikosesha amani na kunikera sana akanmabia eti kuna namna ya kufanya ili sura yangu isitokee.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA…

MTAA WA TATU (41)

Mwandishi: Hafidhi J Ikram

SEHEMU YA AROBAINI NA MOJA
Hafidhi akaushika mpini wakisu kile na kukichomoa akakifuta damu kupitia nguo za
Patrick kwa wakati huo roho yake Ishaenda kwa Mungu baba baada kufanya mauwaji mwanaume bila kuwa na wasiwasi wowote akasogelea sehemu ya Mabegi yalikuwa kama mabegi sita hivi

NIOMBE SAPOTI, BONYEZA TANGAZO LINALOKUJA NA KUJAA KWENYE SIMU YAKO WAKATI UKIFUNGUA SIMULIZI AU LILE LINALOKUWA KATIKATI YA SIMULIZI ZETUKABLA HAUJAIFUNGUA NDANI, PIA KUNA LILE LINAKUJA NA KUNG'ANG'ANIA HAPO CHINI, BONYEZA WALAU MARA 3-4 HIVI HIYO NDIO SAPOTI YAKO KWANGU, TAFADHALI NIPE NGUVU NAKUTEGEMEA SANA MSOMAJI WANGU
SASA ENDELEA...
Sema yeye akachukuwa moja na kuondoka nalo,
Akiwa hatua kadhaa baada kutoka nnje ya uwanja ule akapishana na kijana vijana kama wawili wakiwa na pikipiki
sema hakutaka kuwajali sana akaishia zake,
Kati ya wale vijana wawili mmoja
alikuwa yule Shooter aliyefanya mauwaji kule
Uwanja wa taifa kwa kumuuwa bibiye Yusra na Mke wa Raisi bibiye Anna,
nao wakaingia eneo la tukio
Shooter akaruka kwenye pikipiki na kuukimbilia mwili wa Patrick huku akiita
“Patrick!!!...mdogo wangu
Patrick".....inuka nani kakutendea hivi fumbuwa macho unitizame kaka yako niko hapa
binafsi jamaa akadata aisee alilia na kumbeba mdogo wake kwania ya kumuwahisha hospitali
hakujuwa kama roho tayari ishaacha mwili
Patrick hakuwa yeye tena zaidi ya kuitwa marehemu,
“Steven mwanangu nilikwambia mimi
kuhusu hayo makundi yanu ipo siku mtaingia njia mbaya,
leo hii umeona kaanza mdogo wako
Steven kwanini hutaki kunisikia mwanangu"..
Sauti yakilio ilisikika ikitokea kwa mama mmoja huku akimwambia maneno
hayo yule Shooter kumbe anaitwa
Steven,
“hapana mama kifo cha Patrick sababu sio hiyo ni ajali kazini,
Mama mdogo wangu ataamka muda gani please nijibu!"
Steven alizungumza kwa sauti ya ukali,
“halloo baba kama ulivyoweza kusikia taarifa ya kifo cha huyo kenge nishamuuwa"
Hafidhi akaongea kwa simu.
Sauti ikasikika upande wapili ikimpa pongezi
“vizuri sana kajana.
hakika wewe ni mwamba usiogopa kitu,
Kama ulivyoweza kuniahidi,
Shukrani kwa kazi nzuri"
“lakini mzee naona kama umeniacha njia panda kuhusu hili swala
Umejuwaje kama yule ndio muuwaji wa mwanao?"
Hafidhi akauliza swali,
Sauti ikasikika ikimjibu
“hapana yule sio muuwaji wa mwangu ila ni ndugu wa muuwaji"
“what!???
Kwanini sasa ukanituma kumuuwa mtu sio wakati unajuwa ni kosa kufanya hivyo"...

“kijana embu shusha presha nisikilize mimi
Baada kuangalia katika TV yangu ya asiri niliweza kuliona tukio zima jinsi mwanangu alivyoweza kuzidiwa
Mbinu za upambanaji hatimae akavunjwa shingo baada hapo muuwaji
Akakutana na huyu kijana na kumpa kazi
ya kumuuwa bibiye Vivian ni mmoja kati ya madada wanaounda kikundi cha
3Sisters imekuwa vizuri umemuwai
Subiri nikutumie video ya tukio zima na picha ya huyo
Muuwaji ndio nadawnload kwenye TV asilia hapa"
Simu ikakatwa.
Dakika si nyingi video na picha vikaingia kwenye simu ya Hafidhi kupitia
Whatsapp hakuweza kuamini baada kuweza kuiyona picha ya muuwaji akakumbuka alipishana nae ile jana wakati akitoka kufanya mauwaji.
Akaitizama hiyo video na kuona jinsi Yusra alivyopigwa kama mtoto, akabaki kusikitika tu na kutamani huyu jamaa angekuwa mbele yake mbona angejuta,
“Babu fanya mambo yawe mambo
Nichekie huyo mpumbavu ni nani"...
Steven baada kumzika mdogo wake hakukaa sana akaenda kwa mtaalamu akiomba atizamiwe huyo aliyemuuwa mdogo wake ni nani.
“kijana embu tulia kaa chini tambuwa hapa ndio mwisho wa matatizo
Huyo mdogo wako anaitwa nani? kafia wapi? na muda wa kifo chake umetokea saa ngapi?"
Mganga akauliza maswali matatu kwa mpigo Steven akakaa vizuri na kujibu
“anaitwa Patrick Maswe tukio limetokea maeneo ya upanga
saa kumi na moja jioni!"

“sawa tulia tuweke mambo kwenye TV
Mganga akafanya mambo ajabu TV iliwaka ila kulionekana kivuli tu mtu harisia
hakuweza kuonekana
Mganga akafanya kila namna mwishoe akasema
“kijana umeingia anga sizo"......

*****MWISHO WA SEASON I*****

*****SEASON II TUNAUNGANISHA HAPA HAPA*****

Ni miaka minne sasa imepita tokea vurugu za hapa na pale zitokee
Ndani ya kijiji kimoja hivi maeneo ya Mkuranga huko ndani ndani tunamuona kijana mmoja akicharanga kuni, huku kijasho kikimtoka yani mavazi yake yalikuwa yamechoka vibaya mno, kuanzia T-shirt yake pensi vyote vilikuwa na matobo na viraka vya hapa na pale
Pembeni kidogo kulikuwa na mtoto wa kiume mwenye umri wa kama miaka minne au mitatu hivi, akicheza ghafla yule mtoto akanyanyuka na kutoka mbio huku akiita
“mamaa".....mamaa!!!
Jamaa aliyekuwa akichaanga kuni akasimamisha shukhuri yake na kuangalia kule ambapo yule mtoto kakimbilia kisha akatabasamu,
“whaoo mwanangu mpendwa huyoo
Mwanadada yule hakuwa mwingine ni bibiye Vivian, kama tunamkumbuka vyema kwenye mchakachaka wa season one.
“nakuona jinsi gani mume wangu mpendwa unavyo piga kazi,
jamaa mwenyewe alikuwa ni Hafidhi j Ikram hakika maisha yameenda sana
yani amebadirika kupita kiasi
Kwanza kafuga ndevu za kutosha utasema
Osama bin laden yani hizo ndevu zake mpaka mdomo umejificha,
“vipi mama Ikram huko utokako ni wazima kweli?"
“ndio ni wazima wacha kwanza nikae opsiii nimechoka wee acha tu"
Vivian akakaa kwenye kimkeka kimoja hivi kikuu kuu, Hafidhi nae akakaa karibu yake na kuanza kumkanda miguu, mkewe
“Ikram embu nenda kalete vile viazi umletee mama yako hapa"...
Ikram akaingia ndani baada kuagizwa na baba yake kwenda kuleta
Viazi hakika alikuwa mtoto makini sana kuelewa kitu
Akaingia ndani na kutoka na sufuria ya viazi
“hivi mume wangu tutaishi huku mpaka lini?"

“sikia nikwambie kitu mke wangu imebaki miezi michache tu tuweze kurudi mjini
Kwani bado sijamaliza mission ndio naifanya kimya kimya ni miaka mitano sasa imepita tokea sirikali inisake na kushindwa kunitia mikononi,
kingine bado nasakwa na wabaya wangu hakika hii ngoma bado mbichi kabisa kuicheza unaitajika ujasili wa hali ya juu"...
Wakati wakiwa wanaongea sauti ya mtoto wakike ikasikika akilia ndani ya nyumba hiyo, Vivian au Mama Ikram akainuka huku akisema
“Yusra atakuwa ameamka
Akaingia ndani.
“Ikram baba hivi ukikuwa mkubwa ungependa uwe nani?"
Hafidhi alimuuliza mwanae, nae akamtizama baba yake na kumjibu
“nataka niwe Mwanajeshi"
“kwanini umechaguwa kuwa mwanajeshi nawala sio kitu kingine?"
Ikram akachelewa kidogo kujibu sababu ya kutafuna kiazi baada kukimeza ndipo akajibu.
“nataka kutetea haki za wanyonge nipigane vita kuitetea nchi yangu
Nikamate wahalifu wote" Ikram ni mtoto mdogo sana sema ana upeo mkubwa wa kufikilia vitu,
Vivian akatoka ndani akiwa kambeba mtoto wakike mzuri hatari
“wee Ikram mbakishie na mdogo wako kiazi hata kimoja, mtoto unakula wewe kama baba yako"...
Hafidhi akacheka tu na kusema
“ha!ha!ha! Wife bwana sikweli kama mimi nakula sana nitake radhi"....
“hahaha kumbe ukweli unauma ehee..."
Sikutaki radhi wala nini usije ukawa kichaa bure" basi wakacheka wanandoa hao
“lakini baby ufanye mipango ukamgomboe mama yake Yusra kule Segerea, bwana"
“usijali kuhusu hilo
Unajuwa yule Mariam ni mbishi sana nilimwambia mi kuhusu wazo lake la kutaka kwenda mjini sio zuri
Akaniona mi mjinga hatimae kanaswa huku mwanae analia tu"
Basi wakaongea mambo mengi tu wakiwa katika nyumba yao hiyo ya udongo juu imeezekwa kwa nyasi,
Ndani ya chumba kidogo cha setro ndani ya gereza kulikuwa na sauti za kilio kutoka kwa mwanadada mmoja hivi akipatiwa mateso ya hatari, kwanza alikuwa kafungwa mikono juu
Na kuchapwa mijeredi
Huku akimwagiwa maji ya chumvi
basi na vile vidondo vilivyoko mwilini mwake hayo maumivu anayo
yapata usimpimie alipiga kelele kwa uchungu, alilia na kusaga meno,"
“mmh! Husna umemuona yule mkaka eti ananitaka"...
“yupi yule mwenye mindevu kama kichaka cha mavi au?"
“ndio huyo shost!
“hivi Neema shogaangu katika wanaume wote walioko ndani ya kijiji hiki hukuweza kuwaona mpaka utake kujipeleka
kwa chafu koga kama yule
Mindevu hiyo mpaka mdomo hauonekani
hivi sijui ukitaka kula nae denda utaanza vipi?"
“wewe nae sijui kabira gani
sijakwambia nimejipeleka nimekwambia kanitongoza so sijampa jibu, naona ushaanza kutokwa na povu sijui mindevu sijui mivuzi wee mwehu nini"
Vivian nae akaingia kisimani hapo akiwa kambeba Yusra mgongoni,
ikabidi wale wasichana wabadirishe story
lakini kuna binti mmoja kwa makusudi
Akaendeleza mada si kamuona mke wa jamaa kafika
“endeleeni kuongea sijui jamaa anakutaka sijui ananuka uvundo
sijui mindevu kama blash ya chooni"..

Yani kazi kukalia umbea tu mtu mwenyewe sura chachu kama umekamuliwa ndimu vile, Wanaume wangapi washakuchojoa
Kirungu kibamia mkono wa sweta nene nyembamba fupi ndefu zote zimesokonyowa hapo usemi kutongozwa na
Yule mkaka wawatu mnaanza kuongea pumba washenzi wakubwa nyie"....
Yani Dada huyo aliongea kwa jazba kama vile aliyesemwa ni mumewe.
“basi Dada yangu inatosha kama maneno washasikia wapotezee tu!"
Vivian akamsihi yule binti huku moyoni mwake akijisemea
“hakika binti umechezea bahati kama ulitongozwa na Hafidhi hujui tu
lakini siku ukija kutambuwa utakuwa ushachelewa"
“Assalam alaykum yaa Shekhe
Ahmed?
“waaleykum ssalam ewe kijana wangu vipi mbona unaonekana kama huko utokako umekimbizwa vipi tena?"
“wee acha tu Shekhe wangu hapa nilipo nina hofu si kidogo nilikuwa naomba kama una shilling Elfu mbili unisaidie niweze kukimbilia kijiji cha jilani
Shekhe"

“Marik kijana wangu embu punguza presha ondowa jazba niambie nini tatizo.
Hafidhi ukipenda muite Shekhe Ahmed kama anavyojulikana ndani ya kijiji hiko cha Msanga chore huko ndanindani,
Akamuuliza huyo kijana na kumshika mkono kwenda nae pembeni kidogo
“haya niambie usiogope
Kisha nitakupatia hiyo pesa ukimbie kama hautojali"...
“kijana huku akitweta akaanza kusema
“kule maeneo ya mashamba ya mkonge tumeweza kuvamiwa na kikundi cha wamasai na kuanza kumcharanga kila mtu na visu.
Sijui sime yani huko hali si nzuri kuna watu wengine wamechinjwa",,,
Kichakani kukasikika chakal!!!
Jamaa akataka kutimuwa mbio
Hafidhi akamdaka mkono kwa kumrudisha
“sasa unakimbia nini je unaweza kunipeleka eneo la tukio embu shika hii"....
Hafidhi akaongea hivyo huku akimkabidhi kijana huyo noti ya shilling
Elfu kumi ile kuipokea tu akatimua mbio.
Huku sasa hali haikuwa nzuri kwa wanakijiji wanaoishi karibu na mashamba ya mikonge
Wamasai walikuwa wameharuka na kupandisha mori.
Yani sijui kisa cha ugomvi nini katikati ya vurugu
Upepo misili ya kimbunga ukavuma vumbi likatimka
Wamasai mishuka yao ikabaki kupeperushwa huku na kule kufumba na kufumbuwa Ninja short kaingia pande hizo Wamasai mori ikawa mdori.
Walianza kukimbizana uchi uchi baada kufinywa wale mikono ya sweta
Wakafanyiwa jando isiokuwa na dawa
Wala ganzi.

Hakika walitia huruma si kidogo
“mamuweee nafwaaaa!!! Arooooo tusamehe bwana mukubwa" kitu kikasikika tihiii
Wanakijiji wakabaki kushangilia tu
Kichapo kilitembea mpaka ndani ya himaya yao.
Ikabidi mkuu wao apige magoti kuomba msamaha
“Bwana mukubwa tuchamee wachamee mukubwa tupo muchini ya miguu yako Awarudii tena, Tafadhali tunakuomba", Ninja short akatikisa kichwa na kupotea
Maeneo yale hakika wakashukuru Mungu huku majeruhi wakipatiwa huduma

NAOMBA SAPOTI, KUNA MATANGAZO(ADS) YANAJITOKEZA KWENYE APP YETU, LIMOJA LINAJAA KWENYE KIOO CHAKO JINGINE LINANG'ANG'ANIA HAPO CHINI KABISA, BONYEZA JAPO MARA 2 AU 3 KILA UKIFUNGUA SIMULIZI HIYO ITANIPA NGUVU YA KUENDELEA ZAIDI NA SIMULIZI ZETU🙏🙏

TAZAMA KICHEKESHO HIKI KISHA BONYEZA SUBSCRIBE ILIYOPO CHINI YAKE WAKATI TUKIELEKEA KWENYE MUENDELEZO



USIKOSE SEHEMU YA AROBAINI NA MBILI

Maoni, Ushauri na Chochote Share Namimi Katika Mawasiliano Haya:
+255 718 274 413 Ipo WhatsApp
+255 764 339 438
ZephilineEzekiel@Gmail.Com
9 Mtaa wa Tatu Simulizi
Jiunge kwenye mazungumzo
Chapisha Maoni